JINSI YA KUPONA MAUMIVU ULIYOPITIA - JOEL NANAUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 лип 2020
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

КОМЕНТАРІ • 101

  • @nursechunga4470
    @nursechunga4470 2 роки тому +2

    Asante Kaka Joel, usiruhusu Jambo lililokuumiza likuwekee mipaka, ninafuta mpaka kwa jina la Yesu

  • @mwaringadingi7869
    @mwaringadingi7869 3 роки тому +2

    Nimuda sahihi sana kukutana namasomo yako i say, japo nilipoteza mda lakini naamini bado nina nafasi. Thank you so much joel.

  • @Anold-gy2vr
    @Anold-gy2vr 9 днів тому +1

    Habari mm naitwa Anold Audax ni mzaliwa wa Bukob ila kwa sasa niko morogoro naomba unisaidie tuonane mimi na ww kwa maana nina changamoto nzito sana kias kwamba jamii iiliyo nizunguka inaniona kama kichaa hivi tafdhali nakuomba nikuone mara tyu utakapo ona comment hii....... See you at the top

  • @blasyvicent3750
    @blasyvicent3750 4 роки тому +10

    Nategemea matokeo makubwa kupitia video zako mwalimu joel nanauka...🙏

    • @immatajiri2579
      @immatajiri2579 3 роки тому

      Ahsante mm nimeishi na kinyongo miaka 18 kwa mahusiano lakini mwaka huu nimesamehe kila kotu na kuanza maisha mapya ya amani

  • @christinarobert5874
    @christinarobert5874 3 роки тому +2

    Nimefurahi sana kukutana na wew nimemsamehe niliyemkosea namshukulu pia kwakua asingeniumiza nisingekujua wewe elimu yako inafaida sana.furaha yangu niwajibu wangu

  • @donardmussa3263
    @donardmussa3263 4 роки тому +4

    3.hakikisha umepona kabisa ndo stage niliyonayo kaka,
    Asante kwa somo la wakati sahihi

  • @leonidaskalumuna8350
    @leonidaskalumuna8350 3 роки тому +3

    Ahsante,hiv unaweza kuendelea kuishi na mtu asiyekusikiliza,ukimweleza jambo ahamini mpaka aambiwe na mtu mwingine ndo achkuwe hatua.

  • @lemufasa6650
    @lemufasa6650 2 роки тому +3

    Nina rafiki angu ambae nimejitoa kwake mno us a good friend pale anapo nihitaji ila kunamuda anakua na hasira San kiasi Kwa ana diriki kusema urafk wetu utavunjka Kuna wakat nasema Bora iwe Ivo ila nikikaa kidogo napata maumivu sana nashndwa JE nifanyaj

  • @ngaboraymond260
    @ngaboraymond260 4 роки тому +1

    Mungu awe anakubariki tu ✊✊Juu unajenga Jamii ya watu wengi Duniani

  • @Nassy2009
    @Nassy2009 3 роки тому +2

    Thanks soo much. Mimi sijaweza kutrust na kuingia katika second relationship baada ya kuathirika on my first relation. It has been years now.

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 4 роки тому +3

    Shukrani kwa somo zuri..!
    Tunashukuru kwa maoni yetu mnayafanyia kazi, BORA MSIWE MNAWEKA MZIKI KWENYE VIDEO MAANA MUDA MWINGINE NI KELELE TU, HATUPATI SOMO VIZURI

  • @abuuharuna3949
    @abuuharuna3949 4 роки тому +1

    Niliwahi kuibiwa kwa uzembe nilijilaumu sana ila baada ya kusikia kutoka kwako nilijisamehe na nikaanza kuona mumivu yanapona na sasa hivi nimepona kabisa
    Asante sana joel nanauka

  • @christinarobert5874
    @christinarobert5874 3 роки тому +2

    Name joy sana kukufatilia nimefaidika sana maumivu niliyopatiwa katika mahusiano yalinikutanisha nawe shukulani nimepona maumivu haraka ubalikiwe sana

  • @bahatlusana3633
    @bahatlusana3633 4 роки тому +3

    Asante kaka Joel kwa %85 umeyabadili maisha yang mengi nimefanya kupitia masomo yako mungu akubariki sana

  • @lidyampazi8167
    @lidyampazi8167 4 роки тому +2

    Asante kaka, nitahakikisha napona kabisa, na kuwasamehe wengine ili niwe na aman ndan ya moyo wangu.

  • @thomasdamas4347
    @thomasdamas4347 4 роки тому +2

    Thanks bro am proud of you for me njia ya pili ilinisumbua ndomana nililudia makosa But from now sitoludia Tena na nitasonga mbele... 🙏🙏

    • @valerianphotunatus7680
      @valerianphotunatus7680 3 роки тому

      Asante sana joer mungu akubaliki kwani nimeweza kufaliji kwani nilishaumizwa kwenye mahusiano aise ubalikiwe kwakuweza kutufundisha maneno yenye faraja!

  • @kenedysimba9859
    @kenedysimba9859 4 роки тому +1

    Ni vema kuwasha mshumaa kuliko kuendelea kulaumu giza. Asante san umetusaidia kuwasha mshumaa maan weng huwa ni kujilaumu kisa makosa ya nyum badala ya kufany kitu kutokana na makosa

  • @MWAMALUMBILI
    @MWAMALUMBILI 4 роки тому +10

    @Joel Nanauka; ASANTE, Nasaha zako zimejaa Tiba
    1). Usiruhusu kale yako ikuwekee mipaka - don’t allow your past ( limiting belief )limits your future
    2). Jifunze ili usirudie makosa - learn to avoid repeating mistakes
    3). Hakikisha umepona kabisa kabla kuanza kurasa mpya - gets total and complete healings before new chapter
    4). Jisamehe - forgive yourself
    5). Wasamehe wengine - forgive others

    • @ziadaissa7550
      @ziadaissa7550 2 роки тому

      Najisikia kidogo fuu kwa Somo lako

  • @rajabukulala6669
    @rajabukulala6669 4 роки тому +1

    Your the best brother, umenifanya nimebadili my thinking

  • @festoboniface1598
    @festoboniface1598 Рік тому

    Hongera kwa kipaji ulichopewa na mwenyezi mungu hakika wengi wetu unatusaidia sana kwa mafundisho Yako, mungu akujalie maisha marefu

  • @seifzongo320
    @seifzongo320 4 роки тому +2

    See you at the top.... Asante kaka

  • @user-yb9zk7ve6d
    @user-yb9zk7ve6d 10 місяців тому

    Nakufrahia Sana umenitoa ktika msongo mkubwa wamawazo mungu akubaliki amen

  • @piuspuka5071
    @piuspuka5071 4 роки тому +1

    Shukrani Sana ndugu.kwa kuendelea kutujengaaa

  • @radhiafujdvinradhia4144
    @radhiafujdvinradhia4144 3 роки тому

    Ninashukuru sana kaka Joel ,kwani nimepata mwanga Na kusamehe walionikosea Na mm mwaenyewe nimejisamehe ,thanks you

  • @mwllucykichumisa9686
    @mwllucykichumisa9686 4 роки тому +1

    Sahihi sana. Joel Mungu akulinde.

  • @harrisonmaina5267
    @harrisonmaina5267 4 роки тому +2

    Thanks Joel for teaching,,,

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 3 роки тому

    Asante sana Mr Joel. Ninazo video zako zaidi ya mia mbili zimenisaidia sana

  • @inothyloserian4912
    @inothyloserian4912 3 роки тому

    Nikiwa na mawazo huwa naangalia video zako...your the best

  • @devothakimoku1751
    @devothakimoku1751 2 роки тому

    Ahsante Santa kaka Joel mungu azd kukubarik..🙏🙏🙏 kwa mafunzo mazur

  • @dicksonmhenuchi6098
    @dicksonmhenuchi6098 3 роки тому

    Asante kaka Joel Sasa naimani nitapona maumivu yangu ya kuto kusamehe

  • @aash4145
    @aash4145 Рік тому +1

    Kwakwel dunia hii inamitihan mno,,, magumu niliyopitia yakiniumiza mnooo,,, kwakwel nikikumbuka roho inapata mshtuko😭

  • @zadockmedia4812
    @zadockmedia4812 4 роки тому +1

    God bless you Joel Nanauka

  • @bueno1818
    @bueno1818 4 роки тому +1

    Thank you sir Joe!!

  • @lazarodaniely5377
    @lazarodaniely5377 4 роки тому

    Mwenyez Mungu akubarki JoelNanauka

  • @mwasimichael4903
    @mwasimichael4903 3 роки тому

    Ahsante kwa kutuelimisha

  • @ikirezijose5741
    @ikirezijose5741 4 роки тому

    Asante sana kwa mafunzo Mungu azidi kukufunuliya mengi yakutuelimisha

  • @valentinavenance4258
    @valentinavenance4258 3 роки тому

    Nakukubali sana Joel, mungu akubariki Sana.

  • @hilarygodfrey5862
    @hilarygodfrey5862 4 роки тому

    Nashukuru sana mwalim

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 роки тому

    Be blessed my brother loves you

  • @cloudswai307
    @cloudswai307 2 роки тому

    Asante kwa mafunzo yaako mungu akubariki

  • @angasyegemwampulo8217
    @angasyegemwampulo8217 4 роки тому +1

    Don't pretend, ninashukuru sana kwa darasa zuri zinanifanya niwe strong again

  • @Miss_Kaaya
    @Miss_Kaaya 4 роки тому

    Be blessd uncle😍

  • @gracegrace2561
    @gracegrace2561 8 місяців тому

    God bless you 🙏

  • @theresiachigali9482
    @theresiachigali9482 2 роки тому

    Mungu akubari sana

  • @eliasayasini1466
    @eliasayasini1466 4 роки тому +1

    Asante sana

  • @user-ds2em7or1w
    @user-ds2em7or1w 5 місяців тому

    Asante kaka angu nitazingatia

  • @nasha_59
    @nasha_59 Рік тому

    Asnt sna joel ntajitahid sna kufat hya ili kuwez kuondoa maumiv nliuoyabeb

  • @muutasimrashid135
    @muutasimrashid135 3 роки тому

    Safi sana

  • @amaaissa9713
    @amaaissa9713 2 роки тому

    Hskika kaka joel asante

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 роки тому

    Maashallah. Nikweri kabisa

  • @keflentito8052
    @keflentito8052 4 роки тому

    Asante kaka yangu

  • @dubehema436
    @dubehema436 2 роки тому

    Blessed

  • @shoomyoscar3762
    @shoomyoscar3762 Рік тому

    Ubarikiwe

  • @brunophilbert1034
    @brunophilbert1034 2 роки тому

    Asante.

  • @asajilesanga_3481
    @asajilesanga_3481 4 роки тому +1

    🙏🙏🙏 bro

  • @dynam1488
    @dynam1488 4 роки тому

    Mungu akubariki kaka

  • @danielsimeon9556
    @danielsimeon9556 4 роки тому

    Asante kaka

  • @sidaryotv8821
    @sidaryotv8821 4 роки тому

    Vizuri sana

  • @jastinekanjost8073
    @jastinekanjost8073 4 роки тому

    Oooh💪💪

  • @joe_gproducts6020
    @joe_gproducts6020 3 роки тому

    Nimefurahi kuhusu somo.najifunza.

  • @husnashelukindo8158
    @husnashelukindo8158 2 роки тому

    Kaka naomba unisaidie siwezi kusahau kabisa kwa ninauchungu sana moyoni

  • @ndetitave466
    @ndetitave466 2 роки тому

    Asante

  • @whitneszambo2475
    @whitneszambo2475 3 роки тому

    Barikiwa sana kaka

  • @lutalebulenga4923
    @lutalebulenga4923 3 роки тому

    Somo zuri sana mkuu

  • @rishmaamadi2615
    @rishmaamadi2615 2 роки тому

    Asante sana japo nimechelewa kukujua 🤣🤣🙏🙏🙏

  • @joe_gproducts6020
    @joe_gproducts6020 3 роки тому

    Hii somo kwangu ni pana,naitj kupona

  • @benezethntamuti7679
    @benezethntamuti7679 3 роки тому

    Yaani mie kaka Joel kujisamehe mwenyewe ndo inanitesa hadi leo,kusamehe wengine nimwepesi sana kuwasamehe ila kwa mm ndo siwezi naomba nishauri

  • @jamesibrahim8849
    @jamesibrahim8849 4 роки тому

    Forgiveness point no. 4&5

  • @janethpallangyo3855
    @janethpallangyo3855 Рік тому

    👌

  • @gracemwangama8069
    @gracemwangama8069 2 роки тому

    Niliachwa na mtu kila nikitaka nimsamehe na,kumsahau nashindwa tena bado nampenda

  • @barantebirahi6165
    @barantebirahi6165 4 роки тому

    Kwa magum niliyopitia nilikuwa sijagundua kujisamehe nashukuru kunifumbua macho mentor wangu

  • @nanzalushino3601
    @nanzalushino3601 4 роки тому

    Nashukuru sana kwa masomo yako kwa kweli huwa simamilizi siku tatu bila kusikiliza na ku note mafundisho yako, mungu akubariki sana. Swali langu ni je ukiwa unasema nimemsamehe lakini sitaweza sahau je kwa kauli hiyo unakuwa umesamehe kweli au bado kuna chuki na maumivu ndani yangu?

  • @beatricemwita3451
    @beatricemwita3451 4 роки тому

    Unamsaidiaje mtu ambaye ametumia vyote alivyonavyo na bado hajaweza kupata mpenyo, mimi nimetumia kila nilichonacho nimebaki 0 na gharama za msingi za maisha zinanitegemea kwa sasa, naanzia wapi kwa hali kama hivyo na nimejitahidi sana kutafuta kazi yoyote mradi kukidhi gharama za msingi ila bado sijafanikiwa

  • @user-js7ti8jp3y
    @user-js7ti8jp3y 4 місяці тому

    kaka nimekuelewa

  • @Hawa-zm2dc
    @Hawa-zm2dc 6 місяців тому

    Mimi nataka kusamehe lkn kila nikijaribu kusahau naumia ni kwann?

  • @haulebh5007
    @haulebh5007 4 роки тому

    Kuna video nimeshindwa kuiona ila iliongelea vitu vya kufanya wakati unapo kutana na anguko la maisha.Tafadhali naomba link yake

  • @uwimananadia6066
    @uwimananadia6066 4 роки тому

    😭😭

  • @lazarodaniely5377
    @lazarodaniely5377 4 роки тому

    Umekua mwalim wangu mpaka sahv watu wanao nizunguka wanavutiwa na mm jinsi nnavyo wapa hamasa na akili yanmekua nikijilisha kinacho stahili kwakufuatilia video zako na kusoma

  • @happyjacob7736
    @happyjacob7736 3 роки тому

    Nikuwasame walo nikosea

  • @veronicamadata1673
    @veronicamadata1673 3 роки тому

    Kuna kuomba msamaha pia. Wengi ni wagumu

  • @mwanamkasisuwesi5607
    @mwanamkasisuwesi5607 4 роки тому

    Maneno kuntu nmejisamehe

  • @davidmsubi2639
    @davidmsubi2639 4 роки тому +1

    Hiki Ni chakula chenye madini yake

  • @sahimsaleh8118
    @sahimsaleh8118 4 роки тому

    Apo kwenye kuhakikisha kuwa umepona ndo mtihani

  • @mariamhabiba5762
    @mariamhabiba5762 2 роки тому

    Unawezaje kupona wakati mtu huo bado unamuona natamani nimpotezee kama anavyo nipotezea mm

  • @husnashelukindo8158
    @husnashelukindo8158 2 роки тому

    Nahisi siwezi kupona nifanye nini

  • @fatimaalbraiki2341
    @fatimaalbraiki2341 4 роки тому

    Mim nimepitia magumu mengi toka nilipoanz kujitambuwa hadiss nilipo nimekosea na nikakosewa lakini nilisamehe wote walio nikosea ila ni mtu mmoja t nashindwa kumsamehe hivi ni kwanin lakini kila nikikumbuka moyo wangu unaumu amenikosea halafu hataki kuniomba msamaha ukizingatia ni ndungu yng kabisa wa dam

    • @stunnaman5822
      @stunnaman5822 3 роки тому

      Sio lazima aje kuomba msamaha msamehe ww itakua vizur zaidi

    • @catenzeki678
      @catenzeki678 3 роки тому

      Msamaha hua ni kwa ajili ya furaha na amani yko mwenyewe.Msamehe tu na utaona ni jinsi gni maisha yko yatasonga mbele

  • @johansenscott3032
    @johansenscott3032 4 роки тому

    Naomba namba ako ya watsap Kaka plz yangu 0743147069

  • @mrmboy9203
    @mrmboy9203 4 роки тому

    hii ni nyimbo mpya ya
    mboy mweusi👇🏽👇🏽
    ua-cam.com/video/0pZvX3nlbus/v-deo.html

  • @christinarobert5874
    @christinarobert5874 3 роки тому

    Nimefurahi sana kukutana na wew nimemsamehe niliyemkosea namshukulu pia kwakua asingeniumiza nisingekujua wewe elimu yako inafaida sana.furaha yangu niwajibu wangu