PART1:SHEKHE OMARY MNYESHENI ALIOKOKA/UKIRISTO SIO DINI/MUUAJI MISUKULE 39/NILIWAUA KWA SABABU HIZI

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 249

  • @linkreuben2261
    @linkreuben2261 3 роки тому +24

    Shekhe Omar anajua vitu vingi sana vinatusaidia kujua siri za Shetani. Asante Yesu!

  • @johnbaraka3743
    @johnbaraka3743 3 роки тому +15

    Karibu sana Mnyeshani thanks for coming back

  • @geofreypaul163
    @geofreypaul163 3 роки тому +7

    Huyu Bwana ninakupenda sana...natamani siku moja...nionane naye ..MUNGU ambariki sana

  • @thb9561
    @thb9561 3 роки тому +18

    😷🤙Nawatakia Eid Mubarak.. follows wote Wa davistar..

  • @user-fu6fx8if6w
    @user-fu6fx8if6w 20 днів тому

    Tunakupenda sana shekhe wetu ,acha Jehova Akulinde na familia yako.

  • @mchopaluka4319
    @mchopaluka4319 3 роки тому +4

    Namfuatilia na namkubalu sana Mtumishi Omary

  • @koperawasona9551
    @koperawasona9551 Рік тому +3

    Nakuja Tanzania 🇹🇿 from USA 🇺🇸 kuwaona weye na yohana Ramathani,yohana kibavu na ule dada msomalia nawapenda sana nitumiye namba za simu tuongeye live

    • @user-fu6fx8if6w
      @user-fu6fx8if6w 20 днів тому

      Uliwahi pata nambari zao?Nina nambari ya Moja wao

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 роки тому +7

    Welcome back Sheikh Omar we missed u

  • @upendoluv7197
    @upendoluv7197 3 роки тому +4

    Leo Rangi nzuri sijui camera mpya...
    All in All I'm happy 2 see mnyeshani again

  • @olphamoraa6683
    @olphamoraa6683 3 роки тому +5

    Mhh mungu nifundishe kunyamanza kila mtu na mungu wake🇰🇪

  • @alicekarimi6168
    @alicekarimi6168 3 роки тому +4

    God bless you man of God🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @heritier5119
    @heritier5119 3 роки тому +8

    Mnyeshani na Latino ni wazungumzaji Big up sana

  • @sallo27.70
    @sallo27.70 3 роки тому +9

    Waooo....!
    Karibu Sana Shekhe.

  • @moussashamba719
    @moussashamba719 3 роки тому +2

    MM NI MMOJA YA WATU WALIOKUWA WANAMUULIZIA SHEKHE OMMAR KIUKWELI NASHUKURU SANA..SOMO LAKE TUNAENDELEA NALO KUJIFUNZA 🙏🙏🙏

  • @ole_larusai587
    @ole_larusai587 3 роки тому +6

    Ewaaaaa. Davistar nashukuru. Mungu ni mwema

  • @jossyayielo7576
    @jossyayielo7576 3 роки тому +6

    Hapo SASA asante Mr everything 🇰🇪🇰🇪

  • @bensonryoba5968
    @bensonryoba5968 3 роки тому +3

    She mnyeshan namuelewaga sana kwa kweli anafundisha anaelimisha.

  • @seasonepisode3328
    @seasonepisode3328 3 роки тому +4

    😭😭😭😭😢😢😢binadamu sisi ni chakula cha majini..jamani akuna jini zuri woteeeee ni maadui zetu wanakuja kwa njia tofauti ya uongo 😢😢😢😢😢😢

  • @user-hw7ce8gf6v
    @user-hw7ce8gf6v 9 місяців тому +1

    Kumufuata Yesu Kristo kuna faida kubwa mno.
    WAGALATIA 3
    26 Kwa kuwa ninyi nyote mmekuwa wana wa Mungu kwa njia ya imani katika Kristo Yesu.
    27 Maana nyinyi nyote mliobatizwa katika Kristo mmemvaa Kristo.
    28 Hapana Myahudi wala Myunani, hapana mtumwa wala huru, hapana mtu mume wala mtu mke, maana nyinyi nyote mmekuwa mmoja katika Kristo Yesu.
    29 Na kama ninyi ni wa Kristo, basi, mmekuwa uzao wa Ibrahim, na warithi sawasawa na ahadi.
    Amen !!!

  • @nhlnaturehumanbeingsandlif9780

    Mungu atusaidie

  • @KariukiRoysambu
    @KariukiRoysambu 3 роки тому +2

    Shukrani kaka tunakuelewa tu kazi nzuri unayoifanya tena kwa utaratibu

  • @lamerckmsuya5513
    @lamerckmsuya5513 2 роки тому +3

    Halleluya, God bless you

  • @utafitiimanitv6641
    @utafitiimanitv6641 3 роки тому +2

    Hongereni kwa kaz nzuri

  • @heritier5119
    @heritier5119 3 роки тому +4

    Mungu utumia watu kutufunulia ya gizani kupitia mitandao

  • @eldkibeh
    @eldkibeh 3 роки тому +1

    Tafathali Tafathali shehe naomba sana unieleze pale uliachia Yani mamma sita Shetani anavyomjua Yesu!!

  • @florachuwa301
    @florachuwa301 3 роки тому +8

    Daaah afadhali umemrudisha Uyu Bwana....big up

  • @shizaarfred4059
    @shizaarfred4059 3 роки тому +3

    Wallah umejua kunifurahisha dav

  • @mchopaluka4319
    @mchopaluka4319 3 роки тому +4

    Ni moja kati ya waalim ninaowafuatilia mno na nimejifunza mengi toka kwa huyu Mtumishi.

  • @kakajoss2464
    @kakajoss2464 3 роки тому +12

    Asante sana davista kwa kumrejesha shekhe tena. Then I request you to start working on kuanzisha mahojiano ya live ili nasi tuwe tukiuliza mhusika maswali live pia

  • @faizamohamed6993
    @faizamohamed6993 3 роки тому +2

    Nice story

  • @bartazarideogratius5611
    @bartazarideogratius5611 Рік тому

    Mwenye Namba za shehe Omary mnyeshani naomba anisaidia

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 3 роки тому +4

    Safi Sana broo

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 роки тому +2

    Pamoja dav endelea kutuelimisha 🙏

  • @angelbenjamin7326
    @angelbenjamin7326 3 роки тому +3

    Am so happy

  • @starbizyousuf8370
    @starbizyousuf8370 3 роки тому +5

    Inna lilahi wa iyna ilayhi rajiun

  • @straightkonect1613
    @straightkonect1613 3 роки тому +5

    Shekheeee sasa hapo ndipo but Davistar bado umrudishe na jamaa Wa BAKORA ZA KIMKAKATI

    • @reyyathu8978
      @reyyathu8978 3 роки тому +1

      Haha liked his story too

    • @straightkonect1613
      @straightkonect1613 3 роки тому

      @@reyyathu8978 😀

    • @heritier5119
      @heritier5119 3 роки тому +1

      Yupo Radio Free Afrika anatiririka KILA jumapili kipindi cha sintofahamu

    • @straightkonect1613
      @straightkonect1613 3 роки тому

      @@heritier5119 nipo kenya haifiki huku nilitoka border

    • @heritier5119
      @heritier5119 3 роки тому

      @@straightkonect1613 sikiliza online inafika

  • @Dutchez
    @Dutchez 3 роки тому +2

    Safi sana subira huvuta heri na ndio yamefika

  • @ijuekwelitv3150
    @ijuekwelitv3150 2 роки тому +2

    Samahani huu ushuhuda ni wa muda mrefu ila nina ombi moja ndo nimeuona
    Kuna mahala alisema kuwa alimpakaa dawa binti akapotea akawa haonekani
    Sasa hajatupa jibu je baada ya kuokoka alimuombea binti na kumrudisha au alimuacha apotee hivyo??

  • @agnesmwaizinga5401
    @agnesmwaizinga5401 3 роки тому +7

    Hii ni part 1, tungonje part 2345.........

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 3 роки тому +2

    Kwa sababu ya shekhe nimebonyeza kengere

  • @evalineawary3604
    @evalineawary3604 3 роки тому +4

    Mambo ndo kama haya Sasa mr everything

  • @joycesycherlwy3835
    @joycesycherlwy3835 3 роки тому +2

    Jamaani nimefurahi sana mnyeshani yaàani siwezi kuelezea

  • @johnassilvester1600
    @johnassilvester1600 3 роки тому +2

    Hapo sawa tulimmisii mnyeshani

  • @josephmungai544
    @josephmungai544 3 роки тому +3

    Hapo sawa!

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 роки тому +2

    dav apo sawa twaeza tekwa

  • @venantmshema1000
    @venantmshema1000 3 роки тому +1

    Big up Mr fact!!!!!

  • @rahaisacl9954
    @rahaisacl9954 3 роки тому +2

    Jmn sijui nikubebe kunirudishia mnyeshani

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 2 роки тому +1

    Davi hapa mic yako iko far sana

  • @videozaaj1069
    @videozaaj1069 3 роки тому +5

    Hapo kwenye baiskeli angekuwa bwana zablon angeeleza in details kwanza angeitaja jina la baiskeli,angesema alinunua wapi,lini na shilingi ngapi hahahahaha

    • @djbullah2556
      @djbullah2556 3 роки тому +1

      Zabron A.K.A Bwana Misosi noma anakumbukumbu kinoma

    • @josephemmanuel3175
      @josephemmanuel3175 3 роки тому +2

      Daaa nmekumbuka zabron bwana misosi ndo maaana ananenepeana sana

    • @upendoluv7197
      @upendoluv7197 3 роки тому +1

      😂😂😂😂Angekuambia kama ilikuwa phonex Au ya gia

    • @jamalshabani1293
      @jamalshabani1293 3 роки тому +1

      Hauna dini

  • @raphaelmassawe7940
    @raphaelmassawe7940 3 роки тому +2

    Nimekubali

  • @meckylucy215
    @meckylucy215 3 роки тому +2

    Nimefurahi sna kukuona tena Mnyeshani

  • @babyboss2886
    @babyboss2886 3 роки тому +1

    Mr DM kipenzi asante ku leta Bwana Omari

  • @ramayasly4584
    @ramayasly4584 3 роки тому +2

    Nawasalim sana kakangu zangu

  • @margaretachieng9887
    @margaretachieng9887 3 роки тому +1

    Story nzuri sana ✨

  • @credo7837
    @credo7837 3 роки тому +3

    Nilikuwa namsubiri sana

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      Kumbee🤣

    • @IGL-x1d
      @IGL-x1d 3 роки тому

      😂😂😂😂😂🤝🤝🤝

  • @brenda1083
    @brenda1083 3 роки тому +5

    Tuendelee Sasa

  • @wilsonwilson2417
    @wilsonwilson2417 3 роки тому +2

    Vizuri kabisa,atueleze yule jini wake alienda wapi?

  • @aminsalimali793
    @aminsalimali793 3 роки тому +2

    SAFI KABISA DAVISTAR MATA MTU MAKINI KABISA

  • @omarimziya390
    @omarimziya390 3 роки тому +2

    Diamondi vs stamina

  • @aliceondeko3455
    @aliceondeko3455 3 роки тому +1

    Yess

  • @vaghoghontweki9827
    @vaghoghontweki9827 3 роки тому +2

    Nmefrahi kumuona Mr Omary,,,lkn naomba mr #Dm muulize how comes yeye ameokoka na wakati huo huo Appearance inaoneshe he is muslim kuanzia mavazi na vingne,,au kazoea kuvaa kanzu,,,I'm sory kama ntamkera mtu🙏

    • @Laila-lz4ij
      @Laila-lz4ij 3 роки тому

      Hata Mimi nilikuwa najiuliza hilo. Na sana anatumia lafidhi za ki Islam. Ananichanganya

    • @tabithakigongo7801
      @tabithakigongo7801 3 роки тому +2

      Mavazi na kuitwa shekh sio tatizo..!! Yote HAYANA ubaya ktk dini yoyote.. vazi la kanzu ni vazi la waarabu na watu walio na asili ya kuvaa ivo.. ambapo Pia lilivaliwa tangu enzi za karne ya 1.
      Sheikh maana yake MZEE.. - mtu aliezidi miaka 50 au anaejua mambo meengi ya ukuu hata kama ni mdogo. Hata kwenye bibilia neno sheikh ipo.. so sijaona kosa kwa OMARY apo

  • @heritier5119
    @heritier5119 3 роки тому +4

    Funua Siri za wachawi

  • @ummuhkhalfan5542
    @ummuhkhalfan5542 3 роки тому +2

    Ndo mana napendaga interview ya davista yan penye manufaa anapauliza hasa

  • @davidochieng7055
    @davidochieng7055 3 роки тому +2

    Pamoja sana

  • @elephasadalamaimaadante7115
    @elephasadalamaimaadante7115 3 роки тому +3

    God is great

  • @lauriantemba7939
    @lauriantemba7939 3 роки тому +1

    Hatuna udin sis

  • @ghatynyantebu592
    @ghatynyantebu592 3 роки тому +2

    Faida nyingi za mbaazi tunaomba tuambiwe jamani.

  • @charlesmapunda5905
    @charlesmapunda5905 11 місяців тому +2

    Hii stori meamua kurudia kusikiliza upya, ila kila comment ya Muislam humu zimejaa chuki kwa huyu Mtumishi. Kiukweli kama kufunikwa ufahamu Waislam wamatia huruma, hasa wa huku Afrika. Waarabu wa bara Arabu walipigwa marufuku wasisome Biblia wala kuikalibia ili tu wasijue ukweli, sasa kutokana na muingiliano wa kusafiri na mitandao ya kijamii kujaa imefungua Waarabu wengi na wamempokea Yesu sasa hawa Maamuma wa huku hawajui kitu ila ndo vigego vya ubishi eti wamadai wanaweka misimamo bila kujitambua kama Majini ndio yanawafanya wawe hivyo.

  • @scholamwasi2782
    @scholamwasi2782 3 роки тому +6

    Mjilani zangu mpo

    • @IGL-x1d
      @IGL-x1d 3 роки тому

      Hujambo wngu😘😘😘🇪🇭🇪🇭

  • @djbullah2556
    @djbullah2556 3 роки тому +1

    Nilikua nimeisubilia sana hii

  • @shaadenshaduni7755
    @shaadenshaduni7755 3 роки тому +3

    Mnavyo pepesa macho utasema kuna maaskali wanakuja kuwakamata

  • @erikimethod6246
    @erikimethod6246 3 роки тому +2

    Nataman neema ya wokovu inishukie

  • @nazfatyabdallah1041
    @nazfatyabdallah1041 3 роки тому +3

    Kaka mpemawazo afunguw chanli yake atowe mafuzo

  • @namanga9786
    @namanga9786 3 роки тому +1

    Njaaa itakufanya usemee owomgoo

  • @ulayaz
    @ulayaz Рік тому

    Mung atunusuru na njaa, maan inatufanya tuseme uwongo.

  • @laurineasira7195
    @laurineasira7195 3 роки тому +2

    Elimu haikamiliki when still living

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 3 роки тому +8

    Afadhal umempata tumalizie story yetu

  • @denizamahongo8557
    @denizamahongo8557 3 роки тому +1

    Amerudi aisee

  • @makame3524
    @makame3524 3 роки тому +2

    Mimi niwashaur tu kwamba mbali na kuskilza hiz stry tunatakiwa tujue pia mbinu au mipango anayoitumia shetan kumtoa mtu katika reli

    • @TITOtz
      @TITOtz 3 роки тому

      @Mussa Salum Kiwango unachompimia ndicho utakachopimiwa

    • @makame3524
      @makame3524 3 роки тому

      @@TITOtz kwa maana gani

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      Kabisaa

    • @sumamelody6197
      @sumamelody6197 3 роки тому

      Ata watoa wasio kuwa na elimu ya dini na wale wanao babaishwa na miujiza

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +2

    Iyo heading inamaanishann

  • @masoudkatiba1484
    @masoudkatiba1484 3 роки тому +2

    Jamaa alienda wapi3?

  • @zainabmbarak1043
    @zainabmbarak1043 2 роки тому +1

    Shehe kadanganya nashetani

  • @alibell5246
    @alibell5246 3 роки тому +1

    Inaaailah wainaailaih raajiwun yaan ww ni njaa tuu inakusumbua nakuombea kwa allah akuzndue akili yako mapastor wachungaj wote sasa wanaingia ktk din ya haki huku kenya kwetu tushajua ni ipi din ya hak ww upo unaweweseka na njaa yako

    • @medardissa6253
      @medardissa6253 3 роки тому +3

      We umekazana na dini mpaka Leo badala ya kutafuta wokovu

    • @zuhuramuhanga5400
      @zuhuramuhanga5400 2 роки тому

      Hakuna alie okoka duniani mpaka kiyama tukihukumiqa ndo ukihukumiwa peponi ndo utasema wewe umeokoka kwa sasa huyo shekh kaangamia umelitadi

    • @user-hw7ce8gf6v
      @user-hw7ce8gf6v 9 місяців тому

      Acha kujidanganya mwenyewe
      Quran 46 : 9 mohammed hajuwi kitakachofanyika juu yake au weye
      Islam ilianzishwa 610-632 AD
      afu unasema ni dini ya haki
      Wokovu ni kwa Yesu Kristo pekee hakuna mwingine

    • @8pistons194
      @8pistons194 19 днів тому

      Your allah is not alive how can he save someone😂

  • @mustafahmansoorchapu560
    @mustafahmansoorchapu560 3 роки тому +1

    Mweke live siku moja

  • @salumabdi3127
    @salumabdi3127 2 роки тому

    wakiristo wa saiv bwan wte ni watakstifu na wana bahat sana mn mpka saiv wao wanapata manabii na mitume wapya kila siku na kila anaeokoka anakutana au anafatwa na mungu chakusikitisha hii miujiza ya kushukiwa na mungu ni wao tu lkn kwa waislam hakuna icho kitu sio kwa mashekhe wala waumin wa kawaida hamn alieshukiwa na mungu....kwa mtazamo wangu hawa wanafatwa na mashetan wao wanasema mungu ndio hapo wanapoanza kupotea na kunza kutuletea maigizo hawajamaa ni wajuz wa maigizo ,,, haya huyu nae ametengua kifo duh huu mtihan sn istoshe huyu jamaa alipotea kwa kwnda kukamilisha hii story yake saiv ashatunga tyr amerud tna yaaan hawa wakiristo kirahis rahis tu wao wanaonana na mungu duh

  • @fidelbarutwanayo4068
    @fidelbarutwanayo4068 3 роки тому +2

    Ulikuwa na mashetani ndio maana ulimuacha mkeo mrudie mkeo

    • @josephemmanuel3175
      @josephemmanuel3175 3 роки тому

      😂😂😂😂😂😂🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂huo ugomvi ssa wa ngumi

  • @presenttruthloudcryforthel5338
    @presenttruthloudcryforthel5338 2 роки тому

    Davista tuandalie Kanyerere na shekhe omari watuambie zaidi kama walijuana wakiwa humo au vpi

  • @editrudesmbonde9051
    @editrudesmbonde9051 3 роки тому +1

    Acheni ujinga,eti UKRISTO siyo dini!!
    Hivi,Uislam ndiyo dini??
    Hata huwezi kulitoa pepo kwa jina la Mohammad,sasa hicho nini?
    Wala humuombi MUNGU kwa jina la MOHAMMAD maana hakusikii.
    Mtawapata hao wenye njaa wanafiki lakini sisi tunaouona umuhimu wa huyu CHRISTO YESU,hutuambii kitu.
    Kila mtu aamini dini anayoitaka,hamna haja ya kudharau dini za wengine.
    Dini haimpeleki mtu mbinguni,maana dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta MUNGU na si mpango wa MUNGU kumtafuta mwanadamu.
    Mpango wa MUNGU kumtafuta mwanadamu ni WOKOVU tu.
    Mungu awabariki sana.

    • @husseinkiruta1712
      @husseinkiruta1712 2 роки тому

      Wew unawaza toa pepo tu
      3;19 Qur'an .
      Bila shaka dini ya haki mbele ya mwenyezi Mungu Ni uislam
      Wapi andiko Ukristo Ni dini ?

    • @husseinkiruta1712
      @husseinkiruta1712 2 роки тому

      6:125 Quran
      Na dini hii ya uislam ndyo njia ya mola wako iliyonyooka

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 2 роки тому

      @@husseinkiruta1712 Quran say so not God Almighty ok😎😂
      Dini iliyonyooka,ya kuua wakristo?uchawi,wivu na chuki?
      Sasa kwa taarifa yako Mungu hana dini,yeye huuangalia moyo na matendo ya mwanadamu tu.
      Atakaye isikia sauti yake,kushika sheria na Amri alizoweka na kuzifa nyia kazi,MUNGU anamtaka mtu kama huyo tu friend,usijidanganye kwa dini yako ya kunyooka.😎

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 2 роки тому

      @@husseinkiruta1712 CHRISTIANITY IS FAITH NOT RELIGION.
      GOD ALMIGHTY HAS NO RELIGION.
      REMEMBER THAT😂

  • @yustakipenya6231
    @yustakipenya6231 3 роки тому +2

    Nilimsubir kwa hamu

  • @shaabanrobertwapili8045
    @shaabanrobertwapili8045 3 роки тому +2

    Njia ya mrongo ni fupi

  • @saadiaali5609
    @saadiaali5609 3 роки тому +1

    Sasa inamaanisha m'baazi hatakumbuka kana unaweza akasahau

  • @rachelkadego8979
    @rachelkadego8979 3 роки тому +1

    Mnyesha” hii niliisuburi Kwa hamu

  • @goldylinda
    @goldylinda 3 роки тому

    Nataka no ya davista

  • @puritykibe3099
    @puritykibe3099 2 роки тому

    Mbaazi ni mti upi jameni?

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 роки тому

    hayanikuti mimi kabisa

  • @saidessry9942
    @saidessry9942 3 роки тому +1

    shekhe omari muogope mola wako hapa tunasikiliza ushuhuda wa ukweli mimi ndio naanza kukusikiliza part ya kwanza hii lakini maneno yako yamejaa uongo hili sijambozuri sisi tunaifatilia channel ya davister kwasababu ya uaminifu wake na ufuatiliaji wake wewe shekhe lakini hata dua hujui hata quran hujui muislamu gani wewe tena sheke

    • @upendoluv7197
      @upendoluv7197 3 роки тому

      Season one uliiona? Mana huu Ni muendelezo

    • @saidessry9942
      @saidessry9942 3 роки тому

      @@upendoluv7197 hapana sikuiona

  • @matridalule6477
    @matridalule6477 3 роки тому

    Duh

  • @josephmungai544
    @josephmungai544 3 роки тому +3

    Alafu ulizia ile stori ya siku saba za wiki na siku ambazo ni bora zaidi kuanza biashara

  • @nooor1120
    @nooor1120 3 роки тому +2

    Huyu shekhe ni ni jina tu msifikirie ni sheikh wa waislam hakuna sheikh hasa wa kiislam alieingia dini nyengine wakati kishajua uislam ni dini ya haki haikutokea hio
    Muislam anaeingia dini nyengine ni muislam jina tu hana mvele hana nyuma.ila madri au askofu anaweza akiuona ukweli kwenye uislam huingia mzima mzima bila hongo wala tamaa ya kitu.
    Na mapadri wakiingia uislam wako radhi wanaacha mishahara yao mikubwa hawajali wanakwenda kuingia uislam kwa mola alie wa haki asiezaa na asie zaliwa na hana mfano wake.
    Ukweli ndio huo.

    • @johnzacharia2308
      @johnzacharia2308 2 роки тому +1

      Ndugu yangu wewe bado upo gizani, ipo siku utajua ukweli ndipo utakapoona ulivyochelew kumjua MUNGU wa Kweli. usichokijua nisawa na usiku wa Giza.

    • @zuhuramuhanga5400
      @zuhuramuhanga5400 2 роки тому

      Siku yamwisho hizo ndevu itakuwa ndo kamba yako ya kubanikiwa motoni shekh mzima una danganyika na shetani

    • @mauricebaraka9119
      @mauricebaraka9119 2 роки тому

      Ukweli upi unaongea hapo

    • @wilfredlukowo9476
      @wilfredlukowo9476 Рік тому

      Unajua hujaelewa ukristo ndio maana unaongea usiyo ya jua mtu ameishi maisha anayo simulia wewe unaleta Udini huo ni ujinga hata mimi nimewahi kuishi maisha kama hayo

  • @jacklineakoth1016
    @jacklineakoth1016 3 роки тому +1

    Kwani amerudi