Kifo cha Rais wa Iran, Ebrahim Raisi: Ni Ajali ya kawaida ya Helikopta au kilipangwa? Tunachambua

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 641

  • @ggohf7004
    @ggohf7004 13 днів тому +60

    Allah alipanga kifo chake kiwe ktk ajali .Inalilahi wainailayhirajiun..Allah ampe hatma njema

  • @user-fx3sk9kh1s
    @user-fx3sk9kh1s 13 днів тому +22

    Mwenyezi mungu anajua jambo kabla alijatokea kama kweli binadamu ameusika mwenyezi mungu atalipa

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 11 днів тому

      Mungu keshalipa kwa juu ya mauaji ya kunnyonga na kuchinja wairani wenzake, alishazoea kufanya kawaida kaka kugusa pabaya 😂😂

    • @festokivuyo7121
      @festokivuyo7121 11 днів тому

      Huyu alie kufa aliuwa watu wengi sana km ni mtu kafanya hifo si mbaya

  • @rabomunde3550
    @rabomunde3550 13 днів тому +15

    Innaalillahi wainnaa ilayhir Rajioun mwamba mwendo kaumaliza sisi tulio baki kazi iendelee

  • @user-xw5uq4fr8x
    @user-xw5uq4fr8x 13 днів тому +28

    Roho yangu imeuma sana Kwa president Huyu mungu amlaze mahali pema

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 13 днів тому +3

      Inakuuma nini una undugu nae au ndo ule utumwa wa kifikra wewe ukifa mtu gani kutoka Iran ataumia acha izo fikra

    • @abdillahiharuna0029
      @abdillahiharuna0029 13 днів тому

      ​@@ramadhanmahongole9293duh kwer kua uyaone

    • @S__Official24
      @S__Official24 13 днів тому +2

      ​@@ramadhanmahongole9293 Umetusahau Wabongo kwa shobo za kushobokea Nchi za watu😂😂😂😂😂

    • @daudimichael7338
      @daudimichael7338 13 днів тому +1

      Pole sana, una undugu naye?

    • @josephmwabange9633
      @josephmwabange9633 13 днів тому +1

      Mahala pema , nani kakwambia , soma yohana 14:1... , ukiwa nje ya hapo unafikiri utaenda mbingu ipi

  • @ngendakumanajeanmarrie7490
    @ngendakumanajeanmarrie7490 13 днів тому +35

    Nimesikitika nakifo charais mungu awape nguvu wana nchi lran

    • @FatumaMuya
      @FatumaMuya 13 днів тому +2

      Amiin

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 13 днів тому +1

      Amiiiin🙏

    • @joellongidare8280
      @joellongidare8280 13 днів тому +3

      Mungu wa isiraeli achezewi ebrahimu mbabe alitukana taifa la mungu majmbu ndio hayo

    • @fadhilngalanda7520
      @fadhilngalanda7520 12 днів тому

      ​@@joellongidare8280kwahiyo wewe mbongo Mungu wako ni yupi inaonekana wewe huna Mungu

    • @fadhilimusa9732
      @fadhilimusa9732 12 днів тому

      ​@@joellongidare8280kuna mungu wa israeli? Miungu wako wangapi? Acha ushirikina wa kijinga

  • @ibrahimthani6685
    @ibrahimthani6685 11 днів тому +2

    Innalilahi wainna ilahiy rajioun ALLAH awalaze mahala pema peponi Awajaalie pepo ya firdaus

  • @traitorzedon5352
    @traitorzedon5352 13 днів тому +24

    Tuombe dua Mungu ampe hatma njema aendako

    • @chikusangalala7759
      @chikusangalala7759 13 днів тому +3

      Waombee ndungu zako duwa hapo ulipo huja wahii kuwaimbea ndungu zako duwa toka watangulie mbere za haki😂

    • @SarahShao-jw1up
      @SarahShao-jw1up 13 днів тому +1

      HATMA njema kwa ukatili wake!!!! Tafuta kazi za kufanya ...achana na comments za kijinga kama hizi!!

    • @abdillahiharuna0029
      @abdillahiharuna0029 13 днів тому

      ​@@SarahShao-jw1upukatiri gani alishaa wahi fanya au nichuki zako binafsi2

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 13 днів тому

      ​Ukuwa Kwa upanga wauwawa Kwa upanga ​@@abdillahiharuna0029

    • @user-qy7he6cl8w
      @user-qy7he6cl8w 13 днів тому +2

      Baada ya Kufa Hukumu hamna cha Dua wala nini

  • @user-rt1wf6se5f
    @user-rt1wf6se5f 13 днів тому +9

    Dj sma upo vzur unasimamisha ukweli usimame na ndio unachokiongea huwa kinakuja vile vile nakufuatilia sana kweny fues simamia ukweli bro usweke uvungu hata siku moja mungu akubariki na aly masubi pia mungu akubarik bila kusahau sky.

  • @user-tf7sp4qe6t
    @user-tf7sp4qe6t 13 днів тому +10

    Mbona mnatoa mawazo ya kufikirika enyi wachambuzi ajali inaweza kumpata mtu yeyote. Tunawapa pole wananchi wa Iran.

  • @IsayaMwanyajile-iw8jf
    @IsayaMwanyajile-iw8jf 13 днів тому +11

    Mungu awarehemu.

  • @user-ox5jc6oq6s
    @user-ox5jc6oq6s 12 днів тому +1

    Poleni sana tuko pamoja kwenye maombolezo ya kifo cha Rais tuache vyombo vya usalama vya Iran vitoe taarifa ila zipo sababu za kufanya uchunzi juu ya kifo cha Rais

  • @humoudali530
    @humoudali530 13 днів тому +11

    Pumzika kwa amani❤❤

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 13 днів тому +4

    🙌🙌 Siku ikifika ata ulale siku nzima kitandani utasepa 2 😢 kazi ya mungu haina makosa wapumzike kwa amani 🙏🙏🙏

  • @user-jj3os9bx6m
    @user-jj3os9bx6m 13 днів тому +10

    Malipo hapahapa islaeli ni taifa la mungu Iran inafadhili hezbola na hammas

    • @KalimagiFeruzi
      @KalimagiFeruzi 13 днів тому +1

      Siokweli

    • @gleadchitela4334
      @gleadchitela4334 13 днів тому

      Kweli kabisa wanafadhiri magaid

    • @user-yn6yu9zl1p
      @user-yn6yu9zl1p 13 днів тому +1

      Sio kweli duniya mzima ni ya MUNGU awo waiziraili wanawauwa watu wasio na hatiya

    • @mohamedally1594
      @mohamedally1594 12 днів тому

      Do not trust the media. Learn to balance issues.
      Try to think for yourself, decide(have a conclusion for yourself)for yourself .
      The world is full of evil.
      What is true can tell you its a lie and vise versa.
      🙏

    • @mozasultan1676
      @mozasultan1676 12 днів тому +1

      Mashoga wenzenu

  • @mkorinto7629
    @mkorinto7629 13 днів тому +4

    SnS mmekua professional sana, nimefurahi kusikia uchambuzi kutoka kwa watu 3 tofauti ukilinganisha na mwanzo.Kudos

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 13 днів тому +3

    Sky upo vizuri sana nakupa maua yako ww pamoja na dj smaa..

  • @Gerardirankunda2885
    @Gerardirankunda2885 13 днів тому +16

    Sns nawakubali san🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤❤🙏🙏

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 13 днів тому +11

    Kaka Sky . Karibu crown media. Uwe mtangazaji

  • @nguyamtwartz5413
    @nguyamtwartz5413 13 днів тому +4

    Innalillah wainailaih rajioun,,
    Sisi niwa mwenyezi mungu nakwake tutarejea,,

  • @gibbs1320
    @gibbs1320 13 днів тому +1

    Pole pole naona Millard Ayo ameanza kupotea kwenye rada.
    SnS ndiyo kila kitu kwa sasa.
    Hii ndiyo shida ya kuwa CHAWA

  • @YustaMfugale
    @YustaMfugale 12 днів тому +2

    Sorry sky naona mnayapa uzito mataifa ya Europe na Asia but Africa mnaisahau congo tunaomba uchambuzi pia🙏

  • @user-nb6yh2bn9y
    @user-nb6yh2bn9y 13 днів тому +8

    Hii mbaya saana unajisifu unajua kutengeneza silaha kalii arafu Haujui kujirinda mwenyewe niaibu ilioje wanakuminya tuu Kama kakuku frani Hivi 😞😞😞

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 13 днів тому +1

      Hizo siraha zenyewe wanazounda wa iran, ni wa iran, wenye asili ya Israel. iran atafeli, siku zote,, unategemea raisi ajae atakua na misimamo kama huyu aliekufa? Lazima atakua muoga tu.

    • @godwinkileo7702
      @godwinkileo7702 13 днів тому +1

      😅

    • @SamweliJacob-bm2ij
      @SamweliJacob-bm2ij 12 днів тому

      Acheni ukuma nyie mbuzi mbona magufuli alikufa amkuongea kifo kipo ata wewe utakufa kwan uyu ndo rais wakwanza kufa kwenye mataifa makubwa kama iran? Acheni ushoga nyinyi

  • @Brandina-ub9uo
    @Brandina-ub9uo 13 днів тому +12

    Mungu wa ibrahimu isacka na yakobo

    • @mohamedmanga8391
      @mohamedmanga8391 12 днів тому +1

      Utaelewa vizuri iwapo hao panya wenu wamehusika na yakobo hausikani na hawa wenye kuanzisha uhanisi.

  • @baytom
    @baytom 13 днів тому +4

    Jehovah ndiye Mungu

    • @yohana1242
      @yohana1242 12 днів тому +1

      iyo ni luha tu kiyahudi yehova kwa kizungu God kwa kiswahili mungu kwa kiarabu Allah kwaio mungu ni mmoja tu ndo muumbaji wa kilakitu

    • @yohana1242
      @yohana1242 12 днів тому

      Usituletee udini apa

    • @user-qv3rf9mc7g
      @user-qv3rf9mc7g 11 днів тому

      Jehovah ni mume wa mama yako

  • @user-im1jg3rm3t
    @user-im1jg3rm3t 13 днів тому +5

    Israel ni Taifa la Mungu

    • @sadikathumani1003
      @sadikathumani1003 13 днів тому

      taifa la Mungu hata tz ni taifa la Mungu itagemea na uelewa wako wa kuchakata mambo binafsi siamini coz Mungu gani huyo anaruhusu kuua watu wasio kuwa na hitia watoto wadogo wamama na wazee huyo sio Mungu wakweli!

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 13 днів тому

      Atujakataa ni taifa teule la ushoga nauwaji

    • @salimshirr5561
      @salimshirr5561 13 днів тому

      Kama Israel taifa la mungu ,je taifa lako ni lamajini ?

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 13 днів тому

      ​@@sadikathumani1003akuanzae mmalize 😂😂 walianza wao Israel inasafisha! Kwani Kule Israel Hamasi waliua kuku? Waliua raia na watu wasiokuwa na hatia pia.. mama na watoto , wanawake hata wazee.. unapocoment Rudi nyuma ufikir mara mbili, na hao Hamasi ndio waliolianzisha. Israel wakaenda mpaka Asubuhi 😅😅😅😅😅😅😅

    • @sadikathumani1003
      @sadikathumani1003 13 днів тому

      @@annasolomon9855 umejibu kishabiki sana lkn hutumii lojik

  • @ZabronMarko
    @ZabronMarko 9 днів тому

    Polen Sana kwa kifo cha Rais wa Iran mungu awatangulie katika hich kipnd kigum RIP

  • @madenge731
    @madenge731 13 днів тому +5

    Israeli mtoa roho kashafanya yake tayari 😂😂😂😂😂, ila #ISRAEL ni nyoooko kwa hizi mambo. Israel ameshindikana aiseee 😅😅😅

  • @GeorgeChitemo-kt8sw
    @GeorgeChitemo-kt8sw 13 днів тому +5

    Safi sana hii huwezi kushindana na Israel ukashinda Israel taifa teule la Mungu

  • @Brandina-ub9uo
    @Brandina-ub9uo 13 днів тому +4

    Cheza na mungu wa islael

  • @abdillahchikota4303
    @abdillahchikota4303 13 днів тому +2

    Sns mnaizidi dw wallah..allah awatie nguvu zaidi inshallah

  • @saddykambonanaungamkonobas2539
    @saddykambonanaungamkonobas2539 12 днів тому +1

    Nmeumia sana KIFO Cha baba ibrahim

  • @user-sj1rf8ij7f
    @user-sj1rf8ij7f 13 днів тому +6

    Raisi pia nae ni binadamu anaweza kupatwa na lolote saa yoyote.. na ajali zimeshatokea nyingi sna. Raisi sio Mungu

  • @SamweliJacob-bm2ij
    @SamweliJacob-bm2ij 12 днів тому +1

    Mungu amlaze mahali pema peponi

  • @FestusJchunya-hc3hv
    @FestusJchunya-hc3hv 13 днів тому +4

    Yes wameua ua sana wengine na wao wameuawa!!

  • @ngokaomary5123
    @ngokaomary5123 13 днів тому +4

    lnna lillahy wainna illahy rajiun ..mbele yake nyuma yetu!!!

  • @EmanuelMnubi
    @EmanuelMnubi 11 днів тому

    atari sana

  • @RaphaelJickson
    @RaphaelJickson 12 днів тому

    Daaah!! Nimeumia sana mungu amlaze Mahali pema peponi

  • @halimaramadhan2000
    @halimaramadhan2000 13 днів тому +6

    Inalillah wainnailayhi rajiuun

  • @KhamisMohd-sj7ij
    @KhamisMohd-sj7ij 13 днів тому +1

    INNALILLAH WAINNA ILAYHI RAJIUN

  • @johnndegwa67
    @johnndegwa67 12 днів тому

    Mungu amurehemu, Allah ampe hatma Yake insha'Allah

  • @bonifacesauly1909
    @bonifacesauly1909 13 днів тому

    Big up to you guys mmetishaaaa

  • @SAM_163
    @SAM_163 12 днів тому +1

    DJ ASMA ANAUMIA NDANI KWA NDANI KWA NAMNA ALIVYOKUWA ANAMSIFIA HUYU JAMAA NA ULINZI WAKE LAKINI LEO AMEKUWA ASSASSINATED TOO EASY 😢

  • @LastdayJesu4153
    @LastdayJesu4153 13 днів тому +9

    Iran wangejua ndani ya vyombo vyao vya ulinzi wanamayaudi wengi wangetulia

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 13 днів тому +10

    Inalillahi waina ilayhi rajioun.
    Allah amlaze pahala pema kwenye wema.
    Amiin ya Rab 🤲

    • @FatumaMuya
      @FatumaMuya 13 днів тому

      Amiin🤲🤲🤲🤲

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 13 днів тому

      Kwa hakika hawekwi wala hatalazwa pema popote mungu atamweka anapostahili kulingana na matendo yake

  • @SaidyMwajeka-tr7oj
    @SaidyMwajeka-tr7oj 12 днів тому

    Very nice guys

  • @ibnhamduun3173
    @ibnhamduun3173 12 днів тому +1

    Alhmdulillah, tunamshukuru Allah kwa kufa kafiri muovu wa kishia.
    Mashia ni makafiri kama makafiri wengine.

    • @pvoiceofficialtv7630
      @pvoiceofficialtv7630 12 днів тому

      wewe punguza ukali wa maneno shekh

    • @ibnhamduun3173
      @ibnhamduun3173 12 днів тому

      Mashia ni makafiri tu hata ukichukia​@@pvoiceofficialtv7630

    • @alawikihema8676
      @alawikihema8676 11 днів тому

      Muogope Mwenyez Mungu

    • @ibnhamduun3173
      @ibnhamduun3173 11 днів тому

      ​Mim namuogopa na namuomba Anidumishe ila na wew umuogope ili uache kutetea makafiri wakishia​@@alawikihema8676

    • @ibnhamduun3173
      @ibnhamduun3173 11 днів тому

      ​@@pvoiceofficialtv7630 kumbe kusema kweli ndio ukali wa maneno, sasa kama Mashia makafiri tusiseme, hao ni makafiri tu

  • @billskeez92
    @billskeez92 13 днів тому +1

    Combination yakibabe sana🔥👌

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm 13 днів тому +4

    Iran ni dhaifu sana katika intelijensia

    • @awatifsubeit4007
      @awatifsubeit4007 13 днів тому +2

      Kweli kabisa wanauliwa sana na waisrael kwa njia za kijasusi

    • @HusseinSaguti-sj9nh
      @HusseinSaguti-sj9nh 13 днів тому

      Kwnn wasema ivyo

    • @HusseinSaguti-sj9nh
      @HusseinSaguti-sj9nh 13 днів тому

      ​@@awatifsubeit4007kwahiyo watanambia hapo israel imehusika?

    • @missp1814
      @missp1814 13 днів тому +1

      Kabisa...... Wanauliwa sana,wangeweza kuwekeza kwenye intelejensia, alafu walipize kisasi kikubwa.... Israeli na marekani wangewaheshimu sana..... Huzuni sana

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 13 днів тому

      ​@@missp1814wameshindwa miliki helicopter ya kisasa ya rais hayo makubwa zaidi wanaweza?

  • @SAMA-jw4fr
    @SAMA-jw4fr 13 днів тому +10

    Nakubali sana DJSma ndio ivo ivo mossad wamefanya yao

    • @BenardZephaniah
      @BenardZephaniah 13 днів тому

      😂😂😂😂😂

    • @user-wr6uz1rx1o
      @user-wr6uz1rx1o 13 днів тому

      😂😂😂😂bado unamin mosad wengewe wanamuogopa hizbullah

    • @user-io8hn1jb4d
      @user-io8hn1jb4d 13 днів тому

      ​@@user-wr6uz1rx1okwani hezibollah kafanya nini rafah inaangamizwa kule mbona hawafanyi hivyo

  • @kassimhussain5034
    @kassimhussain5034 11 днів тому

    Subhanallah mimi ninachoweza kusema huo nimpango maalum uliyopangwa na mataifa ya maghribi , uchunguzi uendee but utapokamilika ikibainika kweli maghribi wamehusika basi nyuklia zifanye kazi potelea mbali .

    • @fadhililihinda6491
      @fadhililihinda6491 11 днів тому

      Hizo nuclear zenyewe zilianza kutengenezwa na hao hao unao waita Magharibi, unadhani hawana ant dots zake? Hata pia ikigundulika ni wao, Iran wanaweza kuwafanya nini? Sanasana watapigwa tukio lingine tena; Magharibi na Israel ndio wanao run hi dunia, hata haya mawasiliano tunayo yafanya hapa ni teknolojia zao. Wapo mbele ya muda, wanaishi kwenye dunia yao

    • @denissheshe9493
      @denissheshe9493 11 днів тому

      Zitakuja kwenye tz , japo hawataweza.

  • @saidgumbo2529
    @saidgumbo2529 10 днів тому

    Innalilah wainnilah rajiuna

  • @hamphr3y405
    @hamphr3y405 9 днів тому +1

    Kwenye Kipindi Hicho Kipya tunaomba uchambuzi wa Kifo cha Magufuli 🫢

  • @robertmzizima9621
    @robertmzizima9621 13 днів тому +2

    Huwezi kushambulia taifa teule alafu ukabaki salama

  • @user-lt9yx2mh9k
    @user-lt9yx2mh9k 13 днів тому +7

    😢😢😢allah awarehem

  • @user-eg1ts2fu9z
    @user-eg1ts2fu9z 13 днів тому +1

    Nakubali sana uchambuzi wenu sns.

  • @neemapaul3257
    @neemapaul3257 13 днів тому +4

    hakika wana iran wanapitia kipindi kigumu kuondokewa na raisi wao akiwa madarakani wameumia😥kam sis watz tulivoumia kwa magufuli ,, Allah awaweke anapostahili poleni wana irani hyu jama alikuwa smart sana

    • @chikusangalala7759
      @chikusangalala7759 13 днів тому

      Walicho kitakq wame kipata chezea Israel 🇮🇱 wewe hicho kinaitwa jibu kwa duniani

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 13 днів тому

      ​@@chikusangalala7759we naye hakuna mtu ambaye hatokufa yeye katangulia nawao watafata mungu ni moja hakika hakuna cha kubakia apa duniani

    • @mohamedally1594
      @mohamedally1594 12 днів тому

      ​@@chikusangalala7759Usiruhusu kuwa manipulated na media.
      Kama mtanzania mwenzangu kilicho bora zaidi ni kuitetea Tanzania na watu wote regardless of their religion.

    • @adolfufedinandi2534
      @adolfufedinandi2534 9 днів тому

      magufuli uliumia wewe

    • @neemapaul3257
      @neemapaul3257 9 днів тому

      @@adolfufedinandi2534 jina lenywe2 adofu nzwala 😂😂Mungu akubariki wew na uzao wa tumbo lako Ameen🙏love youuuu🥰

  • @jerryndondole1965
    @jerryndondole1965 12 днів тому

    Sma ni bingwa wa ku read between the lines which wachambuzi wengi bongo hawana hiki kitu Sma ni genius

  • @simonuriyo7968
    @simonuriyo7968 12 днів тому

    Huu ni wakati wa Maandiko yanatimia, yoyote atakaye tishia Amani ya Wana wa Israel, ajue Mungu yupo Mbinguni sisi wateule tunatsyarshwa kwa ujio wa 2 wa Kristo, halafu Mungu wanatimiza Maandiko yake na Wana wa Israel, Simon Uriyo Capetown

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 13 днів тому +4

    Mimi ni mucristo sina hata matadiso na we Eslam nakupa siku Mimi nawaombea mungu sana dungu zangu wa Eslam..tangu Jana usiku bilipoigine nyumbani kwangu mke wangu alikuwa naagalia TV CNN live nikaona ..nilistuka sana Mimi Raisi kamahle alli .alikuwa .alikuwa mdomoni kwangu sana tangu zamani ...here's mungu turumihe

    • @JoalAlma-ci1hi
      @JoalAlma-ci1hi 13 днів тому

      Safi saaan hii ndo maan ya ukristo ubinadamu amani safi saan umeuonyesha mfano wa zehebu ya kikristo

    • @mohamedally1594
      @mohamedally1594 12 днів тому

      Maturity/ukomavu.
      Usilazimishwe na watu juu ya tabia ya mtu.
      Mwenyezi Mungu katupa akili ya kujua baya na zuri.
      Ni sisi kuitumia kujua mbaya nani na mzuri ni nani

    • @ibnhamduun3173
      @ibnhamduun3173 12 днів тому

      Hao Mashia Wairan sio waislamu

  • @fadhilisule
    @fadhilisule 13 днів тому +1

    Atollah aminey achukue iyo nchi haraka sana

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 13 днів тому +1

    Inna ilah waina ilah rajuin

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 13 днів тому +3

    Kila jambo baya au zuri ni mungu wachochezi hawakosekani toka enzi za mitume kikubwa kumuombea dua

  • @abdullahchabukila6686
    @abdullahchabukila6686 13 днів тому

    Dah 😢

  • @user-hu4sd7bg8n
    @user-hu4sd7bg8n 13 днів тому +1

    Allah help

  • @user-qq6mv6vh3e
    @user-qq6mv6vh3e 13 днів тому +2

    Apumzike kwa amani

  • @allymohammedfundi584
    @allymohammedfundi584 13 днів тому +1

    Innaalilaah

  • @mtemiwantobo2967
    @mtemiwantobo2967 12 днів тому

    Sijapenda kabisa uchambuzi kupitia simu sauiti haitoki vizuri kwann msikae wote studio kama zaman shida nini bro

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 13 днів тому +1

    Anawezaje kugombana na israel alisahau kama Israel ni nchi ya ahadi au?!

  • @mossyfimbo3577
    @mossyfimbo3577 13 днів тому

    Iya Y

  • @saidizuberiissa7286
    @saidizuberiissa7286 12 днів тому

    Dah😢😢😢😢😢

  • @awatifsubeit4007
    @awatifsubeit4007 13 днів тому +4

    Waangalie vizuri inteligence yao huenda mnawasiliti

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 13 днів тому

      Ndani ya serikali ya iran, mabingwa wa technology mbalimbali, Ni wa iran wenye asili ya Israel, mababu zao walihamia miaka mingi sana, ndio maana myahudi anaifahamu vizuri iran, kuliko iran anavoifahamu Israel. Na tukumbuke kua! Mkuu wa majeshi wa Israel, daniel hagar, alisema Israel watalipiza kisasi cha juu! Kwa wakati sahihi, yale mashambulizi walofanya Israel ndani ya iran, ilikua danganya toto tu! Shambulizi lenyewe ni hilo, na bado mengine yanakuja.

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 13 днів тому

      Hakuna wasaliti ni ujinga raisi mzima kusafiri Kwa helicopter ya miaka ya 70 huko ,hao watengenezaji wenyewe walishaacha zitumia muda ,Tena unapita kwenye hali mbaya ya hewa ,taifa kubwa lakini hata helicopter za kisasa hakuna

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 13 днів тому

      ​@emma😂😂😂dora7848

    • @Rey_D669
      @Rey_D669 13 днів тому +1

      @emmadora7848 umeongea katka uharisia kaka

    • @hamidamussa-sy4fm
      @hamidamussa-sy4fm 12 днів тому

      Kweli kabisa

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 13 днів тому

    Innalilahy wainnalilah rajiuun! Mwenyezimungu awajalie kauli thabiti! Poleni Sana Wana Iran wote Mwenyezimungu awasimamie msiba mzito huu, yalitukuta Sisi tuliondokewa na Rais wetu kipenzi cha wengi JPM! Mwenyezimungu awarehemu Marehemu wote awaondolee adhabu ya kaburi! Ameen!

  • @aishabakar3754
    @aishabakar3754 13 днів тому +6

    Innalillah wainnaillah rajiuun Allah ampe kauli thabit na poleni Sana ndugu zetu wa Iran huu ni msiba mzito mungu awape subra

    • @victorgerryson2695
      @victorgerryson2695 13 днів тому

      wew n mwarab?

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 13 днів тому

      Victor acha chuki wewe na wewe utakufa hivo hivo utakosa wa kukupa pole

    • @ibnhamduun3173
      @ibnhamduun3173 12 днів тому

      Shia ni kafiri si waislam

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 12 днів тому

      @@ibnhamduun3173 wewe tena hakimu astaghafiruallah mungu ndo mjuzi wa yote allah ampe jana rais wa irani

  • @user-hj5hh4zg4e
    @user-hj5hh4zg4e 10 днів тому

    Mzee karusha mabom nandege vita Israel iliawaue watu wamungu ss kirichotokea mungu kamuwah mpuuzi huyu mzeee

  • @user-xc6ls9xn8h
    @user-xc6ls9xn8h 13 днів тому

    Polen sana wairan uchunguz ufanyike

  • @Gulfnas1
    @Gulfnas1 13 днів тому +2

    Muda wao kuishi hapa duniani umefika mwisho same to us, muda ukifika tutaondoka pia!! But suspicious zipo kbsaa only time will tell.. poleni sana watu wa Iran, OIC, BRICS, SCO na global south kwa ujumla...

  • @eben_ezer8853
    @eben_ezer8853 13 днів тому +2

    Kutokana na hii ajali na nikiwa katika hizi nchi za hawa watu kama mwafrika nimejifunza Kuna Aina nne za watu,,,, Kuna watu wanaojua kinachoendelea duniani, wale ambao hawajui kabisa kinachoendelea, wale wanaojua na wanajifanya hawajui,, na wale ambao hawajui na wanajifanya kujua,, na wale wanaoendesha kila kinachoendelea,,,,,, ogopa MUNGU, TEKNOLOJIA, na WANADAMU 🤫🤫🤫

  • @Gamba177
    @Gamba177 13 днів тому +2

    Mungu awalaze pahala pema aminnn

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 13 днів тому

      ,mungu sio boy wako hata unamtuma amweke pema yeye mwenyewe anajua wajibu wake anajua makao ya wauaji yalipo

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 13 днів тому +1

    Dj sma na mwenzie, honest the way mnavochambua hizi habar, mkipewa kitengo cha upelelez maalum wa kivita, 95% mnaimudu, na itakua mathubut

    • @JeanMalilo
      @JeanMalilo 13 днів тому

      Rudi shule, kusifia ujinga tu

  • @thabitisango6068
    @thabitisango6068 11 днів тому

    Kwani Ahmad El Neejad Yuko wapi sikuhizi

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 12 днів тому

    Nani aliyewaambia Iran waishambulie Israel ,watu waelewe kuwa Israel nitaifa linalo pambaniwa na Mungu nikwanamna gani Nchi Kama Iran kushikwa natatizo hilo la helcopter kushindwa na ubaya wa Hali yahewa ,Kama dunia haikubaliani kuwa Taifa la lsrael Lina agano na Mungu mwenyezi subirini kitakacho tokea zaidi

  • @user-vd6fu6rv9r
    @user-vd6fu6rv9r 13 днів тому

    Ameen

  • @khamisshee803
    @khamisshee803 13 днів тому +1

    INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI
    AKA BACHUCHU MOMBASA 001
    +254

  • @cyriluskaijage4227
    @cyriluskaijage4227 13 днів тому

    @Henry is a very critical analyst 🔥

  • @twendeserengeti
    @twendeserengeti 12 днів тому

    Sasa unakatisha story umepost ya nini ?

  • @Immarhymes_tz
    @Immarhymes_tz 11 днів тому

    RIP😥😥@Henry mwinuka Nakupata vema Kaka

  • @SwidikiKabemba
    @SwidikiKabemba 12 днів тому

    Inna lillahi wa Inna ilaihi rajiun

  • @RaymondPaul-bs7su
    @RaymondPaul-bs7su 11 днів тому

    Mhmm 🤔🤔🤔 bwawa lao sio kubwa kama la kwetu halafu linatoa umeme Gigawatt 270....na la kwetu ambalo ni kubwa linatoa Megawatt 2112 hapa imekaajeee?

  • @abuuiqrimah1125
    @abuuiqrimah1125 13 днів тому

    Kaka sky uko sawa

  • @user-is7pj2fb4u
    @user-is7pj2fb4u 13 днів тому

    Watu mnaochangia hapa jueni yupo mungu na ndiye unjue kifo cha kila mmoja

  • @madenge731
    @madenge731 13 днів тому +1

    Biblia imesema kuwa Atakayethubutu kuigusa Israeli basi atakiona cha moto" sasa yeye si alithubutu kutuma makombora juzi kati hapa. Usitake kupingana na alichokisema M/Mungu
    #RIP 😅😅😅

  • @user-tz1np2yf9j
    @user-tz1np2yf9j 13 днів тому

    Poleni Sana Ndugu Zangu Wairani Kwa Msiba Uliyo Wapata Juma Babu Kutoka Msa

  • @samwelshepa8443
    @samwelshepa8443 13 днів тому +1

    Technology ipo juu sana. Kumbuka hili vuguvugu la kivita linaloendelea na hadi sasa hata mavumbuzi ya silaha ni mengi ambapo zaidi hata ya silaha za mionzi na DNA tracking. Ngoja tusubiri huenda tutasikia mengi.

  • @MagrinZellah-tm1ng
    @MagrinZellah-tm1ng 13 днів тому +1

    Lakini kumbukeni "MUNGU " aliwaambia Israel kupitia Musa wakati anawatoa mikononi mwa Farao,"BWANA" atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya

  • @RamadanPaul
    @RamadanPaul 13 днів тому

    TANZANIA 🇹🇿 tunajua machungu ya kupotelewa na kiongozi wa nchi.
    Bila udini tushirikiane kwa pamoja kuomboleza hili.😭😪😭😭

  • @iddikibwana9185
    @iddikibwana9185 12 днів тому

    Munguu ni muweza wa yoteee

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 13 днів тому

    Mungu hatumwi hiyo kazi ya kuwaweka watu peponi anajua mwenyewe pa kuwaweka. wenye dhambi wote na wachinjaji watu wote

  • @pascalmanyama2304
    @pascalmanyama2304 11 днів тому

    Mmechambua vizuri ila kwa mimi nilivyoangalia bado naona hali mbaya ya hewa ndio tatizo kubwa la ile ajali,na la pili yawezekana chombo kilikuwa na tatizo la kiufundi,Iran waliwekewa vikwazo vingi pamoja na kutouziwa spare parts,ile Bell helicopter ni ya mmarekani,hata bongo zilikuwepo za jw na polisi, ina miaka kama 25 hivi,zimeshatokea ajali nyingi za ndege na kuuwa makamanda kadhaa,shida kubwa vipuri japo wanajitahidi kutengeneza vya kwao.sns mmeeleza kuwa mbona hizo zingine hazikuanguka?.Helicopter zinapokuwa zinaongozana ki usalama zinaachiana distance kilometa kadhaa.Dhana ya kuwa ilipigwa si rahisi labda kwa silaha nzito sababu pale milima ni mikubwa hivyo ni terrain,ilikuwa juu sana na ukungu ule huwezi kuiona kwa macho,utasikia mlio tuu.Ukiangalia mabaki yake utaona sehemu ya nyuma kwenye tail rotor au ki mkia ipo kawaida nyuma ya fuselage kama vile ilitua kawaida,kama ingekuwa imepigwa ingesambaratika kila kitu kingesambaa ki vyake.

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 13 днів тому +3

    Hii dunia ina shida sanaa ukweli huwa hakuna blabla tu hiyo helicopter sio ndogo hata kuna hali ya hewa mbaya itakujulisha hali ya hewa ni hatari hilo tulijue sawa na baharini utajulishwa hali mbaya .

  • @user-nk4oq4ek9y
    @user-nk4oq4ek9y 13 днів тому

    Inasikitisha sanaa jmn poleni sanaa ndugu zetu wa iran