FULL MATCH HIGHLIGHTS | YANGA SC 3-0 MEDEAMA SC | MAGOLI, SAVES, FOULS | CAF CHAMPIONS LEAGUE
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Kwa story zaidi za kimichezo, matukio, vicheko na vilio vya kispoti tufuatilie kupitia Mitandao ya kijamii hii :
►JOIN OUR WhatsApp Group: chat.whatsapp....
►SUBSCRIBE: / @tv3tanzania
►Instagram / tv3tz
►TikTok / tv3tz
►Facebook / tv3tanzania
►Twitter / tv3tanzania
#Tv3Tanzania Katika kisimbuzi cha @startimestz CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish)
RATIBA ZA VIPINDI VYETU
DIMBANI JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 1 KAMILI ASUBUHI
KIJIWE JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 1:30 USIKU
BENCHI LAUFUNDI JUMATATU HADI IJUMAA SAA 12 JIONI
TOBOA JUMATATU KUANZIA SAA TATU KAMILI USIKU
#Tv3Tanzania #GameOn
#Manula #kapombe #Onyango #Sakho #MosesPhiri #Henock #Inonga #Chama #Clatus #TripleC #Bocco #JohnBocco ##Mzamiru #Kanoute #Nyoni #Kyombo #Kibu #KibuDenis #Hussein #Beno #Mkude #Okrah #Diarra #Djuma #Lomalisa #Job #DicksonJob #Bangala #YanickBangala #Aucho #Sureboy #Moloko #Mayele #FistonMayele #ZanzibarFinest #FeisalSalum #Feisal #Kisinda #BakariMwamnyeto #BernardMorrison #Morrison #Clement #AzizKi #Farid #FaridMussa #KibwanaShomari #WilbolMaseke #LusajoMwaikenda #BruceKangwa #EdwardManyama #DanielAmoah #SospeterBajana #KipreJunior #JamesAkaminko #PrinceDube #YahyaZayd #AyoubLyanga #Sopu #Msindo #Sebo #Foba #Muguna #Edinho #Nado #Mbombo #Mkandala
Jee wapo wanayanga wenzangu wanapenda kuiludia kuiangalia hi gemu yanga laha bn 💚💚💚💚💛💛💛💛💚💚💚💚
Tupooooooo.😂😂😂🙏🙏🙏
I love you yanga mwaaaaaaaaaaaaaa💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚
Pacome namkubali sana atuseve sana Wana yanga
Hii ndo yanga, Asante Baba mwenyezi kwa yote aminaaaaaaaaa
Yanga ni kule kule mbele
Mungu bariki yanga 💛💚
Much love wananchii💚💚💚💚💛💛💛💛💛💚💚💚💚💛💛💚💚💚
WANANCHIIIII......TUMPE NINI MUNGU WETU.WOTE TUSEME AHSANTE MUNGU..🙏🙏🙏🙏💚💚💚💛💛💛.
This is yanga 🎉💚💛
Yanga ni tamu Sana" kama uipendi Kanye ulale
Yanga Big Up Mnapambana sana
Kweli yanga funga KAZI, nimekubali watoto wa nyumbani, nashangilia nikiwa Netherlands Amsterdam,👏👏☘️💛💚☘️💛💚☘️💛💚☘️
Nzengeli
🧍🌉⚽🎮 13:03
naipenda Yanga dam 😅😅
I ❤❤ yanga, daima mbele nyuma mwiko
Kam kaw yang haturud nyuma mwiko tunasog mbele
❤❤I love you yang nakupend San wananch oyeeeeeeeeeeeeeeeee😢😮😅😊😊
Kinachonifurahisha kwa Kocha huyu ...saiv hakuna mfungaji ..watafunga wotee yeyotee ata kama beki 😂😂😂😂💓💓💓😂💓😊
Alooooh yangaaa tamu watajuta
Mashabiki wa yanga tunaishi kwa furaha, hatuna stress kwani wachezaji wetu wanafanya kazi nzuri sana 💚💚🇹🇿🇹🇿🥀
Safii. Kabisa. Mwanaichi. Kazi. Iko. Sawa. Kabisa. NAmini mwaichi. Ako. Sawa. Kabisa
Yanga ni team tishio sasa afrika
Mungu awabariki sana wachezaji wote na benchi la ufundi mmjua kutufurahisha💛💛💛💚💚💚💪
Leo juma tano mwezi 21/8/2024 nmerudia kuangalia hii geam yanga bingwa 😂😂😂😂😂😂
Hongereni tv3 kutupa hzi review
Vijana mmefanya yenu vizuri namakocha pia na voongozi pia aksanteni Sana.
Ama akika mungu nimwema natumai mungu atajalia msim ujao Asante Wana yanga wenzangu na mungu awa bariki❤🎉
Penda yanga💚💚💚💚💚💚💚💚
❤ yanga mwaaaaa
Yanga ni zaidi ya utamu MUNGU anatosha 🙏🙏🙏
Yanga God bless to every step in caf champion
Wananchi mmetuheshimisha sana nimefurahi sana
Daima mbele
Eti ukiona kiremba kina matope eti kanzu ...😂😂😂 Wa bongo duuhhh 🇮🇩🤝
Tuliocheki mwezi wa 8 like hapa 🎉
Duuh! Hongereni wachezaji wetu leo mmetufanya tulale na viatu kama watani zetu jana
Always my role model pacome the professor
Yanga raha bhana 💚💚💚💚💚💛💛💛💛
Kwakweli kama wewe ni mwananchi basi tuseme mungu ibariki yangu siku ya jumamosi ya tarehe 14 mwezi wa 12 mwaka 2024 waweze kupata alama tatu zidi ya rc congo mungu ibariki yanga amiina
Ibelieve yanga
Nimesahau Mayele kwa Yanga hii no comments
Hongera jigjiara
2024 ilove digui dr
MWAKA GAN UNAANGALIA TENA HI ❤ NAMBIE❤
Mimi mwananchi nawakubali sana wachezaji wangu pamoja na viongozi wote wananchiiiiiiiiiiiiiiii!😂😂😂😂
@@KhalfanMohammedi ydjjsbdud
Kila laheli wananchi ❤❤❤ tuwapige tano nyingine haoo utopolo
Pakome nijeshi la mtu. Mmoja i love you pakome ❤❤❤
Goli kipa wa Medeama ni mzuri sana.
asante sana timuyangu kilalangeri ilove mytim ilove my cantri
Yangaaaaaaaa⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽
Naomba like Ata kumi nikiwa ni Mwananchi
Asante yanga
Zitakusaidia nn
Unapata like yangu kutoka muscat oman yanga daima🇰🇼🇹🇿🇰🇼🇹🇿🇰🇼🇹🇿🙏
Skills za skuduh makudubela
S
Napenda yanga
Wana nchiiiiii naipenda saaana yanga
Professor pacome 🎉👍🏽
❤❤❤ yap ndani ya pakome zuzwa five G
wallah mungu wetu ni mwema sana kwetu turndelee kumuomba azidishe mafanikio mazuri zaidi kwetu yong tamu sana
Wowooooooo ilove yanga❤❤❤❤🎉🎉🎉☆☆☆☆☆☆▪︎☆
Wakwanza like zangu
yanga tamu
❤❤❤❤❤❤ nakupenda yang
Ongeleni sana yanga
Asanteeee
Hongera sana
2025 ❤ yanga Tamu
yanga oyee
Yanga ili kuwa tamu
Good mech
Diara na pacome waongezwe mshaara tabuleeeeeeh raaaaaaaaaaaaaaah daima mbele nyuma mwiko
nipo hapa 6/23/2024 kizaki cha mwaka 2090 mkumbuke nilishuhudia hii mechi 🥰🥰
God bless yanga africans
Huyu Sowah kama Yanga wana mpango wa kumleta jangwani waachane nae anamind sana
Ni mchezaji mzuriii
yanga afrika oyee bilashaka nisunami yenyekishindo kikubwa asannte timuyangu loovee❤❤❤
💛💛💛💚💚...asante Mungu
Jaman Pacome tumkome😮😮😮
Tuwekee highlight ya yanga vs belouizdad
great job
Hao ndo wana nch ukitka jobu razima uwe na nondo ukuta wa yanga huo🎉🎉🎉🎉
Naipenda yanga mpaka naumwa
Your confusing me with your comments 👎👎
Tunaotazama Leo tarehe 8,12,2024 baada kula vichapo mfululuzo tujuane ,Mungu ajalie yanga yetu vuke kwenye huu wakati mgum
Big up young african
❤❤❤❤🎉 love you yangaaaa
Hii yanga
Leo j/tatu mwezi 9/9/2024 nimerudia kuangalia 6:02
Washabiki wa simba naombeni likes 5 tu 😂😂😂😂
Yanga yangu
Yanga hii,mbona raaahaaa!
Sawa Mtan🎉
Thanks Jesus❤
Jamn yangaaa ibadirixhe jina iitwe bacelona ya tz
No bad tutaludia mana jamaa tuliwashenyenda kweli😂😂
🎉🎉😂😂😂 PACOME
Hongeren
yang niatar wew
Ashamed Ali aache shombo kwa hili ball la gamod😢🎉
Yanga timu yangu lakin kazi bado mechi zilizo baki ngumu Sana ila timu nzima izidishe juhudi tunaweza tukatoboa
Asante mungu
Mmetufulahisha sana wana nnchi
Yanga lidude likubwa mno
Chama la taifa
Niatar
Kaenda na kijiji
Yan🎉🎉🎉🎉
Hii gemu jezii zimewaponza hawana jipya
Jitahidini kuweka picha zenye Quality nzuri
hiyo ni shida saaaaaaaana kwa kweli;really poor quality
Quality is upon you setting it mate.
Hapo mchezaji ni Derrick Fodjour tyu ni winger mzuri mno na ana nidhamu