Inanikuta Sana hiyo ghafra nakosa Amani moyo unaugua Sana nakosa hata nguvu yakufanya kitu chochote huwa nikiwa nyumbani naingia chumbani naomba sana,nikimaliza naendelea na shughuri zangu mda mwingine namaliza kuomba lakini bado Hali ni ile Ile naingia kuomba Tena Naomba Sana namwambia loho mtakatifu anisaidie kuomba maana sijui kipi kipo mbele yangu baadae nikiomba sana nikimaliza Kuna mda huwa napataga cm ya Jambo ambalo c zuri Ila halijaleta zala huwa linakuwa limejisolve lenyewe kwa Uweza wa roho mtakatifu,Leo hili somo limeandaliwa kwaajili yangu Maana huwa nilikuwa najiuliza ninini hili.
Makongo juu dar es salaam unapanda magari ya makongo juu unashuka kituo kinaitwa mashineni ukiangalia upande wa kulia utaona kibao kimeandikwa E.C.G church ndio kanisan hapo.
@@robinajohanssen697 yani siku iyo msipo jitambua hamta fanya kitu kinacho itwa maombi asipo tokea mmoja wenu akashtuka basi mmetekwa anafundisha nilazima muwe imala kwenye family zenu na maombi yenu yawe imala siku zote yawe yakudumu
Kama upo dar es salaam kanisa lipo makongo juu panda magari ya kwenda makongo juu shuka kituo kinaitwa mashineni utaona kibao cha kanisa kimeandikwa E.C.G CHURCH ndio kanisani utapa maelekezo kwa wachungaji jinsi ya kumuona karibu sana kanisani.
baba ubarikiwe.leo nimejifunza kikubwa kuliko siku zote.Hallelujah.kumbe wakati wa Amani ni wakati wa kuweka akiba ya maombi na Neno.yes!
Ohoooooo hallelujah kwakweli Apostle unanikosha Sana mungu akubariki.
Ameeen mtumishi nime jifunza kitu muhimu sana mungu anitie nguvu za kuzanya silaha ili adui anapojipanga asifaulu Ameeen be blessed 🙌
Amen...asante sana mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri sana...nimejengeka kiimani am Phanice Okongo watching from Saudi 🇸🇦
Ameni napokea Na Mungu atupe mwsho mwema
Apa tumerogwa wote ni kuchukua hatua🙌🙌🙌
Amina barikiwa sana muchungaji
Mtumishi barikiwa sana kwa somo zuri hili
Ndiyo Apostle ubarikiwe sanaaaa
Mungu akubariki mtumishi wa mungu umenibariki mno🙏
Thank you for answering my questions through this teaching
Amen mafundisho mazur mchungaji mungu azidi kuinua huduma yko...ur a blessing
Ahmeen
This Message Saved my Life
Amen Apostle hakika nimejifunza na kufahamu muda sahihi wa kuandaa makombora dhidi ya siku ovu.
Amennnn nashukuru ubarikiwe Asante kbs 👌🙏
Ubarikiwe nafatilia mafundisho nikiwa Dubai ubarikiwe mtumishi wa Mungu...
Thank you Chief Apostle
Unamafundisho mazuri sana, 🙏🏾
Mafunzo mazuri sana Asante.
Eeh Yesu nimejifunza naomba nisaidie, nakuomba Yesu wangu
Amen chief
Amen Amen Apostle Mungu akubariki sanaaNimebarikiwa kwelikweli ,,Amen
Amina kubwa nimejifunza kitu kikubwa sana leo
Nina kupata kutoka, sumbawanga, na mafundisho yako ya nitia nguvu sana katika safari yangu ya imani,,,Mungu akubaliki Apostle Mtalemwa
Wow thank you papa for message.
Asante sana Apostle MUNGU akubariki
Asante Chief
Thx chief apostle mungu akubark SoMo zur nimeelewa
So powerful. Nimejifunza
Amen Chief Apostle
Be blessed apostle thank you so much
Nani anasikia hii ubiri?
Barikiwa mtumishi wa Mungu.
Poweer.. Karibu moshi papaaa
Powerful pastor 🙏🙏
AMEN Apostle... nimekuelewa sana baba yangu Mlezi. Eeh Mungu naomba utusaidie kusimama siku ya uovu.
Amen.Ninakufata nikiwa US ninabarikiwa saana BABA wa MBINGINI akuongezeye mafita
Thanks and stay blessed bro
Amen Chief 🙏🏼
Inanikuta Sana hiyo ghafra nakosa Amani moyo unaugua Sana nakosa hata nguvu yakufanya kitu chochote huwa nikiwa nyumbani naingia chumbani naomba sana,nikimaliza naendelea na shughuri zangu mda mwingine namaliza kuomba lakini bado Hali ni ile Ile naingia kuomba Tena Naomba Sana namwambia loho mtakatifu anisaidie kuomba maana sijui kipi kipo mbele yangu baadae nikiomba sana nikimaliza Kuna mda huwa napataga cm ya Jambo ambalo c zuri Ila halijaleta zala huwa linakuwa limejisolve lenyewe kwa Uweza wa roho mtakatifu,Leo hili somo limeandaliwa kwaajili yangu Maana huwa nilikuwa najiuliza ninini hili.
ROHO MTAKATIFU
@@evilahmponzi5312 ame mtambulisha
So powerful. Data well spent !
Amen Mtu wa Mungu.
Barikiwa sana
Asante Yesu!
Powerful!!!!!!!!! Asante sana Chief Apostle, nimekuelewa sana 🙏
Mungu akubariki mtumishi
Amen
Hallelujah 🙌🙏🧎♀️
Ooh hallelujah
Ubalikiwe sana mtumishi yan nikisikia mafundisho yako kunasem nasogoa ubalikiwe san
Ameen
Nimekuelewa chief, ninalifanyia kazi.
Nikweli kabisaa Mtumishi wa mungu
Following
Hao vijana Wanavaa kapelo kanisani jamani
Kweli kabixa axa mm niktaka kuomba uxingzi mzto unaniijia uxngz mzto
AMEN MUTUMISHI
Thank you for the teaching Chief God bless you
Yeah🖐️🖐️🖐️
Asante mmtumishi kwa kuenderea kutufunfisha ubarikiwe sana
Nimebalikwa sana mtumushi wa Mungu
Mafundisho yako yamenitoa mbali sana Mtumushi wa Mungu
Amen mtumishi nabarikiwaga sana kwa mafundisho yako hua yananivusha kwenda kiwango kingine
Unaningia rohoni sanaa!
MUNGU utufundishe namna ya kutambua majira na nyakati ,l can't do anything without you Jesus GOD help me.
Mungu anaomba niwe mombaji siku za Amani amen
Baba tuombee nabarikiwa sana sAna n.a. maubiri yanayo endelea youtube
Nimekuelewa mchungaji
Nawapata kutoka istanbul turkey
Hili kanisa liko wapi?
Makongo juu dar es salaam unapanda magari ya makongo juu unashuka kituo kinaitwa mashineni ukiangalia upande wa kulia utaona kibao kimeandikwa E.C.G church ndio kanisan hapo.
@@mikemrosso5679 asnt kaka sijui Dada lakin asnte
APOSTLE MUTALEMWA NINABARIKIWA NA MAFUNDISHO YANAYOENDELEA .
mafundisho yako yamenisogeza mahali fulani
Asante sana chief nabarikiwa sana msharika wako wa zamani nawapenda sana Ecg Mungu awabariki sana
Ujue nakufuaatilia,ukovizur
Jmn huyu baba kila nikimsikiliza uwa nailewa bible Yan uwa najawa na roho mtakatifu
Kwa sababu anajua kulisoma neno na kufundisha neno
@@happyjohn7630 ✔️yupo vizuli sana
Kwa mtindo huu tumelogwa wote
Kivipi
@@robinajohanssen697 kamaanisha kama shetani kaingia apo kwa nyumba yenu nilazima mtekwe wote
@@robinajohanssen697 yani siku iyo msipo jitambua hamta fanya kitu kinacho itwa maombi asipo tokea mmoja wenu akashtuka basi mmetekwa anafundisha nilazima muwe imala kwenye family zenu na maombi yenu yawe imala siku zote yawe yakudumu
Ninaitaji kumuona mtumishi huyu jamani nifanyeje?

Asante sana
Ameen
Amen