What a revelation, what a teaching!! Am really blessed by this sermon from Chief Apostle, I give Jesus much praise for you...May God of Major1 make more use of you...amen.
Malaika wangu awe active kwa jina la Yesu,sijui nilimlaza wapi mimi!!! Mungu nisamehe,yaani uliyoongea Apostle ni ukwel mtupu kama umeniongelea mimi!zamani nikifika mahali hata kama sikuwahifika nilikuwa najiuliza mbona hapa nilishawahi kufika??? Hata maongezi mpaka mavazi najiuliza mbina tulishawahi kuongea na tulivaa hivihivi? Sasa ndio nimeelewaaaaaaaa!!!!!!
Amen...Chief...I really connect... Please Chief usiache kupost haya masomo....wengine tumekatazwa kuja kwenye ibada za jioni....please please my Apostle
Hakuna mtu anaitwa chief appostle imeandikwa wapi? Au major prophet umeyatoa wapi hayo maneno? Injili sio siasa kuwapa watu Tittles,Hakuna aliye mkuu kuliko mwingine! Isipokuwa mitume Tena wale Tenashara na katika wao hakuna aliyekuwa mkuu kuliko wote bali Mungu alitoa hekima na huduma ya Uchungaji kwa peter!
Mtumishi somo lako zuri sana, Mimi napenda nipate ufafanuzi kwa kile alicho kisema YESU mwenyewe, (roho haina mwili)na wala siyo watu wengine wanasema tu. Hapa chini na nukuu maandiko. "Sikia Bwana yesu anavyo waambia wanafunzi wake. ; Tazameni mikono yangu na miguu yangu, ya kuwa ni mimi mwenyewe. Nishikenishikeni, mwone; kwa kuwa roho haina mwili na mifupa kama mnavyoniona mimi kuwa nayo. Luka 24:39 Hapa alikuwa ana maanisha nini?
Bwana Asifiwe, video hiyo ni mwendelezo na sehemu ama part tu ya Yale tunayofundishwa lakini nitakumegea kwa sehemu ambacho tayari baba alikuwa ameshafundisha ambapo pia alielezea kwa vizuri kabisa Hilo swali lako...
Katika andiko ulilolitoa POINT NI HII Luka 24:39 kwa kuwa ROHO haina mwili na mifupa KAMA mnavyoniona mimi kuwa nayo. Notice hajasema Roho Haina Mwili Bali Roho haina Mwili "KAMA" huu mnaoniona nao sasa Wala hakusema yeye Yesu mwenyewe hana Mwili wa Rohoni Luke 24:39 See My hands and My feet, that I am He. Touch Me and see, for a spirit does not have flesh and bones, AS YOU SEE ME HAVING (NOW). Yesu hakukataa kuwa Roho haina mwili NO! Kwani maandiko husema vile vile: 1 KOR 15:44 Ikiwa uko MWILI WA ASILI, na WA ROHO pia uko. [As surely as] there is a PHYSICAL BODY, there is also a SPIRITUAL BODY. Ila Yesu alikuwa anasema Roho haina mwili KAMA Huu Wala Roho haina mifupa Kama hii, na ndio maana Yesu alivyofufuka alikuwa anatokea au ana appear katika miili miwili: 1) Mwili wa kawaida walioweza kumgusa 2) Mwili mwingine ambao aliweza kudissapear ama kupotea yaani ule wa rohoni. Tukisema tukamate andiko Roho haina Mwili, Je? Ule Mwili wa mbinguni tunauvaa wapi? Kwa hiyo tunagundua Mwili wa Rohoni haupo Kama huu Wala hauna mifupa Kama huu, kwa hiyo Yesu alivyotokea kwa wanafunzi wake ili wamtambue alijidhihirisha pia katika Mwili ule wa kibinadamu, Ila alikuwa na uwezo wa kuingia katika Mwili wa Rohoni yaani spiritual au angelic body. So hakukataa kuwa Roho hazina Mwili hapana Ila kwa muda na wakati huo alipowatokea kuongea na Thomaso na wengine alitokea na mwili ambao wanaweza kugusa. Ule mwingine wasingeweza kugusa maana sababu hiyo unaitwa mwili wa Rohoni
@@mariammanasi9735 Katika andiko ulilolitoa POINT NI HII Luka 24:39 kwa kuwa ROHO haina mwili na mifupa KAMA mnavyoniona mimi kuwa nayo. Notice hajasema Roho Haina Mwili Bali Roho haina Mwili "KAMA" huu mnaoniona nao sasa Wala hakusema yeye Yesu mwenyewe hana Mwili wa Rohoni Luke 24:39 See My hands and My feet, that I am He. Touch Me and see, for a spirit does not have flesh and bones, AS YOU SEE ME HAVING (NOW). Yesu hakukataa kuwa Roho haina mwili NO! Kwani maandiko husema vile vile: 1 KOR 15:44 Ikiwa uko MWILI WA ASILI, na WA ROHO pia uko. [As surely as] there is a PHYSICAL BODY, there is also a SPIRITUAL BODY. Ila Yesu alikuwa anasema Roho haina mwili KAMA Huu Wala Roho haina mifupa Kama hii, na ndio maana Yesu alivyofufuka alikuwa anatokea au ana appear katika miili miwili: 1) Mwili wa kawaida walioweza kumgusa 2) Mwili mwingine ambao aliweza kudissapear ama kupotea yaani ule wa rohoni. Tukisema tukamate andiko Roho haina Mwili, Je? Ule Mwili wa mbinguni tunauvaa wapi? Kwa hiyo tunagundua Mwili wa Rohoni haupo Kama huu Wala hauna mifupa Kama huu, kwa hiyo Yesu alivyotokea kwa wanafunzi wake ili wamtambue alijidhihirisha pia katika Mwili ule wa kibinadamu, Ila alikuwa na uwezo wa kuingia katika Mwili wa Rohoni yaani spiritual au angelic body. So hakukataa kuwa Roho hazina Mwili hapana Ila kwa muda na wakati huo alipowatokea kuongea na Thomaso na wengine alitokea na mwili ambao wanaweza kugusa. Ule mwingine wasingeweza kugusa maana sababu hiyo unaitwa mwili wa Rohoni
1) Mifano ya Yesu kujizihirisha kwa mwili wa kiroho. a) Aliweza kupita sehemu hata zilizofungwa YOHANA 20:19 milango imefungwa kwa hofu ya Wayahudi; akaja Yesu, akasimama katikati, akawaambia, Amani iwe kwenu. b) Alikuwa na uwezo wa kupotea au kutoweka LUKA 24:31 Yakafumbuliwa macho yao, wakamtambua; kisha AKATOWEKA mbele yao. c) Aliweza kupaa mbinguni MATENDO 1:9 Akiisha kusema hayo, walipokuwa wakitazama, akainuliwa, wingu likampokea kutoka machoni pao. d) Hutokea katika katika utukufu hivyo Ni rahisi kumjua. kwenye kitabu Cha ufunuo na Mdo 7:55.. Akauona utukufu wa Mungu, na Yesu akisimama upande wa mkono wa kulia wa Mungu. Haya yote hayafanyiki kwa mwili wa kawaida
Natama kutoka Kenya, mungu anisaidie kuwatambua malaika wangu asante mtumishi wa mungu umebadilisha maisha yangu ya kiroho sana ubarikiwe apostle
What a revelation, what a teaching!! Am really blessed by this sermon from Chief Apostle, I give Jesus much praise for you...May God of Major1 make more use of you...amen.
Amen...Amen..be blessed so much pastor
Amen Apostle Mungu akutunze tuzidi kupata haya Maarifa
Thank you my Apostle for knowledge and revelations on this amazing sermon. Powerful.
Hallelujah Ameeeeeen connecting from Switzerland shalom Chief Apostle
Amen Barikiwa sana mwana wa Mungu,,
PST it's amazing massage you give to as, these is the point we have on our church today God bless you Amen
Chief Apostle you have done it, Am so blessed.
Wonderful teachings .
More Grace to reach the world.
Thank you my Apostle for the revelation
Amen 🙏🙏🙏 MUNGU akubariki
Amen Chief...nakupenda sana na nimekuelewa sanaa
Ahsante Chief umenifundisha kitu
Amen and ameeen god blesse pastor
Psalm 91: 11
Aamen hallelujah ubarikiwe I'm blessed
Yaaani ktk vitu navipenda nikusikiliza mahubili yako Apostle Asante maana unanibariki naumenisaidia sanaa kiroho, Mungu akubariki sana Apostle
Apostle yur th best,
Wewe ni mtumishi wa Mungu alieHai
Ameen Mungu akubarki
Ooohyes Apostle, I receive
Ubarikiwe sana mtumishi
This revelation Is🔥🔥🔥..
God of Major one help me
Ubarikiwe sana mtumishi kwa huduma yako njema
Nakupenda buree... You are too much... Am blessed Daddy
Amina Mungu akutunze mtumishi
Amen amen barikiwa
Nashukuriwe mungu kwakukupa huduma hiyo🙏🙏
Daaaa Mungu mwema Sana siamini natamani kusikia kua siyo kweli.
Malaika wangu awe active kwa jina la Yesu,sijui nilimlaza wapi mimi!!! Mungu nisamehe,yaani uliyoongea Apostle ni ukwel mtupu kama umeniongelea mimi!zamani nikifika mahali hata kama sikuwahifika nilikuwa najiuliza mbona hapa nilishawahi kufika??? Hata maongezi mpaka mavazi najiuliza mbina tulishawahi kuongea na tulivaa hivihivi? Sasa ndio nimeelewaaaaaaaa!!!!!!
Ameen mtumishi ubarikiwe sana.
Amen...Chief...I really connect...
Please Chief usiache kupost haya masomo....wengine tumekatazwa kuja kwenye ibada za jioni....please please my Apostle
Hakuna mtu anaitwa chief appostle imeandikwa wapi? Au major prophet umeyatoa wapi hayo maneno? Injili sio siasa kuwapa watu Tittles,Hakuna aliye mkuu kuliko mwingine!
Isipokuwa mitume Tena wale Tenashara na katika wao hakuna aliyekuwa mkuu kuliko wote bali Mungu alitoa hekima na huduma ya Uchungaji kwa peter!
We ni jembe la bwana wa majeshi
Nakukubari sana Apostle
U have really enlighten me
kweli kabisa kabisa 😂😂😂💯
THIS WISDOM IS ON ANOTHER LEVEL KWAKWELI
Highier levels
Nice broo
Mungu agutunze kwa ajili ya wengi
Naendelea kuvuna mavuno nondo za maana sana Mungu akupeleke viwango vingine
....jamani mimi ningekuwa mshirika wa kanisa hili...ninhekuwa mbali ....Asante..na pekula masomo yote 😂...Mungu aku bariki zaidi Apostle.
Kweli aman
Yaaniiiii!!!!!!! Muñgu akubariki mtumishi wa Jehova.
Powerful teaching be blessed 🙏🙏😂
Mtumishi naomba uandike kitabu kuhusu hili somo ili wengi waelimike,
Tuko pamoja kabisa ✔️
Hakika
God blesses you pastor ✨👌
Thx chief nimekuelewa
Aksante Sana mtumishi nimepokea kitu kizuri sana
Ohhhh! Yes teach Daddy.
Powerful
Nimejifuza namna ya kumuishia Mungu.
Ameen and ameen
Amen Amen
Nilikuwa na wait
Asante Mungu Kwa NENO hili!! Hakika Nimejifunzaaa Sana’a .
Oooh yes, apostle fireeeeee
Thank you Apostle
Mungu analisafisha kanisa kupitia Mtumishi wake mteule uwe macho mwenye sikio na asikie Roho anasema na kanisa
Ooohhh yeeeesss!!!!!!!!
Mtumishi somo lako zuri sana, Mimi napenda nipate ufafanuzi kwa kile alicho kisema YESU mwenyewe, (roho haina mwili)na wala siyo watu wengine wanasema tu. Hapa chini na nukuu maandiko.
"Sikia Bwana yesu anavyo waambia wanafunzi wake.
; Tazameni mikono yangu na miguu yangu, ya kuwa ni mimi mwenyewe. Nishikenishikeni, mwone; kwa kuwa roho haina mwili na mifupa kama mnavyoniona mimi kuwa nayo.
Luka 24:39
Hapa alikuwa ana maanisha nini?
PP
Bwana Asifiwe, video hiyo ni mwendelezo na sehemu ama part tu ya Yale tunayofundishwa lakini nitakumegea kwa sehemu ambacho tayari baba alikuwa ameshafundisha ambapo pia alielezea kwa vizuri kabisa Hilo swali lako...
Katika andiko ulilolitoa POINT NI HII
Luka 24:39
kwa kuwa ROHO haina mwili na mifupa KAMA mnavyoniona mimi kuwa nayo.
Notice hajasema Roho Haina Mwili Bali Roho haina Mwili "KAMA" huu mnaoniona nao sasa
Wala hakusema yeye Yesu mwenyewe hana Mwili wa Rohoni
Luke 24:39 See My hands and My feet, that I am He. Touch Me and see, for a spirit does not have flesh and bones, AS YOU SEE ME HAVING (NOW).
Yesu hakukataa kuwa Roho haina mwili NO!
Kwani maandiko husema vile vile:
1 KOR 15:44 Ikiwa uko MWILI WA ASILI, na WA ROHO pia uko.
[As surely as] there is a PHYSICAL BODY, there is also a SPIRITUAL BODY.
Ila Yesu alikuwa anasema Roho haina mwili KAMA Huu Wala Roho haina mifupa Kama hii, na ndio maana Yesu alivyofufuka alikuwa anatokea au ana appear katika miili miwili:
1) Mwili wa kawaida walioweza kumgusa
2) Mwili mwingine ambao aliweza kudissapear ama kupotea yaani ule wa rohoni.
Tukisema tukamate andiko Roho haina Mwili, Je? Ule Mwili wa mbinguni tunauvaa wapi? Kwa hiyo tunagundua Mwili wa Rohoni haupo Kama huu Wala hauna mifupa Kama huu, kwa hiyo Yesu alivyotokea kwa wanafunzi wake ili wamtambue alijidhihirisha pia katika Mwili ule wa kibinadamu, Ila alikuwa na uwezo wa kuingia katika Mwili wa Rohoni yaani spiritual au angelic body. So hakukataa kuwa Roho hazina Mwili hapana Ila kwa muda na wakati huo alipowatokea kuongea na Thomaso na wengine alitokea na mwili ambao wanaweza kugusa. Ule mwingine wasingeweza kugusa maana sababu hiyo unaitwa mwili wa Rohoni
@@mariammanasi9735

1) Mifano ya Yesu kujizihirisha kwa mwili wa kiroho.
a) Aliweza kupita sehemu hata zilizofungwa
YOHANA 20:19
milango imefungwa kwa hofu ya Wayahudi; akaja Yesu, akasimama katikati, akawaambia, Amani iwe kwenu.
b) Alikuwa na uwezo wa kupotea au kutoweka
LUKA 24:31
Yakafumbuliwa macho yao, wakamtambua; kisha AKATOWEKA mbele yao.
c) Aliweza kupaa mbinguni
MATENDO 1:9
Akiisha kusema hayo, walipokuwa wakitazama, akainuliwa, wingu likampokea kutoka machoni pao.
d) Hutokea katika katika utukufu hivyo Ni rahisi kumjua.
kwenye kitabu Cha ufunuo na Mdo 7:55.. Akauona utukufu wa Mungu, na Yesu akisimama upande wa mkono wa kulia wa Mungu.
Haya yote hayafanyiki kwa mwili wa kawaida
Luka 17-7-8
Nifuraha Mbinguni,
Kutoka malaika ni kwaajili Yangu Mimi
Amen thank you Jesus
Mungu nisaidie kuwajua malaika
napokea ufunuo juu ya malaika. na malaika kujifunua kwangu.
Ooh Jesus this is deep revelation
Natamani siku moja nikanyage tu hapo kila kitu kibaya kitavulika kama ngozi kwangu.
✔️
oooh jaman Leo ndiyo najua
Napokea
Kwa nn mwili wa yesu haukubakia kaburini.
AMEEN
Waaaaa!
Napokea malaika awe hakimu kwenye kesi tarehe 28/1/21
Merkesedek
Amen
Na banalikiwa nahuduma yako mtumishi
Thats truu papa
This 20 G
Zaburi 91:11
Apostle Mtalemwa Mungu Akupe maono Mapya kila paitwapo leo Nakupenda sana and you Inspire me so Much 🥰😍
Tunakusikia baba
Powerful
Amen amen
Amen