Hiri ni fundisho kwa uongozi wa simba mnajifanya sana na kuwa na imani na makocha wa inje sasa leo mmeona hata yule robatinho pia mmemwonea alikuwa anashilikiana vizuri na mgunda sasa mpeni mzawa acheni ukilitimba na makocha wageni
😂😂😂awamkatai ila ikija kimataifa press conference English ndo shida sema wamlete mwingine wakue wa3 na matola mgen atakua anawasaidia Kwa enterview za kimataifa wazawa wanashughulika na wachezaji
@@brianbatoleki6531 🤣🤣we ndo stupid kiongozi wetu utajuaje mtu Ako na iki uku we hauna Kuna enterview ntaitafuta ntakutag aliyobugi kipnd Ako ckumbuki ni Malawi ama Angola ya yey na English ndo uje uccomment hapa
Bado simba wameonesha udhaifu hasa kwenye safu yaulinzi na middle bado zina nguvu ndogo yakuongeza mashambulizi. Ushindi wao leo umechangiwa na washambuliaji wa pembeni vijana
Uongozi wa simba eb fkilien hta nje ya box jaman mgunda kila akipewa timu huwa anaiongoza vzur eb mwaminin mpeni tim sisi mashabik tunafurah na tunapenda sana mwendelezo wake
sizani, sbb kumbuk hua anapewaga timu pale ambapo timu haina cha kupiganiana, bimaana timu inakua haina presha kivile, chunguza makocha wengi wakipewa timu mwishoni mwa msimu hua wanafanyaga vizuri, ila wakiaminiwa na kupewa timu hata msimu hawamalizagi kwa kushindwa, hapo wakimpa timu mazima inaweza ikawa kinyume, ila wamjaribu waone
Kabisa Simba ni kubwa na Mgunda pia ni mkubwa akabiziwe timu ninachokifahamu kila mchezaji aliesajiliwa Simba anapaswa kutumika muda na wakati wowote asante Mgunda kwa kuwaamini vijana utafika mbali.
Alie mkubali ayoub lakred naomba like
Tunaye na tunatamba naye❤❤❤❤❤❤❤
Kama wewe ni mwana simba na umependa simba ya mgunda gonga like tafadhali ❤❤❤❤
Ila ayubu lakred ni kipa ❤
nataka like za mgunda tu kama 💯
Ayub noma sanaaa ♥️♥️♥️♥️
Mzamiru anaonekana sana kwa mgunda
Simba mmenifulaisha sana na Asante kwa kuwatuliza wambea Leo Simba nguvu moja
Im young african fans but i believe that lakred is a good keeper well done my fevourit . Keeper lukcred
Ayoub lakred ni bonge la kipa
Kiukweli wamuachie hii team MGUNDA waache ungese kabisa yaani
Mgunda apewe timu... weka like yako
Mgunda apewe mauwa yake
simba nguvu moja mungu ibariki chama langu tufike mbali saidi ❤❤❤❤
Hiri ni fundisho kwa uongozi wa simba mnajifanya sana na kuwa na imani na makocha wa inje sasa leo mmeona hata yule robatinho pia mmemwonea alikuwa anashilikiana vizuri na mgunda sasa mpeni mzawa acheni ukilitimba na makocha wageni
Kiukweli wamuachie hii team MGUNDA waache ungese kabisa yaani
Jamaniiiii,, Simba dawa yake ni mgundaaaaa,, tu, mmeona Leo, alivyo rejesha furahaaa za wanasimbaaaa
Umeongea kiume kwa kweli
Unafik tu,,Mlikuwa mnasema Mgunda hawezi michezo ya caf,sasa apewe team,binaadam poh
Viongoz sio kwamba hawajui kua wazawa wanawwza ispokua kinachowasumbua ganji...
Wakimchukua mzawa ganji hakuna coz msharaka wenyewe ni milion2 sasa hapo ganji itakua shingap?
Lkn wakimchukua mgeni unaskia anakula dollar eld16 =karibia 40milion so ganji inatoka vzr icho ndicho kinacho waponza viongoz
Pasi ya masafa marefu iliyopita angan bila visa wala kibali 😂❤❤
Hii ndiyo Simba yetu mgunda Fanya kazi yako
Hongera kocha mugunda Kwa kutuheshimisha ubalikiwe sana
Ukija bila gad tunagawa wastan kwa idadi 👏 well done makamanda 👊🔥 Simba 4 life ❤️❤️
Mgunda noma Ameamua kutuonesha kuwa simba kunawachezaji wazul❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Simba Leo mmetupa furaha sana
Boli limetembea hongera our head coach Juma mgunda
Mgunda ndo kocha wang kbs
Nakukubali mwanangu Mgunda ndo kocha wangu pia
@@AthumaniSekiete-v7gjuu ya ushindi mnono safu ya ulinzi inahitaji kuimarishwa sana
Pomoja naw!!!
Asante Simba, Azama kalambwa
Sh4 shits on target with three goals❤❤❤ hii ndo tunataka sasa sio shots on target kumi goli sifuri😂😂😂
Just won on 4RA today, bro. Feels great!
Yani meshangilia mpk sauti imekauka
hapa kwa mgunda viongozi wa simba wajifunze
Naipenda simba yang❤❤❤❤❤❤
Leo nimefrah had nimelia kwa furah
Raha sana kwa wekundu wa msimbazi Simbaa 🎉🎉🎉
😂😂😂fei kiatu cha dhahabu ama ofa ya makolo imekuvuruga mbn sielewi mzenj mwenzangu
Nawakubar Sana chama langu simba
Duchu ameshangilia kwa uchungu
Simba ya mgunda niatali sana huyu nikocha wapekee apa Tanzania
Kiukweli wamuachie hii team MGUNDA waache ungese kabisa yaani
Bro, 4RA is so cool! My brother told me about it.
Mgundaaaah❤❤
Yeah, my friend tried it and had a blast. But you know how it is, everyone's experience is different
Ayoub Lakred Huyu Ni Bonge La Kipa
jamaa yuko vzr manura akapunzim
Naipenda Simba
Hongera Simbaa na mgundaa
Goli lilinifurahsh n la duchu yan so mwah❤❤❤❤
4ra with Finch onboard means serious class his acting and sports achievements light up the place
I'm skeptical though. I've heard mixed reviews. Some say it's great, others not so much
Duchu kashangilia kwa hisia sana goli lake...
Ayuob yuko vzr san kwa upande wang
🎉Hongereni sana mashabiki wa SsC mmejitahidi kuitetea Simba yetu Nguvu moJa!!Kelele za Chura zimemfanya mamba atoke Ndani ya maji and
Aaron Finch at 4ra events adds a spark of reliability and quality, always a crowd-puller
simba ni lidude likubwaaaaa sana
Kiukweli wamuachie hii team MGUNDA waache ungese kabisa yaani
@@mkanyafamily ngoja tuone ila mgunda kimataifa mmmh wamtafutie wachezaji
labda mniuwe smba sih🦁🦁🦁❤️❤️ami
@@GoodluckProtasi nguvu moja
I feel you! It's easy to get carried away. Just set a budget and stick to it, right
Waooo wanasimba wezangu furaha yetu mashibiki nawechezaji imelejea
Huyu Fred mzuri ila wanamkwamisha ni kibu na saidoo
Simba nguvu moja 🎉
Kiukweli wamuachie hii team MGUNDA waache ungese kabisa yaani
Mgunda ana haki ya kukabidhiwa timu tuwe wazarendo bhn
#PEP GADIOLA MNENE Anauwezo mkubwa sana❤
Yeah, 4RAB is the best for betting. I love it.
Good
Azam kaliwa kibogaaa😢
Daah Duchu jmn ameshangilia Kwa furaha mno
We acha tyu ndo goli lake la kwanza simba
Daah mno Yani mpk raha
Amazing
Nguvu moja,🦁🦁🦁😍😍😍
Aaron Finch with 4rabet makes every event feel more prestigious his track record speaks for itself
Kassian Mgunda nakupa bigap sana uko sawa
Huyu muamuzi kajitahidi kuibania Sina lakini bahati imemkataa sadio kafanyiwa madhambi kakausha penalty imehama muelekeo yaani kafeli leo
Kabisaa Kuna faulo Azam wamecheza anajitia fair play arajiga kawabeba Azam hawabebeki
Leo nimeamini wazawa wanauchungu na timu zao mgunda ipo siku nitakuletea zawadi nikirudi tz
Watuachie MGUNDA wetu aiseeeeeeee
😂😂😂awamkatai ila ikija kimataifa press conference English ndo shida sema wamlete mwingine wakue wa3 na matola mgen atakua anawasaidia Kwa enterview za kimataifa wazawa wanashughulika na wachezaji
Kingereza cha nn makocha wote Wana 2mia lugha ya nchi hiy
@@malietamalietwe ni mjinga kabisa, alivyoenda Malawi na angola ulimsaidia wewe kuongea kingereza, we ni stűpid kabisa
@@brianbatoleki6531 🤣🤣we ndo stupid kiongozi wetu utajuaje mtu Ako na iki uku we hauna Kuna enterview ntaitafuta ntakutag aliyobugi kipnd Ako ckumbuki ni Malawi ama Angola ya yey na English ndo uje uccomment hapa
❤
Ayub❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mgunda at the wheel
I'm more into the casino games they offer. The slots are pretty addictive
4ra events get a boost with Finch as the ambassador he guarantees a great atmosphere every time
Simba Tim kubwa
Jmni mugunda apewe timu hata mwaka mmoja tyu...na acpangiwe wchezaji na kama niuxajili yeye ndo hauxike
nampenda ayubu
Ayoub njoo unioe bureeee
😂weh like seriously
My brother's been raving about it! He says it's the place to be for sports betting
Mgunda Avue Kinyago Ukute Ni Don Carlo 😂😂
😁😁lkn kwek
Yani hii penalties hata Mungu kaona si makusudi ya malone akaamua wakose penati❤❤
Wakati mwingine muwe mnaweka highlights zenye sauti ya peter.
Simba tusajili wachezaji wanaoipenda timu na siyo wanaopenda pesa
Bado simba wameonesha udhaifu hasa kwenye safu yaulinzi na middle bado zina nguvu ndogo yakuongeza mashambulizi. Ushindi wao leo umechangiwa na washambuliaji wa pembeni vijana
Wew ndo huna nguvu hebu tuache weye
Imewafikia watani iyoooo ila inawauma sana kama vile ni waooo poleniiiiiiiiii sana
Timu ya mgunda 😂😂😂😂😂oyeeee
Naipenda simba Me namkubal show me the way xanaaaaaaa asisit zake zinafaida xanaaaas
Asante
Kama wataamua kuacha wachezaji basi simba wasimuache AYOUB LAKRED
💪moja
❤❤❤❤❤😅😅😅
Hii kali sana
Ubaya ubwela 😂😂😂😂😂😂
Mgundaaas🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Uongozi wa simba eb fkilien hta nje ya box jaman mgunda kila akipewa timu huwa anaiongoza vzur eb mwaminin mpeni tim sisi mashabik tunafurah na tunapenda sana mwendelezo wake
sizani, sbb kumbuk hua anapewaga timu pale ambapo timu haina cha kupiganiana, bimaana timu inakua haina presha kivile, chunguza makocha wengi wakipewa timu mwishoni mwa msimu hua wanafanyaga vizuri, ila wakiaminiwa na kupewa timu hata msimu hawamalizagi kwa kushindwa, hapo wakimpa timu mazima inaweza ikawa kinyume, ila wamjaribu waone
Kabisa Simba ni kubwa na Mgunda pia ni mkubwa akabiziwe timu ninachokifahamu kila mchezaji aliesajiliwa Simba anapaswa kutumika muda na wakati wowote asante Mgunda kwa kuwaamini vijana utafika mbali.
Me nahis ni wakat wa Simba kuwaamini makocha wazawa ...tuondokane na ulimbukeni wa ukoloni Hadi wa kifikra Mgunda apewe Simba yake jamni...
Mgunda noma mpeni tim 2:37
Pongez kwa mgunda simba nguvu 1
Simbaaaa wanaanzaaa kuludii kwenye nafasi yao.. pigaaa masaiii Hao..😀😁
mi namngoja mzee said2 hapa kwa arajiga
Wacha mbea❤
Ayubu Lakred ni bonge la Goalkeeper
Kibendera angekuwa alajiga ingekuwa ngoma kati no comment
ccm wanaumia ila simba raha sana
tunajuw ccm wanaumia nawapasuke azam anamimba yamw 4
@@mariamomari-cl6jc 😂😂🙌🦁
Aloooooo😮😮🎉🎉
Goli la azam halikuw offside
3 moja
Fanya 1-3 sio shida
3-1 au basi
Nenda kaliandike wewe