nami nime hakikisha kweli nanapata urejesho wa kila kitu changu wachawi waliiba miaka mingi, aksanti mtumishi kwa mafunzo mazuri namu shukuru mungu aliye nikutanisha na wewe kwa njiya ya internet na ninaamini siku moja tafika apo tanzania kuomba pamoja na kanisa la bwana, naomba msaada wa maombi kwaajili ya jamaa langu na mimi mwenyewe ,na kwa majina naitwa SIFA mutayongwa na ishi apa british colombia canada aksanti sana.
Thank you apostle, God has used you as a good vessel to deliver the message to me, I'm encouraged, I have received restoration in my marriage, business, finances, family, career, ministry, health..all round , no more shame, no more disappointment, frustrations, setbacks, stagnation, delay, poverty, infirmity, afflictions in Jesus mighty name amen
@@hassanbukambu931 ...kwa heshima...kwangu mimi ni yote lakini kuu zaidi anifunza na kwa ufunuo...Mwalimu wangu wa NENO...kuu zaidi nikulijua neno.. sio miujiza la!
Mimi ni mkenya nime okoka yesu ni bwana na mokozi wangu
Amen Amen., napokea urejesho naamini.💃💃💃🎺🔭♥️💯
ooooh asante yesu nabarikiwa nikiwa Saudi Arabia mungu akubariki sana mtumishi🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu aliye hai. Asante kwa mafundisho mazuri. Halleluya
Very powefull mafundisho❤❤
Napokea urejesho, Apostle Ubarikiwe sana umenitoa Kwa Giza kupitia mahubiri haya I wish you could be in my Church
Amen...napokea urejesho wa Bwana kwa maisha yangu
Mtumishi wa Mungu nashukuru sana kwa mafunzo nimeinuliwa sana kiroho
Ahsante Baba Mlezi kwa mafundisho haya.
Napokea kwa jina la yesu ameni
Amen Amen...haggai 2...napokea💯
nami nime hakikisha kweli nanapata urejesho wa kila kitu changu wachawi waliiba miaka mingi, aksanti mtumishi kwa mafunzo mazuri namu shukuru mungu aliye nikutanisha na wewe kwa njiya ya internet na ninaamini siku moja tafika apo tanzania kuomba pamoja na kanisa la bwana, naomba msaada wa maombi kwaajili ya jamaa langu na mimi mwenyewe ,na kwa majina naitwa SIFA mutayongwa na ishi apa british colombia canada aksanti sana.
AMINA, I WISH KAMA WACHUNGAJI WOTE WANGEPEWA UFUNUO HUU KANISA LISINGEKUWA NA HOFU JUU YA WIMBI LOLOTE, UBARIKIWE BABA
Amen Amen Amen urejesho wangu na upokea🙏🙏🙏🙏🙏
Amina, kwa Neema kuu ya YESU KRISTO napokea
Napokea urejesho katka maisha yangu,familia, mahusiano,afya na kila kinacho nihusu napokea urejesho katka jina la YESU.Amen
Mimi niko Saudi ubarikiwe sana kwa jina la yesu ameni
Ubalikiwe sana mtumishi Mungu
This message was so refreshing. Thank you Holy Spirit.Thank you Apostle.
Amen.....huu ni ufunuo Wa Bwana kabisa
Barikiwa mtumishi wa Mungu
Amen
Napokea urejesho ktk jina la Yesu Kristo
Napokeya Urejesho, kwa Jina la Bwana wetu YESU KRISTU. Mungu akubariki Mtumishi wake 👏❤️
Nilikuwa Nasubiri sana hili somo Asante Yesu....
Amen Amen Amen napokea Urejesho katika Jina la Yesu....🙏🏽🙏🏽
AMEN Napokea urejesho mimi na familia yangu yote kwa jina la YESU KRISTO.
Amen! Mtumishi wa Mungu nimebarikiwa sana na somo hili. Roho Mtakatifu naazidi kukutia mafuta mabichi Nuru yako iangaze ulimwengu wote!
Aminaa 🙏
Hallelujah glory to God
Achiaaaa rejeshaaaa
Najiunganisha na haya mafundisho kwa jina la Yesu
Amen 🙏🙏🙏 napokea urejesho wangu kwa jina la yesu.wazazi wangu wanapokea urejesho
Amen pastor kweli nabarikiwa sana. From Kenya
Tz
Sio pastor huyu ni apostle(mtume)
Asante kwa ujumbe mzuri ombi langu kwako nisaidie kuhusu neno lisemalo mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanaume Asante
Amina
Nimepokea urejesho kwa jina la Yesu
Thank you apostle, God has used you as a good vessel to deliver the message to me, I'm encouraged, I have received restoration in my marriage, business, finances, family, career, ministry, health..all round , no more shame, no more disappointment, frustrations, setbacks, stagnation, delay, poverty, infirmity, afflictions in Jesus mighty name amen
P
Bwana Yesu atukuzwe nabarikiwa Sana na mafundisho yako Mungu akubariki sana na akupe maisha marefu
Amen Mtumishi wa Mungu. Asante sana barikiwa saidi
NIMEBARIKIWA MNOO!!
Amen,Mwalimu asente Mungu akupe ufunuo zaidi🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥📢📢📢📢📢
Huyu ni mtume sio mwalimu ni apostle
@@hassanbukambu931 ...kwa heshima...kwangu mimi ni yote lakini kuu zaidi anifunza na kwa ufunuo...Mwalimu wangu wa NENO...kuu zaidi nikulijua neno.. sio miujiza la!
AMEEN
Wonderful teachings.
GOD BLESS you Apostle.
Narejesha kila kitu changu kilichochukuliwa na adui katika jina la Yesu
Amen ... Naamini napokea urejesho wa kila kilicho chakwangu maishani mwangu ,nikiwa Zanzibar nabarikiwa Sana na mafundisho yako Apostle
Aàaqrq
asante apostle kwa somo nzuri
ameni
🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Nimebarikiwa sana sana
Barikiwa mpakwa mafuta wa MUNGU BABA ALIYEHAI 🇺🇸
Ubalikiwe sana mtumishi wa Mungu
napokeya kwa jinala yesu kristo wanazareti
You are a true Apostle of God almighty
Apostle unajua hii massege aijaisha please iendelee nabarikiwa mbaya mbovu mtumishi mungu akupe nguvu i hope utaindelesha
Amen Amen !
Thank you Apostle for 🙏🏿
God Bless You
Amen .God I declared my portion my victory my Faith dwells in your Name forevermore blessed is thy Name.
Amen am among twins double portion .Amen
I receive
Napokea urejesho wangu na familia yangu in might name of JESUS
Nimebarikiwa saaaana saaaana👏
Napokea urejesho wangu siku za mwisho be blessed 🙏🙏🙏
Kifungo kilichonifunga katika jina la jina la yesu.
Amen be blessed pst
Amen pastor i receive🙏
Amen amen!
😊😊😊😊😊😊
Urejesho nyakati za nwisho
Balikiwasana pasta nimebalikiwa nasomo hill laulejesho shetani lazima shachilie mahisha yetu
Adui lazima aachilie urithi wetu
Hallelujah
Thanks JESUS
Amen Ameen
Amen Amen baba Ahsante sana nimebarikiwa kwa neno lako Mungu akupiganie na azidi kukupigania
Napokea kwa jina la Yesu
Thanks
Tuko ngosheni mtumishi
Amen
Glory to God
Hallelujah 👏👏
Kanisa lipo Maeneo gani
Makongo juu Dar es Salaam
Ameni
Achiaaaaaa rejeshaaaaa
Hallelujah