Kakamatwa na Bangi Kagera lakini alivyojitetea kila mtu akacheka

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 вер 2024
  • Hii imetokea katika Wilaya ya Karagwe mkoa wa Kagera ambapo Mkuu wa Wilaya hiyo Godfrey Mheruka anafanya Oparesheni ya kukamata Watuhumiwa wa dawa za kulevya ambapo anashirikiana pia na Wanajeshi kwenye Oparesheni hiyo.

КОМЕНТАРІ • 1,3 тис.

  • @gongalike3441
    @gongalike3441 7 років тому +116

    Dah, huyu jamaa yangu msameheni tu 😂😂😂😂😂😂

    • @africangangaa195
      @africangangaa195 3 роки тому

      Msameheni jamani amejitetea Sana inatosha mpeni into tu na umri wake ndo Kama huo

  • @JohnPaul536
    @JohnPaul536 6 років тому +156

    Mzee amesema ukweli anafaa apewe Onyo ,Let him be free.That might be his source of income .

  • @Adryfierce
    @Adryfierce 7 років тому +71

    mwachien jmn kha arudii tena

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 5 років тому +12

    Huyu mzee mnunulueni trekta la kulimia.ni very innocent amesema ukweli ni ugumu wa maisha na kutonielewa vimemponza.

  • @pckfoundation3710
    @pckfoundation3710 6 років тому +46

    ILA KAFICHA JAMANI 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @radoms6004
    @radoms6004 4 роки тому +84

    Actually the army use it more than that guy 😂😂😂😂😂😂😂

  • @thenaseermix
    @thenaseermix 7 років тому +26

    The government needs to learn that weed can be used for medical purposes hence why it's being legalized most parts of world.

    • @Robay146
      @Robay146 7 років тому

      Chini ya raisi wetu sijui kama itawezekana.

    • @markakhereokhale8788
      @markakhereokhale8788 7 років тому

      msameheni jamani

    • @getrudmmm
      @getrudmmm 7 років тому +1

      Naseer Mohamed true its the best cure for all type of cancer people around the world their testify the benefit of bangi kwa kutibu magonjwa ya lio pandwa na beside hule ni mmea mungu ameumbua hvyoo hauwezi kua halamu dunia inaipinga bangi inabenefit nyingi ikitumiwa kama dawa pharmacy na hospital zitafungwa ni mmea unaotibu magonjwa mengi

  • @frediefriday5431
    @frediefriday5431 5 років тому +11

    This guy is talking scientific facts despite being in poverty and the obvious lack of technology! Jaman Mtu aniambie madhara ma5 ya Bangi, I’ll wait!

    • @imrankassam2460
      @imrankassam2460 5 років тому

      Loss of memory

    • @allykombo920
      @allykombo920 3 роки тому +1

      Miaka miwili sasa na umejibiwa madhara 1 kat ya 5 😂😂

  • @imamumponda276
    @imamumponda276 7 років тому +84

    msameheni wa llahi mpaka machozi yananitoka yaani wanaacha kutokomeza madanguro na ulevi ambao umekatazwa na dn zito dah inna li llahi wa inna ilayhi raajiuun kama ni laana hata bia zina laana ila semeni kwa kuwa bangi hamna maslahi nayo

  • @ayubuhenry5426
    @ayubuhenry5426 6 років тому +22

    hahahahah, "Naficha kabisa kabisa"
    mmwache tu, kakamateni viwanda vya sigara

  • @kigambontv9748
    @kigambontv9748 7 років тому +142

    Hahahaaaaaa nikivuta bangi nalima ekali 1 kwa wiki moja Msamehen tu huyo

  • @luckychanneltv8762
    @luckychanneltv8762 5 років тому +3

    Kwakweli wanajeshi wa TZ mna hekima sana wangekuwa wa nchi zisizo na amani huyu mtu angepigwa risasi, MUNGU awazidishie maarifa ktk kazi yenu ngumu

  • @Bongasasa
    @Bongasasa 7 років тому +131

    Jamaa si mwizi ana jasho tele kazi hiyo, leave him alone BANA kamata jambazi wasugu kule kijijini!

  • @freddymello3227
    @freddymello3227 6 років тому +29

    tatizo elimu.....kukamata na kuwafunga sio dawa!tunaongeza matatizo ndani ya familia zao ambayo gharama yake hatuwezi kuimudu

  • @johnmgweno4254
    @johnmgweno4254 4 роки тому +7

    Why am late to view this......he made my day 😂😂😂😂

  • @raskombo6247
    @raskombo6247 6 років тому +8

    Psalms 104:14 He causeth the grass to grow for the cattle,and HERB for the service of man:that he may bring forth food out of the earth.

  • @jahhloveyou4462
    @jahhloveyou4462 6 років тому +8

    He knows how bangi can help him those soldier have no education on say if bangi will help him or not (acheni hizo nyinyi mna itaji more education)100%ninge mtetea wao hawezi kusema inasaidia ama haisaidii.

    • @kiptookomen4127
      @kiptookomen4127 5 років тому

      KWELI KABISA!!

    • @hongeramgaya714
      @hongeramgaya714 4 роки тому

      Wanajua na ndo wavutaji no 1 ivo ilobaki shambani wataishughulikia wenyewe.

  • @bakariozias6612
    @bakariozias6612 6 років тому +3

    millard Aksante sana kwa news

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 7 років тому +45

    msameheni jaman kuna watu vijijini hawanaelim yabange hakijini kwetu wanalima mpasasa

  • @oppsinlyf
    @oppsinlyf 5 років тому +9

    Mara ya kwanza kusikia mtu ameaga sababu ya bangi duniani

  • @graciousjerry1322
    @graciousjerry1322 7 років тому +14

    ha ha ha ha ha haaaaaaa uwiiiii jaman mbavu zangu mimi!! ad wazee wa kazi wamecheka chezea

    • @mrsliver198
      @mrsliver198 3 роки тому

      ua-cam.com/video/ChtDpxxsCZY/v-deo.html

  • @ashrafkangale9215
    @ashrafkangale9215 4 роки тому +4

    Kiujumla Kama serikali inafata haki na kujali afya za watanzania, basi inabidii izuie madawa yote nchini au kila aina ya kilevi. Kwanza hao wanajeshi wasijifanye kumuoji huyo mzee maneno mengi,mwenye huko kambini wanakula bangi Kama vichaa, Bob Marley anaiga. Kwanza wangeanza kukamatwa wao. Kiukweli duniani hakuna haki ila haki tutaenda kuikuta kwa Mungu, ndipo itajulikana ki sawa sawa nani alikuwa anakula bangi na nani walikuwa wanazulumiwa haki zao.Dunia ni gereza la maskini, ndio Maana mungu akaweka watu tuishi mda mfupi tufe akatulipe Yale tuliyoyafanya. Tungekuwa hatufi basi maskini wangesagika mpaka wakome.

  • @dct4lif
    @dct4lif 7 років тому +400

    Mbona Sigara zinaua watu kuliko bangi ? Mwachieni mzee wa watu focus iwe madawa

    • @leonardwangilisasi1145
      @leonardwangilisasi1145 7 років тому +17

      yan sasa ni kutafta sifa tu.
      bangi is harmless

    • @dct4lif
      @dct4lif 7 років тому +11

      Mara bangi mara mirungi wawaulize wamarekani mambo ya kufanya vitu kwa papara unaishia kufunga watu milioni 3 na bado tatizo la madawa bado lipo pale pale

    • @wakubofyawakubofya7746
      @wakubofyawakubofya7746 7 років тому +5

      hahahahaaa!!!! jamaa anafaa comedy!

    • @kepherotieno9690
      @kepherotieno9690 7 років тому +1

      Adnan Kashogi

    • @mayco-channel__1
      @mayco-channel__1 6 років тому +10

      Daah ila hay maisha jaman mwachien tyu mzee wa watu anashidaa

  • @mwanahamisnsillah6876
    @mwanahamisnsillah6876 5 років тому +10

    Hahahaha uwiiii mbv zang mie waliocheka kama mm gonga like hapa twende sawa

  • @geofbeka1669
    @geofbeka1669 7 років тому +36

    Ah, umaskini mbaya sana..

  • @msamirerebecca5572
    @msamirerebecca5572 4 роки тому +4

    Askari:mbona unalima bangi
    Mtuhumiwa: Mimi nalima bangi katumbaku kangu kadogo kakutumia ataukiangalia,,,,,
    Askari:wewe hujui Kama serikali inazuia kutumia bangi
    Mtuhumiwa:Mimi seseserikali naifahamu
    Majibu anayotoa yamenivunja mbavu

  • @felixkilave9171
    @felixkilave9171 7 років тому +142

    Hahahaha Jamaa ningekua mm ningemsamehe nadhan dishi limeyumba 😂😂😂

    • @anisetnyaki750
      @anisetnyaki750 7 років тому +7

      Felix Kilave
      Nimependa Yuko Honesty
      Brother Huyu Dishi Liko Sawa .
      Analima Hekari Sababu Ya Bangi.
      Wamemsamehe

    • @felixkilave9171
      @felixkilave9171 7 років тому +6

      Aniset Nyaki 😂😂😂 sure hata me ningemsamehe kabisa life nadhan limempiga Sana dah

    • @bultuabasalam5997
      @bultuabasalam5997 7 років тому +1

      Felix Kilave jaman anatia huruma

    • @arafsaaa8844
      @arafsaaa8844 7 років тому +1

      Felix Kilave 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @hawawezidianakukushusha756
      @hawawezidianakukushusha756 7 років тому +1

      Felix Kilave ha ha ha dishi limeyumba ha ha umenichekesha sana

  • @allysufian3928
    @allysufian3928 5 років тому

    Hata mungu hamchulii kosa mja aliekosea bila elimu ya kosa anamsamehe , muelimisheni , hata kipindi cha Mtume s.a.w. kuna mtu alifanya kosa kuubwa la la kukojoa sehemu takatifu ya Ibada, watu wakamtia nguvuni mwisho mtume akawaambia muacheni kwa kua hakua anajua kua pahala pale hapafai kukojolea mtume alimsamehe,

  • @bensonfrank9578
    @bensonfrank9578 7 років тому +8

    HUYU JAMAA KANICHEKESHA SANA!! 😂😂😂😂 JAMAA HAZISOMI MNARA UMEPOTEA!! HAUSOMI 😂

  • @eva9119
    @eva9119 7 років тому +1

    What a brotherly love😊..Yani unakubali na unasema kwa nini una makosa..

  • @jameskaimenyi6287
    @jameskaimenyi6287 3 роки тому +3

    Uongo kuhusu milungi (miraa). Kenya wakulima wa milungi ni matajiri. Miraa haisababishi uvunjaji wa sheria. Miraa na bangi ni vitu tofauti kabisa.

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 3 роки тому +1

    Munazingua sana
    Katazen pombe zote
    Ikiwemo BEER nk kwasababu
    Zinamazala kwann serikal
    Amulisikii hili katazen POMBE

  • @bahatidan4751
    @bahatidan4751 7 років тому +83

    msameheee jamani....loooo lol anatia huruma

  • @winniemakeup9422
    @winniemakeup9422 4 роки тому +2

    asamehewe he seems to be a hard worker

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 7 років тому +25

    😂😂😂😂😂jaman anajitetea had anataman kuwaramba miguu 😂😂😂😂😂

    • @sashanyange4370
      @sashanyange4370 7 років тому +1

      Sifa tu kwan bangi nidawa za kulevywa😭😭😭😭

    • @tayoelias8622
      @tayoelias8622 6 років тому

      Sasha Nyange
      Bangi sio madawa ya kulevya it is an herb and a flower wamsamehe tu sio kwa msamaha huo

    • @francisvicent4931
      @francisvicent4931 5 років тому

      Tanzania yetu inafuataa mkumbo...!! Bangi ni zao zuri sana na tena halina madhara kama tumbaku. Tunaomba bangi iaharalishwee

    • @francisvicent4931
      @francisvicent4931 5 років тому

      Bangi sio madawa ya kulevya...!! Bali bangi ni botanical agent uliniletea na Mungu kwa ajili ya mwili na ubongo. Soma mwanzo 1:29 ndio uelewe et bangi inaleta uchizi...!! Hama kweli ni bora unyimwe elimu lakini upewe akili.

  • @Mbugokilonda
    @Mbugokilonda 7 років тому +2

    Jamaa bora mumsamehe tu. Mbona Bangi 💥haina ubaya wowote

  • @eddiempate600
    @eddiempate600 7 років тому +17

    mambo ya double standard hayo....unamkamata mkulima wa bangi halafu ukitoka kazini kwako unakaa kiti kirefu unakunywa Konyagi....sasa tuangalie kipi chenye madhara zaidi hapo....sisemi bangi ni nzuri, lakini ukweli ni pombe kali zina madhara zaidi kuliko bangi na hiyo mirungi....nishapoteza ndugu zangu wengi kwa matumizi ya pombe lakini sina kumbukumbu ya kupoteza yeyote kwa matumizi ya bangi....kama kweli tupo serious tupige marufuku vyote na sio kusumbua wanyonge kwa kuwa hana uwezo wa kukaa kiti kirefu.

    • @alvinsafi2733
      @alvinsafi2733 2 роки тому +2

      Bangi nchi zilizoendelea wanaruhusu kupandwa na kuuzwa hata ku export.
      Denmark kuna sehemu inaitwa cristiana ni kijiji cha wavutaji n wauzaji. Wapi zinapopandwa serikali ya Denmark yajua.Ukifika Amsterdam uholanzi kuna maduka ya kuuza Coffeeshops zipo almost 5000 nchi nzima na walipa Kodi na serikali yapata kipato, hivyo hakuna uharamu wa kuvuta wala kuuza. Kila raia anaruhusiwa kuwa na miche 5 ya bangi nyumbani. Sababu hawataki biashara haram.kuna mji unaitwa( Almere Buiten) pale kuna duka la serikali lauza hiyo bangi kwa wavutaji. Ukifika California Marekani kuna maduka ya kuuza bangi kama Dawa. Tena unaenda kununua kwa ajili ya dawa ulioandikiw na daktari. Its a million dollar business .Snoop Dogg kafungua duka lake hapo anauza.
      Sisi nchi zetu hizi za kimaskini Elimu hii hawatki tuijue wakati viongozi wetu wengi wanatumia Weed. Bangi sio mmea haram ni Herb kama Herb zingine.
      Knowledge is power and Knowledge is for sharing.

    • @freemanerick7254
      @freemanerick7254 Рік тому +1

      @@alvinsafi2733 #Appreciate_Daddy 💪✌

    • @AlnordGozonga-gw2sb
      @AlnordGozonga-gw2sb 8 місяців тому

      Kweli kabisa mkuu

  • @mwaurahfrancis2452
    @mwaurahfrancis2452 5 років тому +8

    Its high time this suff to be legalized

  • @immanuelswai6679
    @immanuelswai6679 7 років тому +78

    inamazara gani bangi? kuliko sigara? serikali iangalie kwa jicho la pili?

    • @lashkartelvevo2236
      @lashkartelvevo2236 3 роки тому +2

      Nam sigara zafunga nyoyo za wanainchi

    • @timonizerfranticmwenezi1365
      @timonizerfranticmwenezi1365 3 роки тому +1

      True venye ajuwe ataieleza aje, anti axiety, UGONJWA macho we must not Puff we must boil the Marijuana sip it

  • @michaelmugo5795
    @michaelmugo5795 6 років тому +1

    Bangi have a medicinal value,

  • @sphrb1063
    @sphrb1063 7 років тому +7

    jaman!!!!!

  • @ckb7878
    @ckb7878 3 роки тому +5

    I like the Tanzanian police,,,they are smart when addressing the citizens

  • @sweetmama3242
    @sweetmama3242 7 років тому +21

    Bangi imekuwa unga? Yaani hawa watu bwana. Awajui wanachotaka kukiondoa nchini mwao.

    • @khadijawendomwachirenje3513
      @khadijawendomwachirenje3513 7 років тому

      Sweet Mama bangi NI mijawapo ya mihadarati na inamadhara

    • @leriq1
      @leriq1 7 років тому

      fanya research kama kweli ina madhara....hao wazungu waliokuambia ina madhara leo baada ya research wamegundua wamefeli,nchi za watu wanatumia kutibu hadi cancer sasa.

    • @khadijawendomwachirenje3513
      @khadijawendomwachirenje3513 7 років тому

      Eriq Vuio tofauti na wanavyotumia kutibu Cancer nitofauti na kuvuta kwa upande wetu Africa

    • @sweetmama3242
      @sweetmama3242 7 років тому

      Khadija Wendo Mwachirenje Madhara ya bangi ni kidogo saaaana kama mtu ubongo wake ni wapanzi. Na hauwezi kufananisha madhara ya unga na ya bangi. Watu wanatumia na wanafanya shughuli zao vizuri na wanafamilia zao kabisa. Mke analelewa vizuri na watoto pia. Yaani kwa kifupi waache kuweka BANGI kwenye mkondo wa UNGA. Waache upuuzi wao bwana. Kupotezeana tuu ramani za maisha. Sasa angalia kama huyo baba. Akivuta inamsaidia kuwa fit nakufanya shughuli zake. Sasa asipo tumia ataleaje familia yake? Wang'ang'ane na vitu vya maana na vyenye kuangamiza watu waachane na BANGI. Tena Bangi ni mjani tuu kama mti wowote uotao shambani au maporini. Ni mjani kutoka kwa Mwenyenzi Mungu. Pia ni dawa. Wakaangaike kushika vibaka uko. Matapel, Majambazi, wabakaji na kadhalika. Ukiangalia ma hospitalini hawana dawa, vitanda, magodoro, mashuka na vitu vingine muhimu wanakuja kukimbizana na bangi. Mimi kwangu naona ni upuuzi hawanajipya. 😏

    • @khadijawendomwachirenje3513
      @khadijawendomwachirenje3513 7 років тому

      Sweet Mama wacha mwanao aanze kuvuta then utajua ubaya WA Bangi ,,

  • @mackdonaldeliud429
    @mackdonaldeliud429 6 років тому

    C sahih kufany njia zisizosahii kinyum na mapenz ya mung kusingizia vum vimeban kuvunj utalatib wa nch husik

  • @sashaqueentz2917
    @sashaqueentz2917 4 роки тому +4

    Daah hofu imemjaa masikin mbk anacho ongea ni kituko tu
    😯

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 3 роки тому +2

    Mackini dah!

  • @gulgulgul7540
    @gulgulgul7540 5 років тому +12

    Hahahahaha aki I op aliachiliwa.. kujitetea kwake hufanya nicheke tu! 😂😂

  • @KULKID
    @KULKID 3 роки тому +1

    Nimeficha Jamani! 🙉🙆🙉

  • @stahncalifornia214
    @stahncalifornia214 7 років тому +12

    Uyo hafungwi 🤣🤣

  • @thegreatestvisionsg.v5694
    @thegreatestvisionsg.v5694 5 років тому +1

    I see it looking smart

  • @mayco-channel__1
    @mayco-channel__1 6 років тому +6

    Eeh mwenyezi mungu jitogeze utusaidie sisi wanyonge hatuna pakwenda zaidi yako wewe babaa
    Jamn huyu mzee ni shida tu masikini

  • @VictorMumo
    @VictorMumo 6 років тому +1

    Ukoloni mambo leo! Achaneni na mzee. Bangi haina madhara!

  • @janewacera7812
    @janewacera7812 7 років тому +20

    Jamani anahurumisha

  • @PeterCharles-kq6de
    @PeterCharles-kq6de 2 місяці тому

    Umetisha father noma sanaa

  • @pinchezrawuncut1670
    @pinchezrawuncut1670 6 років тому +4

    Mwacheni uyu mzee Weed is natural and nothing wrong with weed .In Kenya its about to be legal fyi

  • @elvissalma1343
    @elvissalma1343 3 роки тому

    God create all the plan....and says all are beatifull...bt don't tao advantage

  • @landlord440illuminate8
    @landlord440illuminate8 6 років тому +3

    Hiyo ni dawn nzuri ya degedege

    • @ayubuidd6664
      @ayubuidd6664 4 роки тому

      Beef Beef 😂😂😂😂 seriously ni dawa ya degedege au?!

  • @jrsaid4270
    @jrsaid4270 3 роки тому

    Bhang ( Marijuana ) it has positive impact to the human being body thus it help to increase the transmission of nerve impulse to take place very rapidly thus may result to hard working,Thinking capacity take place fast.Sigara inanadhara kuliko bang kwasabab inaaffect mapafu na ukivuta sigara moja unapunguza sekunde11 za maisha yako.Bang haiaffect mapafu Bali inaaffect akili hivo msikilizen mzee mpeni onyo tu

  • @richardyusuphmsongolomakat2049
    @richardyusuphmsongolomakat2049 6 років тому +3

    GANJAAAAAAAAAAAAAAH DE BEST HELB,

  • @shillaben291
    @shillaben291 6 років тому

    kwa MTU anayesoma saikolojia, bas angemfikiria vzr sana uyu mzee

  • @ancomagu8531
    @ancomagu8531 6 років тому +48

    Kama umependa kujitetea kwa uyu mzee like apochini na Kama ujapenda bc dislike apo chini

  • @dojaofficial4497
    @dojaofficial4497 5 років тому +1

    Daaa pole San mzee

  • @zaynmaleek3054
    @zaynmaleek3054 7 років тому +13

    N Sawa Kuzuia Bangi Lakn Mkuu Kuna Wengne Bila Kula Mirungi Hatuwezi Kufanya Kazi Na Pia Haina Madhara Kabsaaaa.. #FreeMirungi

  • @abdallaali6876
    @abdallaali6876 Рік тому

    Dah inaumiza sana kwa kweli ,kaka mellard nataka namba zako .

  • @Subaruleone69
    @Subaruleone69 5 років тому +6

    Daaaaaa inaskitisha...! 😢 😢 😢 😢

  • @djatm1319
    @djatm1319 4 роки тому +1

    Huyu asamehewe tu.... Amejitetea vizuri... Serekali ijenga nchi umaskini ikiisha Africa Mambo kama haya hutayaona....254

  • @phocasadrian3296
    @phocasadrian3296 7 років тому +4

    kazi ipo!!

  • @sultanafashion1190
    @sultanafashion1190 6 років тому +2

    jamani mpaka machozi yamenitoka😢😢 alingumu msameheni

  • @salimatuyahhaya5772
    @salimatuyahhaya5772 7 років тому +13

    Mh baba Wawatu Bora Angelima mahindi yake

    • @davidotieno9025
      @davidotieno9025 7 років тому

      Salimatu yahhaya haha huyu bwana ako sawa

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 роки тому

    Mnashindwa kukamata wezi mnakamata vijana wa waziri bashe ..... Wanaofanya kazi zao kwa bidii kbsa . Hii Tanzania 🇹🇿 au karagwe gn ambako mwanajeshi anakamata bangi .

  • @idreesbigdrix4350
    @idreesbigdrix4350 6 років тому +4

    Sigara inaumiz na kuua kila cku lakn haikatazw bhangi inacure kansa lakn ikatazwa... Kwel ndio akil hy?? Na mbona serikal inachkua kodi ya rizla waltak tul rollie nini???

  • @bimkubwaali1605
    @bimkubwaali1605 7 років тому +10

    huyu jamaa.masikini weeeh mie ningemsameheee maama.anasema kila kitu anatowa ushirikiano kabisa

  • @malikeyndotopopote
    @malikeyndotopopote 11 місяців тому

    Mnamkosea Mungu sana. Bangi ni mmea alisia. Pigeni vita pombe. Na bangi imetajirisha watu kama sio vikwazo vyenu

  • @fabianndimanya2055
    @fabianndimanya2055 3 роки тому +3

    Alokamatwa na bangi nae bangi🤣🤣🤣🤣

  • @shindanokibengo4590
    @shindanokibengo4590 7 років тому +2

    bangi inamatatizo gani jamani kitu chochote kilicho umbwa na mwenyezi mungu akina madhara kwa utumiaji wake

  • @egalgirl2712
    @egalgirl2712 5 років тому +6

    I wish Kenyans police could learn how to arrest a person

  • @nickmuriuki1882
    @nickmuriuki1882 3 роки тому +1

    😅 😅 Napenda inavyo muda wa 4 20

  • @halimambwego8287
    @halimambwego8287 7 років тому +5

    Hahaha kasema ukweli wake

  • @kilimanjaro77international26
    @kilimanjaro77international26 3 роки тому +1

    Heal of the nation

  • @salamakadzo240
    @salamakadzo240 7 років тому +6

    muacheni jameni ina maana hamuoni tu alivyo

  • @singasingamwitu5290
    @singasingamwitu5290 4 роки тому

    Jmn mungu awasaidie

  • @edoell
    @edoell 6 років тому +3

    Serikali ya Tanzania bado sio hao waliosema na kuwa bangi ni mbaya mbona hao sasa wamehalisha Inchi inapoteza mapato wangeacha watu walime kisha watengeze dawa za mauvivu kifafa, saratani na mengine mengi

  • @annkitiria943
    @annkitiria943 4 роки тому +1

    Msamehe aki amalima

  • @kiki16805
    @kiki16805 7 років тому +48

    tz police r nice mmmmhh, Kenyan police watakuchapa na hizo bangi zako

    • @fatmarashid2384
      @fatmarashid2384 5 років тому +2

      Huwezi kuchukua shilea mkononi ikiwa vyombo vipo

    • @godblessmbise3781
      @godblessmbise3781 5 років тому +2

      @@fatmarashid2384 siyo Shelia sema sheria

    • @fatmarashid2384
      @fatmarashid2384 5 років тому +1

      @@godblessmbise3781 Nyooo

    • @aimanalwi7938
      @aimanalwi7938 5 років тому

      @@fatmarashid2384 nyoo nini na niukweli sio shleia ni sheria hujui kuongea sawa basi pia kutext huwezi dah!!!!

    • @savvanahjuma6107
      @savvanahjuma6107 5 років тому +1

      Kenya unachapwa nayo ukiitwa nyangaooao oo....wewe unadhani mimi ni nyanyako😂😂😂😂

  • @franga7870
    @franga7870 6 років тому +1

    Wow Tz swa is so fluent hata hakuna kumix na english...

  • @dvjtwentyfivedecember4398
    @dvjtwentyfivedecember4398 7 років тому +12

    BANGI IHALALISHWE TU. HAINA MADHARA KABISAAA

  • @dionysiuskamau9912
    @dionysiuskamau9912 5 років тому +2

    Babylon don't like it so evil 😈 wicked system one day you pay for what you are doing for this innocent hard working man

    • @sangjr8219
      @sangjr8219 5 років тому

      Yaah man. This is Babylonian system

  • @Chris-cb2dj
    @Chris-cb2dj 7 років тому +15

    wachaneni na bibi hana makosa

  • @sekibibibatume7401
    @sekibibibatume7401 3 роки тому

    Mungu musaidie kbx

  • @musasaidi7973
    @musasaidi7973 7 років тому +6

    Hahahahaha kweli dunia ina mambo yake

  • @miriduds360
    @miriduds360 4 роки тому +2

    Mwachilieni jameni serikali yetu.. Kuko Wale wanauaana nawanakana🥺🥺😭😭

  • @toshonestarman5451
    @toshonestarman5451 6 років тому +5

    Mbona hamukamati wauza unga jamani uonevu huu vikete viwili tu mnamnyanyapaa kuna wauza unga wakubwa humu tz hatuoni kamata kamata kulikoni na wanajulikana na unga unapitishwa uwanja wa ndege haifai kukamata wanyonge wakati wapi wanene aaahh hii siungi mkono mpaka nione wauza unga videoni

  • @rashidbakarisaid6985
    @rashidbakarisaid6985 5 років тому

    Wasenge Wanazarau Sana Hawa!! Wanaruhusu Pombe watu wakinywa wanalewa Kisha wanaanzisha Ugomvi wengine Wanatukana Mpaka Wazazi Wao. Sigara Sio Nzuri Hata Kidogo Lakini Kila Leo Matoleo Mapya Yanazidi Kuongezeka. Alafu Mnazuia Ganja huku Mnachukua Ushuru Walizla.

  • @abdulrahimliverpool3383
    @abdulrahimliverpool3383 5 років тому +4

    When Tanzania will become free

  • @frahatv8613
    @frahatv8613 3 роки тому

    Mirungi iko sawa , Kenya hadi viongozi hutumia

  • @christizarzak1173
    @christizarzak1173 5 років тому +5

    Fala sana,,, mirungi mlime mkitoa beu wapi😂😂

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 4 роки тому

    Sigara mnawaruhusu. Sigara imemaliza watu lakini yenyewe power. Crazy

  • @badboy2577
    @badboy2577 7 років тому +4

    Yuko sawa

  • @sheluizonola6890
    @sheluizonola6890 5 років тому

    Mzee asamehewe hakuna mtu mzur kama msema kweli mhurumieni jaman

  • @jamilaismail5227
    @jamilaismail5227 7 років тому +10

    sasa uyu mkubwa mbona aongelei cocaine anapambana na mirungi na bangi? unga unamadhara sana jamani vijana wanakufa kila siku kwajili ya unga.Mkuu usisahau unga uo ndo wenyewe unauwa.