FUNGULAKUMI LIMEPITWA NA WAKATI ?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2022

КОМЕНТАРІ • 111

  • @elishadauson8341
    @elishadauson8341 Рік тому +2

    Ukiielewa neema umeelewa agano jipya. Under Grace, You are not forced to do anything for God , but rather you do it out of pure heart and love, under Grace hakuna Sheria.

  • @harrisonkimathi4763
    @harrisonkimathi4763 Рік тому +3

    Amen, mtumishi wa mungu hiyo mafundisho ni ya maana sana

  • @kyalalove3178
    @kyalalove3178 Рік тому +5

    My Apostle always on point for my good, thank you.

  • @isaiahimani5393
    @isaiahimani5393 Рік тому +3

    Baba nakupenda sana, fundisho hili ni sahihi.

  • @edwinmbunda6709
    @edwinmbunda6709 4 місяці тому

    Yesu Kristo ni mwisho wa sheria. Rum 10:4. Zaka ilikuwa sehemu ya sheria za Mussa, ilitolewa kwa lazima (kulipwa). Kanisa la Agano jipya, mitume wamefundisha tutoe kwa moyo wa kupenda, sio kwa amri/sheria.
    Munawa-comfuse watu.

  • @oliviambombe3605
    @oliviambombe3605 Рік тому

    Amen Apostle kwa mafundisho mazuri ambayo ni ukumbusho kwangu ubarikiwe sana.

  • @stelladassa1261
    @stelladassa1261 Рік тому

    Amen apostle jo kweli iyo baba

  • @jamesdioniz4860
    @jamesdioniz4860 Рік тому

    Nimejifunza kitu kipya sana, Mungu akuinue zaidi mtumishi wa Mungu Chief Apostle

  • @estherboneka1341
    @estherboneka1341 Рік тому

    Amen Chief

  • @_.sheisherself._
    @_.sheisherself._ Рік тому

    Asante apostle

  • @lilianebahati7290
    @lilianebahati7290 Рік тому +1

    Amen amen Uhoraho Mana aguhezagire

  • @mkumbwa64
    @mkumbwa64 7 місяців тому

    NIMEFUNGULIWA THANKS APOSTLE FOR THIS REVELATION😇😇

  • @faustinriziki6787
    @faustinriziki6787 Рік тому

    AMEN AMEN AMEN 🙏 🙏🙏

  • @sabinaleonce8243
    @sabinaleonce8243 Рік тому

    Amina

  • @elizabethmwambai480
    @elizabethmwambai480 Рік тому +1

    Ameen ubarikiwe

  • @franciscambatha4314
    @franciscambatha4314 Рік тому

    Amen

  • @samsonjoel3349
    @samsonjoel3349 Рік тому +2

    Kama huelewi jambo usicomment jiepushe na laana isiyo na sababu

  • @OmanOman-yn2zj
    @OmanOman-yn2zj Рік тому

    Ameeeen ameeeen ubarikiwe mtumishi wa MUNGU🙏🙏🙏

  • @adamukephamakule6092
    @adamukephamakule6092 4 місяці тому

    Amina sana mtumishi wa mungu.zaka ni sheria tutoe zaka

  • @elishapipingo2006
    @elishapipingo2006 Рік тому

    Amina asante sana

  • @damariskavolo1829
    @damariskavolo1829 11 місяців тому +1

    Huyu naye ni mpiga chrito na wajiga wapotoswa. Kweli kabiza siku za mwisho hizi

  • @benadetasarungi1840
    @benadetasarungi1840 Рік тому +1

    Asanteeeee Mtumishi wa Mungu Mkuu

  • @petercharles6607
    @petercharles6607 Рік тому

    Amen mtumishi

  • @reachelivandon1611
    @reachelivandon1611 Рік тому

    Ameen

  • @williamntungilahe5598
    @williamntungilahe5598 Рік тому

    Mtumishi wa Mungu Mtalemwa somo hili la fungu la kumi ni mhimu sana.Nimejionea umhimu wake katika ulinzi

  • @mariadagobert2406
    @mariadagobert2406 Рік тому

    Barikiwa sana 🙏

  • @kristobenny-xm8tx
    @kristobenny-xm8tx Рік тому +1

    Limepitwa na wakatii kiukweli hapo huna cha kutetea 😁😁😁

  • @sirajisoka8282
    @sirajisoka8282 Рік тому

    Amen 🙏🙏🙏🙏 nasikiliza kutoka kenya

  • @edwinmbunda6709
    @edwinmbunda6709 4 місяці тому

    Hilo fundisho kanisa lilikuwa bado halijaanza. Tupe maandiko toka kwenye nyaraka za Mitume

  • @monicajackisoni5865
    @monicajackisoni5865 Рік тому

    Ama kweli huu ni ufunuo asante mtumishi nimejifunza jinsi ya kutoa fungu la kumi

  • @voiceofpraiseworshipcenter9703
    @voiceofpraiseworshipcenter9703 4 місяці тому

    Amen zaka

  • @seciliapaul366
    @seciliapaul366 Рік тому

    Hatariiiii sana

  • @edwinmbunda6709
    @edwinmbunda6709 4 місяці тому

    Kanisa la kwanza hawakufindisha wala kupokea zaka.

  • @lilianebahati7290
    @lilianebahati7290 Рік тому

    Asante

  • @catherineosmund486
    @catherineosmund486 Рік тому +1

    Barikiwa sana pastor, naomba mbinu za kujua madhabahu sahihi ya kulipa 1/10

    • @hassanmirambo564
      @hassanmirambo564 Рік тому

      Nenda kanisani kwake

    • @christianmwasakogo5579
      @christianmwasakogo5579 Рік тому

      Moja ya njia rahisi Ni kumsikiliza Roho Mtakatifu atakuambia madhabahu sahihi,kama baba yako wa kiroho umejua ana Mungu kweli toa hapo,mdhabahu ambayo umejua ina Mungu kweli toa hapo!! Nimeingilia kidogo l'm sorry!!

  • @geofreynato7060
    @geofreynato7060 Рік тому

    MUNGU akuzidishe pande zote Apostle Niko Kenya na umenijenga sana sijui lini utatutembelea Kenya hiyo karama uliopewa na MUNGU ni ya nguvu

  • @magrethfaustine2665
    @magrethfaustine2665 Рік тому +1

    Sisi sio mafarisayo

  • @elishadauson8341
    @elishadauson8341 Рік тому +2

    Unachohubiri pastor bado ni agano la kale, kumbuka agano huanza baada ya damu kumwagika. Agano jipya lilianza baada ya Kristo kumwaga damu msalabani. Yesu alipokuwa duniani aliwahubiri wayahudi, sio sisi wa mataifa. Injili ya mataifa ilikuja baada ya Kristo kumwaga damu kwaajili yetu na mimi

    • @edwinmbunda6709
      @edwinmbunda6709 4 місяці тому

      Kabisaaa

    • @edwinmbunda6709
      @edwinmbunda6709 4 місяці тому

      Hawa wahubiri wa sasa wa ajabu sana....wanafikiri watu hawasomi biblia na kutafakari

  • @kizizi9406
    @kizizi9406 Рік тому +4

    Acha kudanganya watu mchumia tumbo.
    Yesu alizaliwa chini ya sheria ili awakomboe hao wa chini ya sheria. (Wagalatia 4:4-5) lengo ni ili sisi tuhesabiwe haki kwa imani.
    Sisi kwetu Kristo alitukomboa kutoka katika hizo laana za torati (Wagalatia 3:13).

    • @suleimanmwahesa4655
      @suleimanmwahesa4655 Рік тому +1

      We tulia sisi tutoe, haya hayakuhusu

    • @kizizi9406
      @kizizi9406 Рік тому +1

      @@suleimanmwahesa4655 waumini wengi wametolewa ubongo wamebaki na maji kichwani.

    • @luckymsomba4818
      @luckymsomba4818 Рік тому +1

      Wachache watakuelewa

    • @christianmwasakogo5579
      @christianmwasakogo5579 Рік тому

      Acha ushamba wa kiroho fungu la kumi ni Agizo sio sheria,jua kutofautisha kati ya neno sheria na maagizo

    • @kizizi9406
      @kizizi9406 Рік тому +1

      @@christianmwasakogo5579 agizo Kwa nani? Nionyeshe sehemu moja ambayo kanisa waliagizwa kutoa fungu la kumi.
      Waumini wengi ni sawa na misukule hawana uwezo wa kufikiri hata mambo yaliyo wazi. Toa fungu la kumi wenye meno wale

  • @rosendanshau2674
    @rosendanshau2674 Рік тому

    Good

  • @donaldmpagaze9803
    @donaldmpagaze9803 Рік тому +1

    Shalom Sir huo ni ukweli mtupu nilishawahi kukwama kifedha nikawa nashindwa kutoa fu la 10 ktk maisha yangu sintasahau kwani ni km Mungu aliniacha peke yangu ule wepesi tena niliokuwa nao ktk kupata pesa na ile amani niliokuwa nayo ofcn vyot vilitoweka namshukuru Mungu kwa kuwa sometime huwa nafuatilia mafundisho ya watumishi wengi haswa ukizingatia wewe ulishaniombea na kunitabilia kazi nzuri pamoja na kunibariki kifedha nakumbuka saana naomba Mungu aendelee kukutunza na kukupa mafunuo mengi ili watu wa mungu wamjue saana wapate kuwa na amani na mafanikio Kiroho na Kimwili Shalom

  • @sarahwawuda5164
    @sarahwawuda5164 Рік тому

    Amen
    Mungulu akubariki Apostle

  • @elizabethnamwinga3210
    @elizabethnamwinga3210 Рік тому +1

    Amen amen barikiwa baba

  • @luckymsomba4818
    @luckymsomba4818 Рік тому +2

    Msijitungie tu Kwa sababu mnajua kusoma bible.yesu aliwaambia mafalisayo Kwa sababu wao walikuwa washika sheria sio watu neema.mnawajaza tu watu hofu ya kifirisika.kwanza agano jipya halina kuhani wa kula zaka wote tunatakiwa tufanye kazi.ndo Maana Paulo anakemea tabia kama hizo

    • @mckombe7200
      @mckombe7200 Рік тому

      Wachungaji mnatufunga vitanzii visivyoo tuhusu sisi ni wa kristo, siyooo wa musa, acheni kujimilikisha ukuani, usiyo wahusu Mungu aliwagiza waisraeli kutoa kwa walawi kwa sababu awakuwa nasehem ya mali katika ile nchii tuachee kuwafunga wakristo kitanzi leo atuishi chini ya sheria tupo chini ya neema acheni kujimilikisha ukuani usiyo wahusu ukuani uliishia goligota baada ya kristo kufa pazi lilichanini mana yake ukuwani leo atuna sisi si wamusa bali wakristo😭😭😭

    • @teddyjoseph438
      @teddyjoseph438 Рік тому

      Roho Mt ni Mwalimu atusaidie

  • @venancymsukwa6431
    @venancymsukwa6431 Рік тому

    Enderea kufundisha mtumishi wa mungu usivunjike moyo Kwa hao wapinga Kirito wanao comment ujinga maana hata zama za yesu watu kama hao walikuwepo wao wanataka kanisa la mungu wa kweli lisiwe na nguvu yapesa

  • @edinahkemuntomainya6551
    @edinahkemuntomainya6551 Рік тому +3

    Pastor ni vizuri kutoa zaka ukiwa inch nyingine ? For example mimi ni mkenya na ninaishi Saudi Arabia kwa ajili ya kazi.

  • @re.emmanuelmdoe3345
    @re.emmanuelmdoe3345 Рік тому +1

    Zaka ni Nguvu Yangu Ya kumipika adui Yako,
    Malaki 3:10-12
    Nitakemea alaye!

  • @williamntungilahe5598
    @williamntungilahe5598 7 місяців тому

    Ni kweli fungu la kumi ni ulinzi

  • @hassanmirambo564
    @hassanmirambo564 Рік тому

    Kwahiyo Mungu aliwashauri viumbe aliuwaumba,mmmmh

  • @elizabethmwambai480
    @elizabethmwambai480 Рік тому +1

    Mimi pia niombewe niko nashida kwa fungo la kumi Niko Qatar mi mkenya

  • @anusiathasimbagae2710
    @anusiathasimbagae2710 Рік тому

    Ili fundisho nimelielewa Hadi nahisi kufunguliwa 🙏

  • @ShineSaidy
    @ShineSaidy Рік тому

    Mungu ni mwema,naomba nijue maana neno zaka

    • @jordanmsigwa9697
      @jordanmsigwa9697 Рік тому

      Zaka ni sehemu ya kumi ya kila Pato lako hvyo katika kila unacho kiingiza au kukipata sehemu ya kumi yake sio yako ni ya MUNGU mpaji wetu tunapoa tuna mwambia MUNGU kivitendo kwamba pasipo wew nisingepata hiki inampa MUNGU utukufu soma Malaki 3:3 tusipo toa tunakua tunaiba yaani tunamwibia MUNGU
      hvyo ni vyema tuitoe kwa uaminifu na ni dhambi tosha ya kuikosa mbingu....mfano elfu 1000 sehemu ya kumi ni 100.....tena elfu 5000 sehemu ya kumi ni 500 tena mfano elfu 10000 sehemu ya kumi ni 1000 yani inakua hvyo kwa kadri utakacho kipata.

    • @jordanmsigwa9697
      @jordanmsigwa9697 Рік тому

      Pia Malaki 3 mstari wa 8 mpaka wa 10. Utapata ufahamu zaidi wa zaka.

  • @samwellwiza1098
    @samwellwiza1098 Рік тому +1

    Fungu la kumi siyo la agano la kale wala agano jipya....fungu la kumi lilikuwepo hata kabwa ya waasisi wa maagano mawili ...Agano la sheria au torati na Agano la neema...fungu la kumi lilikuwepo kabla ya Muda na Yesu...
    So Fungu la kumi HALINA mjadara lilikuwepo na lipo katika utaratibu wa Mungu....IBRAHIMU alitoa zaka....

    • @harunnahason8981
      @harunnahason8981 Рік тому

      Amen bro samweli hiyo ni kweli mtupu kuna roho imeinukia ya mpinga kristo hiyo roho upinga 1 maombi 2 fungu la kumi 3tatu mkesha ya usiku 4 wanadai ni nehema lakini walikuwa wamejua kweli lakini kwa sasa wamerudi nyuma kwa sasa ni wenye dhambi wanaogelea kwa dhambi kaha nguruwe wakidai ni nehema tu wako waubihiri wamerudi nyuma wanawadanganya watu eti wamesamehewa dhambi zao awana makosa wala hatia kabisa eti nimewasikia masokoni mijini mitandaoni makanisani wakisema ni wasafi kama pamba hao ndio wapingao fungu la kumi wapendwa wamekataa nehema tena wako na kiburi sana ni wenye dhambi pst waombwe waokoke tena wamewacha imani wanakwepa ukweli

    • @mckombe7200
      @mckombe7200 Рік тому +1

      Ndugu naomba andiko linalo sema ivyooo usiwe kama mwana siasa tupe mandiko

    • @mckombe7200
      @mckombe7200 Рік тому +1

      Mana fungu la kumi mimi najua nisheria alio pewa musu awape waisraeli

    • @paulpeter2108
      @paulpeter2108 Рік тому +1

      @@mckombe7200 Galatians;;3:29 cc sote ni Israel tunaishi Kwa neema kwamba tukifany dhambi tunarudi kua chini ya torati Tena tukitubu tunarudi chini ya neema,( tunapata nafasi ya pili ya kuishi)maana Kila atendaye dhambi(kuasi torati) tunastahili kufa ila kifo chetu kafa kristo msalabani ko binadam hawez kuishi bila Sheria(torati) maana Kwa shetani ndo hakuna utaratibu(torati) Kila mtu anaend anavyojua bila utaratibu

    • @mckombe7200
      @mckombe7200 Рік тому +1

      @@paulpeter2108 nikuulize tu swalii kk wewe leo unaishii wap? Israel au upo tanzania, unapo soma biblia inabidi tumuombe Mungu kwani leo tuna soma bilbia lakini kwenye kutoa tafsiri ya maneno ya biblia ina kuwa ngum Mungu atusaidie kwani leo tunafanya vitu vingine na vingine atufajii kwasababu ya kuchanganya nyakati na majira amboyo MUNGU ali achia ilii na vingine walikuwa wakinena n
      Mitumie .

  • @epafrasgray5725
    @epafrasgray5725 Рік тому +2

    Yesu hakuwakataza kwa ssbabu alikuwa hajakamilisha misheni yake. Baada ya kukamilisha yote msalabani hatupio kwenye sheria. Acheni kuwalaghai watu wawape zake mjaze mifuko yenu. Tuliojipata tunazitafuna zaka wenyewe kwani sote tlulio makristo ni makuhani na tunazitafuna kisawasawa zaka zetu.

  • @kwoliti
    @kwoliti Рік тому

    Study maandiko mtu wa Mungu. Usiegemee sehemu mja

  • @kisilejia8518
    @kisilejia8518 Рік тому +3

    Agano jipya lilianza baada ya Petekoste kwa hiyo hayo maneno Yesu aliyasema kwa Wayahudi Mafarisayo waliokuwa bado chini ya agano la kale

    • @suleimanmwahesa4655
      @suleimanmwahesa4655 Рік тому

      We bisha tu

    • @patrickmanda7780
      @patrickmanda7780 Рік тому

      Kwa hiyo inamaanisha huna haja na Yesu sio? Kama maneno hayo yalikua kwa mafarisayo basi basi hujuwi unachokiani. Karibu kanisani tueleweshane

    • @kisilejia8518
      @kisilejia8518 Рік тому

      @@suleimanmwahesa4655 Ningefurahi ungekanusha hiyo hoja kwa hoja sio maneno matupu.

    • @kisilejia8518
      @kisilejia8518 Рік тому

      @@patrickmanda7780 Yesu aliishi kipindi cha agano la kale. Agano jipya lilianzishwa kwa damu yake aliyoimwaga msalabani. Aliwaasa wayahudi waenelee kutenda mema ikiwemo kutoa zaka ambayo IPO kwenye sheria za Musa. Wewe hauhitaji kutoa zaka sababu haupo chini ya sheria ya Musa. Kitu pekee unachoweza kufanya ni kutoa dhabihu za sifa, matendo mema na matoleo ya hiari.
      Ebr 13:16: "Lakini msisahau kutenda mema na kushirikiana; maana sadaka kama hizi ndizo zimpendezazo Mungu."
      2 Kor 9:7: "Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo mkunjufu."

    • @kisilejia8518
      @kisilejia8518 Рік тому

      @@patrickmanda7780 Sijamanisha hivyo ila watu wengi wanafikiri agano jipya lilianza Yesu alipozaliwa wakati kihalisia kifo na ufufuko wake ndiyo ulioanzisha agano jipya.

  • @neemasamwel8968
    @neemasamwel8968 Рік тому

    Je mtu ambaye hajaokoka anaweza kutoa zaka?

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Рік тому

      Mmm haisaidii maana Pale moyo wake ulipo ndipo fungu lilipo,Okoka kwanza ndipo Utoe Zaka

  • @faiditv5535
    @faiditv5535 Рік тому +2

    Mpigaji wewe

  • @samwellwiza1098
    @samwellwiza1098 Рік тому

    Yakobo alitoa zaka

    • @kisilejia8518
      @kisilejia8518 Рік тому

      Aliahidi kutoa lakini hakuna ilipoandikwa na hata angetoa kutoa kwake sio sheria au sababu ya sisi kutoa

  • @godsonthadeonyamhanga2678
    @godsonthadeonyamhanga2678 Рік тому

    Kama wote wanatakiwa wafanye kazi,wewe unafikiri wale wanaoongoza kanisa sio kazi ile?

  • @emilylyimo8157
    @emilylyimo8157 Рік тому

    Mafundisho ya kushetani ndo haya sasa

    • @tygggnzyj2771
      @tygggnzyj2771 Рік тому

      Ww ndio shetani unaekataa kutoa zako na pesa Yako yote haina baraka

  • @jeniphanzeran8231
    @jeniphanzeran8231 Рік тому +1

    Apostle wanaofundisha juu ya fungu la kumi limepitwa na wakati eti ni agano la kale lkn kufundisha habari za eliya alishusha moto yenyewe siyo agano la kale

  • @danielimusa7601
    @danielimusa7601 Рік тому +1

    inaonekana unafundisha ili watu wamjue Mungu, lkn point yako wewe watu watoe ili ukajenge magorofa nakujiwekeza zaidi. Vibaka nyie mkitoka hapo mnaenda kustarehe nje ya nchi na malaya

  • @harrisonkimathi4763
    @harrisonkimathi4763 Рік тому +1

    Amen, mtumishi wa mungu hiyo mafundisho ni ya maana sana

  • @innocentcareen818
    @innocentcareen818 Рік тому

    Ameen