USHUHUDA WA SHEHE ALIYEOKOKA(Part 2)~Shehe Omary Mnyeshani

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 лис 2019
  • Karibu katika sehemu ya pili ya ushuhuda wa aliyekuwa shehe,Omary Mnyeshani.Ushuhuda bado unaendelea fatilia mwendelezo.

КОМЕНТАРІ • 67

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 3 роки тому +11

    Jamani tuwaombee watoto wetu maana ulimwengu wa Roho una mambo ya kutisha asante kwa ushuhuda wako barikiwa

  • @RajabKAMIS
    @RajabKAMIS 4 роки тому +9

    Usiwe na waswasi kwa sababu ya wasiokuelewa katika pande zote. Mungu wa kweli ni tofauti sana na tunavojuwa. Hata Saul hakuwahigi kujuwa kama Mungu wa Kweli atamtumiya. Kwa hiyo usijali watu wanavofikiri kuhusu wewe, kama ni watu wa Mungu wa Kweli watakuelewa mwishoni.
    Napongeza sana ujasiri wako Omari. Hayo yote ni mipango ya Mungu wa Kweli. Upitiye uzimuni kabla ya kuokoka ili uweze kutowa mafunzo rasmi kwa wana wa Mungu wa Kweli.
    Ni kweli kuwa katika mazehebu mengi bado kuna wajinga wengi tu wenye elimu ndogo katika kutambuwa mambo ya Mungu wa Kweli. Mungu wa Kweli ni tofauti.
    Halleluya!!

  • @GraceCosmas-wq6eg
    @GraceCosmas-wq6eg 4 місяці тому +2

    Hakika yupo mungu wa kwel

  • @user-pr6nl7bo4w
    @user-pr6nl7bo4w 3 місяці тому +1

    Mungunimwema,upohai,kaka,niliupata,ushuhudahuu,kwenye,radio,wapo,ukiwanakundi,lawokovu,lamchungaji,simbaulanga,kule,dareslaam,mabibo,nimefurahi,sanakukuona,Yesu,atakulinda,wapeushuhudawote,iliwachague,njia,iliyosahihi,nikumkiri,Yesu,kuwandionjiayakweli,nauzima

  • @phineruge3480
    @phineruge3480 4 роки тому +4

    Ahsante sn kwa ushuhuda, Kweli Uchawi upo!!

  • @nthal-x7y
    @nthal-x7y 6 місяців тому

    Yesu Kristo anatisha,bj

  • @barakampunga8121
    @barakampunga8121 2 місяці тому

    Nyinyi waislamu Dina yenu ni majin tu Mungu mnamshirikisha ty

  • @elizabethamon7454
    @elizabethamon7454 2 роки тому +5

    Acheni asimulie alichokutana nacho kwenye maisha yake azungumzii dini apa

  • @nyingos
    @nyingos 2 роки тому +3

    Watu wanatisha sana hakika.

  • @emylyanzile8262
    @emylyanzile8262 4 роки тому +7

    Watu acheni uchawi na uganga

  • @user-ii4jc3wo4i
    @user-ii4jc3wo4i 4 роки тому +5

    Barikiwa napata ufahamu jinsi ulimwengu wa giza unavyo fanya kazi tupe part 3

  • @emylyanzile8262
    @emylyanzile8262 4 роки тому +5

    Kumbe usafiri wa ungo muzuri,lakini kumbuka huwezi kuingia mbinguni siku ya Mwisho,by fly

  • @mwambakibucheche1119
    @mwambakibucheche1119 2 роки тому +2

    Yesu nimuweza

  • @ajh9106
    @ajh9106 Рік тому +1

    Asante kwa ushuuda

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 роки тому +1

    Safi hapa uliunganisha vizuri

  • @nyamogafamily4262
    @nyamogafamily4262 4 роки тому +5

    God bless you 🙏

  • @alphaleahibrahim8904
    @alphaleahibrahim8904 4 роки тому +4

    daaaaaaaaaaah

  • @franciswafula4521
    @franciswafula4521 7 місяців тому

    kenya tumemaliza nguvu za uchawi huku..yesu anatawala

  • @NaomiMakori
    @NaomiMakori 9 місяців тому

    😅Asante mungu kwa wakenya maana sisi atujuani na mambo ya kichawi sana

  • @navokisembo
    @navokisembo 4 роки тому +4

    Barikiwa mtumishi Jactan

  • @ramadhangona9085
    @ramadhangona9085 4 роки тому +4

    Nikama huu shuhuda niliusikia pale kwa Gwajima lakini hakufikia kueleza ni vipi aliachana na uchawi

  • @user-mc2xd4eu2p
    @user-mc2xd4eu2p 6 місяців тому

    Mpaka mtumie uongo kutangaza ukristo mm nilitegemea mtatoa maandiko kumbe alikua mchawi😂😂😂😂😂

  • @NduguEzekiel
    @NduguEzekiel Рік тому

    Huu ndio uislamu sasa yaan ushetani wazi wazi tuwaombee ndugu zetu jamani...

  • @mwendwa444
    @mwendwa444 4 роки тому +2

    Wapi part 3

    • @glorymiko4864
      @glorymiko4864 4 роки тому

      Kila movie inamwisho wake.

    • @zanaalrijbi3783
      @zanaalrijbi3783 4 роки тому

      @@glorymiko4864 😭😭KUMBUKENI SIKU YA QIYAMA KUNA HESABU .......NA WEWE USIJIITE KUWA ULIKUWA MUISLAM MAANA UISLAM UNAPINGA UCHAWI MAANA ULIKUWA UNAMSHIRIKISHA MWENYEZI MUNGU NA MAMBO MENGINE 😭HASBIYALLAHU WANEEMA L WAKIL ..... NINAKUOMBEA MWENYEZI MUNGU AKURUDISHE KATIKA NJIA YA HAQI KABLA HAKIJAKUFIKIA UMAUT ........

    • @lusekelomwinsasu318
      @lusekelomwinsasu318 4 роки тому

      @@zanaalrijbi3783 uyo alikuwa sio mwislamu ila wewe ndo mwislamu saana hautaki uganga uslamu uongo wa nini wakina shehe sharif majini siyo waislamu na siyo waganga je ambao wanatangaza mitaani kuwa wanapandikiza majini wema na pete za majini siyo waislamu ila wewe ndo mwislamu hakuna kifungu ambacho kinakataza uganga ktk uislamu na je albadili ni kitabu cha wakristo ee

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 роки тому

    Huu ushuhuda kama wa mtu aliyewahi kwenda visiwa vya comorro niliwahiwa kusikia sehemu sikumbuki ni wapi??

  • @iam_bunei
    @iam_bunei Рік тому

    story za jaba

  • @user-lb1nb2ls9g
    @user-lb1nb2ls9g 21 день тому

    Dini ya shetani na majini yake.

  • @piustbosco.mwereria5193
    @piustbosco.mwereria5193 4 роки тому

    Shehe

  • @maulidalyaaamiin46
    @maulidalyaaamiin46 2 роки тому

    Maisha ukristo hautobaki kuwa dini ya kweli.

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 роки тому

      Pole Ukristo ni ufuasi siyo dini,Usichanganye Yesu na Dini

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 роки тому

      Ukiwa Mkristo umemfuata Kristo aliyehai haujawa na dini na hautokiwa na dini kamwe,Usidhanganye Dini na roho zete,Tunamchanganya Yesu na Roho zeetu tui

    • @maulidalyaaamiin46
      @maulidalyaaamiin46 2 роки тому

      Quran imesema kwamba yeyote ambaye atakufa hali ya kuwa ni mkristo ataingia motoni milele jee ni wapi bibilia imetaja kua mkristo ataenda peponi

    • @maulidalyaaamiin46
      @maulidalyaaamiin46 2 роки тому

      Yani wakristo hawatofautian na wahind wanaoabudia masanamu Munasema kwamba ety yesu ni Mungu kama Mungu niwakuonekana angejionesha tokea mwanzo wa dunia ili aweze kuwakomboa waja wake wa mwanzo

  • @mussaabobakar7537
    @mussaabobakar7537 4 роки тому +1

    Ehe endelen kutuga pat 3

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 роки тому

      Was tahila anatunga???ndo yanayoendelea huko kwenu na mbaya zaid mmejiingza kwa wakristo Hawa wanaojiita mitume mnawapa hzo nguvu zenu lkn ashukuliwe mungu na mwanae wapekee mambi hadhalani

    • @maulidalyaaamiin46
      @maulidalyaaamiin46 2 роки тому

      Na nyinyi maisha yenu mshazoea kudanganywa mnaenda kanisani uchi kukata viuno ety ndo ibada zenu hizo ety ndo dini ya Mungu hiyo mbona ktk picha zenu zinazomuonesha Mariam mama yake yesu hamumvalishi kimini kama mnavovaa nyinyi.

  • @emylyanzile8262
    @emylyanzile8262 4 роки тому

    Napenda sana usafiri wa aina hiyo ya fimbo

  • @hamisimuhammad6225
    @hamisimuhammad6225 2 роки тому

    Nanyny wakristo mnahongopewa hapo mh

  • @hamisimuhammad6225
    @hamisimuhammad6225 2 роки тому

    Mpuuzi tu huyu

  • @ashuraniyonzima5214
    @ashuraniyonzima5214 4 роки тому

    Balikuwa sana lakini jama umeamuwa kumufwata Yesu kwanini unabaki kujitambulisha jina la shekh ?namavazi hayo kwanini?

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 роки тому

      Hayo majna ni lugha tu, km lugha zngne, na haya ni mavaz tu km mavaz mengne mfano kwetu bukoba kanzu ni vaz la heshma sana

    • @beatricepallangyo2821
      @beatricepallangyo2821 2 роки тому

      Mavazi na majina ni tamaduni na asili tu, havihusiani na dini japo wengi huamini hivyo

  • @fatumamohamed8203
    @fatumamohamed8203 3 роки тому

    Biashara zako na Hiyo mitungo yako Itasimama na ww mbele ya Allah, c makosa yako ni Huo uchawi ulio kujaa bado Akilini na Hao wachawi ndio wanao jifanya Mashekhe na kujifanya Ma Ustadh ili kuharibia jina na Uislamu, HASBUNLLAH WA NEEMAL WAKIIL, Naamini tu Allah na mtume wake na siamini chochote unachosema, Allah tu ndie atakae kuhukumu, na kukuongoza wewe.

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 роки тому

      Mbona povu🙉🙉🙉🙉🙉🙉🙉 we taila nn, ongea mpk kichina au kipalestina usiongee kialabu tu, mambo yenu yako wazi Sasa hv toka huko kwa uislam acha ubshi yesu ni mwokozi na bwana wa mabwana mtume wenu yuko chini ya YESUKRISTO kataa ukubali, anasubr sku ya mwisho kufufuliwa na kupelekwa motoni nawale wataokua bado wamekomalia kwake njo kwa yesu mnaumbuka vibaya

    • @paulagola919
      @paulagola919 3 роки тому +1

      Allah si ndiye anayemwongoza anayependa kumwongoza na kutomwongoza anayependa kutomwongoza...si shetani huyo kwa maana utakuwa unajiona umeshika dini kumbe ikifika tu karibu uingie peponi anakuja malaika mwenye hatima yako anakuambia ww ulikuwa umeandikiwa motoni 🤣🤣

    • @da-beebeztzhb9351
      @da-beebeztzhb9351 2 роки тому

      We ujasoma dini fatuma Mohamed tulia hyo dini ndo ilivyo ww

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 роки тому

      Si bora yeye aje asimame mbele za haki??

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 роки тому

      @Chiemcee Izzy tena nzuri saana ilimuondoa gizani sasa yuko nuruni,Tengeneza yako uende Promover tukusikilize