USHUHUDA WA ALIYEKUWA SHEHE - OMARY MNYESHANI 4/4 - bonyeza SUBSCRIBE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2016
  • Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of one of the Largest Churches in East Africa. He is also the ArchBishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God has been using him to raise the dead, heal the sick and performing signs and wonders in the name of Jesus.

КОМЕНТАРІ • 147

  • @marthajohn5526
    @marthajohn5526 5 років тому +11

    Ushuhuda nimeuelewa sana jina la YESU lihimidiwe wakristo tuna CHENYE NGUVU

  • @simonjnrmabula2947
    @simonjnrmabula2947 5 років тому +11

    There is power in the NAME OF JESUS TO BREAK EVERY DARKNESS POWER. Ahsante Yesu kwa Damu yako inayotutakasa. 🙏

  • @edsonmruma4833
    @edsonmruma4833 6 років тому +16

    Shehe endeleza kuutaja ukuu wa jina la Yesu haowanaotetea dini achana nao kwani watakutananao usiku ya hukumu atawahuku tu .Kwa Bwana Yesu kila goti litapigwa...

  • @ev.dorcasrehoboth8690
    @ev.dorcasrehoboth8690 6 місяців тому

    Mbeleni sikuelewa misure ni nini pia mtu ni roho. Imechukuwa mda kuelewa but now praise the living God. Mungu anaedelea kufungua kuelewa nwangu praise God Bishop.

  • @yesunijibumwiteataitika12
    @yesunijibumwiteataitika12 6 років тому +6

    Asante mtumishi omary kwa ushuhuda wako na Mungu aendelee kukutumia ili na wengne waokolewe kama ww.Thank you Jesus

  • @barick
    @barick 7 років тому +5

    Sina swali jinii mahaba nilikua hata nnifanye maapeenzi ni mpenzi wng mda Huo huo nikilala nafanya ngono nae. M nilikua nafkirii ni ndoto tu nikilala bila chupi siku hiyo nawahi kufanya ngono.gwajima ubarikiwe sana mambo mengi nilikua nayo nilijua ni maisha ya kawaida kumbe pepoo umenibariki sana kupitia ww nimejuaa mengi asante kwa jina la yesu kristo waa nazareth

  • @estasage5506
    @estasage5506 3 роки тому +1

    Pasipo pastor Gwajima mimi singeelewa ushuhuda huu. Yaani maelezo mengi za kusumbuwa akili. Asante baba Pastor Gwajima kwa kuuliza maswali za busara.

  • @sibiromallya5894
    @sibiromallya5894 5 років тому +5

    Ameeeeeeennnn yesu kristo

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 6 років тому +5

    Asanteee yesu anazidi kuwaumbua waislam maana kitabu cheni ni cha majini ndo mana mkimsomea mtu anakufa poleni mmeumbuka na waislam woteee motoni njooeni kwa yesu mkombolewe

    • @saidmohammed78
      @saidmohammed78 5 років тому

      Mimi Mimi kama mtu huyu angekua mkristo na akayafanya haya ndani ya ukristo angetamvulikaje,bila was ni mshilikina,sasa mimi nimesoma mda mrefu qurani haya anayoyasema hayapo bali hayo ni mambo ya kishirikina ikiwa utaamini kua ndio uislam wenyewe basi umepotea na kama ungekua muislam alafu unsikiliza jamaa huyu hata kama usingekua na elimu ungemtambua kua jamaa ni muongo na anayoyasema si kweli

    • @gladykyaruz2737
      @gladykyaruz2737 3 роки тому +2

      @@saidmohammed78 je unajua kuwa sehemu ya mwisho kabisa ya Quran inahusu elimu dunia ?na ni elimu wanaosoma waislamu wa kiwango change juu masheikh, imam,ustadh, zinaelezea siri za ndani kabisa zinazohusu uislam ambapo muislamu WA kawaida huruhusiwi kujua.... Je wajua Quran inasema maovu Haya? Wasio na hatia kuuliwa eti kwasababu hawajakubali uislamu (Quran 8:12),
      -mungu wa waislamu ndio mwongo mkubwa (greatest deceiver) Kama inavyoelezwa ktk (Quran 7:99,27:50,71:42)etc
      -uchawi na ushirikina Kama dua "albadir"ambayo huita majini ili kumdhuru mtu

    • @carolyneoirere4748
      @carolyneoirere4748 3 роки тому

      @@gladykyaruz2737 hapa huwezi sikia mtu akikujibu, na bado wataumbuka siri zinaendelea kutolewa Hawana lingine sasa

    • @msemakweli243
      @msemakweli243 3 місяці тому

      Pole sana​@@saidmohammed78

  • @eunicenjukia8829
    @eunicenjukia8829 7 років тому +3

    my God devil is a liar..Jesus loves u and He will use u to expose the devil

    • @kongatulia6231
      @kongatulia6231 5 років тому

      shahidi wa mambo yako ni wewe mwenyewe kwa hiyo tafakari jihoji kwan kila MTU atabeba mzigo wake mwenyewe

  • @gjbiakika
    @gjbiakika 5 років тому +2

    Surely Jesus is lord and saviour

  • @ndayanselugendo5367
    @ndayanselugendo5367 6 років тому +3

    Hapa Yesu lazima ukubali tu kwamba anaweza,, na ukikataa,, ukaombewe maana utakuwa na mapepo, haitakuwa bure

  • @joshuanyamaiswe4327
    @joshuanyamaiswe4327 6 років тому +13

    sema mara nyingi ukweli huwa unauma ndio maana mapovu mengi

  • @winstonebasimaki1666
    @winstonebasimaki1666 2 роки тому

    Tunaomba mhe, askofu Gwajima uje bukoba utuletee mkutano wa injili,tunahitaji mafundisho yako.

  • @helenamasinjisa8470
    @helenamasinjisa8470 6 років тому +8

    ukweli unajieleza ipo siku Mungu atatoa hukumu usije juta siku ya mwisho, shetan ni mbishi angali anajua moto unamsubili, okokeni mkimbie moto Wa jehanam

  • @princessedeleternel2836
    @princessedeleternel2836 7 років тому +12

    kama siyo YESU kutulinda na Israeli aseme sasa

  • @jonhvascojavelin9164
    @jonhvascojavelin9164 6 років тому +2

    safiii jina la bwana libalikiwe

  • @edsonmruma4833
    @edsonmruma4833 6 років тому +1

    Tunamshukuru sana lkn tunaomba ushuhuda uendelee jinsi Yesu alivyokutokea na kukuokoa Tafadhali.Ubarikiwe sana Mtumishi.

  • @meddyakimana4104
    @meddyakimana4104 7 років тому +18

    Tafadhali Mr.Omar tunaomba uwendelee na ushuhuda! tungependa tujuwe hadi umeupata vipi wokovu?!

    • @sallykanze
      @sallykanze 7 років тому +4

      Hata mm nilikua nasubiri aseme aliokoka vipi na alimpokea yesu kristo na Kua mokozi wa maisha yake

    • @noelashaoona
      @noelashaoona 4 роки тому +2

      Nenda kwa jackta UA-cam Chanel utamuona jisi amesha kuwa yani mungu mzuri

    • @noelashaoona
      @noelashaoona 4 роки тому

      Kacktan msafiri

    • @frankanold9803
      @frankanold9803 4 роки тому

      @@noelashaoona shukran

  • @edithmakonde5384
    @edithmakonde5384 6 років тому +1

    Waganga wapigwee... Na jini mahaba ashindwe kwa jina la yeu...

  • @winneanyango1761
    @winneanyango1761 7 років тому +6

    napenda ushuunda

  • @emanuel1269
    @emanuel1269 2 роки тому

    Waislamu wengi maamuma wamekalia ubishi Kwa tiba asili wanaongozaaa wanashilikiana sana na majini

  • @bentake7047
    @bentake7047 7 років тому +2

    yesu akutiye nguvu kwa kubomowa siri za shetani .

    • @sallykanze
      @sallykanze 7 років тому

      Amen

    • @mamatuishi-mamatuondoke8822
      @mamatuishi-mamatuondoke8822 7 років тому +1

      Jefason Kingy Mrs "Ahsant sana my sister tupo pamoja katika safari yetu ya kwenda kwa baba mbunguni

    • @sallykanze
      @sallykanze 7 років тому

      +Binti hayati manyota aaah tuko pamoja kidogo,

  • @adilimasoi996
    @adilimasoi996 7 років тому +3

    duh kazi ipo kweli kweli

  • @winneanyango1761
    @winneanyango1761 7 років тому +2

    ubarikiwe

  • @adamgobeka5664
    @adamgobeka5664 6 років тому +3

    ameeeen

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 4 роки тому

    Shetani yuko kazini jamani ombeni sana! Yesu yupo mwokozi wa ulimwengu!

  • @winstonebasimaki1666
    @winstonebasimaki1666 2 роки тому

    Shehe omari, tunaomba uje bukoba utupatie ushuhuda huo, na utufundishe. Tuna hamu sana. Pia naomba nipate cd zako.

  • @furahayabwana6127
    @furahayabwana6127 7 років тому +2

    Heee!!!Ajabu sana

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 6 років тому +8

    Tatizo la waislamu wengi hawataki kukubariana na ukweli
    Wengi wanamuona uyu muongo ila hawa wanaomuona mwenzao muongo ukiangalia hawana hata iyo elimu ya dini yao ya kiislamu
    Sasa sijui wanapata wapi ujasiri wa kukosoa wenzao wanaodiriki kusema Ukweli.....
    Wakiambiwa Yesu kristo ndie njia hawataki kuelewa sa sijui wataka nini?
    Yani mmekua wapinga Kristo mwanzo mwisho

    • @rashidalihamad7228
      @rashidalihamad7228 3 роки тому

      hapana, sisi tunaposoma mara nyingi tuko huru kuuliza mswali ila nyinyi mnasomewa stori tu, kiukweli kwa elimu wakiristo muko nyuma sana na mimefungwa akili maana mumebrain washed. hapo hamna kitu uchawi hauna dini uchawi kila mtu anao je kwa wale wakiristo ambao ni wachawi je? huyo haujui uislam juwa maana ya uislma kwanza akisha usome uisilam, usihukumu kwa kumuangalia muisilamu hapo unakosea, dini si mtu dini ni imani

  • @kingdavidmoto6149
    @kingdavidmoto6149 4 роки тому +1

    Kila gati litapigwa Kila ulimi utakiri YESU ni MUNGU

  • @briansancedo9336
    @briansancedo9336 4 роки тому

    Mungu akuinue mtumish

  • @mamatuishi-mamatuondoke8822
    @mamatuishi-mamatuondoke8822 7 років тому +3

    Mazito haya duuuh"Eee mungu mbona upo mbali hivyo????ludi uikomboe dunia kwa mara ya pili"khaa

    • @B4meizu13
      @B4meizu13 7 років тому

      Binti hayati manyota Apana mpendwa si lazma Mungu arudi tena, hapo msalabani Bwana wetu Yesu alisema yote yamekwisha. ukiwa ndani ya Yesu hauta kuwa na ofu , Kuna nguvu katika iyo jina Yesu

  • @dorothwedson5959
    @dorothwedson5959 2 роки тому

    Ushuhuda mzuri sana

  • @mrsongwest8749
    @mrsongwest8749 7 років тому +2

    good word

    • @ayububoy8770
      @ayububoy8770 6 років тому

      Amina ubarikiwa tupenaushuhuda jinsi ulivyompokea Yesu

  • @jennjaja1586
    @jennjaja1586 5 років тому +2

    Aaaaaaaoooooo🙆 maneno.

  • @selinaajabu9490
    @selinaajabu9490 4 роки тому

    Thanks again

  • @asiagumbo8495
    @asiagumbo8495 7 років тому +4

    sasa sema ulikuwa mchawi

  • @emanuel1269
    @emanuel1269 2 роки тому

    Ushuhuda niwakweli iliye sikia kama bado ajaokoka aokokeeeeee

  • @user-it7hj9hp9d
    @user-it7hj9hp9d 6 місяців тому

    J'aime ce témoignage, comment avoir son vidéo.

  • @japhetleonard9224
    @japhetleonard9224 6 років тому +2

    MZEE lusaz hats kikiwepo utakubali wewe ni mshabiki Wa dini uwezi kubari timu yako shindwa kwani umewekeza umo by

  • @barikipangisa281
    @barikipangisa281 6 років тому +5

    huyu jamaa hatari kabla kuokoka aliudharilisha kristo huko TANGA alishindwa kwa Dada mliokole kumchukulia mtoto awe msukure Yule Dada silkies kuokoka vizuri alipo iona Maiti ya mwanae alikataa kuamini, akamwita mtoto wake kwa jina LA Yesu watu wakiwa wanalia mtotoakapigachafya akafufuka .jina la Yesu likawa Juu Sana,

  • @bertinmvungi530
    @bertinmvungi530 5 років тому +2

    mbona watu wengine wanakataa huu ushuhuda sasa subirini saa ya kujiliwa kwenu mtapona kabisa.

  • @vesitinalevocatus4886
    @vesitinalevocatus4886 5 років тому +2

    jamani tunaomba uendele nijue ilikuwaje hadi ukausaliti ukaja kwayesu

  • @theresiamaganga5075
    @theresiamaganga5075 2 роки тому +1

    Tupige kazi watu wa MUNGU tusiitishwe na vitisho

  • @mamatuishi-mamatuondoke8822
    @mamatuishi-mamatuondoke8822 7 років тому +4

    Duh nimeshangaa maneno ya huyu kaka mwanzo mwisho"kweli huyu kiboko---Ee mungu Naomba libariki tumbo langu la uzazi mara dufu

    • @asiagumbo8495
      @asiagumbo8495 7 років тому

      Binti hayati manyota Hugo ni mchawi sasa c muislamu

    • @mamatuishi-mamatuondoke8822
      @mamatuishi-mamatuondoke8822 7 років тому

      Endelea kusikiliza mwanzao mwisho part zote 4"+Asia Gumbo​ mmh lakin umemsikia shakh jamani?

    • @asiagumbo8495
      @asiagumbo8495 7 років тому

      Binti hayati manyota hushangai mbona hawasem mckitini??HIV uchaw unafananishwa na dini ??

    • @asiagumbo8495
      @asiagumbo8495 7 років тому

      Binti hayati manyota wats app hutak kunijib mbona

    • @mamatuishi-mamatuondoke8822
      @mamatuishi-mamatuondoke8822 7 років тому +3

      Asia Gumbo Ni kweli uchawi na dini haviendani-pia hawezi kusema msiktin huwa hakuna ushuhuda-ukiswali tu waenda nyumbani- lakin ww umejufunza nini kuhusu shekh huyu? kwangu niamini ya kuwa yesu wangu yupo na yu hai'je ww umejifunza nn kupitia imani yako ya din?

  • @aminamichael1706
    @aminamichael1706 4 роки тому

    Wewe ni mshirikina

  • @magdalinekenneth7238
    @magdalinekenneth7238 7 років тому +2

    naomba nipate jinsi yakumtoa hyu jini mahaba maombi yake ama nifanyeje

  • @makaramayatibamrmichaelkih3683
    @makaramayatibamrmichaelkih3683 6 років тому

    Heee

  • @bobomwanga4994
    @bobomwanga4994 5 років тому

    ONYESHA USHAHIDI NA SIO MANENO MATUPU

  • @tigonetwork4245
    @tigonetwork4245 6 років тому +4

    Inalilah waina ilaih rajuuni hana hata haya hana hata chembe ya uislam eti shekh anataka kudhalilisha dini ya Allah Uisilamu ni dini ya haki naitabaki kuwa hivyo wewe nikiumbe dhaifu kwa mwenyezi mungu huwezi iharibu dini ya haki

    • @calvinmchopa2222
      @calvinmchopa2222 6 років тому +1

      Tigo Network
      Allah kaumba nn ili tuamini kuwa Ni mungu

    • @mohamedmsangi6939
      @mohamedmsangi6939 5 років тому

      tigo network.. allah ndo alouma mbingu ardhi na vyote viliomo ndani yake. hta ww pia kakuumba. huyo nd mwenyez mungu

    • @lreenyonassary9807
      @lreenyonassary9807 5 років тому

      aya gan inayo sema nidin ya hak din xot ni zahaki sema waliomo ndan ya din ndo ambao hawajui sheria za mung

    • @adoaprivatus98
      @adoaprivatus98 5 років тому

      Jamani mungu huyu hana dini mm naomba mmoja aniambie wapi mungu alipomuumba adamu na hawa akawaambia mtaabudu ukristo au uislamu? Wote ss ni wamoja

    • @praisesamson8298
      @praisesamson8298 5 років тому

      Wewe ni kaislaàm kadogo sana soma hadi ufike elimu ya juu utajua yesu ni nani?

  • @emanuel1269
    @emanuel1269 2 роки тому

    Kuokoka jambo zuli sana

  • @salimulukwaro5248
    @salimulukwaro5248 7 років тому +1

    watu ck hivi wanatafuta pesa KWA njia nyingi moja ni hii ya kuwadanganya wt Na KWA kuwa elimu yenu ni ndogo mnaridhika Na Maria pesa things ndo waliwao

    • @lusekelomwinsasu318
      @lusekelomwinsasu318 4 роки тому

      Kwa nini nawe usije kutafuta pesa inamaana wewe hutaki utajili?

  • @petromachanga29
    @petromachanga29 5 років тому

    Mwislam akifa unamtia madole matakoni hii ni sawa

  • @nyenjemoyo6626
    @nyenjemoyo6626 6 років тому

    Mnatapeliwa

  • @naomontita9097
    @naomontita9097 6 років тому

    aa

  • @sarahmugoh833
    @sarahmugoh833 7 років тому +1

    mimi nauliza hivi:
    mtu akiolewa na jini ama mtu aoe jini ambalo limejigeuza na likawa mtu na wazae watoto....baadaye wewe ambaye ni binadamu uokoke....itakuwaje sasa???
    Huyo mtu aliyejigeuza kuwa jini akiombewa anaweza kuwa mtu ama inakuwaje??

    • @janeedward8723
      @janeedward8723 6 років тому +1

      Sarah Mugoh jini kamwe haliwezi kubali maombi sababu tayari wamelaaniwa

    • @janeedward8723
      @janeedward8723 6 років тому +2

      Tena si viumbe wanaopaswa kushurikiana na mwanadamu zaidi ya kuwapinga na kuwakemea kwa jina La YESU na kujifunika damu ya YESU KRISTO wa Nazareth wenyewe tu ukifanya hayo wanajua kasheshe yake lazima wakuachie

  • @japhetleonard9224
    @japhetleonard9224 6 років тому +1

    alafu usikatae kuwa masheh hawashirk mambo ya kichawi nauganga tunajua saana huwa wanasomea kutibu twafaham saana kuwa hao ndio wasomao albadr tuwaiteje hao !? inawezekana atawewe nimshrik mzuri

    • @florencemuhavi3259
      @florencemuhavi3259 5 років тому

      What a good teaching may God bless you and the pastor who took the initiative. Jesus Christ is coming again

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 5 років тому +1

    Ngoja kwanza umesema nini kuimba bafuni basi nimeumia

  • @tigonetwork4245
    @tigonetwork4245 6 років тому +2

    Sema ulikuwa mchawi mwenyewe na si uislamu eti dua unajua maana ya dua wewe Allah akudhalilishe hapahapa duniani inshaAllah mpuuzi sana wewe

    • @martinjumaa5460
      @martinjumaa5460 6 років тому

      Mh

    • @sahera1125
      @sahera1125 5 років тому

      Amiin sio kwakupotosha watu huko Astaghafilullah

    • @abdallamorsn3850
      @abdallamorsn3850 5 років тому

      Umejitahidi kuielezea uchawi na uwepo wajini mahaba tusio juwa umetufumbua mimi ni Mwiislam nimesoma Quran na kwakiasi naijuwa Biblia kwa ujmla wake yaani Tourat Zaburi na Injili ni vitabu vitakatifu ndani ya vitabu hivi mnakinga ya maovu yatokayo kwa viumbe washirikina wakiwemo wanadamu na majini ni habari ndefu Nirudi kwako kwa aslimia kubwa ya maelezo yako yaonesha wewe ulikuwa mchawi au unaushirkiano wa karibu, sehemu kubwa ya maeleezo havipo kwenye vitabu vitakatifu isipo kuwa washikina hutumia aya na majina ya Mungu kukufuru kwa kutia najisi jina na aya ya mungu kutimiza agano la uhisiano na shetani Jambo la kusikitisha ni kampeni ya kuipa ujiko dhebu lake na kuidhalilisha Uisilam kwa wasio jua wataamini lakini wanaojua hatuna shida tunafaham kuwa kuidhalilisha Uisilam na aya za Mungu ni kafara yao ya kupata uimara na mvuto ya shughuli zao za kumtumika Shetani kwa faida na maslahi yao

    • @samwelilazaro2835
      @samwelilazaro2835 5 років тому

      Hivi ameshazalilishwa mpaka Leo??? Maana nasubiri,,,jina la Yesu lina nguvu sana,,,

  • @eunnyjanes1440
    @eunnyjanes1440 7 років тому +1

    N.a. huyo mtu akibaki, huyo mchawi anamfanyia nini?

  • @levocatuspaul1994
    @levocatuspaul1994 3 роки тому +1

    Sioni Comment za Waislam 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yesu ni komesha mapepo

  • @luvmo04
    @luvmo04 5 років тому +1

    Wacha uongo soma duwa tukusikie

  • @mzeelusazi5717
    @mzeelusazi5717 7 років тому +5

    hivi hata story za kutunga hamzijui? huyo hajawahi kuwa muislam anawalia hela* hivi jini ni shetani? yohana 6:70 "Yesu akawajibu, je! mimi sikuwachagua ninyi thenashara, na mmoja wenu ni shetani? 71 "Alimnena yuda simon mwana wa iskariot"* swali langu; kipindi yuda anaitwa shetani alikuwa ni jini au binadamu?* rai yangu, dunia tupo kwa mda mfupi tuendako tutaishi milele, ni jukum la kila binadam achunguze dini sahihi ya kumuabudia muumba wake ukweli wa kumuabudu* kama yesu aliamuabudu M.Mungu, kwanini wewe umuabudu yesu na si aliemuumba yesu? dunia tunapita na kila mtu na kaburi lake.

    • @nikitumarthinne8909
      @nikitumarthinne8909 7 років тому +3

      Aliekwambia kwamba Yesu aliumbwa ni nani?Soma Yohana 1:1.Huyo anaitwa NENO.soma nimeona unaisoma Biblia.

    • @florakiduma8892
      @florakiduma8892 7 років тому +1

      mzee lusazi we mzee lusazi soma vizur yohana yote utaelewa si dhambi kumwabudu Yesu Mungu anasema amwaminie Yesu aniamin mm. hilo la Yesu lisikupe shida.

    • @philiposimon860
      @philiposimon860 5 років тому +2

      kwa uwelewa wangu mdogo story za kutunga auwezi simulia kwa namna hii. ukweli ni kwamba anachokiongea ni ukweli mtupu roho inawauma kweli ndugu zetu,

    • @afikanomushi1029
      @afikanomushi1029 5 років тому

      Wewe unaebisha Yesu Kristo akuokowe bado uko shimoni kwashetani lakini unapotea

    • @afikanomushi1029
      @afikanomushi1029 5 років тому

      Unapotea Yesu kristo ndie njia yaukweli nauzima wanilele.akuna njia nyingine bila yeye

  • @abdalahsuleiman8989
    @abdalahsuleiman8989 5 років тому +1

    katika wanaoshikwa masikio ni nyie makafir huyu cyo shekh

  • @suleimaniabdallah6742
    @suleimaniabdallah6742 3 роки тому

    Wewe mchayi huna jipya

  • @kolthoomkolthoom2516
    @kolthoomkolthoom2516 6 років тому

    Wewe ni mchawi2 siodin,dini haipoivo kama uchawi dinizote wachawi wapo,lakini siodin ndoimesema ivyo,pambana nahaliyako

  • @allyawadh8492
    @allyawadh8492 3 роки тому +1

    Mm nilidhani kwa elimu aliyodai kisoma juu ya uislamu nilikaa vzr nikajua leo huyu jamaa atauchambua uislamu ndani nnje tena kwa ushahidi mkubwa wa qurani au kwa mafundisho aliyoyafundisha mohamadi badala yake anaeleza vitu ambavyo hata muislamu asie na elimu yoyote dhidi ya uislamu wake anaweza kuieleza bira ya shida yoyote,au elimu aliyoisoma dhidi ya uislamu ndohiyo anayoieleza? wakristo elimu zenu ni ndogo sana katika mambo ya mungu harafu ni rahisi sana kudanganywa na mkaona elimu yake ni kubwa sana,Sasa anachokieleza ni uislamu au uchawi?Sasa sisi kama wakristo tunapata faida gani juu ya elimu yake hiyo ya kuusoma uislamu?

  • @godisgreat1845
    @godisgreat1845 6 років тому +1

    Gwajima una mambo mengi ya kufanya usijaribu saana kuwatafuta watu wajifanye wailikuwa waislamu upate umàarufu na shangwe kwa hao kondoo wako

  • @salehlofy4251
    @salehlofy4251 7 років тому

    Wakristo kama watoto si kashfu huo ndo ukweli na kama hajaridhka na jina hili aniulize......

  • @selemanishabani6843
    @selemanishabani6843 3 роки тому

    Unaushawishi mkubwa Sana na utawakamata wengi ambao uelewa wao ni mdogo. Endelea kupoteza watu.ijue siku ya mwisho.mbona hujasema Kama mtume alikuwa mchawi,Kama wewe ulikuwa mchawi je ulimuiga Nani,maana kiigizo chetu ni mtume Muhammad,
    Wewe kuwa mchawi sio sababu ya sisi kukufuata,kaa na wachawi wenzio

  • @bobomwanga4994
    @bobomwanga4994 5 років тому

    WEWE UMELIPWA PESA UENEZE SRORY ZA UONGO ILI UHARIBU JINA ZURI LA KIISLAMU

  • @rapafata1108
    @rapafata1108 6 років тому

    Sasa Omar mbona unajitetea sana kwamba hujasema. Kwani huna uhakika na imani ya Yesu Kristo.kama kwa Yesu upo nusunusu utakuwa na hali mbaya kuliko mwanzo na mwisho utarudi ulikotoka

    • @martinjumaa5460
      @martinjumaa5460 6 років тому

      Kaka yesu ndie kristobwana soma yohana 3:13

  • @mohamedmsangi6939
    @mohamedmsangi6939 5 років тому +1

    xx mbna story tu.. hizo story c hta mm nawez zitengeneza. lete aya ktk qur an inayosema uislam c dini bali dini ni ukristo.. mm nna andiko kutok ktk bible linalosema na wale waliolala ktk kristo wamepotea. huyu n mpuuz tu amesetiwa kama alivyosetiwa askofu hamza

    • @lusekelomwinsasu318
      @lusekelomwinsasu318 4 роки тому +2

      Naomba hilo andiko halafu nikufunze nawe pia nina andiko lako quran ni kitabu cha shetani

  • @bobomwanga4994
    @bobomwanga4994 5 років тому +1

    UMELIPWA PESA ILI UHARIBU JINA LA KIISLAMU, try to proof hizo story zote uelezazo, mtu yeyote anaweza tunga hivyo. SHOW EVIDENCE

  • @hadijasaidhabdallah8986
    @hadijasaidhabdallah8986 7 років тому

    huyu mzushi tuu simuamini ata kidogo

    • @florakiduma8892
      @florakiduma8892 7 років тому

      Hadija Said Habdallah msikatae ukwel Yesu ni njia ya kwenda mbinguni. huyu amejua ukwel ndo mana anasimulia. Haya ni ya kiroho zaid km we nimtu wa mwili huez elewa. ila kuokolewa ni kwa neema. neema bado ipo