USHUHUDA WA SHEHE ALIYEOKOKA(Part 1)~Shehe Omary Mnyeshani

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лис 2019
  • Ni mwanzo wa ushuhuda wa aliyekuwa shehe,Omary Mnyeshani,ambapo anaeleza mapito yake kuelekea wokovu

КОМЕНТАРІ • 157

  • @salimahlokoh9699
    @salimahlokoh9699 2 роки тому +50

    Mimi nmekuwa muislamu 42yea nimeokoka huu mwaka

  • @sospetermasanja3224
    @sospetermasanja3224 4 роки тому +13

    Huyu jamaa yuko vzr sana!

  • @lilianmugyabuso8908
    @lilianmugyabuso8908 2 роки тому +6

    Ubarikiwe Kwa ushuhuda mzuri Mungu akutunze

  • @chancelinechuchu7333
    @chancelinechuchu7333 4 роки тому +14

    nimesubiri uyu ushuhuda kwahamu karibu kwake yesu utapata kila kitu

  • @goodlucklendey1722
    @goodlucklendey1722 3 роки тому +5

    Ubarikiwe mhombe mungu akujalie uzidi kumjua yesu na kujua mambo ya mpendezayo ili uweze kulithi ufalume wa mungu kaa kwenye maombi na mungu akulinde

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 3 роки тому +6

    Mungu akubariki Mtumishi wapendwa tunapaswa kuombea watoto wetu kila wakati

  • @masogangemasogange7835
    @masogangemasogange7835 4 роки тому +8

    Mungu akubariki Sana: kwa kua Na akili timamu : Tanzania vipindi nyingi vya maojiano Tanzania uwa wanaongea upuzi Na ujinga. Hawana akili ' Na kupenda kuvutilia watu , kuliko wangalie mambo muhimu

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 4 роки тому +27

    Shuhuda hizi zinatufunulia mambo ya ulimwengu wa giza (uchawi, majini, kazi za shetani kwa ujumla wake)...zinatusaidia kukaa na Yesu mwokozi wetu wakati wote ili shetani asitupate. JINA LA YESU NI KUU na kiboko ya shetani.

    • @flavianimtewele5178
      @flavianimtewele5178 3 роки тому +4

      Jina la yesu ni kiboko Cha nguvu za giza

    • @mrsnzilomgisha2687
      @mrsnzilomgisha2687 3 роки тому +3

      Yesu ni mwema sana cd yake ninayo anamengi sana huyu ya kushuhudia

    • @mrsnzilomgisha2687
      @mrsnzilomgisha2687 3 роки тому +3

      Ubarikiwe promover tv

    • @mrsnzilomgisha2687
      @mrsnzilomgisha2687 3 роки тому +1

      Ameruka vitu vingi sana mpaka hapo msituni kuna mambo ambayo akihadithia itagharimu wiki3

    • @colinharper5147
      @colinharper5147 2 роки тому

      I guess it is kind of off topic but do anybody know of a good place to watch new movies online?

  • @samuelnduati9792
    @samuelnduati9792 4 роки тому +19

    Yesu akikugusa huta baki kama ulivyo.

  • @richiedexter6302
    @richiedexter6302 4 роки тому +12

    Habari kaka...channel yako ni nzur mno. Ila tunaomba uwe unaweka VIDEO kabisa sio audio na picha tu. Lengo ni kuangalia expression ya uso ya mtoa ushuhuda. Jambo hili ni muhimu kulink emotions na feelings za mtoa ushuhuda na sisi watazamaji.
    Asante sana

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 Рік тому +2

    Yesu nimzur sana Aisee

  • @navokisembo
    @navokisembo 4 роки тому +7

    Barikiwa mtumishi kwa hii kazi ya ushuhuda

  • @raphaelkatanga5335
    @raphaelkatanga5335 3 роки тому +3

    Utukufu naheshima na nguvu na enzi unamunguwetu milele na milele amina

  • @barick
    @barick 4 роки тому +3

    Asante kwa kazi nzuri unazofanya

    • @verosanga4477
      @verosanga4477 2 роки тому +2

      Kwakweri nimejifunza mengi sana,kwa shuhuda hizi zimenifanya nijue YESU ni mzuri mmmmmmnnnnnoooo.utukufu kwa MUNGU yeye anaye tawala na kumiliki yote.

  • @gizzoforshizzo
    @gizzoforshizzo 4 роки тому +7

    Ushuhuda Mkubwa sana hongera sana Jacktan Msafiri

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  4 роки тому

      Asante

    • @salmamrisho3330
      @salmamrisho3330 Місяць тому

      Huyu mtumish kama anahudumu tabora naomba mawasiliano nae mimi nipo Tabora na natafuta kanisa zuri lenye nguvu za Mungu ili kuabudu kwa wakat huu ambao nipo huku

  • @benjaminkabebo6581
    @benjaminkabebo6581 2 роки тому +1

    Mtoto wa mwalimu nauliza huyu shehe omary yupo wapi kwa sasa na anafanya kazi gani kwa sasa.Pia naomba mawasiliano yake ikiwezekana mtu wa Mungu

  • @charlesmavika2575
    @charlesmavika2575 4 роки тому +9

    Mungu akubariki ndugu msafiri, kuna Mengi binafsi najifunza na youtube channel za design kama yako ni chache.

  • @barakajuma2085
    @barakajuma2085 4 роки тому +5

    Yesu ni Bwana

  • @nyamogafamily4262
    @nyamogafamily4262 4 роки тому +4

    Mungu wetu Ainuliwe Mara dufu nilitamani unioe lakn bado Nina hofu.
    Barikiwa Sana umari

  • @daudimpulumba6742
    @daudimpulumba6742 4 роки тому +5

    Nmeipenda hii stori

  • @user-pr6nl7bo4w
    @user-pr6nl7bo4w 2 місяці тому +1

    Ushuhuda,huonilishausikia,miakaishilini,iliopota,kumbendiowewe,mdogowangu,polesana,kwayesu,umefika,kilakitu,kilikwisha,pale,msalabani,Yesundionjiayakweli,nauzima,

  • @juvenalymwanalyela4448
    @juvenalymwanalyela4448 3 роки тому +2

    Asante kwakumpa BwaYesu maisha

  • @masogangemasogange7835
    @masogangemasogange7835 4 роки тому +5

    God bless you' jacktan 'kwa hekima Na marifa' tunakueshimu'

  • @farajirashid8859
    @farajirashid8859 Рік тому

    Wewe mwongo sana

  • @costanciasimon2076
    @costanciasimon2076 2 роки тому +3

    TangA shikamoo tarafa ya MADANGA

  • @jersonmpeka4984
    @jersonmpeka4984 3 місяці тому

    Lulu wanasema ina majini 99 na majina ya Allah ni 99 hili linafikilisha sana

  • @tedynotes6148
    @tedynotes6148 4 роки тому +2

    Ubalikiwe sana

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 роки тому +6

    Simulizi inasisimua.asante

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Рік тому

      Okoka kama bado,kumbe majini yameenda chuo cha madrasa haa ila hayajui Wokovu tu

  • @mutonyipros1293
    @mutonyipros1293 2 роки тому +1

    I was married to amuslim 10yrs.what I learnt and I saw.what I went through, I will never leave Jesus Christ. Damu ya yesu almost 99 % of all shekhs Ni wachachawi.hao wanaohubiri..

  • @alimkumbukwa8363
    @alimkumbukwa8363 Рік тому

    Naomba nmba mishi

  • @YahayaRashid-w2f
    @YahayaRashid-w2f 10 днів тому

    Ebuachen uongo

  • @lucasgasper5235
    @lucasgasper5235 4 роки тому +4

    Goood

  • @benedictmango9561
    @benedictmango9561 4 роки тому +1

    Safi sana

  • @mwambakamata2030
    @mwambakamata2030 10 місяців тому

    😅😅

  • @mwambakamata2030
    @mwambakamata2030 10 місяців тому

    😅😅😅

  • @alimkumbukwa8363
    @alimkumbukwa8363 Рік тому

    Naomb Namba z mtumsh

  • @abedichande2497
    @abedichande2497 4 роки тому +4

    zamn nilikuwa mpenz sana wa hiz shuuda baada ya kujua tu kuwa amuelezi vitu kwa uwazi nimekuwa mvivu sana wa kusikiliza..mtu umeokoka na umempokea yesu na ulinzi kwa mungu unachoficha nn mpaka napata hata mashaka kutaka kuamini kuwa hz shuuda ni kwel au la

    • @jovithashayo4197
      @jovithashayo4197 4 роки тому

      Abedi Chande i

    • @mussaabobakar7537
      @mussaabobakar7537 4 роки тому +1

      Hamna wanatengeza izo sio kwel et ww umesikia wap asa shehe kasoma kuruan anahofu ya mungu alf akaokoke hahahaha jan akamuabudu mtu jan yesu binaaadam

    • @mussaabobakar7537
      @mussaabobakar7537 4 роки тому

      Ww watu kama wanategeza viwete alf wanaombea nakanisan alf wananyuka watashindwa kutengeza iyo ya shehe

    • @MishiPapalan
      @MishiPapalan 3 роки тому +2

      Huyu jamaa muongo mimi nimesha mzalau siku nyingi kwanza uchawi tuu ndio ulomtawala hana ndini yoyote

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Рік тому +1

      Wewe kumbuka wako Duniani,Si vizuri kutaja majina ya watu au vitu vyoote waazi,Wewe kama huamini basi endelea na mambo yako,Sie tutamfuata,Tunajua mengi Duniani,Sikujua kama Waislamu ambao ni waganga wanakubalika ndani ya dini,Maana wakikujua ukiwa mkristo huruhusiwi tena,Sasaasingeshuhudia ningejuaje??na Muslamu kuokoka ni issue mpaka Nguvu fulani ije ndani ya mtu huyo

  • @sakisfidmasho6393
    @sakisfidmasho6393 4 роки тому +5

    yesu ni hatari wachawi wana sumbuka kufanya uchawi rakini yesu anaondoa uchawi huo mara moja tu

    • @sarahmichael7538
      @sarahmichael7538 3 роки тому +1

      Yesu haandikwi kwa kuanza na herufi ndogo, tfdhl sn

    • @magrethmollel1078
      @magrethmollel1078 2 роки тому +1

      Jitahidi kumuheshimu Mungu kwa kuandika kwa herufi kubwa Yesu,Mungu,Roho Mtakatifu

  • @Summertm
    @Summertm 2 місяці тому

    1 John 3:8: Jesus came to destroy the works of the devil.

  • @samuelnduati9792
    @samuelnduati9792 4 роки тому +5

    Jamani ushuhuda wa nguvu, ulipitia mengi mtumishi lakini hakika hakuna kama Yesu.

    • @halfaniland3850
      @halfaniland3850 4 роки тому

      We acha kukufuru. Soma Luka 6:12,13) Huyo aliyekuwa akiomba Mungu kwenye mkesha ni nani? Maana we umesema hakuna kama Yesu. Halafu kingine, si bora ungesema; hakuna kama Mama wa Yesu. Maana Maryamu ndiye kamzaa huyo Yesu. Soma acha kuropoka ndugu. Luka 1:30,31)

    • @mussaabobakar7537
      @mussaabobakar7537 4 роки тому

      @@halfaniland3850 jaman naona kuulza mm mungu wa wakrsto ndojup asa plz nisaidie mana mm yesu najua binaadam hawez kuwa mungu mana kazaliwa et na maryam binaadam hawez kuwa mungu

    • @gladnesssidiu8945
      @gladnesssidiu8945 4 роки тому +4

      @@mussaabobakar7537 bakini na iman zenu ila Yesu ni Bwana hata mkatae ....af kimewaleta nini huku kusikiliza shuhuda za kikiristo kama haziwavutii

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Рік тому

      @@halfaniland3850 hata Mama wa Yesu anamnyenyekea Yesu

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Рік тому

      @@mussaabobakar7537 Yesu alizaliwa kama Binadamu tu ili tusimuogope,Lakini alikuja akitoka Mbinguni aligeuka tu kuwa binadamu ili tumsogelee bila woga,Nafikiri Unahitaji kufundishwa Biblia au kuisoma ili Uielewe vizuri na Kwa Nini tunasema Yesu ni Mwana wa Mungu au ni Mungu

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 Рік тому +1

    Kwani huyo mungu wa Waislamu asingekusaidia kuondokana na hiyo hali??mbona wanamuamini saana??

  • @sukumaganga2613
    @sukumaganga2613 2 роки тому +2

    Huo ni uwongo mkubwa sana pia kama. Itakuwa kweli bc uislam hauruhusu mtu kuwa mchawi Wala wachawi kuwa ndo marafiki zetu wamelaaniwa wote wanafanya UCHAWI Ila sio dini ndio iinayoruhusu ni matakwa ya ya mtu binafs hata mm nilikuwa mkristo Leo mwislam nashukuru mungu kwa kuniongoa kila moja achek na nafs yake Ila awadanganye hao wa shetan wa mungu hatudanganyiki kwani mkristo akiwa mwizi ndo wakristo wote wezi? Tumieni akili

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Рік тому +1

      Nakuelewa ila Waislamu wengi wakiwa wachawi wanaruhusiwa kufunga na kufanya Ibada zote za uislamu,Mkristo ukijulikana ni mchawi huruhusiwi kuwa kiongozi wa Dini fulani ya kikiristo,Amka

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Рік тому

      Hee pole saana umechagua fungu lako maana jehanamu inakusubiri

  • @paskalmichael6658
    @paskalmichael6658 3 роки тому +4

    Tuchukue ushuhuda huu tupate kutubu. Bwana apewe sofa.

  • @alimkumbukwa8363
    @alimkumbukwa8363 Рік тому

    Naomb Namba mtumshi

  • @user-mc2xd4eu2p
    @user-mc2xd4eu2p 6 місяців тому

    Makafiri wote wanadai ushahidi wao wa kuritadi watakwambia uchawi hawana ushahidi wa maandiko waongo sana hizi kuni za motoni

    • @evalinekitomary4307
      @evalinekitomary4307 17 днів тому

      Hivi kwanini wapinga kristo na wafuga majininahasira sana Yesu kristo awaokoe

    • @user-mc2xd4eu2p
      @user-mc2xd4eu2p 17 днів тому

      @evalinekitomary4307 tatizo makafiri wanatumia uongo wewe kila anaetaka Kiki anasema alikua sheikh sijawahi kuona sheikh alieritadi wengi elimu yao hata mimi hawanifikii na mimi sio hata mwalimu

  • @hamzayusuf1894
    @hamzayusuf1894 Рік тому

    BAsi kama uli fundishwa uchawi huujuwi uslamu ndipo ukamfuwata pawulo ukawa mkiristo

  • @mamafloraofficial4315
    @mamafloraofficial4315 9 місяців тому

    Nasikia huyu karudia uganga

    • @DIGNAJASTIN-dl8yj
      @DIGNAJASTIN-dl8yj 4 місяці тому

      Wew mama flora amekuambia kwamba amerudia uganga?

  • @edigamashauri7443
    @edigamashauri7443 2 роки тому

    kaka kuna watu wanafura iya uchawi mm ninaushuda kuna mwana mke uku niriko nimutu muzuri sana kwamaneno pena mucheshi rakini niatari sana kwauchawi namakafara

  • @wanyooshetv9987
    @wanyooshetv9987 2 роки тому +2

    ILI NI IGIZO TU HAKUNA MUISLAMU MWENYE MUONEKANO WA KIKAFIRI NAMNA HIYO

  • @nassorsalehsalum8852
    @nassorsalehsalum8852 3 роки тому +4

    😠😠😠 jinga sana

  • @fatmakhamis8605
    @fatmakhamis8605 3 роки тому +2

    Unajuwa wakristo munachekesha nyinyi munsema kwmba quran ni uchwi eti kwa kuw munziona kw waganga lkn leo ukiangalia gesti zote zimejaa bibilia hivi Ina maana mtu anapozini anapata ham ya kusoma

    • @ludovickharsonharson3564
      @ludovickharsonharson3564 3 роки тому +3

      Hahahaaaaaaaa mbavu zangu jamn hahahahaaaaa umekosa cha kuandika duuuuh,, umekuwa malaya mpaka gest zote unazijua

    • @jamesautomajorjimmy7895
      @jamesautomajorjimmy7895 3 роки тому +2

      Check mi nimetoka kenya saa si matusi au dharau wote hawa wanaotoa ushuhuda wengi ni waislamu na si vibaya lakini ukiangalia alishababu wote ni waislamu wanapigania Mungu wao badala Mungu wao awapiganie angalia kwa pande zote mbili yaani umbaya na uzuri wa kitu

    • @marselinadena7618
      @marselinadena7618 3 роки тому +7

      Gesti ziliwekwa kwa ajili ya nini? Ashukuriwe Mungu uliingia gesti na ukakuta biblia sasa kazi kwako siku ya hukumu hhuna namna ya kumwambia Mungu kwamba hukupata neno lake. Maana ushamaliza Gesti zote

    • @ramadhanwilbard8196
      @ramadhanwilbard8196 2 роки тому

      @@jamesautomajorjimmy7895 Shangaa kwanza wanaoabudia masanamu ya kuchonga heti ni mfano wa Mungu!

    • @lilianmugyabuso8908
      @lilianmugyabuso8908 2 роки тому +2

      @@marselinadena7618 Hahahaha umeongea vyema Siku ya hukumu asitoe sababu!umenichekesha sanaa

  • @mussaabobakar7537
    @mussaabobakar7537 4 роки тому +3

    Ila nakwambia tena mnajitahid kutuga vzr mana mnavo wafanya watu wawe viwete alf unamuombea et anapoa hahahahahaha

    • @sambajohn5015
      @sambajohn5015 4 роки тому

      OK je yesu akumpa uhai ndege

    • @sarahmichael7538
      @sarahmichael7538 3 роки тому +1

      Yesu anakupenda ndg krb kwa Yesu!

    • @sarahmichael7538
      @sarahmichael7538 3 роки тому +1

      Ila hakuna watu wabishi kama hiki kizazi cha 6...mnabisha kwasababu hamumjui Mungu wala uweza wake. Mwapotea kwa sababu hamumjui Mungu wa kweli

    • @marselinadena7618
      @marselinadena7618 3 роки тому +1

      Yesu anakupenda

    • @bundamara8035
      @bundamara8035 3 роки тому +2

      hata mim nilikuwa mbishi na mgumu kuelew km ww mussa lkn ipo siku yesu atakupa neem ya kumjua kwa maan ni kw neem tuu kumjua yy haswa ukiwa huko ulikoooo.

  • @mahshamwidaawaonlinetv4261
    @mahshamwidaawaonlinetv4261 2 роки тому +3

    Ushuhuda fake, mbona anaficha sura yake? Anwani ya ushuhuda ni MCHAWI ALIYEOKOKA sio SHEHE ALIYEOKOKA

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 2 роки тому +2

      Ushuhuda sio feki ukitaka kumshuhudia vizuri huyu bwana mcheki kwenye channel ya Davista Mata utafuatilia mwanzo mwisho sio audio ni video

    • @shafymtupili1075
      @shafymtupili1075 2 роки тому

      Mchawi huyo

    • @patsonkyando1732
      @patsonkyando1732 Рік тому

      Kwani kuwa sheikh maana yake Nini?

    • @mahshamwidaawaonlinetv4261
      @mahshamwidaawaonlinetv4261 Рік тому

      @@patsonkyando1732 Bwana Patason natumai umesikiliza ushuhuda alotoa huyo bwana, kwa madai yake na majina aliyoyatoa yeye amezaliwa katika dini ya Kiislamu lakini alipokuwa mdogo aliidhi uchawi na mtu mwenye kupewa mikoba ya uchawi huyo si mwingine ila ni mchawi. Ikiwa kaokoka na kumpokea yesu itakuwa ni mchawi kaokoka na kumpokea yesu sio shekhe kama anuani ya video hii ilivyo nakiliwa, ushuhuda wake nikuwa amekuwa mchawi na akajifunza mengi kuhusu uchawi , mfano mkristo anapoitwa kwenda kanisani hutumia kengel, muislamu hutumia mwadhini na wachawi kama alivyosimulia jamaa huyu alifundishwa kutumia aina fulani ya sauti. la muhimu adai kuwa amemupokea Bwana yesu akaokoka bila ya kujua kuwa ujumbe alopewa bwana yesu haukuwa ujumbe kwa watu wote ila ilikuwa ni ujumbe kwa makabila kumi na mbili za wana wa israeli, adai anamfuata yesu lakini kwa bahati mbaya Yesu atamkana siku ya kiyama.

    • @patsonkyando1732
      @patsonkyando1732 Рік тому

      @@mahshamwidaawaonlinetv4261Brother ,Muabudu Mungu wa mbinguni siyo Dini , Duniani Dini Ni nyingi sana,Wengi tunashika dini tukidhani tunampendeza Mungu , ukweli Dini zote Ni za shetani Wanadamu siyo Mungu,Watu leo wamefundishwa na kushika Mambo ya Dini zao,Moja ya Jambo shetani anafanya Ni kuufunga ufahamu wa watu ili wasimjue MunguSo kumuelewa Mungu Ni ngumu sana unahitaji Neema ya Mungu ili umuelewe na kumjua, ndio Mana wengine Ni wachawi washirikina waganga wa kienyeji,wafuga majini ,wanaoa wake wengi na walozi lakini wanaenda misikitini na makanisani na diniwanazo kwani Ni rahisi kuwa na dini

  • @user-mc2xd4eu2p
    @user-mc2xd4eu2p 6 місяців тому

    Huko upande wa pili nasikia papa kawaamuru waoane mpeni mume huo alikua na jini mahaba huyo

    • @evalinekitomary4307
      @evalinekitomary4307 17 днів тому

      Nikwambie tu kuwa papa sio Yesu kristo na sio kila mkristo ni mkatoliki

    • @user-mc2xd4eu2p
      @user-mc2xd4eu2p 15 днів тому

      @@evalinekitomary4307 wakristo wote wapo katika upotezvu ndio mana mpaka leo mungu hawamjui wengine wanakwambia baba wengine baba ndio huyo huyo yesu yani mgongano balaa maandiko ya bibilia yana migongano hasa hizi barua za paulo ndio zinapoteza balaa

  • @abedichande2497
    @abedichande2497 4 роки тому

    hapo ndyo me uwa nachoka ..sa kwa nn msiwe wazi kabsa mnaogopa nn wakati mmeisha okoka jaman

    • @sakisfidmasho6393
      @sakisfidmasho6393 4 роки тому +3

      Abedi Chande anatumia hekima mana sio wote wana hekima na imani kama mimi na wewe na yeye .

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Рік тому

      Ndugu Tumia hekima

  • @mussaabobakar7537
    @mussaabobakar7537 4 роки тому +1

    Tatzo lenu wakrsto jambo moja tu mnakosea mnapo tunga izo str zenu alokwambia uislam kufuga majini nan mana naona yote mmeshikilia ivo tu 🤣🤣🤣🤣 na awo wachugaji wanao fanya muijiza wao wann mashetan au hahahahaha

    • @hopedigitalmedia34
      @hopedigitalmedia34 3 роки тому +2

      Mbona unateseka

    • @jamesautomajorjimmy7895
      @jamesautomajorjimmy7895 3 роки тому +2

      Ukisikia ulizia ukisikia mara moja ya pili fikiria mara mbili juu ukiona wenzio anyolewa makasi yale yale ita kupitia mombasani hizo vitu ni kama kawaida kwa nini jiulize kwa nini dugu yangu sikiza ukaelewe

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Рік тому +1

      Pole saana mfuate nyumbani umkataze kuongea hayo

    • @patsonkyando1732
      @patsonkyando1732 Рік тому +2

      Mungu Ni Mkuu sana, mpokeeni Yesu Kristo Waislam na Wakatoliki mnapotea sana,hammuabudu wa mbinguni mnaabudu Dini,Dini siyo njia ya kwenda mbinguni ,Yesu Ni NJIA na KWELI na UZIMA Hakuna awezaye kumcha MUNGU bilà Yesu Kristo

  • @salimahlokoh9699
    @salimahlokoh9699 2 роки тому +5

    Mimi nmekuwa muislamu 42yea nimeokoka huu mwaka

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  2 роки тому

      Barikiwa sana

    • @sukumaganga2613
      @sukumaganga2613 Рік тому

      Yaan makafiri mnajitahidi sana kuua uislam ila hamtaweza Kwa sababu alieileta hiyo Dini ni Mungu mwenyewe sasa ww mwanadamu utawesaje kuuzima thubutu ndo kwanza ulaya wanasilim kama mvua na makanisa kugeuzwa kuwa misikiti hafu wale mnaosema.yesu anawajua dozi yangu Luka 13:25-30 zawadi yenu pitia hiyo Aya karibu ktk Islamic utaenjoy mwenyewe maana Kila mtu atabeba furushinlake mwenyewe hakuna Cha yesu kubeba dhambi zako Wala nn achani ujinga huo kama yesu amebeba dhambi Kila jumapili mnaendaga kulilia Nini makanisan mbona waajabu hivi nyie duh

    • @bamanyasalvius123
      @bamanyasalvius123 Рік тому

      ​@@sukumaganga2613 Kaffir wa nyoko

    • @user-mc2xd4eu2p
      @user-mc2xd4eu2p 6 місяців тому

      Huyu anataka mume huko kwa papa ruhusa kuolewa mpeni mume huyo

  • @barakampunga8121
    @barakampunga8121 Місяць тому

    Waislamu achen matus na makasrko nyie mnaslrimisha wakriso wa kawaida Sisi wanartadi mashehe Kimberly inawaume Eeeh