MCHOME MAPOVU APANGA KIKOSI CHA YANGA CHA MAANGAMIZI | CHAMA,PACOME NA AZIZ KI WOTE NDANI|MOTO BALAA
Вставка
- Опубліковано 9 лип 2024
- #livestreaming #jobe #jezimpya #mayele #hafiz #manara #pyramid #buza #dabi #derby #mamelodi #luismiquissone #yanga #mkude #leo #simba #mwananchi #jezimpya #mandonga #simbasc #skudu #lilepo #Yangasc #ngoma #mayele #simbaday #derby #barnaba #wasafibet #Mletemzungu #azamfc #chama #no6 #mtibwasugar #namungo #dabi #derby #job #dickson #kibabage #kariakoo #kiama #namungo #wydadathleticclub #riversunited #medeama #mkapastadium #mkapa #azamfc #tff #alahly #benjaminmkapa #marumogallant #inonga #onana #musonda #mahop #simbaday #okrah #yangaday #gamondi #mkwakwani #tanga #skudu #almerrikh #kramo #ihefu #afl #mbwaduke #sankara #msuva #karabaka #diamondplatnumz #mwijaku #moloko #dullamakabila #taifastars stars #crbelouizdad
The Official UA-cam Channel Account J&R Mtita From Tanzania Regrister by Tanzania Communications Regulation Authority (TCRA)
Booking : jrmtitatv@gmail.com
Contact : +255 747 384 250 - Спорт
ww mchome nakukubali sn kaka mungu akulinde sn
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 unatisha sana mchome
Mchome nakupa Maua Yako.
Ukiona mpangaji TIMU anaanza na washambuliaji jua Huyo anaona Mbali.
Yan wee unajua sana kkaa si uje. tuu yangaa
Yote tisa kumi ligi kuu itaongea yanga au simba nani kasajili vizuri lakini heris hakosei
Kaka mapovu, to me nashindwa hata kukutabili, najuwa kuwa ww nimwasimba, lkn ukweli nikwaa, unafaa kuwa mchambuzi, hongera sana, huna usimba nauyanga, ila mpira unaujuwa hasa
Ww jamaa mchesh sana japo wanamsimbaxi hawakuamin kabisa kama ni mwenzao
Kaka upo vizuri sana muda woote unaongea ukweli
Nakubaliiiiiii mchome ww waaaabie ukweli maaana hamna namna 😂😂😂😂😂😂😂
Kikosi cha simba hakipangiki,,
Mzee upo sawa
😅😮😊😊😊😊😊😊😊😊
MCHOME HUNA BAYA KAKA WEWE NI MKWELI SANA NA NI MTU WA BOLI KWELI KWELI
Usijhe ukajuta kwa maneno Yako Simba msimu ujao itafanya vizuri na ubingwa mwakani unaenda msimbazi
Endelea kuota ubingwa unadhani ni mihogo ya kununua kwa jero eeh😂
Akanye uko uyo mnafki akapange na kikosi cha family yake
😮😮😮😮
Ngoja inyeshe tutajua panapo vuja
Acheni kujifaliji simba hamuna timu wale marasita mani wenu nima papaye tu
Wewe zungumza vyovyote vile na uwafurahishe hao rafiki zako ila nakupa ukweli kwamba mfumo ule wa mwaka Jana wa slow motion ndio mwisho na hapo ndipo utakapo just kuwa wewe ni boya lisilo okoa
utazoea tu
Bw. Mchome wasaidie washabiki wa tz, kuongea mpira. Si vema mwanaume kuitwa chawa. Hivi mwanao akikuuliza kuwa '' Baba kwa nini unaitwa Chawa? Utajibuje????
Acheni. Ujinga. Mle. Hamuna. Kocha. Ikifika. Xmas. Hajafukuzwa. Nipo. Pale. Kocha. Msaidizi. Kuwa. Kocha. Mkuu. Wapi
Kaka mapovu, to me nashindwa hata kukutabili, najuwa kuwa ww nimwasimba, lkn ukweli nikwaa, unafaa kuwa mchambuzi, hongera sana, huna usimba nauyanga, ila mpira unaujuwa hasa