MANENO MAZITO YA IBRAHIM TRAORE YALIYOWAKERA VIONGOZI WENGI WA AFRIKA NA UMOJA WA ULAYA.
Вставка
- Опубліковано 7 січ 2025
- #tanganyikatv
#funny
#mwakawabarakazakuongezekanakuzidishwa
#congopolitics
#wedding
#facebook
#fitness
#ibrahimtraoré
#burkinafaso
#africa
#africapolitics
Mungu ambariki sana Mheshimiwa Ibrahim Traoré.
Aminaaaa
Ameen
Magu mdogo,,ila umetambua afrika tunashindwa kuthubutu, big up kijana mzalendo,,
BRAVO TANGANYIKA TV NIMEWAKUBALI SANA CHANAL YENU PAMOJA ✊️🙏☝️🤲🇹🇿🇬🇷⚓️🛳
Angekutana na legend dr john makuful aise africa leaders wakeup igine kutoka kwa uyu
Wewe ni kiongozi makini sana Mungu awatangulie sana
Hakika
Maasha Allah khutuba nzuri
b cmV
b mcg X 2:16
Wewe ungekutana na magu Africa ingekuwa juu
Kweli
Amezaliwa Mwaka mmoja baada ya kifo cha Thomas Sankara, na ameingia madarakani mwaka mmoja baada ya kifo cha Magufuli, this is God plan and God sent plan, Africa tunahitaji kujirekebisha kutokana na makosa
Juu Africa bado kidogo mpaka vibaraka wote wakae pembeni mda utaongea
Amepishana na magu
100%
Mungu akulinde Na AKUONGOZE!
Safi sana muheshimiwa ibrahim ni kweli mabara ya africa ni maskini kwa 7bu ya watu wa magharibi wanatuibia mali zetu sisi tunakufa njaa wao Wana faidika mwenyezmungu akueke inshaallah uzidi kutetea africa
Ww ni kiongozi wa kuigwa Africa nzima🎉🎉Mungu akulinde Mh
Ibrahim traoré Mungu akulinde
Tunakupenda sana ndg yetu mwamba.
Huyu ndiye KIONGOZI ANAYEFAA.
THE LEADER WE NEED IN AFRICA::
The hero of our time.
Asante sana IB
Mwamba 😊
Ibrahimu ibrahimu ibrahimu❤❤❤❤❤ mungu azidi kukulinda ameen
I LOVE AFRICAN COUNTY ❤❤❤❤
Allah akuifazi shujaa wetu. waafrika tuamke mabadiliko yanaanza na sisi wenyewe .
😀😀 HIII ndio naitamani, Wachane kabisa.. WE ndio Mjeda wengine Migambo
U ishi mi lele kwasa ba bu wewe ni kama Mala ika wa afrika nzi ma piya muko mbozi piya na onya vi ongo zi wote wa afrika ku fata uzalendo wako❤❤❤ mimi na ishi kongo.
❤❤❤
Sawa kabisa ✍️💯
Huyu ndio Africa tunayo itazamia
Mungu akupe nguvu
Kiboko asee hii ni safi sana. Tulikua tunasuburi nini sisi waafrika jamani. Tujue kila kitu kinawakati wake. Na ndio huu hata sasa. Tusishangae, Shangai sana. Mungu atupiganie, wewe aonae yote. Tucidide kumbeane usiku na mchana bila kukoma. Maana jiobgozi wetu wote wanarudi hivi sasa katika Bara la Afrika.
Mungu mulinde Ibrahim traore
Mungu naomba itoke tz kijana mdg hv mwenye ujasr kma wa magu mwenye ujasir na kudhubht bila kuogopa
Merci notre président ❤❤❤
Hutuba nzuri sana mkombonzi wa Afrika❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
ww uko vizuri kbs
Mtu wa thamani sana.
Mungu akulinde sana nchi ina kila kitu lakini wanchi ni homba homba wengine wanaweka kambi kwa wahindi kuomba vyakula
Jembe la Africa
Nakubari sana maono yako rais waambiye hao machawa wa wazungu afrika sio bara la giza
Piga kazi nakupa 100 kwa 100
Very powerful speech
Mwenyezi Mungu muumba azidi kumjalia na kumuongoza pia na kumlinda na maadui na waafrika wote unganeni mkono na kushirikiana pasipo kusalitiana afrika imearibika kwa kosa la kusalitiana tu ndo kunabomoa ukuta wa umoja na uhusiano bora
Long live Ibrahim🙏
Mwamba ako sawa kabisa
May God bless Ibrahim traore
Mwamba wa gaduguh nakukubali sana Ibrahim
M/Mungu azidi kukulinda, ninakukubali kama marehemu Magufuli😢
A leader of the century
asante sana
Hakika hotuba imeshiba❤❤
❤
Allaha kuhifadhi Ibrahim traoe tupopamoja
Masha Allah president
Amina tutankhamun
Nakupenda bwana traore
God bless we love you
Mungu atakurinda
Amina
Amiin@@TanganyikaTV
Ina nijia picha ya mzee magu kila nikimuona huyu mwamba
Umeongea point rais wa afrika
long live Ibrahim t
Kijana mdogo mwenyekipaji kikubwa
Kijana Taraore Hongera Saana
Kwa Hotuba Yenye Maneno Kam kisu
Power full brain
Huyu nimwanaumme nanusu,sio huku kwetu Bado tunawapigia magot wazungu watupe misaada namikopo.
Mtu mmoja hatari sana... Mwamba haswa!
long live Mr prezo
MUNGU akuongoze kwalajambo
Amina
Facts
Mwamba nakukubari sana
Maono ya Traore nimazuri Sana ila anapaswa kutumia maarifa na tekiniki Kali Sana, maana hii mizungu(wazungu) inatumia mbinu Kali Sana ya kututawala kimaarifa, afrika inajiweza ila baadhi ya wafrica wachache wanawasariti viongozi wazuri wa Africa.
Sahihi
Ibrahim anamisimamo km magufur
Salute
Mabeneru kwel wata mwacha kamanda wetu
Mungu amlinde.
Raia wake wanakesha kumlinda, wanalala barabarani. Kuna kundi linajiita " wayiyans" yaani hao wanahakikisha mwamba haguswi. Hadi wabibi na wamama wanalala barabarani usiku kwenye mji mkuu wanamlinda mwamba. Washajaribu kumpindua mara kibao lakini wameshindwa. Kumuua huyu labda uwaue raia wote wa Burkina Faso
@@anny19988duh sio mchezo
Huyu jamaa nibonge la kiongozi
Zaidi ya kiongozi.
africa leaders needs to wake up in their minds since God has given us everything, there is no reason for them seeking aid from the West.
respecting your people is the paramount agenda
Uwongozi duni wa Africa. Wengi wa viongozi wetu ni vibaraka wa wakoroni wauwaji mwenye ukabira usiyo na kifani
Hakika
Tisekedi Rais Wa DRC Congo ungana na Huyu Dogo Akupe Akupe Ajili Ya Kupambana Hapo kwako Bcz Hao 23 Kama Majeshi Ya Ulizi Africa 🌍 imewashinwa
Yaani hata uso wako unaonyesha kwamba una maanisha kile unachokiongea.
Tunawataka viongozi kama nyingi, shida hatupati nafasi ya kuwaweka tunaowataka.
Asante.
Hakikaaa
Mwamba waondoe mabeberu africa
Magufuli na Thomas Sankara ndani ya Mwili wa Mburkinafaso.
Tu nahitaji LA watu kama hawa Afrika awe kumitu time jikomboa Africa
tungewapata Traure watano afrika ingesimama
Hakika
Mungu imbariki Africa Mungu ambariki marais watatu, Mungu rehemu kenya tunasue Kwa mikono baya
Mheshimiwa Ibrahim uko sawa japo utaonekana mvaya kwa wanaojikweza kwa wazungu, usijali MUNGU yuko pamoja na wewe.
Uko vizuri iburahim Yaan ingekutana na magufuli mambo yangekua sawa lakin kunae mmoja tunaetegemea akiwa rais mutaenda mwendo moja kwaiyo usijali na pia ruto yuko sawa lakini kwangu mm naona skiwazubaisha kidogo
❤❤❤Wewe ni wa kubarikiwa.
Shikamoo Ib
Mwamba anaongea ukweli
Ndipo unavo gundua viongozi wazee akili zimezeka ndivo anavo maamisha traire
Huyu jamaa akili kubwa
Kuna viongozi mabwabwa Africa wanatufelisha wauwawe
Wanachukia nn waangane nae wawe kitu kimoja iwe moja
Alooo katema nyongo
Rais uy ni hatari sanaaa
SALUTE TO TROAURE
Naitwa innocent .tukipata marais watano kama ibrahim traore barani Afriqua Africa lazima itanyoroka kama ulaya tuhache kuhendeswa nawanzungu
Africa tuhone mbele acha kutazama nyuma wanzungu walitutesa sana .achana na wa America .awana mahendeleo waho nikutafuta vita ilikukosesha raia wa Africa amani.ili wahibiye mali ya wa Africa.jameni jiunge na poutin Ndo Anajali na wanainji waa Frica
Nitakuja kuwa Ibrahim treore
Bwana traore ni mfano wa kuigwa na viongozi kiafrika
Haswaaa
mung awabari ki wazalendo nakila anayejitolea kusaidiya kongo nalainikila anaye mwanga damu yamuzalendo
Saaf nmekukubar mwamba
YaMungu yakutunze kwakweli,
Amina
Mwafrika halisi, achana na machawa wa watu wa magharibi, we pambana baba
waafrika tumetawaliwa kifikra
mwamba traore
Mwamba haswa!
😢😢😢
Kwa sababu ya iyo ndio mahana inastahili kuweka kiongo kijana , mawazo na maneno yake nayo ni mbiji Sawa n'a Mika yake.
Hakika kama hawa niwa chache Afrika
Kweli...
Nataman angekua rais wa Tz
❤
❤
Duh
🙏💯