FULL MATCH HIGHLIGHTS SIMBA SC 2-0 WYDAD AC (CAF CHAMPIONS LEAGUE 2023)
Вставка
- Опубліковано 18 гру 2023
- Kwa story zaidi za kimichezo, matukio, vicheko na vilio vya kispoti tufuatilie kupitia Mitandao ya kijamii hii :
►JOIN OUR WhatsApp Group: chat.whatsapp.com/Go7uQgGCzSI...
►SUBSCRIBE: / @tv3tanzania
►Instagram / tv3tz
►TikTok / tv3tz
►Facebook / tv3tanzania
►Twitter / tv3tanzania
#Tv3Tanzania Katika kisimbuzi cha @startimestz CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish)
RATIBA ZA VIPINDI VYETU
DIMBANI JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 1 KAMILI ASUBUHI
KIJIWE JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 1:30 USIKU
BENCHI LAUFUNDI JUMATATU HADI IJUMAA SAA 12 JIONI
TOBOA JUMATATU KUANZIA SAA TATU KAMILI USIKU
#Tv3Tanzania #GameOn
#Manula #kapombe #Onyango #Sakho #MosesPhiri #Henock #Inonga #Chama #Clatus #TripleC #Bocco #JohnBocco ##Mzamiru #Kanoute #Nyoni #Kyombo #Kibu #KibuDenis #Hussein #Beno #Mkude #Okrah #Diarra #Djuma #Lomalisa #Job #DicksonJob #Bangala #YanickBangala #Aucho #Sureboy #Moloko #Mayele #FistonMayele #ZanzibarFinest #FeisalSalum #Feisal #Kisinda #BakariMwamnyeto #BernardMorrison #Morrison #Clement #AzizKi #Farid #FaridMussa #KibwanaShomari #WilbolMaseke #LusajoMwaikenda #BruceKangwa #EdwardManyama #DanielAmoah #SospeterBajana #KipreJunior #JamesAkaminko #PrinceDube #YahyaZayd #AyoubLyanga #Sopu #Msindo #Sebo #Foba #Muguna #Edinho #Nado #Mbombo #Mkandala - Спорт
Mashabiki wa simba sports tukiwahapa drc Congo 🇨🇩🇨🇩 tujuwane hapa ❤❤❤❤🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍♥️♥️♥️♥️
Hongera sana timu yangu ya simba inayotupa furaha kila wakati❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Naipenda Simba mpaka naipenda tena wallah 🙏 Simba nguvu moja ♥️🥰🥰🥰
Mambo dada
@@AdhamAlliy-mg5py poa
Poa@@AdhamAlliy-mg5py
kama bado unaamini simba itarejea tena ubora yake nipee like hapa
naompeni likes yenu ndugu zangu kwaajili ya simba spots
Naipenda cana ximba yangu❤❤❤
Hapa sifa ziende pia kwa golikipa wa Simba kwenye goli la pili😂😂,,Safi Sana kwa wachezaji wote
Naipenda simba🎉🎉🎉🎉🎉
Naipenda. ❤❤❤simba
Mm yanga lakini benchika nimempenda bure
Tukumbuke tu Kila nafsi itaonja mauti.Tujiandae na kifo.Tuache dhulma na kutenda dhambi nyingine.
Congratulations to Simba, but think Jesus-Christ the son of the living God is the way, the truth and the life. The day of repentance is today. Stay blessed
Wallaah Jana Simba SC mmejua kutupa raaha mashaabiki wenu, mbarikiwe saana
Kama unaitazama hii game 2024 tujuane
Bro kiukweli mm kila niliingia UA-cam Ninapitia Tena hii mechi maana daaaahh bro Ile cku ya mechi nilikuwa ninafuraha isiyoelezeka
Maana nilimbezaga Sana onana Ila cku Hz nikimuona kwenye line up Wala Sina Shaka maana baada ya hii mechi alikuja pia kufanya vzr kwenye mechi ya singida fountain gate kwenye mapinduzi cup Ile faulo yake moja Kwa moja ndani Na kabla ya faulo alivyomtoka Yule beki daaaahh huyu onana anajua bhana🔥🙌
Alfu kuhusu hii mechi hata Ayoub pia anatakiwa kupongezwa haswa maana atoa double save Na ameokoa mipira nyingi Sana kabla onana hajafunga
Nipo
@@InnocentKisugehaswaaaa
Kwa kweli hata mimi nilikuwa miongoni mwa waliomkatia tamaa Onana.
Lakini mtaalam Benchikha kambadilisha Sana,hadi leo hii anatupatia tulicho kitarajia.
Mungu azidi kukuimarisha kwani mpira ndiyo unahatima ya maisha yako
SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤ simba
Asante Mungu👏I love ssc💪
😅 mhh kweli usimkatie mtu tamaa simba inazidi kuwa bora kilakukicha mungu ibari simba mungu ibariki Tanzania.🎉
Hiyo ndo simbaaaaa mnyama mwingi 👆👆👆
Mwaaah sana simba yetuuu
Congratulations Simba
Simba guvu moja
Kocha mpyaa, Simba mpyaaa🔥🔥🔥🔥
MPENJA ndo mtangazi hodari wa mechi hizi nyie Bado sana
AL HAMDU LILLAH KATHIRA MUBAARAKA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
I am Ivorian 🇨🇮 and happy to see that the Tanzanians are taking care of their pitch. We must ban shameful pitch everywhere on the African continent. That the country which is not capable of offering pitches for both stadiums and training grounds be withdrawn from all African competitions. Congratulations to the Tanzanians for this lawn and continue to aim for high standards for your lawns.
Thank you
Thank you man of asec memosas
Kila mechi ambayo saidoo hatocheza simba itashinda saidoo ni mzigo mkubwa sana kwa sasa
Saidoo hana akili,nafasi yake awe anacheza chama
Simba nguvu moja
Simba ni simba
Akika mwenda amekua mature
Ayub lakred alituokoa sana tungepgwa tano
Sikupingi bro yaani mm naona man of the match Ni Ayoub Lakred alfu anafuatia Na willy Onana sombasomba
Simba Nguvu moya❤❤
Simba hatar
Tumejuana kiongozi. S S C
Nguvu Moja
Kipa tumepata kwa sasa tuombe mungu sasa tusonge mbele
mungu ibariki chama langu tufike mbali saidi 🎉🎉❤❤
Mimi hapa naitazama nafuta mchungu
Maandaliz ya Simba
Simb nguvu moja
Hongerani sana simba nguvu moja daima.
Naitwa ifrahim 16:25
Safi Simba yetu
Natal goli na Aliahali na leo
Naipenda sana timu yangu❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Yana Hadi raha
Kipa ni hatariiiiiii sana simba tukabidhiwe tanesco
In fact bigup Simba SC you did it.
Ahsante sana Mungu
I love you simba yangu
Ahsanteee Mungu kwa matokeo
NAIPENDA SIMBAAAAAAAAAAAAAAAA
onana the King CR7
Alhmdhulillah
Hakika huyu n muongoza njia wa soka la Tanzania
❤❤❤❤❤❤❤❤
iindio simba ninayo ijua mimi
❤❤❤❤
Onana anamamno ya kitoto sana akiwa seriously anaweza
Ila kweli bro akiwa seriaz anakuwa Wa moto
❤❤❤❤
Ww kumbe shabiki wa simba kutokea Dr cong
❤❤❤simba
Daa ile pasi ya Mzamiru nihatar sanaaaa!
Kaka mm mwenyewe mzamiru Ila assist alioitoa kanikosha hatari
Very good onana
Simba tushagaa jipata sema basi tyuuuuu , Sasa Leo Mtani mtajijua wenyew mfunge au mfungeee mtajua wenyewe 😂😂😂😂
😂😂😂😂 daah aki wew 🙌🙌😘😘
simba mmejua kunifuraisha
Watangazaji wetu majigambo mengi kama waimbaji ngonjera😅😅😅😅😅
kibu kibu denga kibu dii mungu akubariki sana akujalie mema saidi 🙏🙏🙏🙏🙏
❤
Simba unyam mwingiiiii
ONANA man of the MATCH💥💥💥
Hata Ayoub Lakred pia alikuwa man of the match maana bila yeye tungekuwa tunaongea matokeo mengine kabisaa
Watu tunaona goli tu ila mpishi wa goli Ayubu Lakred atumuoni na kumpa sifa anayostahili, goli la pili ni juhudi za Ayubu Lakred
This is simba
Huyu ndio simba mnyamaaa ❤❤❤ from Tanzania 🇹🇿🇹🇿
Big up sanaaa
Nyie uyu mtangazaji anakelele ila akitangaza huwa tunashinda ya. Tuna bahat naye
Nipo najikumbusha hapa
Tar 21.03.2024 nacheki
kocha mpy❤❤
Sasa Simba juu
❤❤❤❤❤❤❤❤
Sasa Simba inanikosha kweli
nakoupenda willy onana
Simba team yangu pendwa
xeaf xean ❤️❤️
🦁🦁🦁
Mashabik Leo hamjaitendea haki heshima yetu yakujaza uwanja
Hahaha wewe babuuu ni hatareeeee❤❤❤❤😂
Sema kibu niatari 🎉🎉🎉😮
Kuna CR7 Afu Kuna huyu ON7😂😂
Niko hapa 14/3/2024
Mtangazaji anapunguza ladha ya vibe la mashabiki... Anasikika yeye tu
One team one dream,Unyama mwingi,we ride 2gether we die 2gether
❤❤❤🦁💪1🔥🔥
Asante mnyama
Nazifatilia xan
Wengi walianza kumkebehi na weye ukiwemo
🔥🦁❤
Wow! As so well for my team" good Challenging
Mbovu kamfunga mbovu mwenzake hapo!...Ovyo tu
Acha wivu utakumaliza
Hongera mnyamaa
Simba mbele kwa mbele mabadiliko mapy wanasimba
Naomba basi muweke na sauti ya mashabiki
🔥🔥