MIJI 25 MIZURI ZAIDI KATIKA BARA LA AFRIKA 2023 | 25 MOST BEAUTIFUL CITIES IN AFRICA 2023

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лют 2025
  • Unaweza kuwa miongoni mwa walioweza kutembea nchi mbalimbali barani Afrika na kushuhudia uzuri wa maeneo hayo na ikiwa bado hujatembelea maeneo hayo huu ndio wakati utakaofahamu.
    Katika video hii utafahamu miji 25 mizuri zaidi barani Afrika.
    #SukaTv #Afrika

КОМЕНТАРІ • 387

  • @janecharo1196
    @janecharo1196 6 місяців тому +10

    Wow kúmbe kenya ni namba 6 kwa uzuri wa miji mzuri asante sana 🎉🎉🎉❤❤❤

    • @Fmbtv255
      @Fmbtv255  6 місяців тому +2

      Shukrani

    • @Queenofjungle254
      @Queenofjungle254 5 місяців тому +1

      Àm telling u hata kama tunaandamano😂😂we are still glowing 🎉🎉🎉❤

  • @binbadru8408
    @binbadru8408 9 днів тому +1

    Mtangazaji hujui kusoma majina ya miji na hujui laghafudh ya kiswahili vzr

  • @SHIJADAVIS
    @SHIJADAVIS 6 місяців тому +2

    Waandishi kazi mnayo, hii taaluma ni mhimu sana japo waandishi makanjanja ni wengi sana. Mwandishi hajui hata miji ya Afrika Mashariki anataka miji kwa kuchanganya!!!!!!!!!

  • @khadijashabani5509
    @khadijashabani5509 7 місяців тому +4

    Si haba tz ❤❤❤❤

  • @Bahatipascal-x5s
    @Bahatipascal-x5s 24 дні тому +1

    Kwa ufanda hushindi Congo 🎉🎉

  • @fredykaiza2416
    @fredykaiza2416 7 місяців тому +3

    Takwimu zako pia zio za kweli, fanya utafiti tena.

    • @Fmbtv255
      @Fmbtv255  7 місяців тому

      Ruksa kutoa za kwako ili tuone zilizo sahihi

    • @MwitaMarwa-s6u
      @MwitaMarwa-s6u 3 місяці тому

      jibu lako tu lina thibi​tisha wewe ni m tanzania halisi😂@@Fmbtv255

  • @JonesKilonzo-hh6ud
    @JonesKilonzo-hh6ud 23 дні тому +1

    It's true nimetembea

  • @v.m.ccompany
    @v.m.ccompany 2 місяці тому +3

    Ww ni mwehu sana Tanzania ahiwezikuwa mbele ya Congo 🇨🇩 kinshasa kuma ww

    • @Fmbtv255
      @Fmbtv255  2 місяці тому

      😄

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v Місяць тому

      Wewe huenda nikuma Ila hujijui

    • @YunussuHAkizimana
      @YunussuHAkizimana 17 днів тому

      Congo sio inchi inaweza kushindana na Tanzania Congo kichassa Ni chafu sana hahimo

    • @SiuvyaSimwanga
      @SiuvyaSimwanga 10 днів тому +1

      Wanao kutukama niwajinga tu mbona kama wanajua miji siwangetaja tusikie

    • @Fmbtv255
      @Fmbtv255  10 днів тому

      Kweli kabisa

  • @JamesNyandwi
    @JamesNyandwi 2 місяці тому +1

    Nakubali

  • @GodfrayGod
    @GodfrayGod 3 місяці тому +1

    Da shy town sijaonaaaa

    • @Fmbtv255
      @Fmbtv255  3 місяці тому

      😄Ipo siku utaiona

  • @MohamedAli-qf6et
    @MohamedAli-qf6et 3 місяці тому +1

    Ni kweli miji mingi ya kiafrika imeanza kubadilika kwa mjengo marefu ya kisasa kama vile Dar es salaam lakini bado hiyo haijawa sifa ya uzuri hasa kutokana na uchafu naopangilio mibovu kama vile Lagos .Miji ya kusini mwa Afrika inaweza kuchukuwa nfasi za mwanzo kwani ni safi na imebahatika kujengwa kisasa .Na ile ya kaskazini mwa Afrika kama vile Cairo na Algeria kuchukuwa nafasi ya pili .

  • @solomonmboguawainaina1416
    @solomonmboguawainaina1416 17 днів тому +1

    Mizuri aje,kwa usafi ama

  • @SuleimaniAli
    @SuleimaniAli 6 місяців тому +3

    Cape Town ni sawa namibia umeitupa mbali sana mi nimetembea inch zaid 14 africa Windhoek ni nzuri sana lkn ni padogo

    • @Fmbtv255
      @Fmbtv255  6 місяців тому

      🙏

    • @BaSalmahAthumani
      @BaSalmahAthumani 5 місяців тому

      Hata mm nakubaliana na wew kaka, Yan Dar es Salaam hata Swakopmund Namibia haifikii🙄🙄

    • @EmanuelRyoba
      @EmanuelRyoba 3 місяці тому

      Vp kuhusu adis Ababa mbona ya kawaida sana​@@BaSalmahAthumani

  • @SimonKefa-lz1kd
    @SimonKefa-lz1kd 3 місяці тому +1

    Adis ababa, Adis ababa, Adis ababa, makao mkuu ya africa, kitovu cha africa, Ethiopia Home, hapo ndipo mkoloni alipo pigwa, kinoma noma.

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 15 днів тому +1

    Umechemka

  • @nahimanawanjani9865
    @nahimanawanjani9865 15 днів тому +1

    Kapala siyo kweli ww kaka

  • @JulaybibiJulaybibi-od1dw
    @JulaybibiJulaybibi-od1dw Місяць тому +1

    Muache uongo ivi Dar salaam tz na Mapoto mçambique jiji zuli lip aujui iyo kazi acha😅😅😅😅😅

  • @kazigembeleke5958
    @kazigembeleke5958 16 днів тому +1

    Halale Zimbabwe, Malakeshi Moloko! duh

  • @BaSalmahAthumani
    @BaSalmahAthumani 5 місяців тому +1

    Kabla ya kuleta hizi takwimu zenu jaribuni kutembelea hiyo miji basi msiwe mnakulupuka. kwa Cape Town kuwa number one hapo upo sahii. ila miji mingi umeitupa sana. Kwa mfano Windhoek, Luanda, Marrakech, Lagos, Accra, all in all Dar es Salaam kuwa Top ten bado sana wala tusijidanganye.

    • @Fmbtv255
      @Fmbtv255  5 місяців тому

      🙏

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 5 місяців тому

      D😂Dar es Salam unaipa namba ngapi?

    • @BaSalmahAthumani
      @BaSalmahAthumani 5 місяців тому +1

      @@rosetreffert4179 Dar es Salaam inapaswa kuwa nafasi ya 20. Na sikwambii hivi kwakuibeza huo ndo uhalisia. Yan Kwa mfano Kama South Africa inatake over kuanzia Mwanzo Wa list mpaka top five.
      1:Cape Town
      2:Johannesburg
      3: Pretoria
      4:Durban
      5:Port Elizabeth
      MOROCCO
      1:Casablanca
      2: Marrakech
      EGYPT
      1:Cairo
      2: Alexander
      NAMIBIA
      1: Windhoek
      2: Swakopmund
      3: Walvis Bay
      Kuna mingine sasa ya nchi moja moja.
      Lagos Nigeria]
      Luanda Angola]
      Algiers Algeria]
      Gaborone Botswana]
      Nairobi Kenya]
      Santa Luis Mauritius]
      Addis Ababa Ethiopia]
      Harare Zimbabwe]
      Accra Ghana]
      Libreville Gabon]
      Na mingineyo kaza wakaza. Yan kiufupi kwasisi tuliotembea Miji ya watu ndo tunajuwa kwamba Dar es Salaam ni Kijiji bali sio jiji.
      Na mingineyo

  • @ngadumbishi1405
    @ngadumbishi1405 Місяць тому +1

    Tatizo la Watanzania mtu hajui chochote wala hana fact yeyote ila ana amua kubishana na mtu mwenye fact ambazo zina mashiko mi nafikiri kama kuna mtu anamwona mchambuzi hayuko sawa atoe list yake tuione ili tuweze kuyaona mapungufu ya mchambuzi ila kwangu mm mwandishi yuko sawa endelea kutujuza mengi bro 🤜

  • @ChristopheDeNamutunda
    @ChristopheDeNamutunda 7 місяців тому +1

    Drc haiko kaaaaaaaaaaa!!!!!

  • @HeenaNurelamin
    @HeenaNurelamin 5 місяців тому +1

    Acheni usenge me mwenywe nimetbeaa lakini bongo ya sasa sifananishi na miji mingi africa but cape town was beautiful dah sijaamini

  • @ArafatDimwedo
    @ArafatDimwedo 2 місяці тому +1

    Muongo mpumbav wew

  • @DavisKabengele
    @DavisKabengele 17 днів тому +1

    Miji 25 mizuri zaidi katika bara la africa

  • @FrancisMuiru-mg4ci
    @FrancisMuiru-mg4ci 3 місяці тому +1

    Hie

  • @gimfilmsandseries
    @gimfilmsandseries 4 місяці тому +1

    🎉🎉🎉❤❤❤

  • @rosemaryadam1390
    @rosemaryadam1390 2 місяці тому +1

    Mimi hata nikidanganywa nitakubali hakuna sehemu yoyote nishawahi kwenda tofauti na hapa nilipo😂😂😂😂

    • @Fmbtv255
      @Fmbtv255  2 місяці тому

      😃🙏

    • @WilsonJaribu
      @WilsonJaribu Місяць тому

      Daah! Upewe maua yako mkuu🤣🤣🤣

  • @SumairyMayaya
    @SumairyMayaya 3 місяці тому +1

    Upo saihi

  • @NadiaSELE
    @NadiaSELE 6 місяців тому +3

    Kinshasa mbona ulipasahawu

    • @Fmbtv255
      @Fmbtv255  6 місяців тому

      Tuangalie takwimu za mwaka huu

  • @SumairyMayaya
    @SumairyMayaya 3 місяці тому +1

    Shinyang haip

  • @SAULINDINADYO
    @SAULINDINADYO 6 місяців тому +1

    huu uchambuzi sio sahihi ! aliyechambua haya aitembelee KINSHASA kwanza

    • @Fmbtv255
      @Fmbtv255  6 місяців тому

      Kila mtu anamaoni yake toa takwimu zako tujue

  • @MzalendoYohana
    @MzalendoYohana 3 місяці тому +3

    Kumbe 🇧🇮 haimoo

  • @KabambaAmani
    @KabambaAmani 6 місяців тому +1

    Uchambuzi huu wa miji mizuri balani Africa ni uongo zaidi ya uongo. Ni uchambuzi unao leta aibu kwa wachambuzi maalum. Je Kampala au Dar es salaam ni bora zaidi kuliko John bourg

    • @Fmbtv255
      @Fmbtv255  6 місяців тому

      Unazungumzia wachambuzi wapi?

    • @Wycliff-e1t
      @Wycliff-e1t 2 місяці тому

      Hata pretoria?

  • @andrewromanus3136
    @andrewromanus3136 5 місяців тому +3

    Umesahau kisii

  • @merinazyd0532
    @merinazyd0532 7 місяців тому +2

    Mmmmmh kwa Uganda hata sio pazuri baba unatuda nga nya

  • @joshuajackson3827
    @joshuajackson3827 5 місяців тому +1

    Uchambuzi upo sawa

  • @AbdullahisaBongole
    @AbdullahisaBongole 6 місяців тому +1

    Asant piya

  • @Bigcharque
    @Bigcharque 6 місяців тому +1

    Brow we aujui kitu unawaka dar es salm kuasha mozambique

  • @inspirationalquotes7342
    @inspirationalquotes7342 9 місяців тому +1

    Good boy

  • @imaniLameck-fd4eb
    @imaniLameck-fd4eb 6 місяців тому +1

    jamani adis ababa nairobi haifati wakenya mjiangalie kutangulia siyo kufika hata new york kwa sasa imeshazidiwa na Hong Kong ndivyo itakapokuja tokea Dar es salaam kuwapita Nina imani hiyo

  • @agogomgagagigigogo
    @agogomgagagigigogo 7 місяців тому +2

    Hivi mnatuona cc mabwege eti😂

  • @YohanaFighter-b1k
    @YohanaFighter-b1k 19 днів тому +1

    Mmh Burundi 🇧🇮 hiomo?

  • @fadhilishabani-v3h
    @fadhilishabani-v3h 2 місяці тому +1

    Kuna mambo uja weka sawa wacha ni subscribe tu

    • @Fmbtv255
      @Fmbtv255  2 місяці тому

      Kwa sasa yapo sawa nashukuru kwa kusubscribe

  • @BakarAliy
    @BakarAliy 4 місяці тому +1

    Zanzibar ni yakwanza umekosea

    • @Fmbtv255
      @Fmbtv255  4 місяці тому

      😄 angalia hapa 👇
      ua-cam.com/video/HqQpAfmmWCE/v-deo.htmlsi=97P-a6JwVSMKMx09

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 7 місяців тому +2

    Oooh Allah jaalia ulinzi❤

  • @josayathegreat4947
    @josayathegreat4947 Місяць тому +1

    Dar hapana kwakwel

  • @ZarifTariq
    @ZarifTariq 18 днів тому +1

    Kinshasa ni uchafu

  • @JackM.-mh5cs
    @JackM.-mh5cs 8 місяців тому +1

    Dar tanzania ni mji mbovu duniani kwanza hauna barabara walA umeme maji usiende dar utajuta looh!😊

  • @HassanShabani-sy3ew
    @HassanShabani-sy3ew 7 місяців тому +1

    Tamka vizuri R

  • @Ibrahimnyanabo
    @Ibrahimnyanabo Місяць тому +1

    Hamujuwe kishasa mutokepale

  • @BonnyMwajombe-iu7hb
    @BonnyMwajombe-iu7hb 3 місяці тому +1

    Mwandishi fika Njombe uone mji ulioumbwa na mungu , cape town ikasome! jinga wewe! uvivu tu wa kutembea .

  • @newmajembeyayesu
    @newmajembeyayesu 2 місяці тому +1

    .Kigari hmna kitu

  • @TimPaul-bu9wc
    @TimPaul-bu9wc 2 місяці тому +1

    Dubai Iko wapi

  • @KatotoMabira
    @KatotoMabira Місяць тому

    Asate

  • @fredykaiza2416
    @fredykaiza2416 7 місяців тому +3

    Jitahidi ujefunze kutamka R. Sio Bala la Africa, sema bara la Africa, jifunze kutamka R kwa vile ukitamka L unaleta maana ingine

  • @MiguelPiusmiguel
    @MiguelPiusmiguel 6 місяців тому

    Dar na Maputo, .. Maputo ni zaidi kuliko Dar

  • @Daidizz01chinga
    @Daidizz01chinga 6 місяців тому +1

    Uyu ni mongo sana msumbiji mwenye nafasi ya tatu 3 Africa

    • @Fmbtv255
      @Fmbtv255  6 місяців тому

      Ni vizuri ukabisha kwa hoja

  • @BabAlma_Ke
    @BabAlma_Ke Рік тому +1

    Mbongo tztupo

  • @ameenaameena4907
    @ameenaameena4907 Рік тому +3

    Kampala hapan uzur wowote haujatembea unaamua to kusema sema😅

  • @GATUNGAIsaie
    @GATUNGAIsaie Місяць тому +1

    Burundi yetu sasa niyangapi

  • @user-mb2ob6kg8z
    @user-mb2ob6kg8z 2 місяці тому +1

    Kwa maisha ukitaka ukweli tanga amini usiamini

  • @hoseabarasa-k5d
    @hoseabarasa-k5d 4 місяці тому +1

    Huu utafiti si wa kweli wapi Mombasa Kisumu

  • @Dolea-p4x
    @Dolea-p4x 6 місяців тому +1

    Sio zahidi ni zaidi acha kutangaza

    • @Fmbtv255
      @Fmbtv255  6 місяців тому

      Wewe huna ushauri mzuri

  • @aishahamisayubu
    @aishahamisayubu 7 місяців тому +1

    Uchambuzi gan mmeacha kuonyesha masaki mnaonyesha buza😂

  • @Ibrahimnyanabo
    @Ibrahimnyanabo Місяць тому +1

    RDcongo haupatikane namunagani niuwogo mutupu

  • @KabambaAmani
    @KabambaAmani 6 місяців тому +1

    Embu fikilia Kigali n'a Luanda Angola, we vipi

  • @GustavKinongo
    @GustavKinongo 3 місяці тому +1

    Kiswahili ni shida kwa waandishi na watangazaji, hawajui Kiswahili ni aibu

  • @stanlaurent5121
    @stanlaurent5121 5 місяців тому +1

    Congole to Dar Es Salaam kuwemo 10 bora, yaani namba 1& 2 yote imetokea South Africa??

  • @alfredmutuku6245
    @alfredmutuku6245 4 місяці тому +1

    Kama sio ufisadi na uongozi mbaya Nairobi ingekua nambari moja

    • @Fmbtv255
      @Fmbtv255  4 місяці тому

      😄Mambo yatakaa sawa

  • @abdullahkazungu4025
    @abdullahkazungu4025 10 місяців тому +1

    Rudi ufanye utafiti vizuri

  • @frankngoloka5416
    @frankngoloka5416 3 місяці тому +1

    Uzri wa nini tupe ufafanuzi

  • @MossesiMosessilaizerlaizer
    @MossesiMosessilaizerlaizer 5 місяців тому

    daah kumbe sio tanzania sio haba

  • @selemanilubuva3481
    @selemanilubuva3481 5 місяців тому +1

    Kinshasa mbona haipo?!

  • @MossesiMosessilaizerlaizer
    @MossesiMosessilaizerlaizer 5 місяців тому

    me nk nairobi at sio ni jengo inzuri at hap ni saw na rwanda kwenda uko dar salam sio wa kumi ni wa ya kwanza

  • @ByamunguChalom
    @ByamunguChalom 7 місяців тому +1

    Kadanganya, umeacha Kinshasa

    • @Fmbtv255
      @Fmbtv255  7 місяців тому

      Unapopinga ni vizuri kuleta hoja ili wanaosoma maoni waelewe tatizo lilipo

  • @PatrickMashallah-n1w
    @PatrickMashallah-n1w 2 місяці тому +1

    Zimbabwe nakata aise 😂😂😂

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 8 місяців тому +2

    🤣 yaani nairobi ampite Addis Ababa, mmh😊

  • @AmbrosioPaulino
    @AmbrosioPaulino 5 місяців тому +1

    Na Maputo je imeshawahi kupita?

    • @Fmbtv255
      @Fmbtv255  5 місяців тому

      🙏

    • @Fmbtv255
      @Fmbtv255  5 місяців тому

      🙏

    • @M_Y584
      @M_Y584 3 місяці тому

      Huyo hakuna kitu huyo hajui kitu yaani aiache Maputo 🇲🇿

  • @omaryally2048
    @omaryally2048 6 місяців тому +3

    Usipende kuiga vitu tembelea uone sio una kopi na kupesti Pretoria umeiacha wapi? Pia lafdhi Yako chafuu badala useme bara unasema bala,moroco unasema moloco,naenda ukasome usimalize mb zetu aise.

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 5 місяців тому

      siku hizi Waandishi wanaandika Aya ,Au Apana utaka useme hawakwenda Shule??ni matamshi tu

  • @KiluluMhindilo
    @KiluluMhindilo 6 місяців тому +1

    Acha uongo

  • @abooaboo-rs4uw
    @abooaboo-rs4uw 8 місяців тому +3

    Dar ni kijiji

    • @maclaudismail6606
      @maclaudismail6606 7 місяців тому

      Sawa bora mwanza siyo.?

    • @EmanuelRyoba
      @EmanuelRyoba 3 місяці тому

      Ukisema Kijiji unakosea sema ni lijiji maana nilikubwa kushinda Nairobi

  • @BagaboMasumbuko
    @BagaboMasumbuko 7 місяців тому +1

    Huyu jamaa ni mnyarwanda hawezi Tia Congo drc ndani. Kwa hiyo miji yote pana yenye Kinshasa inazidi.

  • @hiseamichael2393
    @hiseamichael2393 9 місяців тому +1

    Durban and pretoria iko wapi umelogwa nenda ukarudi kutembaa bwana

  • @SeifSaid-ld6qj
    @SeifSaid-ld6qj 7 місяців тому +1

    Sio Balani ni Barani sivunze Bro

  • @hussenimgalula5634
    @hussenimgalula5634 7 місяців тому +1

    Hizi tasmini umetunga mwenyewe

    • @Fmbtv255
      @Fmbtv255  7 місяців тому

      Sina uwezo wa kutunga jiridhishe kwa kufuatilia

  • @SAULINDINADYO
    @SAULINDINADYO 6 місяців тому +1

    jifunze tena maana Pretoria ! Durban ! port Elizabeth ! cape town hiyo yote Iko South Africa! mji WA kwanza Kwa uzuri ni cape town na WA pili ni Addis Ababa Ethiopia! WA tatu ni Cairo hiyo yote Mimi nimeitembea tena dar -esalam ni kijijini tu haimo kati ya hiyo 25

    • @Fmbtv255
      @Fmbtv255  6 місяців тому

      Sawa

    • @janethcharles1146
      @janethcharles1146 6 місяців тому

      Wewe Dar ni hatarii wewee hata iyo nafasi ya 10 ni uongo ilitakiwa iwe nafasi ya 5 sasaiv infrastructure system majengo ya kisasa nice ocean view na luxury beaches kwakweli ipo vizur sanaaaa

  • @ToivoJase
    @ToivoJase 2 місяці тому +1

    Kwhy dar na WINDHOEK,kuzuri Dar?hahaha,,wasenge nyie

  • @egonemmanuelkudaba4945
    @egonemmanuelkudaba4945 5 місяців тому +1

    Mm sjatembelea miji mingine tofauti na dar Tz ila kama kwel ni ya kumi kwa uzur Africa bas miji iliyoko chini ya dar kwa uzr iko hoi sana mana dar yenyewe miundo mbinu bado ni poor kwa kwel Africa tujitasimini tuna fel wap

  • @rahmaomar6276
    @rahmaomar6276 Рік тому +1

    Kufahanu

  • @AZAMUTIBIZIRAO
    @AZAMUTIBIZIRAO 4 місяці тому +1

    Na bukoba upo naona haujatajwa

    • @Fmbtv255
      @Fmbtv255  4 місяці тому

      😄 Huo utani

  • @Kim19onlinetv
    @Kim19onlinetv 10 місяців тому +26

    Uchambuzi feki yani kampala ni dampo unaacha kinshasa yaan Cairo una mji wa kisasa eti ni wa tatu Nairobi ni kamji kadogo tu kuliko addis Ababa na Dar es alaam eti mji wa sita kwenda huko

    • @Fmbtv255
      @Fmbtv255  10 місяців тому +5

      Ni vizuri ukatoa uchambuzi na takwimu za kwako ili tuelewe vizuri zaidi

    • @decodesttz
      @decodesttz 7 місяців тому +4

      😂😂😂😂kwa kampla nakuunga mkono Ila swala lakutak mu camper Nairobi na mji Kama adisiabab na dar ni kosa kubwa San nailobi ni kitu ingne pia mjin wa cap town kua ndo mji nambamoj hyo ni sahih

    • @WonderfulMacawBird-zm6lo
      @WonderfulMacawBird-zm6lo 7 місяців тому +1

      Nairobi ndio nambari moja wewe

    • @sbboymkaliofficial9108
      @sbboymkaliofficial9108 6 місяців тому

      Kwendaaa 😂😂

    • @BaSalmahAthumani
      @BaSalmahAthumani 5 місяців тому +2

      Kwa hilo namtetea, Nairobi ni jiji Bora pia liko na good infrastructures kuliko Dar. Pia unatakiwa utambue kwamba sifa ya Mji sio ukubwa Ni Miundombinu Mfano hai ni huu Paris ni mji mdogo Sana kwa Dar inaingia zaidi ya mala tano lakin Ni jiji Bora zaidi Duniani.

  • @aminumengo2123
    @aminumengo2123 7 місяців тому +1

    Ww iko na lala naota au naota na lala veve bado tembea , tebea one banchoti

    • @Fmbtv255
      @Fmbtv255  7 місяців тому

      Unapopinga ni vizuri kuleta hoja ili wanaosoma maoni waelewe tatizo lilipo

  • @MassoudAlly-c9e
    @MassoudAlly-c9e 6 місяців тому +1

    Angola ingekua sio vita wangekua wapo mbali asaivi ila savimbi ali wachelewesha

  • @HabibuKopwe
    @HabibuKopwe 2 місяці тому +1

    Uchambuziwako haupo makini kabisa katembee upya

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 8 місяців тому +1

    Mmh kampala😂😂

  • @DennisAristid
    @DennisAristid Місяць тому +1

    Uchambixi havivu × ×

  • @EzekiaMyila
    @EzekiaMyila 7 місяців тому +1

    Hii miji wanaangaria nn mbona sielewi

  • @petermasanilo732
    @petermasanilo732 5 місяців тому +1

    Mbona mwanza haujaitaja?

  • @abooaboo-rs4uw
    @abooaboo-rs4uw 8 місяців тому +1

    Wewe mgonjwa.katibiww kichaa

  • @KhalidKhan-ud9cz
    @KhalidKhan-ud9cz 6 місяців тому +3

    Tanzania mzuri sana kweli