Ubarikiwe sana Chief, una hekima za ajabu, nakumiss sana, namiss ibada za ECG, japo yupo Mungu wa kweli. Soon nitarudi na shuhuda za kushangaza, nawapenda bure.
Ubarikiwe sana mtumishi umenihamisha sehemu. Kuanzia Leo sitaki kuyaangalia yaliyopita nakataa kuyazingatia Bali naamgalia yaliyo mbele Kama lisemavyo neno la Bwana
Nimejifunza kitu kikubwa sana cha kwanza nilikuwa sielewi kuwa Mungu huwa anaangalia mbele tuu Umetoa andiko lipo kwenye muhubiri 7:10 hapo ndipo nilipoelewa zaidi nakuona kumbe nilikuwa nakosea kuangalia nyuma Kuangalia yakale Maana biblia inasema yakale yamepita tazama yamekuwa mapya Neno mapya maana yake ya mbelee Aiseeeeee 🙌🙌 Mungu akubariki mtumishi kwa somo zuri
Leo ni mara ya Kwanza kabisaaa kusikiliza mafundisho Yako,nimefarijika sana baada ya babangu kufariki hivo akilini mwangu nimeshindwa kusahau kabisa sababu nilikua karibu sana nae, mtumishi wa Mungu naomba uniombee
Shalom asante mtumishi wa MUNGU kwa somo zuri ubarikiwe
Ubarikiwe sana Chief, una hekima za ajabu, nakumiss sana, namiss ibada za ECG, japo yupo Mungu wa kweli. Soon nitarudi na shuhuda za kushangaza, nawapenda bure.
Naona Mungu anatumia Sasa vijana wake wa kazi ansante kuwa baraka kwa watu
Amen,so powerful kuanzia Leo nayasahau ya kale kumbe kuna madhara kuwaza ya kale,thanks Apostal.
Ubarikiwe sana mtumishi umenihamisha sehemu. Kuanzia Leo sitaki kuyaangalia yaliyopita nakataa kuyazingatia Bali naamgalia yaliyo mbele Kama lisemavyo neno la Bwana
Asante kwa mafundisho mazuri Apostle
Amina barikiwa mtumishi nimekuelewaa
Amen sasa nasonga mbele
Mungu akubariki Mtumishi nakutafuata kwamakini sana nikiwa Diarc.
Amen pastor umenitoa pahali nlikua nafikiri changamoto nilizo nazo ni kwa ajili ya dhambi nilizofanya..basi nmekua mtu wa kukumbuka mabaya yote
Nashukuru sana kwa neno hili Mungu akubariki mm furaha toka goma!
Karibu Tabora mtumishi
This is powerful Thanks my Apostle.Nayaangalia yaliyo mbelee.....
Apostle ulinitabilia geita ijumapili ya ibada kesho yake nikaitwa kazn hakika MUNGU amesimama
Natamani Sana kutoa sadaka ya shukurani na Hilo somo kusahau yaliyopita limenijenga vzr Sasa nasahau ya nyuma natabili makubwa kwang
Nimebarikiwa sana kutoka kolongolo kenya
Huu ujumbe wangu kabisa,ahsnte YESU nimepona🙏
Amen 🙋🏽♀️
Nimejifunza kitu kikubwa sana cha kwanza nilikuwa sielewi kuwa Mungu huwa anaangalia mbele tuu
Umetoa andiko lipo kwenye muhubiri 7:10 hapo ndipo nilipoelewa zaidi nakuona kumbe nilikuwa nakosea kuangalia nyuma
Kuangalia yakale
Maana biblia inasema yakale yamepita tazama yamekuwa mapya
Neno mapya maana yake ya mbelee
Aiseeeeee 🙌🙌
Mungu akubariki mtumishi kwa somo zuri
Nimekuelewa APOSTLE
Amen nasonga mbele na yesu nyuma sitangalia like from Lebanon 🇱🇧 thanks alot daddy
Mafundsho mazuri yameniinua from one place to another place thanks LORD
AA
nabarikiwa sana na mahuburi yako mtumishi wa bwana. ubarikiwe sana, great son of Major1
Powerful Powerful. Asante Mtume kwa mafundisho mazuri hakika limeniponya
Hakika Apostle, mafundisho yamejaa mafunuo makubwa sana haya.
Thx u Postor you teach the core of life. From step to step forward. Nisikae Seiri muda MREFU bila kuiona nchi yangu ninayoitamania.
Amen nazungumza Uzima Ktk jina la Yesu
Asante sana.
Beautiful teachings may God bless you Ameen amazing
Dah uko vizuri sana mtumish Nakupenda bure ♥️
Usijudge ya jana au ya leo yasiyofaa. Zingatia tafsiri dobt consider, that's all! Amen
Ameen 🙏 Mtumishi wa MUNGU Ubarikiwe sana
Leo ni mara ya Kwanza kabisaaa kusikiliza mafundisho Yako,nimefarijika sana baada ya babangu kufariki hivo akilini mwangu nimeshindwa kusahau kabisa sababu nilikua karibu sana nae, mtumishi wa Mungu naomba uniombee
Asante Kwa ufunuo huu
Amen nazidi kufunguliwa,💪
Powerfully
Ameen mtumishi nazidi kupata vitu vipya
Ameeen
Ameen mpwaka mafuta wa bwana
Amen Apostle
Napokea kwa jima la yesu
Amen Chief
Muhubili mungu akubaliki unatujenga kiloho aman
Asante
Amen
I receive it
Amen and Amen
AMEN
Amen 🙏 Amen
Apostle acha huyo Joseph aje, nimeacha yote, nimeanza upya...
Amen🙏
AMEEN🙏🙏🙏
Niko tayari,son of major one
True
Muchungaji unamwanafunzi uko RDC anayeitwa Bahati - Timothée MUNGU akubariki sana.
Amen
Amen
Amina