The Story Book: Binaadamu wa Kwanza Kwenda Mwezini, Marekani walitudanganya ??

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025
  • The Story Book: Binaadamu wa Kwanza Kwenda Mwezini, Marekani walitudanganya ??
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 497

  • @BacktoPhiladelphiaministry
    @BacktoPhiladelphiaministry 2 роки тому +90

    From Kenya wapi like za professor,..,.♥️♥️♥️♥️♥️🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @DignaEliamani
    @DignaEliamani 11 місяців тому +8

    I Appreciate you jamil. Like hapo mnaomkubalii

  • @samsonoundo651
    @samsonoundo651 9 місяців тому +2

    Professor ❤

  • @zuchu3647
    @zuchu3647 2 роки тому +193

    Huyu Ndio Alinifanya Nifikirie Zaidi Kila Niandikapo Nyimbo Zangu..!!!! Mustapher Umetisha..!!!!

    • @shadrackdamiani1418
      @shadrackdamiani1418 2 роки тому +4

      Mboss 💞💞💞💞💞🇹🇿🇹🇿✔️🇹🇿✔️🇹🇿

    • @superherotv1750
      @superherotv1750 2 роки тому +3

      Mbosso wa michongo😂

    • @lucasmhagama8166
      @lucasmhagama8166 2 роки тому +2

      @@shadrackdamiani1418 Acha kudanganywa sio Mboso huyo

    • @innocentmandari570
      @innocentmandari570 2 роки тому +3

      We nae huna mada.. kwahiyo story book ndio imekufany uandik kwa kufikiri au kisa umskia story ya azana 😛

    • @rajcancomedy2646
      @rajcancomedy2646 2 роки тому +1

      duuuuu sana tu nakukubal

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 2 роки тому +22

    Duh!!! Ww unatakiwa uwe Mwalimu wa Geography, History na n.K kwenye vyio vikuu kokote Duniani,kiufupi ww ni fireeee #ProfJamal

  • @mahamudumbwana382
    @mahamudumbwana382 2 роки тому +131

    Leo nimekua wa kwanza asee.Kaka jamal be blessed asee

  • @johnalichard1721
    @johnalichard1721 2 роки тому +8

    oya ya leo ni kali nimekubali sanaaaaaaaaa

  • @shadrackdamiani1418
    @shadrackdamiani1418 2 роки тому +96

    Kuna wachawi jamani mbona hata hamlike 🙏💞 Mimi mdai wenu jamani

  • @hancylaucymayunga3463
    @hancylaucymayunga3463 2 роки тому +8

    Bonge moja la ep

  • @jaydenkariuki6595
    @jaydenkariuki6595 2 роки тому +6

    Asante sana na huu mtiririko wa story

  • @Beastafricaone
    @Beastafricaone 2 роки тому +21

    Thanks for uploading the story book regularly

  • @allymwihuva7473
    @allymwihuva7473 2 роки тому +4

    Professor umetueka na kiu Sana but it worth it tunakupenda na ahsante ❤️

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 2 роки тому +16

    Tuliosubiri hii Leo kabla ya kulala..nipeni likes.

  • @ivanoniko6830
    @ivanoniko6830 Рік тому +5

    Watching from Kenya muranga county Government headquarters 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @joanwangui5135
    @joanwangui5135 2 роки тому +19

    Watching from Kenya I can't believe I studied this lie in history😮😔😔

    • @memphisdepay6010
      @memphisdepay6010 Рік тому +1

      Exactly wasted of time😮😮

    • @NelliusWangui
      @NelliusWangui 2 місяці тому

      😂😂we have been studying lies in every subject

  • @RamarKenzi
    @RamarKenzi 11 місяців тому +1

    Proffeser Jamar April
    Noma sana very brighter

  • @siamejerry1456
    @siamejerry1456 2 роки тому +12

    This is the excellent research indeed

  • @muwezaseifu9029
    @muwezaseifu9029 2 роки тому +19

    Much respect mr Jamal April

  • @nassircalale1860
    @nassircalale1860 2 роки тому +2

    Allah akubariki Jamal April

  • @ichepatrick324
    @ichepatrick324 2 роки тому +10

    Great work professor, we need to talk alot🙏🙏🙏hapa +256 respect!!

  • @bakaryCMD
    @bakaryCMD 2 роки тому +12

    The great professor of all time/

  • @allydavy6919
    @allydavy6919 Рік тому +5

    Plz Jamal tuandalie story book ya Mtume Muhammad saw

    • @ThabitiKondo
      @ThabitiKondo 17 днів тому

      Maashallah Allah akubaliki kwa kila jambo

  • @khamisshee5131
    @khamisshee5131 2 роки тому +4

    👍
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    aka bachuchu mombasa 001
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mpendakiswahili3053
    @mpendakiswahili3053 2 роки тому +3

    Jamal hongera....

  • @mansourjogi6909
    @mansourjogi6909 2 роки тому +2

    Story zako ni za kusisimua kweli na ni nzuri na ukweli my alone

  • @terrywatahi1203
    @terrywatahi1203 2 роки тому +3

    Nakubaliana na simulizi hili ..✨️✨️

  • @sekeladavid1433
    @sekeladavid1433 2 роки тому +1

    Thanks our professor jamal

  • @godfreymdamu3797
    @godfreymdamu3797 2 роки тому +3

    Ahsante bro..hii ndo simuliz niliokua kua naisubilia kwa hamu Sana...nikijiuliza kwann unachelewa kuisimulia

  • @MutikiAlex
    @MutikiAlex Рік тому

    Kisayansi azana ahiwezi ku sikika kabisa mwezini nawala akusilimu ila ni mawazo ya watu tu ila nakukubali sana🎉🎉

  • @dasilvajr9647
    @dasilvajr9647 Рік тому +1

    Inawezekana ni kweli huyo jama kuskia saut ya azama kwa sababu waislamu mungu wao wanaomwabudu ni mungu mwezi na ndo mana kuna alama ya mwezi kweny misikiti na wakati rumi wao (mungu jua) na ndo mana kweny picha zao nyingi wanamchora yesu ama maria juu yake kuna jua, kwahiyo rumi, na uislamu ni kama mapacha wote wana utamaduni mmoja na asili moja ya kuabudu.

  • @OBONDOJAAOMOSH-km4bj
    @OBONDOJAAOMOSH-km4bj 9 місяців тому

    Thus is a palpable truth and no any sound minded person can challenge it!

  • @kaazykazunguabdool3266
    @kaazykazunguabdool3266 2 роки тому +1

    Professor unajua tena na tena

  • @tupasesamuel2109
    @tupasesamuel2109 2 роки тому +26

    Great work and I enjoy listening to story book from Louisville, Kentucky USA 🇺🇸 🇺🇸

  • @kassimsharia3688
    @kassimsharia3688 2 роки тому

    Daaaa aaaaa umerudii, mjomba umepoteya muda, mrefu

  • @danielsanga8459
    @danielsanga8459 2 роки тому +2

    Hiki kiumbe diamond ukipata nadhana anafanikisha Mambo yako mengi Sana..... Nakuona bali Sana Jamal ww ni wa kipekee 🙌🙌🙌

  • @wazirmasokola5951
    @wazirmasokola5951 2 роки тому +3

    Unajuwa kaka

  • @ismailkidaya4962
    @ismailkidaya4962 2 роки тому +6

    Sawaa sawaaaa wanaomkubali like hapaa tafadhali

  • @physicx6077
    @physicx6077 2 роки тому +1

    Natamani kuona siku Tanzania tunarusha rocket. I have started. And we move further to the future. In Physics. Thanks The story book.

  • @allyhassani2813
    @allyhassani2813 2 роки тому +2

    Nakubal bingwa wangu

  • @mohamedjakaya5355
    @mohamedjakaya5355 2 роки тому +2

    Uongo, walitengeneza tu studioni Mungu hajaruhusu mtu kwenda mwezini

  • @AndidaLyuvale
    @AndidaLyuvale 3 місяці тому

    nakukubalii sanaaaa...!!

  • @mohammedmajaliwa4722
    @mohammedmajaliwa4722 2 роки тому

    Ahsante kwa elimu Kaka, barikiwa sana

  • @simonhatari6232
    @simonhatari6232 Рік тому

    Asante kwa story nzuri.
    Maranyingi hadithi zako zinaishia kua mahubiri ya uislamu

  • @amourmbago8005
    @amourmbago8005 2 роки тому +6

    professor 👨‍🏫 profession

  • @alhajisalum5590
    @alhajisalum5590 2 роки тому

    Kaka Jamal naweza kukuita mtaalam, nakuona mbali sana,,,

  • @ismailchidako7595
    @ismailchidako7595 2 роки тому +1

    Professor hakuna km wew 🔥🔥🔥

  • @kingsleympole109
    @kingsleympole109 2 роки тому +5

    may you live long i really enjoy your stories

  • @michaelalphonce6857
    @michaelalphonce6857 2 роки тому +3

    super b professor Jamal🤝🇹🇿

  • @yahyakabaila
    @yahyakabaila 2 роки тому +4

    First from +254 🇰🇪

  • @shadrackdamiani1418
    @shadrackdamiani1418 2 роки тому +15

    Ninekua mtu wa 9 kukomenti na nime kua mtu wa 15 ku like plz Ni like bc wadau

  • @Craytos_Baraka
    @Craytos_Baraka 2 роки тому +1

    Hatuna cha kusema💖💖

  • @geniusslayer6782
    @geniusslayer6782 2 роки тому +5

    Professor 🔥🔥🙌

  • @rivaldomwananjela8805
    @rivaldomwananjela8805 2 роки тому +10

    Thank you Jamal for good story

  • @y5tv232
    @y5tv232 2 роки тому +1

    Kaka Jamali. Unajua Sana asee

  • @amosmichael487
    @amosmichael487 2 роки тому

    Karibu sanaa professor Jamal

  • @bagulewauswaztv
    @bagulewauswaztv 2 роки тому +9

    Like kwajili ya Wamerekani wametuweza

  • @valentinetesha8536
    @valentinetesha8536 2 роки тому +14

    marekani WAONGO ime pita miaka 70 hadi leo hakuna alie tumwa kwenda tena mwezini uongo maana saahv ingekua rahisi sabab teknolojia iko juu

    • @justinjames577
      @justinjames577 2 роки тому +1

      valentine tesha mwaka 1972 walienda tena saivi zinafanywa plans za kuunda space base kule mwezini

    • @nyokaroadtv5828
      @nyokaroadtv5828 2 роки тому

      Kwel kabisa kiongoz

    • @befamgaya4633
      @befamgaya4633 2 роки тому

      @@justinjames577 Hivi huu uongo nmauamini vp aisee?

    • @mwinjahidahmed
      @mwinjahidahmed 9 місяців тому

      Kwanza camera man alitangulia mwezin?

  • @barickchawe2544
    @barickchawe2544 2 роки тому +1

    Napenda sana mambo aya

  • @EmmanuelMutie-rz2qy
    @EmmanuelMutie-rz2qy 9 місяців тому

    Waaw, very intelligent, big up

  • @Movic5806
    @Movic5806 2 роки тому +61

    Tunaomba Story Book ya TITAN MOON OF SATURN Ni mwezi wenye Maajabu Mengi Mnoo,

  • @fahadmussa8879
    @fahadmussa8879 Рік тому +6

    Kaka nakuona miaka5 utakua mbali sana hili nidarasa broo kama una kubaliana namm mpe like huyu jamaa

  • @akimjuma2026
    @akimjuma2026 2 роки тому +3

    Jamal professor 🙌🙌🙌🙌🙌🙌 🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @hemedsaidi9388
    @hemedsaidi9388 2 роки тому +2

    Yuri Gagarin akiwa kiongozi

  • @chidiberbatov3613
    @chidiberbatov3613 2 роки тому +20

    Wa 1 likes zangu ambao tulikua tunasbiria hii ep

  • @yummysundfer2372
    @yummysundfer2372 2 роки тому +1

    More appreciation my big broh!!!
    woow
    Leo u giv me what the brain what ...mor thanks my big bra

    • @leahmakuru4458
      @leahmakuru4458 2 роки тому

      russia is first to be in space, the layer btn earth and moon.mean while america have been the first to touch the moon .so this make the americans the first people to be in moon.

  • @ilovejesus666
    @ilovejesus666 2 роки тому +2

    Jamal nakukubali adi kuzunguzungu em tupe ya Rambo tupe

  • @mzeewajambo8293
    @mzeewajambo8293 2 роки тому

    Jamaa uko vzr Sana

  • @tracemsolla7604
    @tracemsolla7604 2 роки тому +3

    Professor 🙌💯

  • @hemedsaidi9388
    @hemedsaidi9388 2 роки тому

    Uko vizuri kaka

  • @binaramplatnumz9723
    @binaramplatnumz9723 2 роки тому +4

    PROFESSOR

  • @Alislamre
    @Alislamre 2 роки тому +6

    The truth of this Allah knows everything

  • @rukwaonlinetv
    @rukwaonlinetv 2 роки тому +1

    Nakubali Sana Prof Jamal

  • @shadrackyuda8745
    @shadrackyuda8745 Рік тому

    Nakukubali sana

  • @ramlahamad5483
    @ramlahamad5483 2 роки тому +2

    God bless you břóó

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 2 роки тому

    Wamarekani waongo sana jmn👌👌👌

  • @rukingamaboar802
    @rukingamaboar802 2 роки тому

    Man Shaa Allah Big up Bro Jamali

  • @EmanuelStart-jd1vr
    @EmanuelStart-jd1vr 4 місяці тому

    Sio kweli nioungo,hakuna mtu Aliweza kwenda mwenzini , mwezi ni mwanga utawezaje kwenda kwenye mwaga unaoangaza

  • @sevarinchitanda4670
    @sevarinchitanda4670 2 роки тому

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥 nakubal sana 🔥

  • @allykibabendingo8496
    @allykibabendingo8496 2 роки тому

    The story book ibaki milele..!!

  • @ujukucyprian314
    @ujukucyprian314 2 роки тому

    Safi sana kk

  • @iddyzayumba3274
    @iddyzayumba3274 2 роки тому

    Nakubali bruh prof

  • @jamilacharles5809
    @jamilacharles5809 2 роки тому

    Nakubali sana Kazi yako

  • @rnakingtz
    @rnakingtz 3 місяці тому +1

    Ni follow jmn 😢

  • @johnluisdelima5924
    @johnluisdelima5924 2 роки тому

    Kazi nzuri Jamal

  • @JokerMdoli-db8se
    @JokerMdoli-db8se 6 місяців тому

    SaLutE sanaa jamali❤🎉🙏🩸

  • @letthedeadburythedead2148
    @letthedeadburythedead2148 2 роки тому +6

    Nobody leaves the earth alive, only Jesus Christ did.

  • @fredrickphilomena5291
    @fredrickphilomena5291 2 роки тому +2

    Naipenda sana sayansi na ndo maana naisoma ili siku moja nije kwenda Mars

  • @aubreychuma5449
    @aubreychuma5449 2 роки тому

    It's true story America go to the space,,,, Respect to the America

  • @musaeliasi
    @musaeliasi 7 місяців тому

    Appreciate you Jamaal

  • @hamzamoshi8275
    @hamzamoshi8275 2 роки тому +2

    KING JAMAAAALLLL 🙌🏻🙌🏻🙏🏻

  • @joelrutta3658
    @joelrutta3658 2 роки тому +4

    Ni kwl NASA walifika mwezini sawa, na kweli Dr.Neil Armstrong alisikia adhana. Ila kwa maelezo yote hayo cjpata kusikia mahali waandishi wa habari wakienda kumuhoji Dr. Neil juu ya hyo safari na kuthibitisha au wale wenzake wawili, but in surprise way Neil anajitokeza kwnye media na kusema wakati akiwa safarini na alipofika mwezini alikuwa anasikia adhana, hapo naona bado NASA waliukuwa wanaweka michezo ya CCM kuhamisha upepo.
    big up
    Prof. Jamali
    we miss this a lot!!!!

    • @edwardhoja
      @edwardhoja 2 роки тому

      Neil amewahi kuhojiwa mara nyingi sana kuhusu safari ya mwezini lakini hakuwahi kuonyesha kufurahishwa nayo. Hata hiyo nadharia ya kwamba alisikia adhana wala si ya kweli bali ilivumishwa maksudi ili watu waone kama alisikia adhana ina maana kumbe kweli walienda mwezini.

    • @mohamedfadhilisadick3912
      @mohamedfadhilisadick3912 2 роки тому

      Hakusikia adhana

    • @edwardhoja
      @edwardhoja 2 роки тому

      @@mohamedfadhilisadick3912 Wahuni sana wale mkuu

  • @godfreymdanya1214
    @godfreymdanya1214 2 роки тому +1

    greaty work from kenya plz jamal nngeomba story ya binadam tajiri dunian elon musk ama jeff bezoes?

  • @shijaolomi6800
    @shijaolomi6800 2 роки тому

    Jumanne big up tunaomba story za meli za kigiriki kuusu wazamiaj

  • @Frankmlelwa-bp7nb
    @Frankmlelwa-bp7nb 10 місяців тому +1

    Profesor

  • @MarwaMarwa-kd1dm
    @MarwaMarwa-kd1dm 2 роки тому +2

    Be blessd bro

  • @nadiaamisha2958
    @nadiaamisha2958 2 роки тому +26

    Nilitamani sana kusoma science ila ndo hivyo akili zangu nazijuwa mwenyewe 🤣🤣🤣🤣niko Egypt nachumba chima🙆🙆🙆

  • @PhilipoMweshemi
    @PhilipoMweshemi Місяць тому

    Kwanza mimi huwa siamini kama kweli dunia huwa inazunguka juwa itakuwa juwa ndo ninaizunguka duniani na sayari zote

  • @maesryclassic456
    @maesryclassic456 2 роки тому +1

    Kwa ninavyojua mimi hao hawakua wa kwanza kuingia mwezinii!! Wamarekanii na warusii walishawah kuwarusha wanyama haswa mbwa ndo waliokua wa kwanzaa kufika mwezinii miaka hyo ya 1950s kabl ya hao wakina Neil kufika uko!! Nimezungumzia wa kwanza sio binadamu wa kwanza 🙌😅 Much love Jamal 👍

  • @hollymind757
    @hollymind757 2 роки тому +3

    Tafadhali leta part 2

  • @JohnAugustinoMuhoza-bi2in
    @JohnAugustinoMuhoza-bi2in Рік тому

    Unaweza