TAARIFA MPYA KUTOKA YANGA YA AZIZ ALLY KAMWE AFUNGUKA SAKATA LA AZIKI KI KISAINI MKATABA MPYA YANGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 тра 2024
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 44

  • @NelsonMatambo-ob5zm
    @NelsonMatambo-ob5zm 22 дні тому +2

    yanga tim kubwa

  • @abdulismail79
    @abdulismail79 24 дні тому +3

    Ukiwa nje ya Nchi (England) vipi unaweza kujisajili kuwa mwanachama?

  • @christosilerkalata9607
    @christosilerkalata9607 22 дні тому +2

    Wanachama zaidi ya million 30 tuwekewe mpango kila mmoja atoe kiasi gani?

  • @stafordchamgeni8430
    @stafordchamgeni8430 24 дні тому +2

    Nitumie control namba nilipie uanachama na nije kula supu tarehe 25/5/2024

  • @Kanyawela
    @Kanyawela 23 дні тому +2

    Weka kujisajili day nami nijisajili

  • @saidmpunga-en6pf
    @saidmpunga-en6pf 22 дні тому +1

    azizi ki abaki hao makolo watoe udenda tu hawampa hao nikama fisi wamwambie deuji akatafute nae nje haoni wanaume wanavyojituma kama injinia naitwa said mpunga nipo wazo dar contena

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 24 дні тому +1

    Wanachama tutamfanya Azizi Ki tutamziwia asiondoke tataongeza malipo kwenye kadi za uwanachama!!

  • @RahmaAbdulrahman-er2yg
    @RahmaAbdulrahman-er2yg 24 дні тому +1

    Tunaomba abakie yanga azizi k diara abakie pacome abakie yanga

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 24 дні тому +2

    Mmeandaa mazingira gani au mmetengeneza utaratibu gani ili wanachama na mashabiki mwananchi waweze kutekeleza hilo jukumu la kujisajii ili kuwa wanacha na mashabiki rasmi wa club.

  • @user-nm2jq7xo5f
    @user-nm2jq7xo5f 23 дні тому +1

    Kilajambo na wakati wake

  • @NassibAbdallahMariki
    @NassibAbdallahMariki 21 день тому

    Kadi inalipiwa Shs ngapi

  • @TwalibuHassan
    @TwalibuHassan 23 дні тому +1

    Naitwa twalibu Hassan kadi shilingi ngap kujisajili

  • @NassibAbdallahMariki
    @NassibAbdallahMariki 21 день тому

    Kadi shs ngapi

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu 23 дні тому

    Kiongosi kijana nikweli umuli wako uko tofauti naungozi wako yani maneno yakoyakimbwa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @isacknicodem3262
    @isacknicodem3262 23 дні тому +1

    Ally mngemshawishi mkampatia mkataba ili mpige pesa

  • @HappyEel-wg4qx
    @HappyEel-wg4qx 22 дні тому

    Makoro mnaumia sana

  • @JackSanga-fw9xt
    @JackSanga-fw9xt 15 днів тому

    Mimi naomba niwe mwanachama jmn niwe na kadi

  • @prospermbena4692
    @prospermbena4692 22 дні тому

    Nalipa adda ya uanachamaa sasa hivi, Yanga baba lao daima mbele nyuma mwiko

  • @mussamtupa
    @mussamtupa 21 день тому

    Sisi tunao ishi nje ya nchi tunafanyaje ktk usajiri na kulipia? Majibu tafsdhar

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu 23 дні тому

    Tupe maerezo ukiwanje na Tanzania kadi yacama utayipataje???niko Bujumbura

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu 23 дні тому

    Kwni mayele nkitugani tunafika apaju yamayele???

  • @PauloAlfayo-qi1gn
    @PauloAlfayo-qi1gn 23 дні тому +1

    Naomba namna ya kulipia kadi ya uawanachama simba sitaki Tena kuanzia leo

  • @saidmpunga-en6pf
    @saidmpunga-en6pf 22 дні тому

    kuamtu inamkela azizi kubaki yanga sasa yeye ndie alimsajili mbona anawashwa mambo ya yanga waachie yanga viongozi wetu wameenda shule sio hao wanapiga kelele tu aende tandale vilabuni akasajili watuache na yanga yetu wenyewe kazi kumtia hasara mo

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 24 дні тому +5

    Kama ambavyo kumekuwa na siku ya Pacome day --- Aziz ki day --- Maxday --- Baka day etc --- Tengenezeni mazingira ya kuwa na siku maalumu,itakayoitwa labda JISAJILI DAY ,kwa Nchi nzima,then kabla ya siku hiyo kufanyike uhamssishaji mkubwa kupitia vyombo mbalimbali vya habari na hata mitandao ya kijamii " Nadhani kuna kitu kikubwa chenye tija kwa club kitafanyika " Na ifanyike hivyo,hata mara mbili kwa mwaka "

  • @rehemakimbesa7296
    @rehemakimbesa7296 23 дні тому

    Na sisi ambao hatupo huko tunajisajiri vp

  • @user-xz8rm2jr2x
    @user-xz8rm2jr2x 23 дні тому

    Ally kamwe,WW NI msema kweli sio Kama Yule mchumba wa upande wa pily

  • @user-nm2jq7xo5f
    @user-nm2jq7xo5f 23 дні тому

    Lolote litawezeka

  • @benarddickson1326
    @benarddickson1326 22 дні тому

    Uongozi Yanga um-retain Aziz we highly need this player.

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 24 дні тому +9

    Njia ya muongo ni fupi mara Aziiz mkataba imeisha mara tumepata offer kakojoe ulale mchezeji mkataba ukishaa Club haipati Chochote wadanganye Uto mafalaaaaa

    • @FirdausAlly-ls8fw
      @FirdausAlly-ls8fw 23 дні тому +2

      Kwani unaumia nin NGULUWE FC.. aziz ki. Ni mchezaji wa yanga we tuliaa pambania jina la pili cyo TATU JUMA MGUNDA

    • @JastinAlphonce
      @JastinAlphonce 23 дні тому

      Acha kiki my brother Kwan hujui uwezo wa vilabu vya kariakoo mara kaja sawadogo wa million 700 alipofeli kibao kikasema alikuja free 😂😂😂

    • @KizingiliRamadhani-gh5gq
      @KizingiliRamadhani-gh5gq 21 день тому

      Ww ni mjinga

  • @hassanmatete7121
    @hassanmatete7121 23 дні тому

    Unasema mayele kaingiza pesa yanga alipoondoka wakati rais alisema kaondoka bure naomba waka sawa kwa ili

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 23 дні тому

      Wewe ndunduka.

    • @zeddymourice4249
      @zeddymourice4249 22 дні тому

      Je unafuatiliaga haya mambo?mtafute wakala wamayele nadhani utapata jibu kamili kama mayele aliuzwa au aliondoka free

  • @user-hu4el2rx2u
    @user-hu4el2rx2u 24 дні тому

    Hamna pesa za kushindana na matimu mkubwa mumbakishe azizi ki

  • @user-hu4el2rx2u
    @user-hu4el2rx2u 24 дні тому

    Huyo wenu lakini azizi ki sio wenu Tena free boti

  • @user-hu4el2rx2u
    @user-hu4el2rx2u 24 дні тому

    Acha uongo mayele alikuwa wa mkopo

  • @user-bi8hr3nu6g
    @user-bi8hr3nu6g 23 дні тому

    Kama wewe ni mwanasimba unataka kuja yanga nenda kwenye tawi lolote lililo kalibu na wewewatatakupokea bei ya kadi ni 31