Nakupenda sana mkuu kwa maongezi yako napia kwa uthubutu wako,hakika tunakoenda panaonekana mkuu hii nchi yetu.Hudumu milele milele mkuu wangu Mhe Rais wetu /wetu John Pombe Joseph Magufuli
Mwenyezi MUNGU akubariki sana raisi wetu. Hongera sana kwa kutupigania sisi watanzani. Viongozi wa afrika tuige mfano huu wa uzalendo anaouonyesha mh. JPM. Kiukweli, hapa kazi tu.
Hakuna vyama vingi CCM yatosha. Vyama vingine vyote ni wabinafsi na pia wanatumiwa na wazungu wasio penda kuona maendeleo ya mwana wa afrika. Mugufuli ndio mkombozi wa bara la afrika nzima. Mungu akulinde Mh Raisi wa watu.
Heshima kwako mtani wangu magufuli mungu akuongoze kazi zako zoooooote ilatu na sisi apo Dodoma mpunguzi tulete maendeleo hata uwanja za ndege weka mahala pazuli sana
Yani nilipoona Lissu anajigamba kuwa kwa vyovyote atangazwe yeye kama Rais alinitia hasira kabisa nikaamua kufunga biashara yangu kwenda kupiga tu kura ya Rais, maana hii nchi ingeuzwa kwa mabeberu, Magufuri Mungu akulinde wewe ni Baba wa Taifa hili, ungefuatia wewe baada ya Nyerere hii nchi tungekuwa mbali
Wewe Rais Magufuli Mungu akulinde tu sina mengine .wenzako majilani kuliko kutekeleza wanainchi wawo wanawawuwa tu eti sio wanachama au wanapinga chama.Hivyo wenzako kila siku hewani safali kwenda kwa Mabelelo !!!!!
indeed Tanzanians u av the very best prezo ever in the whole world hata natamani awe mkenya wetu lakini tuombeeni tupate kiongozi mwenye kuhudumia wakenya bila tamaa
Dah jamani mungu atupe nini ndotumshukuru, watanzania ebu tumshukuru mungu kwakutupa kiongozi mwenye maona makubwa kama haya, mwenye udhubutu mkibwa kama huyu,aa huyu mtu cyo wakawaida inawezekana duniani hawez kutokea miaka mingi ijayo. binafisi natamani hata uongoze miaka mia aisee tubadishe katiba tusikubali watanzania kumpoteza joni asitafu tutampata nani kama yeye?
We subiri siku moja atakuja na wazo la daraja kuunga Zanzibar na bara hii ni type nyingine kama mnategemea mipango ipangwe ulaya hapo mushafeli tunamaliza show wenyewe
Duuuh Mungu anamakusudi yake kwakwel huwa anamwandaa MTU na kumepusha na mabalaaaa kwa njia anazo zijuwa mwenyewe Mungu ni Mungu kwakwel akurinde daima inshallah.
Nakupenda sana mkuu kwa maongezi yako napia kwa uthubutu wako,hakika tunakoenda panaonekana mkuu hii nchi yetu.Hudumu milele milele mkuu wangu Mhe Rais wetu /wetu John Pombe Joseph Magufuli
Usssitajeee chamaaa mkuuu semaa watanzania
Hongera mkuu holo ni letu wote niliwahi kupita hapo mars mbili
Tunashukuru kwa maono yako
Mungu akubariki sana
Hongera Sana Mh. Rais tunaomba Mungu akupe maisha Marefu wewe nichaguo la Mungu.
Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu na afya njema Mtukufu Rais wetu
Mungu akubariki mzee inshaallah tupo pamoja tunakupa mkono ntalipa kodi mara mbili kujenga Tanzania
Mimi uwa namuita mfalme wa chato anaefanya tanzania ya watanzania kuwa bora mungu ibariki tanzania mungu ibariki Zanzibar mungu tubariki wote
Hongera sana Rais wetu mpendwa Dr.JPM .MUNGU AKUBARIKI SANA KWA KUIPIGANIA NCHI YAKO, MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU YENYE HERI,AFYA NJEMA NA BARAKA
Mwenyezi MUNGU akubariki sana raisi wetu. Hongera sana kwa kutupigania sisi watanzani. Viongozi wa afrika tuige mfano huu wa uzalendo anaouonyesha mh. JPM. Kiukweli, hapa kazi tu.
Hakuna vyama vingi CCM yatosha. Vyama vingine vyote ni wabinafsi na pia wanatumiwa na wazungu wasio penda kuona maendeleo ya mwana wa afrika. Mugufuli ndio mkombozi wa bara la afrika nzima. Mungu akulinde Mh Raisi wa watu.
Asanteee muheshimiwa nilpita juz tar 25 /12 aisee Mungu awe nawe
Hadi natamani niombe uraia niwe mtanzania...JPM sio wa kawaida aisee! Mungu akuongoze rais wangu wa Afrika! Mimi mKenya 🇰🇪
Tuko pa1 sana ndugu yetu cc watanzania tunakupenda sana
@@bojopa7 omba tu uraiya hamna shida fata vigezo tu mwamba
Ahsante sana uaweza kuomba kwa kigezo hicho karibu tZ
Kwa mkenya kupata uraia Tanzania ni rais sana karibu Sana ndugu yetu
Ingekuwa inawezekana tungebadilisha
Mungu akubariki Sana raisi wetu mpendwa John Pombe Joseph Magufuri kwa maono yako kwa watanzania
Safi of job highs UK 6
Naumia sana nikimsikiliza hyu baba
Tanzania is truly thriving. Keep it up Mr president. May God Bless Tanzania and all Tanzanians.
Amen
Pole sana mh!! Rais kwa yote hayo Mungu akutangulie katika harakati zako
Mungu azidi kukubariki na kulinda raisi wetu kamanda wetu mkombozi wetu....
Mungu akupe maisha marefu ili ushuhudie Tanzania mpya. .
A Successful Tanzania🇹🇿🇹🇿 is Success to East Africa and Africa as a whole... 🇰🇪 🇰🇪.
Big YESSS
Umesema vyema sana jirani yangu wa Kenya na ndugu zetu 👍
Heshima kwako mtani wangu magufuli mungu akuongoze kazi zako zoooooote ilatu na sisi apo Dodoma mpunguzi tulete maendeleo hata uwanja za ndege weka mahala pazuli sana
Mnaotaka magufuli. Asiondoke madarakani like ili tujuane
🤣
Walau angetoka madarakani tu sio duniani inauma sana naangalia sasa 2024
Asante sana Rais wetu JPM na Mungu akubariki kwa mawazo mema na akulinde ukamilishe kusudi la utumishi wako kwa Taifa letu Tanzania.❤🇹🇿🙏
Mungu akubariki Baba(Mweshimiwa Rais Wangu)
Mzalendo wa kweli no hypocrisy in you our president.
Mmmh ulisomea wap Mr Daudi
Nakupa mfano wa yesu....umekufa kwa ajili yetu baba
Mungu ame kuepusha na kifo miaka hiyo kweli Mungu ni mwema
THIS MAN IS MAKING US PROUD..... JPM MAKE TANZANIA GREAT AGAIN 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿✔
@Darron Cherpak hhdd
@Darron Cherpak l
@Darron Cherpak h
@Darron Cherpak hhhgg
@Darron Cherpak nnn
My presider💪💪 Gonga kazi baba💪💪🤝
Mungu akubariki raisi wetu akulinde inshaallah
Sina shaka na uongozi wa Raisi JPM. Mungu akulinde Watanzania tunakuhitaji.
😭😭😭😭😭
Babababababa we !!
Mwenyezi Mungu anamakusudi na wewe rais wetu.
MUNGU AZIDI KUKUBARIKI NA KUKULINDA RAIS WETU MPENDA MAENDELEO. HONGERA SANA KIONGOZI WETU MAKINI
@@hermanshingisha8471 hakika Huyu.ndio kiongozi nasiyo kidokozi
Hongera sana mhe rais kwa uzalendo huu ulionao
Maisha Marefu Muheshimiwa RAIS 🙏🏿
😭😭😭
Mwenyezi mungu akulinde, kiongozi kama wewe afrika ajawayi tokeya hata mmoja.
May Allah protect you all the time our hero.
Wewe nakupenda bure !Mungu akubariki sana !Na tumbo lilokuzaa libarikiwe mno !!Nakemea kila mpango ovu juu yako !Malaika wafanye kituo kukulinda!Umenigusa moyo wangu ,naahidi kukuombea !
Mungu wetu mkuu amlinde!
Nasemaga huyu jamaa aongezewe Muda aiseee
Kama na wewe unawaza kama mm gonga like
Pongez sana mh rais mungu akupe nguvu na afya tele
Sithani Kama Atakujaga Kutokea Raisi Mwenye Maono Makubwa Kama wew Mzee Wangu Upendo wangu kwako Mungu ndio anajua
Nakupendaga sana, nakuombea sana na Mungu akupe nguvu na hekima utuongoze
Safi baba yetu Mungu akulinde sana na akuongoze zaidi na zaidi na atawale miaka 20
Yani nilipoona Lissu anajigamba kuwa kwa vyovyote atangazwe yeye kama Rais alinitia hasira kabisa nikaamua kufunga biashara yangu kwenda kupiga tu kura ya Rais, maana hii nchi ingeuzwa kwa mabeberu, Magufuri Mungu akulinde wewe ni Baba wa Taifa hili, ungefuatia wewe baada ya Nyerere hii nchi tungekuwa mbali
Hahahaahaha!
Hongera sana mi niliwakuta kijiweni nikawauliza mmepiga kura wakasema hapana nikasema yess atapitaje
Atapitaje huyu Tundu wenu na hamkupiga kura
Aliyepashwa kufuatia baada ya Nyerere walimuua wahujumu uchumi lakini nawao wanateseka kwa sasa Sokoine
Kiki toka chuma kinakuja chuma after magu I wish aje majaliwa Kassimu weweeeee Kama ulaya kazikazi safi Sana JPM
Sawa kabisa rais mzalendo tunaweza sisi ni matajiri ila ufisadi ulituchelewesha, tawala miaka mingi mpaka roho za kifisadi ziishe.
Hongera rais wetu
Chuma kazini🔥🔥🔥🔥🔥
Raisi hongera Sana unapiga kazi tunaona
Serikali ya mwendo Kazi duo maana ya hapa Kazi tu JPM hoyee
Tujenge na ZANZIBAR rais wetu..daraja
Nadhani atajenga la underground mpka Zanzibar kama la Uk
Zanzibar akawajengea Rais wenu huko na sisi huku bara atatujengea MAGUFULI
Nakupenda sana mh rais wetu Mungu akupe maisha marefu baba nasisi tutaenda one day kutalii huko
Dah mungu akulinde mzee
Asante sana mheshimiwa
Raisi wetu mpendwa❤
Congratulations 👏🏽 Tanzania 🇹🇿 of People’s and have love 💗 of his owns people’s citizens populations country ❤️
Kweli ulikuwa ni mpango wa Mungu
Congratulations president John Magufuli 👋🏽👍🏽🪐🌍🌏❤️💗🎉🥳💐🌹🥂👏🏽🙏🏽
Magufuli
Mzee baba na pikipiki ushagonga uko sawa
Tunakushukuru MUNGU kwa ajili ya Rais huyu Magufuli
we love u
Mbeba maono hafiiiiii,.
"Tanzania ni tajiri" Watanzania tunaweza bila msaada kutoka kokote,isipokuwa kwa Mungu pekee. Salaam kwako Jpm.
Asante sana rais wetu kutuongoza kuelekea nchi ya asali na maziwa🇹🇿🦒
Hakika ni kazi kubwa sana unayofanya mh.raisi.asiyekubali ni mfu.
Tanzania first magufuli beloved President
Mungu airehemu roho yake hayati Rais John Pombe Magufuli Kwa maono mema Kwa wananchi wa Tanzania.
Mungu akutunze Mh Rais 🙏
Hongera sana JPM tunakukubali sana.kigongo busisi nakumbuka nimewahi kuvuka kwa pantoni nikielekea sengerema,Leo daraja !! Mungu akulinde mkuu.
Ila we mzee uko karibu sana na mungu, Apo uliponea chupu chupu, na kwenye kupewa sumu, mungu, akusimamie. Maana una nia njema na nchi yako.
Wewe Rais Magufuli Mungu akulinde tu sina mengine .wenzako majilani kuliko kutekeleza wanainchi wawo wanawawuwa tu eti sio wanachama au wanapinga chama.Hivyo wenzako kila siku hewani safali kwenda kwa Mabelelo !!!!!
MUNGU akupe maisha marefu, 🇹🇿🙌
Nimependa sana hii hongera mzee
I'm proud of you mr president
Our president not yours alone
Mungu akubariki sana na akulinde.
Mungu akubariki sana raisi wetu mpendwa JPM
Mungu akulinde rais wetu
Mungu ibark Tz kw kupta kiongz mweny maon Kam huy
Pamoja Ako Magu. Tunakuombea
🔥🇹🇿😜❤️ Mungu akupe maisha maref mkuu
indeed Tanzanians u av the very best prezo ever in the whole world hata natamani awe mkenya wetu lakini tuombeeni tupate kiongozi mwenye kuhudumia wakenya bila tamaa
Tujuane kama bado unaangalia baada ya kifo chake. RIP JPM
Dah jamani mungu atupe nini ndotumshukuru, watanzania ebu tumshukuru mungu kwakutupa kiongozi mwenye maona makubwa kama haya, mwenye udhubutu mkibwa kama huyu,aa huyu mtu cyo wakawaida inawezekana duniani hawez kutokea miaka mingi ijayo. binafisi natamani hata uongoze miaka mia aisee tubadishe katiba tusikubali watanzania kumpoteza joni asitafu tutampata nani kama yeye?
Walio kuwa wanasubiri mkoa wao utajwe lakini haijatajwa naombeni like zenu😅😅😅
Alisema Watanzania wote wamechangia. Kwahiyo ni mikoa yote.
nakubali
Mungu akubariki na akulinde raisi wetu
Ewe mwenyezi MUNGU nazidi kukuomba enderea kumuongoza kumsimamia kumrinda na kuzidi kuimalisha afya yake raisi wangu
Hatuponaye tena Mungu ameshamchukua. R.I.p Jpm
We subiri siku moja atakuja na wazo la daraja kuunga Zanzibar na bara hii ni type nyingine kama mnategemea mipango ipangwe ulaya hapo mushafeli tunamaliza show wenyewe
Aaah mzee huyu hashindwi.
Hilo wazo lipo aliwahi kulisema bado maamuzi tuu ck akiamkaa amepanga kumaliza utata tutaona mengne
Kiukweli jemma yuko serious kikazi honestly anamaanisha yale asemayo mungu amuongoze Amin
Kabisa bro tuko pa1
@@mohammedally2289 na lazima watakuja kulijenga tu hilo daraja
😢😢😢 ingekua ridhaa yangu ungeendelea hadi kifo
Hakika Rais Magufuli Ni mtu mwenye maono ya Hali ya juu Sana. Vyote hufanya kwa hisi za maono ya MUNGU. Ninakuombea kila siku Mungu akupe uhai mrefu.
",DR. JPM ,RAIS WA WATANZANIA HONGERA SANA KWA MOYO WA UZALENDO"
Dream became true 🙏
Mzee baba oyee
Hongera san mungu akulinde
Kusbabu mimi ni musomali wa mwanza makufuli hongera good bless you
Duuuh Mungu anamakusudi yake kwakwel huwa anamwandaa MTU na kumepusha na mabalaaaa kwa njia anazo zijuwa mwenyewe Mungu ni Mungu kwakwel akurinde daima inshallah.
Na ukileta mchezo unaliwa kichwa kama mkurugenzi wa igunga
Mungu akubariki Rais wangu 😢
Mzee magu wewe nishida sijui kama tutakuja kumpata mtu kama wewe
Hkn tena kaka
Man of the people ✊
Love you Mr. President. Our visionary leader
We mheshimiwa mungu akulinde
Mashaallah mungu akuongoze baba etu magufuli
TANZANIA RAHA SANA
Mungu akubaloki Sana rais wetu umeokoa weng sana mungu akuzishie balaka
Mwenyezi MUNGU akusimamie utuongoze vyema mzee wetu
Hongera Magu