SEHEMU YA MWISHO;AKABIDHIWA MAMA YAKE KWENYE KIROBA AKIWA AMEKATWA KATWA VIPANDE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2022
  • Baba yake na Adam Haji amkatakata Mama yake Vipande Vipande na Kumkabidhi kwenye kiroba cha sarufeti

КОМЕНТАРІ • 130

  • @apostledebora999
    @apostledebora999 Місяць тому +1

    APOSTLE Adam haji continue to pray for last church preparation be strong and courageous God bless you

  • @mchungajigumbo3699
    @mchungajigumbo3699 Рік тому +5

    Ameen Yesu akupe taji mzuri, kwa kazi njema tuna tiwa moyo

  • @Aminaamina-us5yj
    @Aminaamina-us5yj 2 місяці тому

    Adam haji the true man thats worshipping true God may God protect and cover you with the blood of Jesus Amen 🙏 and i wish one day nikuone nitashukuru Mungu wangu sana sorry for what happened to you God knows the best you choosing the right way may Lord our God guide you ❤

  • @dorcusamisi2926
    @dorcusamisi2926 Рік тому +2

    Asante bwana yesu kwa usuhuda huu hallelujah utukuvu kwa yesu

  • @Veronica-hv8xt
    @Veronica-hv8xt Рік тому +9

    Tanzania tuna uhuru wa kumuabudu huyu yesu wakati wowte na popote siku ya mwisho tutamwambia nini huyu Mungu ikiwa watu wanapitia hayo yote na bado hawamuachi Yesu

  • @user-mk9ii7nf5u
    @user-mk9ii7nf5u Рік тому

    Surely your testimony inanifanya nijikaze kumtafuta mungu siku sote🎉❤

  • @nurusaidi3642
    @nurusaidi3642 Рік тому +3

    Yesu ndio njia ya kweli na uzima

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 Рік тому +4

    Ukiingia uislam sawa na kuingia freemason...ukiingia ukitoka wanakutafuta wakuue . Uislamu basi tu lkn

  • @EuniceBukokhe
    @EuniceBukokhe 3 місяці тому

    God be with you always in Christ Amen be blessed

  • @mamakofi6178
    @mamakofi6178 Рік тому +2

    Yooo Mungu wangu Munguuu umupe Mbingu mutumishi wako

  • @emmanuelthomas4967
    @emmanuelthomas4967 9 місяців тому

    MUNGU akuzidishie Nguvu za kiroho.kwa jina la YESU.

  • @JohnKingondu-yn4zf
    @JohnKingondu-yn4zf Рік тому

    Katika maisha yangu huyu pastor ndiye aliye niguza moyo wangu kwa sababu siyo laisi waislamu kuacha dini yao asa wasomali na kuwa mtumishi wa Mungu hili ni jambo la kutia moyo zaidi kwanza ushuhuda wake jameni!!!! Mungu wetu amtie nguvu na ujasiri zaidi na zaidi

  • @nytv8472
    @nytv8472  Рік тому +2

    Niombe radhi wadau wangu maelezo ya clip ya mwisho nilikuwa nimeyaweka kwenye clip no.6.hivyo niombe msamaha kwa kuwachanganya asanteni sana

  • @twalibuiddy3743
    @twalibuiddy3743 Рік тому +1

    Mwenyenzimngu aliye tuma yesu kristu akupe mwisho mwema, maana unaweza ridhisha waana waadam kwa kuwadanganya ukitumiwa na makafiri, ila kesho kuna kifo na mbele ya Mwenyenzimngu utaulizwa

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 5 місяців тому

    Mmmmmh raha ipo kwa YESU TU hongera sana mtu wa MUNGU

  • @dorcusamisi2926
    @dorcusamisi2926 Рік тому +1

    WAKRISTO tuko na neema saaaaaan ya kuokoka YESU NI BWANA

  • @amonboniphace735
    @amonboniphace735 3 місяці тому

    Mungu awatie nguvu WAKRISTO WA KISOMALI. Na awafungue macho Wasomali wengi warpath wokovu na mateso yaishe kwa WAKRISTO.

  • @dorothysamwel2648
    @dorothysamwel2648 Рік тому

    Mungu azidi kukuti nguvu kwa kazi ya kuitangaza Injili ya Yesu.

  • @johnmkama8902
    @johnmkama8902 Рік тому +2

    Kusema ukweli wewe ni mtumishi wa MUNGU ubarikiwe Sana Adam Haji

  • @sekikigosi8265
    @sekikigosi8265 5 місяців тому

    Ubarikiwe Mtumishi

  • @sianagodson3690
    @sianagodson3690 2 місяці тому

    Yesu Kristo azid kukutumia kwa ajili ya wengi

  • @NeemaMeshaki-qm4ew
    @NeemaMeshaki-qm4ew 22 дні тому

    Mungu wa MBINGUNI atupe Neema ya kumjua Zaid Ili tuweze kushinda

  • @rubefabi8366
    @rubefabi8366 Рік тому +13

    Moja kati ya ahadi bora sana aliyotuahidi Yesu ni uzima wa milele, kama si hivyo hakuna sababu watu kumfuata Yesu. Mimi nampenda Yesu kwasababu ya ahadi nyingi alizoniahidi 1. Mbinguni mpya na nchi mpya 2.uzima wa milele 3 raha ya milele. 4 mwili mpya usioharibika.

    • @cleverambangile3675
      @cleverambangile3675 Рік тому

      Amina

    • @maymunamakungu6265
      @maymunamakungu6265 Рік тому

      Fanyeni tu dhambi mtakavyo mtapata huo uzima wa milele mnaojidanganya. Na huyo yesu wenu atabeba hizo dhambi zenu wajinga nyie

    • @petermugendi8019
      @petermugendi8019 7 місяців тому

      Sio eti yesu wetu atabeba dhambi zetu,,,ashabeba tayari dhambi zetu zote😂😂

  • @KelvinMwandemelela
    @KelvinMwandemelela 2 місяці тому

    Kweli wa kwanza atakuwa wa mwisho, wakristo tumelala sana

  • @ezekielsanga2205
    @ezekielsanga2205 6 місяців тому

    Ubarikiwe mtumishi

  • @eliasjoseph5742
    @eliasjoseph5742 Рік тому +2

    Hivi kwanini waislamu wakibatizwa wenzao wanakasirika? Mbona wakristo wakijiunga na uislamu hakuna usumbufu wanaoupata? Mungu tunayemwabudu ndo huyo ambaye nanyi mnamwabudu

  • @namanndubi3767
    @namanndubi3767 Рік тому +1

    Good job.

  • @ngendakumanalewis1472
    @ngendakumanalewis1472 11 місяців тому +1

    Shuja Hodari WA YESU KRISTO , MUNGU akupe mbingu

  • @rithasimoni6212
    @rithasimoni6212 Рік тому

    Ukisikia mtumishiwa mungu huyo ndiye najisikia vizuri mno bwana yesusikuhiyoikifika akupetaji yako ya milele hakika mungu anawatu weke

  • @Annsikoboy-ut8bs
    @Annsikoboy-ut8bs Рік тому +1

    Sasa Huyu Rev. Yuko na kazi ya kubakia mwaminifu kwa Yesu ili asiwahaibishe waliokufa kwa ajili yake. Yesu ainuliwe juu kuliko vyote.

  • @kabangoamini8431
    @kabangoamini8431 Рік тому

    Pole sana mtumishi

  • @pascalburegeya3423
    @pascalburegeya3423 Рік тому

    Usikate tamaa mteuliwa na Yesu Kristo.
    " twawezeshwa yote kwa yule anayetupa nguvu." Wafilipi 4:13

  • @rehemamatano3164
    @rehemamatano3164 Рік тому

    Mungu azidi kukubariki mchungaji

  • @gideonmwaweza8177
    @gideonmwaweza8177 Рік тому

    Pole baba MUNGU akubaliki

  • @HelenaYohana
    @HelenaYohana 7 місяців тому

    Yesu bwana ubarikiwe

  • @user-ec6om4lv9s
    @user-ec6om4lv9s Рік тому

    Imani nyingine ni Mungu tu awaokoe wa somalia.

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 Рік тому

    Pole sana

  • @charlesmatui9461
    @charlesmatui9461 3 місяці тому

    Your story is painful.may the heavens hear your wish

  • @lilianluhasi311
    @lilianluhasi311 3 місяці тому

    Ndivyo ilivyokuwa, Yesu aliupokea mwili wake

  • @venancemwakibete9763
    @venancemwakibete9763 Рік тому +1

    Hii ndiyo imani ya matendo ya mitume Adamu kaza
    Mwendo taji iko mbele yako

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 Рік тому +2

    Mungu akupe kuiona mbingu jamani

  • @mamafloraofficial4315
    @mamafloraofficial4315 Рік тому

    Watu wa Mungu ninachopenda kuwaambia ni hivi ahadi za Mungu Yehova ni za kweli na yote yaliyoandikwa kwenye biblia ni kweli. Mungu amesema "chochote muombacho kwa jina langu nitafanya" na imeandikwa Mungu hulitazama neno lake apate kulitimiza. Sasa, wakati wowote jifunzeni kukiri neno la Mungu, sema 'imeandikwa sitakufa nitaishi nipate kuyasimulia matendo makuu ya Mungu" , imeandikwa "nijapopita kwenye moto sitateketea wala mito haitanigharifisha" imeandikwa "nimepewa mamlaka nguvu na uwezo wa KUKANYAGA nyoka na ng'e na nguvu zote za adui" yaani neno la Mungu lijae kwenye moyo wako na wewe ulikiri mara kwa mara. Shetani anatabia yakuuwa/kukamata mmoja na akiona umekaa kimya unalialia anarudi Kuua/kukamata mwingine. Tunatakiwa kumtangazia shetani ahadi za Bwana Yesu kwa ujasiri na pasipo kuogopa, na kuzipinga kazi zake zote na kuukanyaga ufalme wake. Atakimbia tu

  • @rayaali7551
    @rayaali7551 7 місяців тому

    HOVYOOOO. MTU MZIMA KUKAA HAPO KUWATAPELI HAOO MAZOMBI WENZIO. HAPO MULIPO NYOOTEE NI MIZOMBI , NI MIPOFUU , ni viziwi. Daah ila njaa mbayaaa NJAAA MBAYA SANA. HAPO ADDAM UNAISHI KWA UTAPELI TUU PUNDA WEWE

    • @salomemgaya1244
      @salomemgaya1244 4 місяці тому

      Mtu mwenye mipepo kichwani utamjua tu , tuondokee hapa wewe mfuga majini , makasiriko yako ni bure tu , upende au usipende watu wataokoka tu.

  • @sifabahizire7596
    @sifabahizire7596 Рік тому

    Polekabisa baba kwa it wokovu umepitiya mengi

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 Рік тому

    Jamani km south Africa enzi za makabulu

  • @gigxjr9754
    @gigxjr9754 Рік тому +1

    Sisi tunaceza na wokovu !!!

  • @ashelizakaria6306
    @ashelizakaria6306 Рік тому

    hakika Mungu mkubwa

  • @patriciakalinga9176
    @patriciakalinga9176 Рік тому

    Tumwabudu Mungu tunapo kuwa na amani

  • @gigxjr9754
    @gigxjr9754 Рік тому

    Matendo ya mitume 14:22 njiya ya kuingiya mbinguni

  • @zawadimfambo3075
    @zawadimfambo3075 Рік тому

    Ee yesu nakushukr Kwa kunifia nmeona kupitia ww Kuna wenzetu somaromalia wanakufa kinyama namba hii

  • @zawadimfambo3075
    @zawadimfambo3075 Рік тому

    Somaria vita haiji isha wanaunyama xanaaa

  • @peninahmuthoka8667
    @peninahmuthoka8667 Рік тому

    Please pastor nope Number yako

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 Рік тому +1

    Inafunguka mbingu

  • @gigxjr9754
    @gigxjr9754 Рік тому

    Tuwe wavumilivu kunabaki muda kidogo!

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 Рік тому +1

    Kwani na huyu mchungaji Adamu ni msomari

  • @billowali965
    @billowali965 Рік тому

    Wacha wongo na Usipoteze watu hujawaienda somalia

    • @lenardkenedy542
      @lenardkenedy542 10 місяців тому

      Acha makasiliko Toka Freemason uko Achana na Majini Jifuze ndugu

  • @gigxjr9754
    @gigxjr9754 Рік тому

    Iyo njo njia tutafika tu!!

  • @zakariyeamin1874
    @zakariyeamin1874 Рік тому

    😅😅😅😅😅😅

  • @faridarahma4050
    @faridarahma4050 Рік тому +1

    Big lier

  • @MunezeroHabiba-td3mv
    @MunezeroHabiba-td3mv Рік тому

    Fisadi mkubwa mongoose kizabi njaa mbaya kula leo ili kesho uchomwe jahanam fii nari laana mkubwa

    • @lenardkenedy542
      @lenardkenedy542 10 місяців тому +1

      Acha makasiliko Toka Freemason uko Achana na Majini Jifuze ndugu

    • @lilianluhasi311
      @lilianluhasi311 3 місяці тому

      Utahukumiwa na ulimi wako, hapa duniani tuapita tu

    • @lilianluhasi311
      @lilianluhasi311 3 місяці тому

      Ni nini kitokee ili uamini? Utaikumbuka hii siku ya kiama

  • @maymunamakungu6265
    @maymunamakungu6265 Рік тому

    Mjinga mkubwa. Na hilo vazi la kanzu unalishikilia la nini?

    • @salomelonje3087
      @salomelonje3087 Рік тому

      Vazi limefanya nin hiyo ni nguo tu ata malaya anavaa nikabu na bado wanamvuruga tu ko hilo nivazi kichwa ngumu elewa

    • @Baromoz
      @Baromoz Рік тому +2

      Matusi ni ya nini yesu ndio njia ya uzima

    • @imeldanyarotsa3636
      @imeldanyarotsa3636 11 місяців тому

      hata wakristo wanavaa kanzu

    • @lenardkenedy542
      @lenardkenedy542 10 місяців тому

      Akili zako ndogo Sana Unakalilishwa

  • @user-ub9fz9ry4d
    @user-ub9fz9ry4d Рік тому

    Wew achakudanyanya umaaa muongop munguu kijana wewe sku ya hukumu ninzito ustafute pesa kwa kusema ya sio ya hakii allah atakuhukumu kwa uogo wakoo

    • @imeldanyarotsa3636
      @imeldanyarotsa3636 11 місяців тому

      acha kuhisi uchungu,kama ni uongo

    • @lenardkenedy542
      @lenardkenedy542 10 місяців тому

      Ata Uyo Mudi wenu Kazanene kumuombea Mana Ana zambi kuliko wewe ndomana Mnamuombea kwasababu ameudanganya ulimwengu

  • @mohamedomar2005
    @mohamedomar2005 5 місяців тому

    Kama Kuna jama muongo duniani ni Adam hajji na huyu jama hajawai ona Somalia ni mborana kutoka isiolo kwa hivyo wakristo mnakazi kweli.

  • @hamzayusuf1894
    @hamzayusuf1894 Рік тому

    Huyo msomali ananjaa ya pesa ni uongo mtupu anawadanga
    Nye naninyi hukubali

    • @nurusaidi3642
      @nurusaidi3642 Рік тому +2

      tunamkubali yesu alieko ndani yake

    • @Baromoz
      @Baromoz Рік тому +1

      We si mungu kujua kama anasema ukweli ama uongo welcome to christian platform ask God to reveal the truth about everything ull be frustrated to know uve been wasting tym following the wrong religion nakuombea ujue ukweli.sisi tunakupenda atuna chuki kama dini yenu

    • @imeldanyarotsa3636
      @imeldanyarotsa3636 11 місяців тому

      we tuambie ukweli basi,unahisi uchungu ,how na waislamu wengi wameokoka,okoka what are you waiting for

    • @anwarambar6141
      @anwarambar6141 11 місяців тому

      huyu si msomali, ni mborana, msomali hatoki ndani ya dini ya kiislamu

    • @ngendakumanalewis1472
      @ngendakumanalewis1472 11 місяців тому

      Hata mfanye propaganda kiasi Gani, YESU KRISTO Atahubiriwa mtake msitake.

  • @rayaali7551
    @rayaali7551 7 місяців тому

    WEWE ADAM. UTAKUJA JUTA. HAPOO. UTAKAPO KUJA KUTAKA KUWATAFUTA HAOO UNAO WAPOTOWA UJE USHINDWE NGURUWE MKUBWA WEWE. MJAALANA MKUBWA WEWE

  • @abuunusaibayussuf4829
    @abuunusaibayussuf4829 Рік тому

    Kafiri mmoja Allah akuangamize kwa ufisadi wako

    • @Baromoz
      @Baromoz Рік тому +1

      YESU anampenda sana sisi tunaoneq uruma nyinyi wapotevu tunawaombea Mungu awareness mjue ukweli.uyo mohamed went ajawasaidia ata yy ataenda motoni

    • @ngendakumanalewis1472
      @ngendakumanalewis1472 11 місяців тому

      Hata mpinge kiasi Gani YESU KRISTO Atahubiriwa tu .

    • @lenardkenedy542
      @lenardkenedy542 10 місяців тому

      Kama Uyo MUNGU wako wa Haki Aaze na Mudi Aliewadanganya

  • @Farhan-cp1vx
    @Farhan-cp1vx Рік тому

    Mbwa wewe sio msomali kwa nini wasikuuwe kabisa unawadanganya hao wajinga wenzako wala sio msomali mshenzi wewe tafuta kazi yakufanya pumbavu kabisa