Part 6_USHUHUDA WA SHEIKH AMIR ALIYEKUWA USTHADH SASA AMEOKOKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 сер 2020
  • #ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

КОМЕНТАРІ • 255

  • @user-me3ee4fu8w
    @user-me3ee4fu8w 3 роки тому +9

    Matendo yako ni makuu sana kazi yako ni adhama na heshima wafurahiwa na wapenzi wako Mungu wewe ni mkuu sana katika Jina la Yesu

  • @lydiamokeira6062
    @lydiamokeira6062 3 роки тому +10

    Wakristo tujifunze kupitia ushuhuda huu... Tufurahi kwa sababu sisi ni Wakristo.. Kuna watu wanaghalamika kupata wokovu Mungu tuongoze kwa Jina La Yesu Kristo wa Nazareth 🙏🙏

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 роки тому

      Ndio kawaida yenu kufunzwa kupitia uongo. Lkn huyo si muisilam wala hajawahi kua muisilam. Nimkafiri mwenzenu huyo na km hamuamini mwambieni alete ushuhuda wa hao waliomtesa. Uongo tu!

    • @movaciermasherano6664
      @movaciermasherano6664 3 роки тому +2

      @@alhamdulillah5796 Hamna ni kweli wengi uwa wanasema hivo haiwezekani wote wadanganye sema wewe bado mdogo ufaham lolote

  • @annewanjiku52
    @annewanjiku52 3 роки тому +17

    There's power in the Name of Jesus Christ Hallelujah

  • @ezrommkambati1687
    @ezrommkambati1687 3 роки тому +21

    Ndio mm nipo Kigoma tena nipo hapa Sido kwa muda huu, napafahamu haswa fika fika. Unachokisema ni cha ukweli, YESU juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!

  • @davidmihambo3051
    @davidmihambo3051 3 роки тому +9

    nimependa hili tukio lilotokea katika hii dakika ya 10 na sekunde ya 27. ndio inathibitisha agizo alilolitoa Yesu kwa wanafunzi wake; Matendo Ya Mitume 1:8
    Neno: Bibilia Takatifu
    8 Lakini mtapokea nguvu akishawajilia Roho Mtakatifu, nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu na Yudea yote na Samaria, hadi mwisho wa dunia.” ALL GLORY TO GOD

  • @annewanjiku52
    @annewanjiku52 3 роки тому +6

    You have lifted my faith once again and you encourage me to be bold and to have courage in Jesus Name

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 3 роки тому +14

    😭😭😭😭😭😭huu ni ushuhuda unao mfanya mtu abadilike Eee Mungu linda watumishi wako

  • @rehemamwale700
    @rehemamwale700 3 роки тому +13

    Mtu ambae amedislike hii testimony tumueleweje? Watu wanashangaza, what a powerful testimony to change people lives, to uplift faith and make it strong, a testimony that will make you want to know Christ JESUS more more, GOD have mercy for those who dislike. Gospel will be preached wether you like or dislike Christ JESUS will be preached. Glory to GOD ALMIGHTY 🙏🏾🙏🏾

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 роки тому

      Na wanaokubali kwa msema pweke tuwaeleweje? Kafiri mwenzenu huyo hamjaanza leo kuutia madoa uisilam. Nalaitani km uisilam ungekua unakua kwa nguvu za watu basi ungekufa tangu sep 11 lkn nambie unakua na unazidi kukua kwa sabbu ni dini ya haki. Ukisoma utaondokana na ujinga unaolishwa lkn ukisikiliza hao jamaa zako walozoea kula sadaka zenu maisha utaishia kwenye ukafiri.

    • @movaciermasherano6664
      @movaciermasherano6664 3 роки тому

      @@alhamdulillah5796 Pamoja na ku bweka kote uko ila nawewe utaokoka tu mda ukifika

  • @JimmyStone-sb3wt
    @JimmyStone-sb3wt Місяць тому +1

    Nampenda sana Bwana Yesu kwasababu bado anapigania watu wake..Mtumishi Bwana akubariki Amina

  • @alicemangat3165
    @alicemangat3165 2 роки тому +2

    That is one of the greatest testimony I have ever heard. Ubarikiwe hata zaidi wewe na familia yako! Yesu ni Ukweli, Njia na Uhai!

  • @nswilayella3295
    @nswilayella3295 3 роки тому +20

    The best shuhuda to me ever heared

  • @user-me3ee4fu8w
    @user-me3ee4fu8w 3 роки тому +9

    Very strong testimony wapendwa tuachane na dhambi tuishi maisha matakataifu Yesu aweze kutupigania

  • @unyakuotv.1391
    @unyakuotv.1391 3 роки тому +5

    Nitaanza kuhubili habali hizi na kuelezea mambo mengi juu ya shetani na njia iliyo sahihi kuingia mbinguni hivi karibuni
    .
    Kwenda mbinguni sio kazi lahisi kama walokole wenzangu wanavyozungumza . Maana nilimskia mchungaji mmoja anasema yesu alikufa msalabani hivyo tumekombolewa katika dhambi.( Ndio sikatai) lakini wengi wanapotea katika haya haya maandiko ukifikilia vibaya) mtu anaamini nimeondolewa dhambi naenda mbinguni akifa aiseee.. ingekua hivyo kuzimu isingejaa maelfu ya watu na njia iendayo Kuzimu ingekua ni nyembamba na iendayo mbinguni ingekua ni pana
    .
    kwenda mbinguni sio kazi rahisi
    .
    Tangu siku za yohana mbarizaji ufalime wa mungu...
    ...( Na kinyonge hakita ingia kamwe)
    .
    Kuna siri nzito juu ya namna ya kufanya mtu aende mbinguni na hapo ndipo shetani amewapiga watu upofu wasielewe wala kuamini..( roho inauma sana) ni kama vile watu wameamua kuchagua wenyewe kwenda motoni.
    .
    shetani amekamata maelfu ya watu hapa ndio kila nikitazama naona kabisa wazi wazi. Watu wanvyoteketea kuzimu ya moto daaa.. MAANA KRISTO YUPO NDANI YANGU NAMI NDANI YAKE . NINAONA WAZI WAZI .. roho inaniuma kwa kua nina toka natoka na kwenda mbinguni nimefaham mambo mengi sana.

  • @mimsbaibe6mimsgul737
    @mimsbaibe6mimsgul737 3 роки тому +5

    What a great testimony our God is great always utaishi uhubiri Jina la bwana Jesus loves yu atakulinda na akubaliki.

  • @wahurabathi4845
    @wahurabathi4845 3 роки тому +5

    Amen in jesus name thank you pastor God bless you.

  • @godfreyalex5319
    @godfreyalex5319 4 місяці тому +1

    Imani ya Bwana wetu Yesu kristo ikuzingire wewe na na jamaa yako yote wamuone Bwana wetu ya kuwa ni Mungu apasaye kuabudiwa Yn 4:24

  • @everlynemiriam5943
    @everlynemiriam5943 11 місяців тому +1

    Yesu mwana mungu ni mushindi ju ya washindi Hallelujah

  • @barakajacobs4539
    @barakajacobs4539 3 роки тому +8

    What!!!! Usicheze wa watoto wa Mungu...I tell you those who fight the children of God fights with God Himself . WOW our God will never forsake no leave us

  • @happynessmarki2780
    @happynessmarki2780 3 роки тому +5

    MUNGU WANGU UMEPITIA MKASA WAKUTISHA SANAAAAAA POLE SANAAAAAAAAA DAH! LKN HONGERA SABABU HATA MBELE YA KIFO BADO ULIMTAJA YESU

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 роки тому

      Jamaa yenu tangu zamani huyo si muisilam na hajawahi kua muisilam

  • @estasage5506
    @estasage5506 3 роки тому +6

    I can't stop crying and praising my good lord. Jesus Christ son of the living God please have mercy on me. I don't want to take you for granted master

  • @carolmuchiri9921
    @carolmuchiri9921 3 роки тому +2

    Ameni Ameni Mchungaji na Mwenyezi Mungu azidi kukuinua na Kuonekania, 🙏🏾🙏🏾👍👍❤️🇰🇪

  • @mackynicky5832
    @mackynicky5832 3 роки тому +3

    Ahsante Kaka Jacktan, Mungu akupiganie, huu ushuhuda umenifanya nilie, hakika hakuna kama Bwana Yesu

  • @hassankombo4475
    @hassankombo4475 3 роки тому +4

    Hakika mungu ni mwema ulikuwa mchanga na uliweza kuimili mtihani kama huo mungu akutie nguvu

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 роки тому

      Uongo mtupu na tushauzoea ila tunawashangaa nyie msiochunguza zinapokujieni habari. Hvi unataka kunambia anayozungumza ni kweli? Huyo nikafiri mwenzenu mmemtengeneza.

    • @lilianluhasi5053
      @lilianluhasi5053 3 роки тому

      @@alhamdulillah5796 Kama huamini nenda kaulize waliotaka kumzika akafufuka kabla ya kuzikwa, siyo kupinga tu

  • @barakajacobs4539
    @barakajacobs4539 3 роки тому +8

    Amen , Isaiah 54:15 If anyone does attack you, it will not be my doing; whoever attacks you will surrender to you.
    Amen. We serve the Living God 🙌😇 aaw awesome

    • @bettyobiero8408
      @bettyobiero8408 3 роки тому

      Am blessed so much by this testimony. Endelea kumtumikia bwana ndungu yangu katika Yesu. Amen

    • @barakajacobs4539
      @barakajacobs4539 3 роки тому

      @@bettyobiero8408 Amen

  • @mangeramwalimuyohana1650
    @mangeramwalimuyohana1650 3 роки тому +1

    YESU anaweza,naomba niulize kwanini waislamu wana vaa makanzu,na wakati huo ufalme wa giza nao wana vaa makanzu

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 3 роки тому +2

    YESU ni mwaminifu sana

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 3 роки тому

    N kweli kabisa ukiokoka kwelikweli unachukiwa,hongera kwa imani Bwana Yesu apewe sifa,Yesu hawezi kumuache mtu amkimbiliaye Mimi mwenyewe mama alinipiga mno lakini nilikataa kurudi kwenye sanamu mpaka sasa hanitakia ila najua yupo Yesu atamsaidia atamuokoka,njooni kwa Yesu kuna amani,asante kaka jack kwa kutuletea shuhuda nzuri

  • @salomekemunto1373
    @salomekemunto1373 2 роки тому +1

    AMEN AMEN and AMEN.Kweli Yesu Kristo amekutoa mbali na bado Mungu ana kusudi kubwa juu ya maisha yakoo. Injili ya Yesu Kristo iende Mbele Mbele Mbele kabisa.

  • @claudinekatula1695
    @claudinekatula1695 3 роки тому +1

    Amen,alie ndani ya Yesu anaraha,umepata ushindi mbele ya maadui.Mungu azidi kukulinda kwa hiyo imani kubwa ulio nao

  • @annewanjiku52
    @annewanjiku52 3 роки тому +3

    Your brother has been your thorn in your fresh fighting wrong battle in the name of rejecting his religion which is a demonic religion may God salvation never sease to haunt him till he surrender his life to Jesus Christ in the Name of Jesus Christ and all of us says Amen

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 3 роки тому +2

    Chozi limenitoka kwa furaha YESU NDIO KILAKITU AMENN

  • @PatrickMuendo-ur9js
    @PatrickMuendo-ur9js 8 місяців тому

    Have watched all your testimonias what a journey? We need such courage and obedience, we should build our faith

  • @stellakago1345
    @stellakago1345 3 роки тому +1

    Mungu alikuokoa msikitini akakupa ubatizo wa moto porini. Jina la Bwana libarikiwe. Yesu Kristo aliye hai aendelee kukulinda kwa damu yake takatifu. My prayers to all who do not believe neema ya Mungu iwaguse kupitia huu ushuhuda

  • @yvettekyalika907
    @yvettekyalika907 3 роки тому +2

    YESU okowa wa toto yangu... Nipiganiye Ô YESU 💃💃🎶🎶

  • @everlynemiriam5943
    @everlynemiriam5943 11 місяців тому +1

    Amen neva give up God bless you always

  • @rizikimarie6765
    @rizikimarie6765 3 роки тому +2

    Amen Amen pastor nilikufuata kwanzia mwanzo mpaka mwisho nimebarikiwa sana mungu akubariki

  • @everlynemiriam5943
    @everlynemiriam5943 11 місяців тому +1

    Amen Amen Amen glory be 2 God Amen

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 роки тому +1

    Huyo kaka yako ni mtu wa kizamani Sana toka lini Mungu akapiganiwa, ukiwa na pesa ukimbiwi na ndugu

  • @kelvinlwiva5380
    @kelvinlwiva5380 3 роки тому +1

    God is wonderful,a miracle working God! Mungu akupe nguvu ya kumvunia mavuno makuu!

  • @b.a.m6243
    @b.a.m6243 3 роки тому +2

    Waislaam bhana, haya tutafika tu hata kwa vip.
    YESU wangu nakupenda sana na kwako sibanduki milele, majaribu n mengi ulimwenguni lakini naamini kwako kama wapo walioshinda nasisi wengine tutashinda kwa wakati wa BWANA. Amen.

  • @mildredmukoshi6381
    @mildredmukoshi6381 3 роки тому

    Huu ni ushuhuda ambao umenigusa sana. Kwa kweli jina la yesu lina nguvu kuliko kila kitu. Pole sana ndugu.

  • @MzeeKigogo_
    @MzeeKigogo_ 11 днів тому

    Amina. Yesu ni bwana

  • @linkreuben5804
    @linkreuben5804 3 роки тому +1

    Nguvu hii ya YESU itawale nchi yetu Tanzania. Awahukumu maadui zetu kila upande, tuishi kwa Ameni na kufanyikiwa katika nchi yetu.
    Katika Jina la Yesu. Ameni!

  • @leonardanzurunipombi2499
    @leonardanzurunipombi2499 3 роки тому +2

    Amina asante mtumishi wa Mungu,ushuda wako umenijenga

  • @drnow1528
    @drnow1528 3 роки тому +4

    Bwana Yesu asifiwe

  • @resaltnekesa9702
    @resaltnekesa9702 2 роки тому

    Ooh! My God, pole sana mtumishi wa Mungu. Mungu na akupe nguvu na kukunawirisha zaidi ki Imani.
    USHUHUDA WAKO UMENITOA MACHOZI ILA UMENIJENGA SANA KIIMANI 😪😪

  • @yvettekyalika907
    @yvettekyalika907 3 роки тому +2

    Mutumishi Jacktan ASANTE sana na ushuuda.. Merci beaucoup ! Stay blessed 🙂

    • @ngwanafabian9668
      @ngwanafabian9668 3 роки тому

      Na wewe unayemwamini bikira Maria okoka acha kuabudu sanamu. Mariam siyo mwombezi wetu wala haokoi. Yesu pekee ndiye anayestahili kuabudiwa na ndiye mwombezi wetu

  • @JuliasRanga-dd8zn
    @JuliasRanga-dd8zn Рік тому +1

    Amen and amen in Jesus name

  • @fridafrida7665
    @fridafrida7665 Рік тому +1

    God bless you brother

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 3 роки тому +5

    Wakristo kumbukeni hata Yesu hakuteswa na wapagani wala majambazi,bali aliteswa na wakuu wa dini za kiyahudi na washika sheria ya Torati.Mshika sheria za dini ni mtu hatari sana kuliko mpagani.

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 роки тому

      Huyo hakuna alomtesa muongo. Hakuwahi kua muisilam kafiri mwenzenu tangu awali huyo. Mnadhani hatujui mbinu zenu?

    • @brigithadidas5128
      @brigithadidas5128 3 роки тому

      @@alhamdulillah5796 hahaa pole sana okoka b4 its too late

  • @esthetbabu7481
    @esthetbabu7481 3 роки тому +2

    Oh God the power of Lord,is powerful

  • @user-me3ee4fu8w
    @user-me3ee4fu8w 3 роки тому +3

    Mungu kwetu sisi ni Mungu wakuokoa na njia za kututoa mautini zina yeye

  • @yvettekyalika907
    @yvettekyalika907 3 роки тому +4

    💃💃💃💃💃❤️💃💃❤️❤️❤️❤️💃YESU YESU YESU... Gloire à DIEU 💃💃🎶🎶ALLÉLUIA 🎶🎶

    • @lynnpreciousm6182
      @lynnpreciousm6182 3 роки тому

      💃💃💃💃💃.......haleluia!!!!
      Praise the Lord Jesus Christ. Unayoyatenda kweli ni MAKUUU!🔥🔥🔥❤️❤️🎉🎉🎊🎊🎀

  • @adriandanford208
    @adriandanford208 3 роки тому +1

    Jina la yesu ni kama marashi mazuri yanukiayo katika nafsi iliyoamini

  • @naomypaul1014
    @naomypaul1014 3 роки тому +2

    Jamaniiii hivi Ni kweli ndugu yako wa damu utake kumuua kisa kubdri dini,asee apo ndyo naamini hawa wenzetu mungu wanaomwabudu syo sahihi

  • @annewanjiku52
    @annewanjiku52 3 роки тому +2

    There's power of confessing Jesus Christ in front of those who are persecuting you

  • @user-mb6ob5fx3l
    @user-mb6ob5fx3l Рік тому +1

    Mungu ana weza

  • @beatricefilbert1171
    @beatricefilbert1171 6 місяців тому +1

    Nampenda Yesu jamani

  • @kelvintech3797
    @kelvintech3797 3 роки тому +4

    Asante Kaka jacktan

  • @mawazobayndulwa1909
    @mawazobayndulwa1909 3 роки тому

    Akuna kisicho wezekana kwa Mungu yote kwake yanawezekana na hao waesilamu hawatamuona muhamad wakati wa unyakuo ni yesu peke yake tu sasa wakati watasema yesu yesu watakuwa wamechelewa pole sana kwa dini kama hiyo Jacktan Mungu hakubariki na mutumishi wa Mungu Mungu Akufunike na damu ya yesu kristo Amen

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 2 роки тому +1

    Amen amen amen😭😭🇰🇪

  • @aronponsian1124
    @aronponsian1124 2 роки тому +1

    Mungu azidi kukulinda

  • @annewanjiku52
    @annewanjiku52 3 роки тому +1

    I receive that blessing in Jesus Name

  • @lydiahsinyora2356
    @lydiahsinyora2356 2 роки тому

    God will remain to be God forever and ever amen be blessed man of God

  • @marykibwana9413
    @marykibwana9413 3 роки тому +1

    Hongera Pastor Amiri.

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 3 роки тому +2

    Ama kweli Yesu ni ushindi.

  • @christinengumbao993
    @christinengumbao993 3 роки тому

    Amen asante kwa ushuhunda Yesu ndiye njia ya kweli na uzima hakuna mwengine wakufanana naye hatakuepo in Jesus name amen Emmanuel

  • @everlynemiriam5943
    @everlynemiriam5943 11 місяців тому +1

    Wacha mwana wa mungu aitwe mungu

  • @kalamajulius6107
    @kalamajulius6107 3 роки тому

    Kama kunaye mtu anayeweza kusikia ushuhuda wamtumishi huyu wote asiamini nakuokoka naalaniwe katika jina la Yesu aliyehai amen.

  • @powerplus1933
    @powerplus1933 3 роки тому

    Asante Sana Kaka jactan kwa ushuhuda mzuri.ikiwezekana nawashauri mutoe filamu yake.itakuwa sawa.

  • @sebastianmwita9149
    @sebastianmwita9149 3 роки тому +1

    Yesu kristu ni zaidi ya tunavyodhani, kwa maana ni MUNGU halisi

  • @user-ev7cr4ru8v
    @user-ev7cr4ru8v Рік тому +1

    Amen 🙏

  • @titinmbega4128
    @titinmbega4128 3 роки тому +1

    Hallelujah hallelujah 💪💪😇😇

  • @esthetbabu7481
    @esthetbabu7481 3 роки тому +1

    Amen amen God bless you all the time

  • @joycegeorge-mf5kn
    @joycegeorge-mf5kn 10 місяців тому +1

    Groly to God

  • @lilianluhasi5053
    @lilianluhasi5053 3 роки тому

    Ashukuriwe Mungu aliye juu katika jina la Yesu Kristo

  • @esterabonga7947
    @esterabonga7947 3 роки тому

    Uhu ushuhuda umenijenga imani mara 💯 yaani zaidi na zaidi . Kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa

  • @hellenamasinjisa5448
    @hellenamasinjisa5448 3 роки тому +1

    Haleluya, mkristo jivunie kuwa na Yesu, wengine wanapata wokovu kwa shida, Asante Yesu mwana wa Mungu ulie hai

  • @neemaedward1474
    @neemaedward1474 3 роки тому

    yesu ndiye njia kweli na uzima hilo halipingiki,asante yesu kwa kuendelea kujidhihirisha kila inapoitwa leo

  • @mwajumabulonvu7038
    @mwajumabulonvu7038 3 роки тому

    amen amen yesu ni mwema.

  • @marysteven605
    @marysteven605 3 роки тому

    Honngera saaaaaana mtumishi wa mungu kwa ushindi mkuu!!!!!

  • @mrdigtal6579
    @mrdigtal6579 3 роки тому

    Roho ya mwakasenge ya mungu inakaa ndani yako utakuwa mkuu katika ufalme Wa mungu hakika sauti yako inatisha kuzimu barikiwa

  • @owinomakochieng828
    @owinomakochieng828 Рік тому

    Glory to God.

  • @ashurantunzwenimana5975
    @ashurantunzwenimana5975 Рік тому

    Ameen 🙏

  • @annewanjiku52
    @annewanjiku52 3 роки тому +1

    Yani Amir vita umepigwa kubwa na ndugu y'all haswa kwa ajiri ya kumkiri huyu Yesu, amin amin Yesu atakukiri mbele ya BaBa take pia umbarikiwe zaidi

  • @user-xm2rm7wn6h
    @user-xm2rm7wn6h 8 місяців тому

    Sema ulikuwa mpuuzi 2broo

  • @justinecharles5000
    @justinecharles5000 3 роки тому

    Barikiwa Sana Pastor . Hakika ushuhuda huu umenijenga Sana na kubadilisha maisha yangu ya kiroho.

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 3 роки тому +1

    Njia bora ya kuwaokoa wenzetu Waislamu ni kuwapenda zaidi na sio kuwadhihaki au,kuwakebehi.Yesu ni PENDO na MUNGU ni pendo vilevile. Mkristo wa kweli ana wajibu wa kueneza upendo maana sisi ni tawi ndani ya mwili wa Kristo.

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 роки тому

      Sikilizeni uongo wa kafiri mwenzenu kama kawaida yenu. Mbinu za uongo ndio zenu. Lkn huyo jamaa hakuwahi kua muisilam.

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 роки тому

      Na muisilam wa kweli pia anawajib wa kusambaza upendo mana uislam niupendo na amani.

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 роки тому

      Na ikiwa kuna wakiristo wanaoua watu basi mjue na waisilam wapo hivyo hivyo. Msidhani muisilam lazma awe perfect na mkiristo mkaeka sabbu.

  • @aimerencentabagoyi8311
    @aimerencentabagoyi8311 3 роки тому +2

    Ameen Ameen Ameen

  • @ivomhagama9796
    @ivomhagama9796 3 роки тому

    Mathayo 10:32,33 ,Basi kila mtu atakayenikiri mbele ya watu,nami nitamkiri mbele ya Baba yangu aliye Mbinguni.Mtu yeyote atakaye nikana mbele ya watu,nami nitamkana mbele ya Baba yangu aliye Mbinguni.Yohana 14:23 ,Yesu akajibu akawambia,Mtu akinipenda atalishika neno langu na Baba yangu atampenda nasi tutakuja kwake na kufanya makao kwake.Wagalatia 6:7,msidanganyike MUNGU,hadhihakiwi kwakuwa chochote apandacho mtu ,ndicho atakacho vuna.

  • @mackynicky5832
    @mackynicky5832 3 роки тому +1

    Hakika Yesu ni Bwana

  • @lwesyajj5981
    @lwesyajj5981 3 роки тому +1

    Nabarikiwa Sana na ushuhuda huu

  • @germainekahambu
    @germainekahambu 3 роки тому

    Mungu akutie nguvu na akubariki mtumishi wa Mungu

  • @damarsd4599
    @damarsd4599 3 роки тому

    Yesu kristo atabaki kuwa Bwana,,kaka yangu endelea kumtumikia yesu

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 4 місяці тому +1

    Jesus Christ the name above of all name's

  • @jesusismyking5292
    @jesusismyking5292 3 роки тому

    Yesu ndiye Mbuwana wa ma Mbuwana

  • @yustamushi19
    @yustamushi19 3 роки тому +1

    Hivi hao watu wanamwabudu Mungu yupo ,mbona ni wauwaji ni Mungu gani huyo jaman

  • @estasage5506
    @estasage5506 3 роки тому

    Kaka hiyo ulimujaribu Mungu. Yaani watumishi wa Mungu wasingekuruhusu uende nyumbani kwenyu.

  • @mercyjesus6637
    @mercyjesus6637 3 роки тому +1

    JACTAN barikiwa mnooooo

  • @richardsanga8641
    @richardsanga8641 3 роки тому +1

    UKIZUNGUMZIA UISLAMU. UNAZUNGUMZIA SHETANI 100%. UKIZUNGUMZIA UKRISTO UNAZUNGUMZIA MUNGU ALIYE HAI 100%