KIPYENGA CHA MWISHO | Kazi asawazisha utata goli la Guede, Kipre Junior na lile la Tabora United

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 тра 2024
  • Kipindi cha Kipyenga cha Mwisho na matukio mbalimbali yenye utata wa maamuzi katika michezo mbalimbali ya NBC Premier League likiwemo goli la Joseph Guede lililokataliwa dhidi ya Kagera Sugar kuna goli la Kipre Junior pia wa Azam FC alilolifungwa dhidi ya Mtibwa Sugar.
    Mwamuzi Mstaafu wa Kimataifa, Osman Kazi akisawazisha utata wote wa matukio hayo.
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 101

  • @davidchirimi2013
    @davidchirimi2013 11 днів тому +2

    Huyo muamuzi ashukuru sikuwepo chamazi ningekuwepo tungeomuona angepitia wapi kwenda nyumban kwake ckuiyo ndo tungemfundisha sheria kama alikua haijui ana bahati sana alituumiza sana mioyo yetu nilitaman nimmeze

  • @ahmedalsaadi7108
    @ahmedalsaadi7108 12 днів тому +3

    Kiukweli waamuzi wanaumiza sana watu wengine

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 12 днів тому +3

    Msiwape kichaka waamuzi pakujificha kuwa makosa ya kibinadam

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 12 днів тому +1

    Mwalimu wangu kazi Uko vizuri sikupingi auna baya

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 12 днів тому +1

    Nimeisikia Salam Ya Baba Mzazi Ushauri Mzuri..

  • @ManzabaySalim
    @ManzabaySalim 12 днів тому +4

    TFF NA FAT WAFUKUZWE WOTE HIO MIPANGO YA KARIA

  • @beatricemlay4801
    @beatricemlay4801 12 днів тому +4

    Mpira wa Africa hususani bongo umeoza

  • @alexndihokubwayo8010
    @alexndihokubwayo8010 12 днів тому +3

    I’m alex ndihokubwayo I’m living in USA 🇺🇸 Cleveland city 🏙 Ohio hawa ma refari wa Tanzania 🇹🇿 wanatia aibu kweli

    • @proisolution7166
      @proisolution7166 12 днів тому

      KUTOKUPENDEZEWA NA KOCHA NAYE NI BINADAMU HAINA TOFAUTI NA NINYI MLIOTETEA RED CARD YA LAWI NDIYO MNAONGEZA HASIRA TUKIO ZIMA LA LAWI NI UPENDELEO WA TFF PALE MR KIPENGA CHA MWISHO HIZO SHERIA ZINAANGALIA TUKIO NOT JUST LAST DEFENDER WEWE UNA TO MISLEAD NA INCIDENCE YA MWISHO,HUYO MTOTO ALIKUWA DIS POCESSED MPIRA NA TIMU YOTE ILIKUWA IMEVUTIKA INAWEZEKANA AZIZ ANGEPIGA MOJAMOJA KWA MOJA MAY BE KIPA ALIKUWA OFFLINE, AU ACHEZE NA GUEDE CSE ILIKUWA NI ALMOST TWO STRIKER AGAINST 1 DEFENDER,NASHANGAA NA NITASHANGAA KAMA SHERIA INARUHUSU ETI MTU ANYANGANYWE MPIRA AJE AFANYE KAMA YULE LAWI ETI APEWE NJANO KISA HE WAS NOT LAST DEFENDER ,LABDA KWA MUJIBU WA TFF HILO NI SAHIHI NA SIYO SHERIA ZA SOKA.KULE KWA MBWENI JKT ULE MPIRA ULIGUSA NYAVU ZA JUU SASI AKASEMA SIYO GOLI-HATA WEWE UKIWA COACH UKIPANDWA HASIRA SAWA.HAPA CONFLICT OF INTEREST INAHARIBU KILA SEKTA TANZANIA,WACHAMBUZI.MAREFA,VIONGOZI.NK.

  • @user-ce3tx7mr8v
    @user-ce3tx7mr8v 12 днів тому +3

    AMINA KYANDO NI UKOO WETU LAKINI ANAHUSIKA MECHI NYINGI ANAIBEBA SIMBA

  • @godfreymussa2953
    @godfreymussa2953 9 днів тому +1

    Marefa wabadilike waache kuwa mashabiki wa timu zinachocheza lkn pia Sheria iboreshwe nao marefa walipe faini kwa makosa wanayofanya Kwan bado wanavunja Sheria za kazi zao

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 12 днів тому +2

    Kocha gamondi hakuwa na kosa hapo ameteteya haki ya kazi yake

  • @mosesgasana7109
    @mosesgasana7109 12 днів тому +2

    Tukisema nchi imejaa vilaza tueleweke. Yaani kila sector ni vilazaaa tuiuuu. Imagine ni sheria 17 tu za soka zinazotakiwa kutafsiriwa vzr ili kutenda haki lakini wapi. Marefa wengi ni vichwa vya panzi😂😂😂

  • @hamishassan6784
    @hamishassan6784 9 днів тому +1

    Nadhani Sheria ziboreshwe pale ambapo itakapothibitika pasi na shaka kuwa Mchezo ulikuwa na goli halali lililokataliwa ikiwemo wenye goli kupewa na matukio yaliyopelekea goli kukataliwa kama yatapelekea goli kwa timu shindani kuondolewa.
    kwani hii itaondoa mihemuko kwa waliodhulumiwa goli halali na kuweka utulivu wa kutosha kwani marejeo yatakuwa yanathibitisha yote na kuchukuliwa uwamuzi wake kuwa sahihi. Vinginevyo itakuwa kama Kaka Kazi hapo anaposema ".... najua inauma But but !!!!!"

  • @vicentsagudasheyi564
    @vicentsagudasheyi564 12 днів тому +2

    Watu Wa natumia gharama, pesa, muda na nguvu kuandaa timu halafu unadhulumiwa kiraisi

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 12 днів тому +1

    Mfahamishe Vizuri Huyo Jamaa Anaonesha Haelewi

  • @christianjohnmwalugaja8090
    @christianjohnmwalugaja8090 12 днів тому +1

    Hapo kazi umechemsha kipre alivuta nilikuwa naheshimu sana maoni yako sasa naanza kuwa na doubt

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 12 днів тому +3

    Tatizo ni mazoezi hawafanyi hawana kasi

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 12 днів тому +1

    Zanzibar Kutoka Wachezaji Wengi Wazuri ila Bara Wanabana Sana

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 12 днів тому +1

    Mmeanza siasa sikuizi Azam Yani mpaka kwenye magoli ya highlight goli la mudathiri hawajaweka

  • @GeradinaJohn-xh8pw
    @GeradinaJohn-xh8pw 12 днів тому +1

    Nimeumia sana😢😢😢

  • @user-gi2tx2gv2t
    @user-gi2tx2gv2t 12 днів тому +2

    Waamuzi waache ushabiki wafanye kazi Yao shida muamuz anachezesha mechi lakini ni mshabiki wa timu Fulani anaendekeza ushabiki nawachukia kinoma waamuzi kama hai

  • @christianjohnmwalugaja8090
    @christianjohnmwalugaja8090 12 днів тому +1

    Ni kweli alichofanya Gamondi akikuwa suala la mchezo lakini kumbukeni huyu ni Mwajiriwa anataka kumshawishi mwajiri ili apate donge nono hivyo suala hili linauma kwa upande wake anapoona anakosa bargaining power katika mkataba mwingine.

  • @jeshihassan7120
    @jeshihassan7120 11 днів тому +1

    Hata tukiwa na VAR kwenye ligi TANZANIA bas haiwez kusaidia kwa sababu waamuzi wanaamua kutokana na maamuzi yao (Utashi wao) na sio kuamua kutokana na sheria ya uamuzi.

  • @linnusaloyce6559
    @linnusaloyce6559 11 днів тому +1

    Kikubwa naona azabu wanazo pewa wachezaji na benchi la ufundi marefa nao wapewe hivyo hivyo maana wote wapo kwenye kazi moja haiwezekani wapumzishwe tu iyo cyo azabu wahazibiwe kwa faini na kufungiwa kama wachezaji na benchi la ufundi wanavyo fanyiwa huo ujinga utaisha kingine kuboresha kwenye basi la azam wawepo waamuzi wa ziada kwaajili ya kungamua badala ya VIR

  • @emmanuelmodest7457
    @emmanuelmodest7457 12 днів тому +1

    WAAMUZI WANAHARIBU MPIRA WETU SANA, GAMONS ALIPATA HASIRA KWA ANAYOYAONA KWA WAAMUZI

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 12 днів тому +1

    Na niwaombe hizo video clips wekeki angel zote sio nyuma ya wachezaji na kamera ziwekwe kote na wakati matukio yanaelezwa zoom TV TU tuone matukio yote

  • @user-tb5gp4wi4e
    @user-tb5gp4wi4e 12 днів тому +2

    Tff ndo wanawatuma marefa kuchezesha uwo ujinga ili yanga akose matokeo mazur aandaliwe mtu ubingwa

  • @mhebhoamoskisimple2095
    @mhebhoamoskisimple2095 12 днів тому +3

    mna chambua kinafiki mno..gamond yupo sahihi kabisa 😊.sema nyie mlitaka somba abebe ubingwa

  • @obedkalinga9704
    @obedkalinga9704 4 дні тому

    display ya matukio very poor, improve by introducing a slow motion. kwa munavyoonyesha ni ngumu mtu kuelewa mnachoongea

  • @IdaAdek
    @IdaAdek 12 днів тому +2

    Gamond ako Sawa waamzi waache ujinga kabisa

  • @user-yk8gf2zi2b
    @user-yk8gf2zi2b 12 днів тому +17

    Acha kutetea ujinga watu wanatumia gharama gamondi Yuko sawa yaani nyinyi waamuzi wetu wakikosea eti makosa yakibinadamu lakini wakifanya wengine Wana bigwa faini waamuzi wetu wamezidi huo sio ubinadamu nimaandalizi tabora wamedhulumiwa yanga pia nawengine afu tff wamekaankimya tumechoshwa nawaamuzi Bora tucheze bila waamuzi

    • @ce-08
      @ce-08 12 днів тому

      😂😂 sasa mnunue marobot yachezeshe maana Kila timu especially hizo kubwa zmenufaika na hayo makosa

    • @hsanomohamed4543
      @hsanomohamed4543 12 днів тому

      Wewe mwehu Gori rawa Kagera rachirwa umerisahau

    • @user-kk3tv6kw1o
      @user-kk3tv6kw1o 12 днів тому

      Mechi ya ngapi hiiii Yanga wanaonewa? Ni mpango wenu na hiyo TFF kuinyong'onyeza Yanga?
      Na huyo Kazi wao lazima atie dosari kwa Yanga tuu,
      Acheni unazi,

    • @claretedwardngoye2283
      @claretedwardngoye2283 11 днів тому

      Mwamuzi alifungiwa​@@hsanomohamed4543

    • @paulinevedastus7621
      @paulinevedastus7621 10 днів тому

      Wewe umebebwa mechi ngapi unajisahaulisha au tukutajie

  • @reubenmzengi4589
    @reubenmzengi4589 12 днів тому +1

    acheni ujinga au nanyi ni wapanga matokeo. Yanga tunadhulumiwa Dana mechi na Azam, Kagera na zingine nyingi. Tabora wamedhulumiwa yote haya kumbeba Simba Kila mtu anajua.

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 10 днів тому

    Swafi sanaaa ❤❤❤VAR ije

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 12 днів тому +1

    Hawa marefa wana taaluma ya kutosha na hayo makosa wanafanya kwa makusudi na kwa maekekezo ya wanaowasimamia. Dawa nzuri ni Ile ya kuwachomea moto nyumba za marefa wanaofanya ujinga huo maana TFF inawalinda hao marefa. Hii ilisaidia sana miaka ya 70 na 80. Inazigharinu sana timu zinazofanyiwa hujuma hizo za makusudi na kuwaondolea burudsni maelfu ya watu wanaofuatilia mchezo huo Kwa viingilio halali na muda wao wa kufuatilia Mpira na badala yake wanawaangalia marefa wakilinda rushwa zao. Hawa ni watu wa kupotezwa kabisa ktk. Soka letu.

  • @JuhudiKasanga-yq5ks
    @JuhudiKasanga-yq5ks 12 днів тому +1

    Kwani hawa marefa wanaandaliwa na nani au wanaokotwa TU kwasababu wanamasilahi na Wana tff wanaopanga matokeo ili watu wakipani kwa makusudi ya marefa wapige faini wapate hela wanazotaka kwa hujuma hizo.

  • @jonathanmwakabuku4714
    @jonathanmwakabuku4714 12 днів тому

    Kaze alichofanya Gamond ni sawa kabisaa coz malefa wa bongo wamezidi kujiamulia kwa ushabiki badala ya professionalism

  • @chinaaudax6459
    @chinaaudax6459 12 днів тому +1

    Wewe ni Refali mkongwe jaribu kukaa na wamuzi wape semina

  • @leomika8473
    @leomika8473 12 днів тому +1

    Ata ukiweka sawa Kuna kitakacho badirika

    • @thadeylyimo9772
      @thadeylyimo9772 12 днів тому

      haibadilishi kitu ila hapo utajua uko upande wa kubwebwa au timu yako inauwezo

  • @bmkaskazinib4363
    @bmkaskazinib4363 11 днів тому

    Waamuzi wengine wanao uwezo lkn wana mapenzi ya timu Fulani hawaezi kuwa waadilifu

  • @alikomwakajegela4198
    @alikomwakajegela4198 12 днів тому +2

    Kazi unazingua eti kuweka mkono sio kosa, tunakujua uko upande gani. Simamia sheria kiuweledi kama mstaafu

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 12 днів тому

    Mtangazaji unaweka visifa vya hovyo hovyo..

  • @AllanKinyunyu
    @AllanKinyunyu 12 днів тому +1

    Alipanga kuinyonga yanga huyo hajui kazi kazi yake huyo alilewa

  • @chinaaudax6459
    @chinaaudax6459 12 днів тому +1

    Unawashaulije wamuzi wanao fanya hivyo kila Mara

  • @iddiyrashid1682
    @iddiyrashid1682 11 днів тому

    Kwanini marefa hawapigwi faini wanafungiwa mechi 2 ama 3 halafu yamekwisha lakini kocha anafungiwa na faini pia anapigwa

  • @daudkhatib-qn5tr
    @daudkhatib-qn5tr 10 днів тому

    Na ndiomaana wabongo hakuna waamuzi wanao haguliwa kuchezesha mashindano ya njee

  • @HusseinIsmairy-gj5ux
    @HusseinIsmairy-gj5ux 12 днів тому

    Mi naulizaga kilasiku hamnijibu baada yahapa nini kinatokea kama faida ya waonewa

  • @SalimAthuman-xh7ci
    @SalimAthuman-xh7ci 12 днів тому +2

    Akuna mchambuzi apo ushuzi mtupu

  • @user-qg1iy5ov3u
    @user-qg1iy5ov3u 11 днів тому

    Hii inatokana na mapemzi ya marefa kwa kiongozi mkuu wa t f f

  • @cletusmwampinzi
    @cletusmwampinzi 11 днів тому

    hiki kipindi hakina maana, tunaomba uwafundishe hao waamuzi.fundisha

  • @deokibona2835
    @deokibona2835 11 днів тому

    Adhabu Kwa waamuzi zitazamwe upya. Kama mtu kama manara ambaye anakuwa jukwaani anaweza kufungiwa bila kikomo na faini ya million 10 kwanini mwamuzi apumzishwe tu wakati kakataa goli? Makosa mengine yanaweza kuvumiliwa lakini sio kukataa goli halali au kukubali goli Haram.

  • @user-rr5ld5hp5q
    @user-rr5ld5hp5q 10 днів тому

    Nyi awa waamuzi mnawachukua mtaani au maana ata siwaelewi wanacho kifanya

  • @bmkaskazinib4363
    @bmkaskazinib4363 11 днів тому

    Acha tu zsimba wadeke hatshangai hats ligi kuakhiridhwa

  • @user-iu2cm5um6e
    @user-iu2cm5um6e 12 днів тому +1

    Pumbavu zako,umezeeka hadi macho yako, hata kipofu anaweza kuchambuwa ukweri, DU,huu ujinga wawamuzi hauwezi kuisha,kumbe kuna wantu wanafuga huu ujinga. Ndo kama hawa.

  • @chinaaudax6459
    @chinaaudax6459 12 днів тому +1

    Kama ni goal wewe Kama kipenga Cha Mwisho anawasaidiaje wamuzi waache kukaa Mbali na matukio

  • @Zuberigangisa-dk9ne
    @Zuberigangisa-dk9ne 10 днів тому

    WAZO LAKO KIPYENGA LIKO SAWA. Lakin Nini kazi huyo kamii saa anaye simama mbele

  • @user-qg1iy5ov3u
    @user-qg1iy5ov3u 11 днів тому

    Viongozi wa t f f muda wao wa kuongoza utaisha lini?

  • @frankmkumboelias8265
    @frankmkumboelias8265 11 днів тому

    Maneno mengi kuliko vitendo!

  • @leonardjohn6481
    @leonardjohn6481 12 днів тому

    Ok nimegunduwa leo wa chambuzi uchwara Tanzania nimama nishuke 😅

  • @adamamin8148
    @adamamin8148 10 днів тому

    Anaitwa fala sofia

  • @abeidrashid2574
    @abeidrashid2574 11 днів тому

    Hiyo ni faulo ya waz muwamuzi yupo sahii

  • @user-qg1iy5ov3u
    @user-qg1iy5ov3u 11 днів тому

    T f f imejs viongozi wa simba tu tunaomba serikali iingilie kati maana huu ni ukabila kwenye michezo

  • @EdifonceSylvester
    @EdifonceSylvester 11 днів тому

    Sauti ya mchambuzi ipo chini

  • @user-sb2oj6pl5f
    @user-sb2oj6pl5f 12 днів тому +1

    E bwanae wacheni ayo yalopita yamepitq

    • @GeradinaJohn-xh8pw
      @GeradinaJohn-xh8pw 12 днів тому

      Kwaio kama yamepita ndo tuachane nayo ili yaendelee tu au unamaanisha nini

  • @peterkapeople7103
    @peterkapeople7103 12 днів тому

    Maoni yangu ili kuondoa utata wa mambo na matukio yanayoendelea kujitokeza kwanini kusiwepo na referee mwingine awe anakaa kwenye basi la Azam ilikuweza kuona matukio Kwa njia ya picha za marudio Kwa sababu uwanjani huwezi kuzipata itasaidia kwakua hatuna VAR

  • @juliuslawi8983
    @juliuslawi8983 12 днів тому

    Hawa marefa wanasoma nini huko chuoni kwao,aibu tupu

  • @user-yk7ff9ks6q
    @user-yk7ff9ks6q 12 днів тому +2

    Tff wanahusika chini ya karia

  • @iddiyrashid1682
    @iddiyrashid1682 11 днів тому

    Warefa wa mchongo watu wamo na wao wamo

  • @user-px7jf7xs6k
    @user-px7jf7xs6k 11 днів тому

    Huyu muandish koloooooooo

  • @user-zh5tp2yq6f
    @user-zh5tp2yq6f 10 днів тому

    Tubadlishieni waamuzi

  • @josephshishira6301
    @josephshishira6301 9 днів тому

    Kwanini VAR na goal line technology viliwekwa, sidhani kama uchambuzi huu una maana yeyote, ni kupoteza muda na kuleta sintofahamu kwa waamuzi pia wapenzi wa mpira bila sababu.

  • @user-rh5yn3bc1o
    @user-rh5yn3bc1o 12 днів тому +1

    Kipyenga kwa sasa ni kipyongp.....useless commentary

  • @stevenhaule6786
    @stevenhaule6786 9 днів тому

    Refaree hakuwa lain position Sasa ameona vip kama ni offside?unatuzingua wochu

  • @rtp9010
    @rtp9010 10 днів тому

    Kuzeni matukio mnayojadili. Acheni uninafsi. Mnaona poke yenu tu

  • @stevenhaule6786
    @stevenhaule6786 9 днів тому

    We nawe kazi unazingua umesema inauma;Sasa hujapenda nin Sasa
    Wew mwenyew ulikuwa na changamoto zako enzi za urefaree wako kwani hatujui acha kutetea kuwa timamu bro

  • @user-sm4jq6hq1t
    @user-sm4jq6hq1t 10 днів тому

    Hàlina akili kabisa eti kipenga Cha mwisho

    • @ezrajoseph3666
      @ezrajoseph3666 9 днів тому

      hivi nyie mnaotukana humu, mnaingia kujifunza au ? hebu chukueni ifa ya mpira na so ushæbík

  • @user-bo5qp9gz8m
    @user-bo5qp9gz8m 10 днів тому

    Ujinga tu mnaongea.tutokeeni.apo.mbele

  • @alfredrutaguza7506
    @alfredrutaguza7506 12 днів тому +2

    Huyu na kahaba wa manzese anajishauwa wakati enzi zake alikuwa anahujumu waziwazi

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 12 днів тому +1

    Maisha Magumu Tanzania Wanapokea Wote Hao Marefa

  • @hamisibeya8959
    @hamisibeya8959 12 днів тому +1

    Marefa wa mchongo wanarudisha nyuma vipaji vya watu

  • @ManzabaySalim
    @ManzabaySalim 12 днів тому +4

    Acheni zenu nyinyi mnajua kua madunduka wanabebwa mnajua yote karia huyo

  • @user-qg1iy5ov3u
    @user-qg1iy5ov3u 11 днів тому

    T f f imejs viongozi wa simba tu tunaomba serikali iingilie kati maana huu ni ukabila kwenye michezo

  • @YonahShao
    @YonahShao 11 днів тому +1

    Sasa mkishasema haikua penati nini kinafanyika, sioni kama kuna maana ya hiki kipindi maana ninini faida yake,mnaongeza maumivu kwa wahusika tu