ALIKIBA AFUNGUKA KUCHUKUA WATANGAZAJI WA WASAFI, AZUNGUMZIA KOLABO YA MBOSSO NA ABDU KIBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 130

  • @chinxk3306
    @chinxk3306 4 дні тому +43

    Dakika ya nne na sekunde 30 aliiulizwa amejiandaa vipi na mapambano na ledio nyingne akajibu akasema “lengo sio mapambano” kwakweli huyu jamaaa he’s kind different from other artist as he embraced bongo fleva i embraced him 👊🏽

    • @bigtengwemela3153
      @bigtengwemela3153 3 дні тому +2

      Zingatien dk ya 4 na sec 30 salute brother 👊

    • @KidavoxeBanzjro
      @KidavoxeBanzjro 3 дні тому

      Daaaah 😂 😂 JAMAN MI MSANII,,, MNI SUBSCRIBE 😂 Huenda Nkawa Supper Star 🌟 Nikawakumbuka,, Nyimbo zangu zipo hapa kwenye humu Sikiliza 😅@Kidavoxe

    • @KidavoxeBanzjro
      @KidavoxeBanzjro 3 дні тому

      Daaaah 😂 😂 JAMAN MI MSANII,,, MNI SUBSCRIBE 😂 Huenda Nkawa Supper Star 🌟 Nikawakumbuka,, Nyimbo zangu zipo hapa kwenye humu Sikiliza 😅@Kidavoxe

  • @marylyimo4198
    @marylyimo4198 4 дні тому +20

    Ndo maana namkubali sana Kiba anaishi maisha ya kawaida sana hajivuni wala hana dharau na mziki wake unasikilizwa na rika lote kwa sababu unaeleweka big up KING🔥🔥

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 4 дні тому +6

    Daaah..!! King Ni M’moja Tu Kweli👑👑

  • @JenniferJohnmshi
    @JenniferJohnmshi 3 дні тому +3

    Hingera Sana king kiba mungu akulinde

  • @SharifaKombo-w6p
    @SharifaKombo-w6p 4 дні тому +5

    hongera sana king

  • @VictorChrispinSamson
    @VictorChrispinSamson 3 години тому

    This dude is high and he is having fun. Smooth sana this dude.

  • @mohdkhalifa8828
    @mohdkhalifa8828 4 дні тому +6

    Asante king kiba ulipo tupo kk

  • @PendoUrassa-xm7ru
    @PendoUrassa-xm7ru 4 дні тому +13

    Kikwete jinsi anavyooongeaaa kama kiba

  • @methodluoga8483
    @methodluoga8483 4 дні тому +9

    Alikiba usiwe na MAJIBU ya mkato kumanina🎉🎉😂

    • @SangaliPower
      @SangaliPower 4 дні тому +2

      😂 ndo majibu yanayotakiwa maana waandishi wanataka sehemu uteleze tu

    • @norobo205
      @norobo205 3 дні тому +1

      Uyu jamaa anaonekana anakula San pombe

    • @Allymoh001
      @Allymoh001 3 дні тому

      Kuwa mwingi wa ubusara unapoandika maneno. Unaonekana mjinga na mpumbavu hali ya kuwa wewe sio mpumbafu. Nadhani umenielewa

    • @methodluoga8483
      @methodluoga8483 3 дні тому

      @@SangaliPower hahahaaa duuh

    • @methodluoga8483
      @methodluoga8483 3 дні тому

      @@Allymoh001 sawa bosi

  • @ukweli255
    @ukweli255 4 дні тому +6

    Hizo Media na Microphone zao zingekua zinaenda kufata Familia zilizokumbwa na Utekaji na Mauaji kama yale ya Geita na Mzee Kibo mgetisha sana Wanahabari

  • @pascalvitalis
    @pascalvitalis 4 дні тому +2

    Mfalme ni mmoja tu...
    Anavyojibu maswali unajua huyu ni mtu makin🎉🎉

  • @Jrfutbalmaster
    @Jrfutbalmaster 4 дні тому +8

    HIYO MICROPHONE KAMA FANTA .
    ILIMTIA KIU CHIDBENZ

  • @NehemiaJakson
    @NehemiaJakson 3 дні тому +2

    Saf sana king nakukubal san

  • @Bardizbah-nr9qi
    @Bardizbah-nr9qi 4 дні тому +5

    Lengo sio mapambano lengo nikuwapa watu kitu kizuri

  • @AllySalum-j9y
    @AllySalum-j9y 4 дні тому +2

    Shidaaa siooo rediooo shidaaa kuenereaaa rediooo wapiii njinii efm wapiii taimmm Efm vipooo vingiii viredioo chariii

  • @kantagajaone1927
    @kantagajaone1927 3 дні тому +3

    Nan amesikia hiyo acha umbea wew😂

  • @ElizabethWamcha
    @ElizabethWamcha 4 дні тому +2

    Hii radio inapatikana namba ngapi kwenye radio

    • @leadflavour_tz
      @leadflavour_tz 4 дні тому +1

      Kama upo Dar es Salaam , Pwani na Zanzibar ni 92.1 MHz, lakini kama upo nje ya hapo unaweza uka download App inayoitwa (RADIO BOX) utaweza kusikiliza vyema, ukiwa online ❤

    • @isayamsisika6255
      @isayamsisika6255 4 дні тому +1

      Upo mkoa gani kwanza.?

    • @emathegospel1739
      @emathegospel1739 3 дні тому +2

      Kwa sasa ni 92.1

    • @abdallahngwale7158
      @abdallahngwale7158 3 дні тому +1

      Kwenye king'amuzi cha Azam ni no. 67

    • @JosephMilinga-nl4zh
      @JosephMilinga-nl4zh 3 дні тому

      Sio kwel,i kweli wewe una king'amuzi? ​@@abdallahngwale7158

  • @JamesRohomoja
    @JamesRohomoja 4 дні тому +1

    Mama tunakupenda, mkomeshe anaetuhalibia mahusiano yetu, ❤❤ mama

  • @user-qr6rr3vl7d
    @user-qr6rr3vl7d 3 дні тому +3

    Muliyo mskia Ali akisema aitaki haraka ingiza slow tujuwane 😅

    • @KarisBaya
      @KarisBaya 2 дні тому +1

      Akili yako sasa, wewe umewaza kuhusu habas kichwa wazi

  • @BerthaMichealPhiri
    @BerthaMichealPhiri 4 дні тому

    Kings, Kings!!!

  • @kalikenechota8606
    @kalikenechota8606 4 дні тому

    King 👑

  • @kennedymatiko6830
    @kennedymatiko6830 4 дні тому

    #kingkiba

  • @JechaMakameIssa-gs2bl
    @JechaMakameIssa-gs2bl 3 дні тому +1

    Alowashirkisha ndio watunzi wa nyimbo zke

  • @personpeter2221
    @personpeter2221 3 дні тому +1

    Kwan ambangile naye ypo crown

  • @JamesRohomoja
    @JamesRohomoja 4 дні тому +1

    Ilajaman hiihali ikiendelea tutakwisha, mama mchawiwanchiyetu yukowap? Mbonahiv jamani? Mama tunakipenda lakini komeshahaya mama

  • @ivantompoo-c9k
    @ivantompoo-c9k 4 дні тому +2

    Acha wafanye yao na sisi wafanye yao

  • @seleshaban48
    @seleshaban48 3 дні тому +1

    Embu camera peleka kwa huyo Dada nataka kumuona maana ananikosha Anavyo m bana Aly maswali

  • @hawahussein137
    @hawahussein137 4 дні тому

    Crown mpo juu

  • @SimuliziZaOscar
    @SimuliziZaOscar 4 дні тому +2

    10:04😅😅😅😅

  • @manjatz7594
    @manjatz7594 3 дні тому

    King

  • @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
    @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 4 дні тому +4

    Msiri sana uyu yani hata kuongea kwake tu lazima uone kunavitu anaficha

  • @PhilipoMuhindi
    @PhilipoMuhindi 4 дні тому +1

    Huyu jamaa ni mtoto wa jakaya

  • @rajimuashirafa8265
    @rajimuashirafa8265 День тому

    Kiba wanyooshe tu wametaka wenyewe

  • @ayobow56
    @ayobow56 4 дні тому +3

    Kama jakaya kikwete kuongea

  • @VgmukomboziOficiel
    @VgmukomboziOficiel 4 дні тому

    Tunakutegemeya sana

  • @deejaysosy6958
    @deejaysosy6958 3 дні тому

    Msanii pale ni vanilla

  • @charlestangawizi9191
    @charlestangawizi9191 4 дні тому

    atiristi leo umejibujibu

  • @ammyskills5588
    @ammyskills5588 3 дні тому

    Fanta zilimtia kiu Chid Benz 😂

  • @BizeddOfficial
    @BizeddOfficial 4 дні тому

    moso ndo msanii wa wawapi sasa

  • @HeakiMwangata
    @HeakiMwangata 4 дні тому

    Amechukua tabia za samaji

  • @eggysulle7988
    @eggysulle7988 4 дні тому

    Mfalme 4life

  • @mohdkhalifa8828
    @mohdkhalifa8828 4 дні тому

    Hahahah 😂😂😂 tamani ya vitu vya kiba havjulkami hana sifa

  • @IsihakaRashid-v9g
    @IsihakaRashid-v9g День тому

    Dah ila uyu jamaa so pwa

  • @norobo205
    @norobo205 3 дні тому

    Uyu dogo azeekagi

  • @ericlowasa3097
    @ericlowasa3097 4 дні тому +1

    Hiyo Tv na Radio sio yake ni ya kusaga ndo maana kuna maswali anaulizwa hapo anashindwa kuyajibu straight......hasa hilo la mishahara....

    • @imranissa5095
      @imranissa5095 4 дні тому +6

      Sio ya kusaga ni ya kwako

    • @DannyElias-t3v
      @DannyElias-t3v 4 дні тому +2

      ​@@imranissa5095kabisa niyakwake😂😂😂

    • @kakundejackson8666
      @kakundejackson8666 4 дні тому +5

      Bro mambo ya mishara hiyo huwa ni private and confidential... Stop this negative mentality

    • @festomathias_jnr
      @festomathias_jnr 4 дні тому

      wewe ni choko,

    • @mwanza_university
      @mwanza_university 4 дні тому +1

      kwahyo wewe bosi wako anaweza tangaza mshahara wako ovyo.akili yako si bora ungempa mfu tujue tulizika akili yako

  • @ayobow56
    @ayobow56 4 дні тому

    Kiba

  • @AdamLameck-x5n
    @AdamLameck-x5n 4 дні тому

    Uyu anaongea kama salama jibir

  • @innocentchristopher7571
    @innocentchristopher7571 4 дні тому

    Kalewa 😂😂

  • @ngulathfundikira4205
    @ngulathfundikira4205 4 дні тому

    Mosso ndio msanii gan?

    • @BizeddOfficial
      @BizeddOfficial 4 дні тому

      Ndo na mm najiuliza mosso ni waawapi au ni wa Burundi?

  • @christophermwalugaja9296
    @christophermwalugaja9296 4 дні тому

    Ago na ww umeanza uongo.

  • @ramajuma5620
    @ramajuma5620 4 дні тому

    Hyo mosso ni msanii mpya au?😅😅

  • @BarakaOchuu
    @BarakaOchuu 4 дні тому

    Mnahoji usengee wakat watu wanauawa kula siku

    • @FilbertHabashi-zn1qu
      @FilbertHabashi-zn1qu 4 дні тому

      Kwa hyo ulitaka wamuhoji yeye watu kuuawa? Yeye ndo serikali au yeye ndo usalama. Kila mtu na nafasi yake

  • @RphaelMwambenja-g2g
    @RphaelMwambenja-g2g 4 дні тому +1

    Uyu jamaa ajuwi interview maisha yake yote anamcopy diamond

    • @griphinzacharia1179
      @griphinzacharia1179 4 дні тому +4

      Kumbe wewe ni tahira hivyo hivi ni nan anaeiga maisha ya mtu???😂😂😂

  • @hajeemchenga6139
    @hajeemchenga6139 4 дні тому +1

    Huna ela Mzee acha kujishebedua

    • @DannyElias-t3v
      @DannyElias-t3v 4 дні тому +2

      Kama wew maskini unafikili na mwenzio maskini mpaka useme kwa hiyo roho yako utarndelea kuteseka tuu

    • @IssaAmani-p9p
      @IssaAmani-p9p 4 дні тому +1

      Wale watangazaji wakubwa wa crown unawalipa ww?

    • @rizikiabdalla2501
      @rizikiabdalla2501 4 дні тому +2

      Aaaaa ok kumbe anakula kwako eeeee

    • @georgekadaga
      @georgekadaga 4 дні тому

      Ww una hela kama alikiba maisha ni personal

    • @FilbertHabashi-zn1qu
      @FilbertHabashi-zn1qu 4 дні тому +1

      Wwe ndo mkurugenzi boss. Hongera

  • @ericlowasa3097
    @ericlowasa3097 4 дні тому

    Kujieleza huyu jamaa hajui....

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 4 дні тому +1

    Ww kibakuki ss i atafuta vita sibir ss uoneahwe kz muukize majizo un apesa ya kushindana na mondi ww

  • @HusseinMohammed-gh9rq
    @HusseinMohammed-gh9rq 4 дні тому +1

    Wabakaji wakwapi @millrdayo