Mtumish Apostle Mtalemwa Mungu akupe Neema ya kushinda katika kazi ya utumishi uishi kwa Amani ya Bwana hakika Unafundisha vizri sanaaaa masomo yako mm yamenitoa mbali na kunijenga kimaarifa
ASANTE YESU NISOMO KUBWA SANA KWANGU NA LIMENIFUNGUA NAAMINI NITASHINDA KWA JINA LA YESU NA NITASONGA MBELE KUNA BARAKA NIMEIPOTEZA SANA LAKINI SASA NINAKWENDA KUIPOKEA KWA JINA LA YESU EEH MUMGU NAOMBA UNISAIDIE.
I am moving forward, the devil likes it or not...I bind, rebuke and cast away the spirit of sins in Jesus mighty name amen. Apostle asante kwa somo hili...hii addiction nakataa kwa jina la Yesu Kristo amen
Nimefunguliwa, Ahasante Sana The 10G, Mungu akutunze, siku zako Mungu aziongeze na Miaka yako Mungu aiongeze sawa na" Mithali 9:11, Mimi na Nafsi yangu tunakupenda Sana😘🥰😍💖💖❤️🌺💝🙏 Enock Kapenda Lubowa ,kutoka Zanzibar
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 Powerful SERMON, powerful SERMON may the lord give u more of it, you've taught me a very encouraging lesson, Pastor MUTALEMWA. THX. Amen.
What a sermon, asante Mtumishi wa Mungu kwa kuniponya. Nitaishinda dhambi yoyote izingayo kuelekea kwenye baraka yangu katika jina la Yesu, Ameeen!! Mungu akuinue zaidi na zaidi #ChiefApostle.
Yote unayosema Nikweli Kabisa, mimi hali hiyo huwa inatokea kila mme wangu anapitaka kupata deal lakufanya huwa ananikera nikishapishana naye tu yote yanayopotea Lkn chanzo ni mme huwa analeta makwazo yanayonipatia hasira. Baraka hupotea. Vyote unavyosema ni kweli Kabisa
Mungu kweli amekutuma kwajiliyangu mimi nikukubali,sasa naombaushuri mudahuuu nikokatika hatari yesu asipoingiliya kati nihatari ,mimi niko DRC CONGO ila sikukwasiku nikopamoja nawapendwa ndaniya mukutano.
NIPOO CHINIII YA MIGUUU YAKOO APPOSTLE UWIII NAOMBA UWE HATA NA JUMATANO ANY DAY MBALII NA JUMAPILI I SWEAR WE NEED PREACHERS LIKE U DAAH LAZMA MTU AKIWA UNDER U ILE TABIA YA KUOMBEWA OVYO OVYOO INAPOTEAAA
Mtumish Apostle Mtalemwa Mungu akupe Neema ya kushinda katika kazi ya utumishi uishi kwa Amani ya Bwana hakika Unafundisha vizri sanaaaa masomo yako mm yamenitoa mbali na kunijenga kimaarifa
Powerful
" nasonga mbele,kwa jina la yesu!!!!!Kama unasonga mbele gonga like hapo
Amen
ASANTE YESU NISOMO KUBWA SANA KWANGU NA LIMENIFUNGUA NAAMINI NITASHINDA KWA JINA LA YESU NA NITASONGA MBELE KUNA BARAKA NIMEIPOTEZA SANA LAKINI SASA NINAKWENDA KUIPOKEA KWA JINA LA YESU EEH MUMGU NAOMBA UNISAIDIE.
AMEN nimejua kinachonizuia nisisonge mbele....Mungu akubariki sana Apostle
I am moving forward, the devil likes it or not...I bind, rebuke and cast away the spirit of sins in Jesus mighty name amen. Apostle asante kwa somo hili...hii addiction nakataa kwa jina la Yesu Kristo amen
Umeshusha mistari ya hatariii Apostle. MUNGU akubariki sana
Hakika nitasonga mbele kwa jina la Yesu.Ubarikiwe mtumishi wa mungu 🙏
AMEN...umenifungua macho mtumishi wa Mungu,ubarikiwe
Thank you Man of GOD, hujui umenifungua kiasi gani....! Umepita mule mule nilikokwamia...! Asante MUNGU
Nimefunguliwa, Ahasante Sana The 10G, Mungu akutunze, siku zako Mungu aziongeze na Miaka yako Mungu aiongeze sawa na" Mithali 9:11, Mimi na Nafsi yangu tunakupenda Sana😘🥰😍💖💖❤️🌺💝🙏
Enock Kapenda Lubowa ,kutoka Zanzibar
Kwa kweli mjungaji....ume nifungua macho kupitia mafundisho haya...mungu akutunze amen
Nashukuru sana kwa mafundisho yako Apostle yamenijenga na kuniimarisha mno Mungu akubariki sana 🙏🙏🙏
Mungu akubariki kwa kazi unayo ifanya kiukweli nimebalikiwa
Nabarikiwa na mafundisho yako mtume nakuelewa
Asante sana kweli nimejua dhambi inizingayo kwa wepesi Na kupoteza baraka zangu
Asantee sana Chief kwa somo zuri,, ni kweli kabisa nami nimeshajua kila nikikaribia kupata jambo fulani lazima niote niko shule ya msingi
Mtumishi umenigusa sana kwani ndoto hizo huwa zinanitukea Mara kwa Mara.Asante kwa kunifungua sasa naende mbele kwa mbele.Nimebarikiwa sana.
Barikiwa Sana mtumishi
Napokea kusonge mbele kwa jina la Yesu Christ. Amen🙏
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 Powerful SERMON, powerful SERMON may the lord give u more of it, you've taught me a very encouraging lesson, Pastor MUTALEMWA. THX. Amen.
Dah Apastle upo vizur sana,Mungu akutunze zaid
What a sermon, asante Mtumishi wa Mungu kwa kuniponya. Nitaishinda dhambi yoyote izingayo kuelekea kwenye baraka yangu katika jina la Yesu, Ameeen!!
Mungu akuinue zaidi na zaidi #ChiefApostle.
Sikuwa nimejua hii lakini kwa sasa nimekuelewa mchungajii asantee for this eye opener
Asante sana Mtumishi wa Mungu kwa somo zuri, kwakweli na barikiwa sana na mafundisho yako.
Ahsante sana mtumishi wa mungu,ubarikiwe sna
Ujumbe wa baraka sana
Mungu niondolea roho ya njuki roho mbaya
Yote unayosema Nikweli Kabisa, mimi hali hiyo huwa inatokea kila mme wangu anapitaka kupata deal lakufanya huwa ananikera nikishapishana naye tu yote yanayopotea Lkn chanzo ni mme huwa analeta makwazo yanayonipatia hasira. Baraka hupotea. Vyote unavyosema ni kweli Kabisa
NAOMBA NAOMBA PLSEE APPOSTLE WALAU UWE NA SIKU MOKA AMA MBILI KATIKATI YA WIKII YA MAFUNDISHOOO PLSEEE PLSEE
Amen nasonga mbele
Kwakwe Unamafundisho Mazuri Sana Mungu Hakubaliki Sana
Amen Apostle, I move forward in Jesus name
Mtume Mtalemwa!aksante kwa ujumbe uliobeba ukweli kabisa na unahitaji msaada mkubwa kwa kweli.
Hiyo ni kweli kabisa .Amen
Yesu ni mkubwa nakupend bwana
Huyu chief namkubali sana
Amen, indeed am blessed with it, God bless you daddy in christ name ❤🙏
Ahsante sana Apostle kwa somo hili. Hakika nimejifunza na nimeelewa tatizo linalojirudia rudia!. Be blessed Man of God
Ubarikiwe sana Apostle kwa Neno
Sasa Nasonga *MBELE*
KWA JINA LA YESU!
I receive it powerful Amen
Amen :nasonga mbele
Mungu kweli amekutuma kwajiliyangu mimi nikukubali,sasa naombaushuri mudahuuu nikokatika hatari yesu asipoingiliya kati nihatari ,mimi niko DRC CONGO ila sikukwasiku nikopamoja nawapendwa ndaniya mukutano.
Asenta kwa mafundishi apostle mimefunguliwa Sana nimejifuja mengi
Amen nasonga
Mbele kwenye baraka zangu
Asante Sana kwa mafundisho mazuri... Mungu akubariki sana
HESHIMA SANA MWALIMU NIMEFUNDISHIKA WEWE NI MTEULE WA MUNGU
Amen and Amen and Amen
nasonga mbele katika jina la yesu shatani apende asipende
Amen and amen.
Amen
NIPOO CHINIII YA MIGUUU YAKOO APPOSTLE UWIII NAOMBA UWE HATA NA JUMATANO ANY DAY MBALII NA JUMAPILI I SWEAR WE NEED PREACHERS LIKE U DAAH LAZMA MTU AKIWA UNDER U ILE TABIA YA KUOMBEWA OVYO OVYOO INAPOTEAAA
Nimeelewa nasonga mbele
AMEEEN
Nikweli baba ,ni m'étais humains ha haya.
💯
Shusha mistari😂😂😄😃
Amen and Amen chief
MUNGU NAKUSHUKURU KWA SOMO HILI LA SONGA MBELE, NI KWAAJILI YA UKOMBOZI WANGU NA FAMILIA YANGU!,’I RECEIVE ‘🤲🤲🤲🙏🙏🙏
Amen be blessed
Power power power🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥
AMEN.
Ameen
Amen