Magufuli kwann ulikufa lakini ,, huko uliko hata ile barabara ya makambako songea mpaka leo mashimo tu, CAG huku lipoti nishoti tu magu msukuma wanamdharau bungeni eti hajasoma.
Mheshimiwa msukuma nipo mdogo wako hadhina ya taifa nasikitika Sana kwa hilo soon tutakutanaa huko tutasomana vema ndo maana wasukuma wanatuona wakaidi but brother soon ntafka mungu ainue utukufu wake tu
Hapa ndo tunaelewa msomi ni Nani Nadhani msukuma ni msomi kamili hachana na HAO wanatafakali usomi katika karatasi Ila nje wanayoyafanya hata haya....... Big up grandpa!!!!!!!!
Huyu kingmsukuma hana kura za maruhani anakura za wanainchi kias hata ikichukua chama ingine huyu hakosi kura za wanainchi maana ni mbunge wa wanainchi kwa tiketi ya ccm sio mbunge wa ccm kwenye jimbo alipo
Tunaomba msaada hasa kwenye miradi ya serikali mingi mmewapa wachina ila watanzania masikini wanateseka hawana wakuwatetea vijana wanafanywa kama wakimbizi ,,mikataba hamna ,na ikiwepo ni batili,mishahara duni,Pesa za wafanyakazi wanagawana wao wanawapa wafanyakazi kiasi wanachokitaka,,Wachina wanaishi kwakutoa rushwa kwa viongozi wa mkoa,wilaya na almashauri,,mateso yanabaki kwa wafanya kazi wa hali ya chini,,Tunaomba wabunge na mawaziri kagueni miradi iliyopo kwenye majimbo yenu,,Napia fuatilieni haki za wazawa wanaofanya kazi kwenye hiyo miradi , Tanzania ni yawatanzania,,hakuna mtu katili kama mchina jamani
Msukuma wew ni kiongozi bora kama magufuli mi ningependa sana ugombee urais tutakupitisha tunaona kazi zako nzuri sana
Good brother
Na Makonda
Mmmmmmmmh, urais????
Msukuma kama msouth africa au Mexico 🇲🇽 big up
Daaaa ubalikiwe musukuma
😂wewe kiongozi bora
Ase mimi sema ukweli uyu mzee wetu agombee urais tu 🤗🤗
Na lazima apite
Mungu akulinde
Very good
kama ulipagawa na hio cover photo ukafungua hii video😂 like hapa
Fala ww
Yaani waandishi niwatu wakuwasamehe tu
😀😀😃😁😄😂😂😂😂😂
Daaaah uko safi sana mzee wa kazi hurry up hurry up wizi mkubwa mimi sioni faida ya elimu wizi tu
asante msukuma wewe na magufuli mlikuwa njia moja ila uliokuwa nao sasa niwapiga dili mungu akulinde mbunge wa taifa
Asante Msukuma. Waambie BRT itumie UMEME acheni Disel. Msifunge uzalishaji wa ziada wa umeme, utumike BRT na mabasi ya mijini.
mmmh inatumia diesel?
kama inatumia diesel, basi tnahitaji katiba kama China
kiongozi akichakachua hukumu yake shaba
Mungu akulinde msukuma
Msukuma Yuko vizuri sana taifa mtumieni huyu mfanyabiasha atatuokoa Mungu akusimamie Msukuma
Msukuma yuko sahihi, wizi serikalini ndo mpango mzima
sana msukuma❤❤❤
Msukuma nitafute nikipe soda ,au beer 😂😂
Ubarikiwe sana kiogozi Bora mtetezi wa wanachi
Asante msukuma JPM Rest in peace inaumiza time will tell
Uko vizuli sana we nikiongozi bora unafanya kazi nzuli natamani ungekwa Mbunge wetu asant
We ndo kiongz Bora
Nchi yetu kila mtu anawaza madili tu ndo maana hatuendelei. Raisi wetu jpm pumzika kwa amani
Yaani tunaviongozi wa ovyoo sana!musukuma aliwanyosha tena wameibuka,mamma anakopa wanakula.😢😢😅😅
Magufuli kwann ulikufa lakini ,, huko uliko hata ile barabara ya makambako songea mpaka leo mashimo tu, CAG huku lipoti nishoti tu magu msukuma wanamdharau bungeni eti hajasoma.
Hajasoma lakini anapoiti
Kusoma siyo Kila Kitu.....ubora wa kiongozi siyo kisomo tu....mambo ni mengi.
Musukuma Ana uchungu na Tanzania 🇹🇿
lait tukiwa na watu wa hivi kamaa 100 ingekuwa raha sana big up msukuma
Uko vizuri mwakilishi wa wanyonge
Ongela. Sana mh.mbunge msukima nikweli eabunge we give nieezi.pia wapo kwa ajiri ya matumbo yao tuu hawapo kwa ability yakuwatumikia watu.
Semasemaaaass
Msukuma unanibarikj sana yaani barikiwa😍
❤msukuma
Hiii ichiiii
Nakukubari sana weye mheshimiwa mpina piga kazi
Ila mungu alibariki bunge na viongozi tusonge Mbele ila hao wezi wakalime warudishe hela cc raia tunaumia sana .
❤msukuma nakukubali sana😅
Hahaha Eti mtoto wa kitaa msukuma oyeeeeee 😂😂
oyeeee🎉🎉🎉
Sema baba
Upewe ulinzi ❤baba
Msukuma mungu akulinde undelete kusema ukweli
Kwa kweli kama kungekuwa na wabunge kama msukuma 20 tu tz tungesonga mbele sana
Hongera sana msukuma,wape makavu,watu hawana woga..
Asaivi bunge la kichoko
Hiyo hatarii saanaaa
Tunakupenda msukuma❤😂😂
hongera sana broo irifaa wotee humo bungeni waigee huo mchango wako daah
Msukuma na kishimba nawapendeni🎉🎉🎉🎉
Hongera sana Mh
Mheshimiwa msukuma nipo mdogo wako hadhina ya taifa nasikitika Sana kwa hilo soon tutakutanaa huko tutasomana vema ndo maana wasukuma wanatuona wakaidi but brother soon ntafka mungu ainue utukufu wake tu
Jamani kuweni na hofu ya Mungu hii nchi itabakia na hamtaondoka na kitu duniani ni mapito tuu.
Tunakupa pongez Sana gombea tutakupa kula 3:03
Kweli ❤
Hongera sana baba yetu mpendwa 🎉🎉🎉 long live
Upo saws nakuombea kwa mungu akuongeze
Asante sn mbunge wang mtetez wa wanyonge wew na makonda mumefuat mienendo ya anko magu
Hujui kufananisha inahitaji elim pia
( uskurupuke )
Wasukuma mna misimamo inayotakiwa katika taifa hili, hongera bro
Msukumaa hoyeeeh!
Good
Mungu akulinde msukuma kama alivyowalinda wana waisrael jangwani
kweli mheshimiw
mungu akulinde msukuma baba wewe nikama baba magufuri
Umemuona na ww et
Asante sana msukuma
Kaka hua ukiwa hapo bungeni ninakuerewa sana sana
Smagufuri lala salama musukuma omba uraisi ntakupa Kula yanguu
Kweli kabisa umesems
Big up sana msukuma
Hapa ndo tunaelewa msomi ni Nani
Nadhani msukuma ni msomi kamili hachana na HAO wanatafakali usomi katika karatasi Ila nje wanayoyafanya hata haya.......
Big up grandpa!!!!!!!!
SI WANAIBANAEEEE
Safi msukuma
Wao mbunge wetu sema
Watoto wa kitaaa
Yuko vizuri msukuma
Msukuma sema utalipwa na Mungu.
ndio kama tanzania haipendi ukweli kwa mungu utamuokoa ukweli huo na kuonyesha kuwa alikosa meno ya kuwa wajibisha lakini ina muuma
Hongera msukuma
Hakuna mwenye machungu na inchi ila wapo kwa ajili ya masirahi yao na familia zao tu
Ole siza bhabha🌷🥀🌹
Huyu kingmsukuma hana kura za maruhani anakura za wanainchi kias hata ikichukua chama ingine huyu hakosi kura za wanainchi maana ni mbunge wa wanainchi kwa tiketi ya ccm sio mbunge wa ccm kwenye jimbo alipo
Uko vizuri
Msukuma uko sahihi💯💯
Mungu akulinde ❤ msukuma,wewe ndo magufuri wa pili mungu akupe maisha marefu
Ndio kibsaaaaa
Mmmmh ❤
Wambie hao msukuma bungeni
Wewe nikiongizi borasana mungu akulinde baba
Mh, baadae gombea urais kura ya Kwanzaa ni yang, wasukuma hatushindwi kitu
Mh.Unajua
MAMA SAMIA ANAWAKOPEA HAO WEZII WETU
nikweli umenenaa,walio wanene wanwakula wembamba
Bravo 👏👏👏
Sisi tutakuwa wamwisho tu sisisisi niwaizi kufikambali ningumu
Hongera sana king msukuma
mpeni maua yake waizi wengi ni wasomi na hili alisha lisema hata raisi wangu magufuli msukukuma oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee😅
Msukuma katisha😂😂
Hakika unasem ukweli hii serikali duh sijui inatupeleka wap
Mzimu wa Magufuli umemuingia
Kabisa tena sana2 😅😅
Mlisema bunge likiwa la ccm mtafanya kazi hiyo ndio kazi
Sana bugeretu misimamamo
Binge la Tanzania mi tofaut kabisa na mabunge ya nchi zengne Tanzania bdo Yuko nyuma san
kivipi mwizi wewe hupendi kuambiwa ukweli kwendaaa
Sisi tutakuwa wamwishotu sisisisi niwaizi kufikambali ningumu
Msukuma bora ugombee uraisi
One day yes,,Hii nchi si ya watanzania wote lakin wanaitafuna wachache saana Ila ipo siku
Kichwa hiki Mungu amlinde
Tunaomba msaada hasa kwenye miradi ya serikali mingi mmewapa wachina ila watanzania masikini wanateseka hawana wakuwatetea vijana wanafanywa kama wakimbizi ,,mikataba hamna ,na ikiwepo ni batili,mishahara duni,Pesa za wafanyakazi wanagawana wao wanawapa wafanyakazi kiasi wanachokitaka,,Wachina wanaishi kwakutoa rushwa kwa viongozi wa mkoa,wilaya na almashauri,,mateso yanabaki kwa wafanya kazi wa hali ya chini,,Tunaomba wabunge na mawaziri kagueni miradi iliyopo kwenye majimbo yenu,,Napia fuatilieni haki za wazawa wanaofanya kazi kwenye hiyo miradi , Tanzania ni yawatanzania,,hakuna mtu katili kama mchina jamani
Hey
Kawaid yaooo haooooo9oooooo🎉😂😂😂😂😂
Pascal Geffi 1:43
Daa mzee wakazi unatishi