Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | Highlights NBC Premier League 22/05/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 тра 2024
  • Stephane Aziz Ki amefunga magoli mawili na kufikisha magoli 17 katika mbio za ufungaji bora, Yanga ikiibugiza Dodoma Jiji mabao 4-0 kwenye Dimba la Jamhuri, Dodoma.
    Ni mchezo wa #NBCPremierLeague uliofunguliwa na goli la Clement Mzize dakika ya 10 kabla ya Aziz kufunga mawili dakika ya 45+3 kwa penati na dakika ya 51, na kisha Maxi Nzengeli akafunga kazi kwa goli la nne dakika ya 78.
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 103

  • @Faustine_Charles
    @Faustine_Charles 28 днів тому +41

    Goli la tatu nimependa sana sprint ya Mzize, mtu wa maana kabisa huyu.

  • @sadahamad6158
    @sadahamad6158 28 днів тому +7

    Wow 💛💛💛💚💚💪 yanga mbele kwa mbele 🎉🎉🎉🎉

  • @GodfreyTaudos
    @GodfreyTaudos 27 днів тому +6

    Kama na wewe n mwananchi like hapa ❤

  • @sadahamad6158
    @sadahamad6158 28 днів тому +15

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mtangazaji una misemo ww chukua mauwa yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @stefanohonory7974
    @stefanohonory7974 28 днів тому +11

    aziz hakuwa makini angefunga nyingi tyu

    • @joycemmassi5046
      @joycemmassi5046 27 днів тому +1

      Yaan ni kweli kabisa maana mech zilizobakia watu wanabana sana magoli

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 28 днів тому +2

    Tunamshukuru Allah kwamafanikio nakusema Alhamndulilah Allah tuzidishie zaidi Inshaallah

  • @EmpireDRAGON-hk9ic
    @EmpireDRAGON-hk9ic 27 днів тому +7

    Azizi ki huwaga anashangilia hata kama ajafunga yeye namkubali sana huyu mwamba

  • @herrysonk.edward609
    @herrysonk.edward609 27 днів тому +5

    Hahah eti chunga sana uwazi mr matobo yupo kazini😂😂

  • @roi2554
    @roi2554 27 днів тому +3

    Man of the match is msheri

  • @dengahmediatz1230
    @dengahmediatz1230 28 днів тому +10

    Unaamka asubuh unamuuliza mlinzi umeamkaje😅😅

  • @ibrahimirakoze3312
    @ibrahimirakoze3312 27 днів тому +5

    Goli la tatu limeonesha ni kiasi gani safu ya ushambuliaji ya Yanga ina upendo usioelezeka✌️

  • @timcee2670
    @timcee2670 28 днів тому +7

    Azam mtuwekee video maalum ya Gwaride la Heshima (Guard of Honor) - Kabla ya mchezo kulikuwa na tukio maalum la wachezaji wa Dodoma Jiji kuwapongeza Yanga kwa kuwa Mabingwa wa ligi kuu

  • @herbethlukogela7657
    @herbethlukogela7657 25 днів тому +3

    Vipo vikaukavyo lakini si kinywa kukauka mate 😅😅😅😅

  • @kaonekakaoneka9815
    @kaonekakaoneka9815 27 днів тому +6

    Goli la tatu clement kafanya upendo mkubwa sana Kwa ki Azizi na hicho ndicho ambacho wachezaji wa yanga wanatakiwa kuwa nacho ili kumfanya Azizi kupata kiatu maana Kuna Faisal nae Anaandaliwa Kwa hiyo wachezaji wa Yanga lazima waicheze hii game

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 27 днів тому +4

    Goal keeper wa yanga tunae jamani, chukua maua yako abul 🌺🌺💐💐🌻🌻🌻

  • @user-gw2nm1if1h
    @user-gw2nm1if1h 27 днів тому +1

    Yanga inacheza kama inatafuta ubingwa 💛💚💚💚💚

  • @dianasabu6156
    @dianasabu6156 28 днів тому +5

    Huyu mtangazaji ni nan😂😂😂 kanichekesha sana😂😂

    • @femidayahaya4882
      @femidayahaya4882 27 днів тому

      Vibe kama la Wananchi kabisa analo hyu Mtangazaji😂😂😂

  • @DaudiMathias-nq6zs
    @DaudiMathias-nq6zs 28 днів тому +1

    Yanga ndo Kila kitu❤❤❤❤

  • @ZeyanaAbdi
    @ZeyanaAbdi 27 днів тому +1

    Mzize yaan ni zaidi ya uoendo raha sana

  • @fredysolly8051
    @fredysolly8051 27 днів тому +3

    Naomba mzize aongezewe sharara nzito kwahii asist

  • @Shadia544
    @Shadia544 28 днів тому +6

    😂😂😂😂😂Mtangazaji misemo yako tuu 😂😂 yanga bingwaa 😂😂😂

  • @EliasSirocha
    @EliasSirocha 27 днів тому +3

    Pongeziii sana kwakooo mzize

  • @BabuGga-td3mg
    @BabuGga-td3mg 27 днів тому +1

    Pongezi kwa kipa wanayanga, Msheli anautulivu mzuri sana gorini, na hili nahisi linatokana na uwepo wa Diara, #MSHELI

  • @valencemwarabu7611
    @valencemwarabu7611 27 днів тому +1

    Mzize aiseee

  • @JeniphaRobert
    @JeniphaRobert 27 днів тому +4

    No pacome, aucho,musonda, Mudathiri,yao, mwamnyeto na matata hakuna wamewekwa kwa ajili ya azam😂😂😂

  • @Kijavaa_jr
    @Kijavaa_jr 27 днів тому +2

    Yangaaaaaa ubingwa aaaaah

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 26 днів тому +1

    Chama langu pendwa 💚💛💚🔰

  • @giant1779
    @giant1779 28 днів тому +5

    Nimeamia Young African club rasmi leo hii. 😁
    I'm just kidding guys✌🏼. #simba_nguvu_moja❤️🇺🇸.

  • @ShebyKiango-bj9mq
    @ShebyKiango-bj9mq 28 днів тому +4

    Et operation bila ganzi😂😂

  • @DativaValerian
    @DativaValerian 27 днів тому +1

    Jamani ni wakati wa makolo kujua sisi tunafunga kwa clean sheet afu haturuki kwacha kama wanavyofanya daima mbele!

  • @tutumarzouk9803
    @tutumarzouk9803 27 днів тому +2

    Vipo vikaukavyo lakin si kinywa kukauka mate- hii nmeikubali fro al watan ramadhan ngoda

  • @lizashagilliard2336
    @lizashagilliard2336 27 днів тому +1

    Raha sana yan Bingwa tayari imebaki battle ya mfungaji bora😂😂😂 kama mcm uliopita

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 27 днів тому

      Mfungaji bora ameshajulikana, hivi sasa Feisal anadawa goli moja.
      Mechi ijayo Yanga na Tabora Azizi anabiga hatric.Kwahiyo Ki anaongeza magoli matatu zaidi.
      Azam na Kagera Feisal hana uwezo wakufunga magoli mengi Kagera.
      Kiujumla Feisal hamuwezi Aziz.

  • @swaumuomary1843
    @swaumuomary1843 27 днів тому +1

    ❤❤❤❤

  • @SuleimanAbdalla-cn5ne
    @SuleimanAbdalla-cn5ne 27 днів тому

    Kibwana shomar moto❤

  • @agnesmartin5716
    @agnesmartin5716 27 днів тому +1

    Maneno Yako mtangazaji yananipa raha sana

  • @joycemmassi5046
    @joycemmassi5046 27 днів тому +1

    pia ana mapenz sana timu yske ifanikiwe hili goli angeweza kufunga lakin akamjali sana Aziz asogee mbele na magoli

  • @user-pi8vf2vp3i
    @user-pi8vf2vp3i 27 днів тому

    Kipa tunae💚💛

  • @Stevekapugi
    @Stevekapugi 27 днів тому +2

    Mtangazaji mmmmh 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 27 днів тому +2

    Gol la Mzinze makolo watasema siyo gol sahihi halikuvuka mstari🤣🤣🤣🤣

  • @simonmadiba2053
    @simonmadiba2053 28 днів тому +1

    Anthony versus mavunde. Dooooh

  • @ayk20
    @ayk20 27 днів тому +2

    Dodoma hawakuwa makini tuu wangepata hata goli 3

  • @pharesdismas8876
    @pharesdismas8876 28 днів тому +9

    Mtupe kiatu chetu mapema

  • @BennyJumah-hd8yf
    @BennyJumah-hd8yf 28 днів тому +5

    Nimegundua ndo maana skuiz milio ya kitandani ya binti Fran imebadilika Mara hoooooh yangaaa yangaaaa yangaaa Tam tam yaangaaa . Kumbe sas nimeelewa hamna haja yakumraumu

    • @ukuvukiland2387
      @ukuvukiland2387 28 днів тому +1

      Ebwanae hii comment yako imefurahisha kweli swahiba😀😀😀😀

    • @BennyJumah-hd8yf
      @BennyJumah-hd8yf 28 днів тому

      @@ukuvukiland2387 😅😅😅😅😅nilijua yanga mchepuko wake kumbe ni litimu likubwa Kias hik hata simlaumu mwanamke wangu

  • @naomysalumu1858
    @naomysalumu1858 26 днів тому +2

    Mnaangalia goli la3 tu ivi amjaon mbio za azizi na fard baad ya mzize kumpta yule beki fa masiala nin nakiatu

  • @AsiaHarouna
    @AsiaHarouna 27 днів тому +1

    Ila clementinyo nai mtu wa maana sana huyuu mauwa yake jmn💞💞💞💞💞💞💞💞💞

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 27 днів тому

    Nimemuona hapo Mwana FA anakodoa kodoa macho

  • @kikotse-tung
    @kikotse-tung 27 днів тому +1

    mtangazaji anavitu na vionjo, ila haunogesh mchezo kabisa, hasemi mpira upo maeneo gani, mpira ukiwa maeneo ya hatari na yasiyo hatari hatofautishi, unasikia tu kiiii, skuduuu, mzizeeee, gazaaaa, sasa kafanya nini, azam watuzingatie, mechi ya yanga ijayo jmosi wamuweke MPENJA bas

  • @paulinevedastus7621
    @paulinevedastus7621 27 днів тому

    Mungu akupe chawa ujikune au akupe kidonda ufukuze nzi🤣🤣🤣

  • @MussaKulamakwene
    @MussaKulamakwene 28 днів тому

    😂😂😂 Skudu wamemrushia nini hizo anajimwagia

  • @niolaussdavid
    @niolaussdavid 28 днів тому +3

    tff are sirious uwanja huo vip

  • @graysondavid5200
    @graysondavid5200 28 днів тому +3

    Mshery kafanya save nyingi😂😂😂😂 leo kuliko diara msimu mzima😂😂😂 tumeona keeper leo nae akihangaika mno!😂😂

  • @kaderbakshamin2345
    @kaderbakshamin2345 27 днів тому

    Munaona makosa wanayofanya mabeki wa kati wa yanga ni kila mara katika mechi nyingi, kinachowasaidia yanga mafowadi wao ni tishio kwa wapinzani so timu pinzani kushambulia hawafanyi wanabaki nyuma zaidi kulinda goli lao lakini ikipatikana timu inashambulia ndo utaona mabeki madhaifu ya mabeki wa yanga ni maono yangu

    • @mariamelia8688
      @mariamelia8688 27 днів тому

      Umeombwa hayo maon????

    • @magesachilimila1104
      @magesachilimila1104 27 днів тому +1

      Kawaulize Mamelodi na Makolo watakueleza kama beki ya Yanga ni bora au la.

  • @user-qe5lo6gz9y
    @user-qe5lo6gz9y 27 днів тому +1

    Kwahiyo jana familia ya msheri waliangalia kwa pamoja

  • @ecostats51
    @ecostats51 27 днів тому

    Hivi baada ya hii mechi, battle ya Ki na Feisal imekaaje? Nani yuko juu ya mwenzake katika ufungaji? Anayejua tafadhali 🤔🤔

  • @StessOg-un5hy
    @StessOg-un5hy 28 днів тому +2

    kwer mzize nimtu wamana San ten mtu wamhimu San

  • @BaricheneSelestine
    @BaricheneSelestine 26 днів тому +2

    Poa tukutane final

  • @ZulfaCharlz
    @ZulfaCharlz 25 днів тому +1

    Mtangazaji unashobo kama mwanamkeeee

  • @LUBAINAMOHDRAJAB
    @LUBAINAMOHDRAJAB 27 днів тому

    Umemuona yule shabiki anaejiita simba anashangilia. Wanamuitaje vile. Mchome sijiu chomwe. Jamaa anadhihirisha wazi yy ni shabiki wa timu gani

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 27 днів тому +3

      Alishasema kua yy n shabiki wa simba na hawezi kuihama timu, ila yy penye raha na burudani ndipo alipo maana ukiikosa furaha nyumbani waitafuta kw jirani 😂

    • @herrysonk.edward609
      @herrysonk.edward609 27 днів тому

      Mchome yupo sahihi hata mm huwa napenda kuingalia yanga ikiwa inacheza wanajua sana