UTACHEKA UFE😂 Majibu & Vituko Vya MGUNDA VS KITAMBI Baada Ya Mechi | Nafurahije Nishapigwa Nne Huko🙌

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 тра 2024
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 6

  • @angeljosephatvenancea5699
    @angeljosephatvenancea5699 28 днів тому +2

    We mtangazaji acha kutuchanganya. Simba alishamalizana na.Tabora, hana mechi na Tabora. Amebakiza KMC na JKT

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 28 днів тому

    Kaka Mgunda unanifirahisha wewe ni hatari sana. Simba yangu hoyoooo❤❤❤❤❤❤😂😂

  • @MohamedKinega-jt4vi
    @MohamedKinega-jt4vi 28 днів тому

    Tatizo sio kadi nyekundu mlikosa disiplin ya mchezo mliacha kucheza mpira kipindi cha pili mkaingia na ubabe, tangu lini mchenzaji mwenye nidhamu yake akabishana na mwamuzi hadi kufikia kumsukuma mwamuzi

  • @onesmongulo3770
    @onesmongulo3770 28 днів тому

    Uyu mgunda siku atampiga mtu ngumi

  • @EsterChelango
    @EsterChelango 28 днів тому

    Jobe alikujaje hatuoni kitu

  • @user-rf9vn7lz1n
    @user-rf9vn7lz1n 28 днів тому

    Mjing alituzoea san Ana manen ya kijing bora ulivy ponga