MKE MWENZANGU ANATAKA KUNIROGA |NILIFUMANIWA NILIPIGWA SANA |NYWELE ZANGU SEHEMU ZA SIRI..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лип 2022

КОМЕНТАРІ • 147

  • @user-sq7pz9ex5g
    @user-sq7pz9ex5g 2 роки тому +3

    😂😁🙆 Leo fabi kapatikana 😁😂,tanga tuko vizuri bhanaa 😂

  • @hamedahameed148
    @hamedahameed148 2 роки тому +4

    Aiseee asilimia kubwa ya Sisi Wana wake tumekosa haya subhanallah

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 Місяць тому

      Tumekosa khaya vibaya mno na ndo maan mitihan mikubwa inatupat duuh et ywele za chin mungu wangu fabii kacheka tuy

  • @aishambise6529
    @aishambise6529 2 роки тому +2

    Fabi ogera unauliza maswali ipasavyo boy tunakufatilia sn uku 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙋🏼🔥

  • @maloomaalmnsj5111
    @maloomaalmnsj5111 2 роки тому +4

    Nasoma comment kwanza

  • @user-fq1gg8rj9i
    @user-fq1gg8rj9i Місяць тому

    Mmmh C kwa umalaya huo ,,,muogope Mungu ndg yangu,😂😅

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 Місяць тому

    Kwa mwili huu ana miaka 22 duuh mtihan

  • @kisalaTV
    @kisalaTV 2 роки тому +2

    Hapa leo tumepigwa na kitu kizito kichwani. Naona tunadangiwa kwa kodi 😅😅😅😘

  • @saleemadhiyabalkhatri7800
    @saleemadhiyabalkhatri7800 2 роки тому

    Kwauzuri unaowakawaida hujaona wazuri kunawazuri bidada mashaallah mungu anaumba kunawazuri hushibi kumtazama kwakweli hapo bidada ukisimama body kama 🎈 balloon afadhali uwe mrefu ukiwa mfupi yooooo nibalaa

  • @faidavictoria
    @faidavictoria 2 роки тому +3

    Mbona huyu Dada anaonekana ni mtu mzima ? 🙈🙉
    Eti ana miyaka 22 ???????

  • @theresaelizabethelijah117
    @theresaelizabethelijah117 2 роки тому +6

    Sio kwa ubaya lakini huyu dada mbona ana asili ya umalaya yani unatumika ovyo kwaajili ya pesa? Huko nikudanga Ungeutunza mwili wako hadi upate mwanaume serious lakini unapiga Umalaya kwa kutumia urembo wako utakuja kuuliwa kuwa makini dunia ni tambara bovu ni heri ubaki Single ukijiheshimu pia utaheshimiwa

    • @mariamgodfrey53
      @mariamgodfrey53 2 роки тому

      Tena malaya haswa

    • @zakiaabdula4709
      @zakiaabdula4709 2 роки тому +1

      Hanaakili hata 1 nanimwepesi mnoo kumkubali mtu

    • @leylahleylah4599
      @leylahleylah4599 2 роки тому

      kabisa

    • @saleemadhiyabalkhatri7800
      @saleemadhiyabalkhatri7800 2 роки тому

      @@mariamgodfrey53 huyu sasa hivi anajiona bado lakini subiri umri usogee atajuta hapo hakuna wakumkohoa jina lisha julikana kila sehemu kuolewa shida hapo ndio atapojuta uzuri sihoja duniani kilamtu mzuri hakuna mbaya huyu analiwa kwa sifa akiambiwa mzuri ndio anapoigawa lakini hajui kama nikosa kujirahisisha kila leo wanazaliwa wazuri halafu mwanamke huwa hajisifu subiri usifiwe ukitaka kuwa mzuri kuwa natural hapo rangi sio yako mkorogo nywele za maiti kope zamfu kucha za zimwi hapo utajiita mzuri maskini anamuamini mwanaume maramoja jamvi la wageni mama huruma baba karibu ndani

    • @zawadimouamed2997
      @zawadimouamed2997 2 роки тому

      Kabisaaa

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 14 днів тому

    Maskini mama ake aliifurahia alivoibeba hii mimba maskini mtoto mwenyewe ndo huyu

  • @hanihaadamuhanifaadamu4125
    @hanihaadamuhanifaadamu4125 2 роки тому +3

    Mbona kama hajielewi

  • @aishashaibu4772
    @aishashaibu4772 2 роки тому +1

    Wanasemaga mapenzi yalikozawa lkn bado unadanga nahata hujlikani km upo kwenye mahusiono kwanini namapenzi mwayajua au nisifa tu

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 2 роки тому +5

    MIAKA ISHIRINI NA 2 SASA MTANGAZAJI ATAKUWA NA NGAPI? WAFRICA KUDANGANYA MIAKA TUMEZIDI ISIPO KUWA SI WOTE MIMI HUYO KWA PROFILE NAELEKEA 40.

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx 2 роки тому +1

      Yaani waafrika hatukui kabisa mwisho mtu utaskia miaka 27 bs hakuongezeki

    • @user-le9lb8oc8d
      @user-le9lb8oc8d 2 роки тому

      Yaan hii tabia ya uongoo sijui wameitoa wapi 😂 wana boo sana aki eti miaka 22 nyooo watu hawataki ukubwa eboo 😂🤣🤣🤣🤣🤣

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 роки тому

      @@malak-lz6kx hawataki kukua 😂😂😂😂😂

    • @pilimusa3217
      @pilimusa3217 2 роки тому

      @@malak-lz6kx marekani watu wengi hawakutajii umri wao

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx 2 роки тому

      @@pilimusa3217 labda waswahili wezetu hao lkn wazungu waarabu sifa ya kuficha umri hawana ndio maana hta wasanii wakizungu umri wao upo mitandaoni lkn wakwetu heee uwongo mpk kwenye mitandao umri wao

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 2 роки тому +1

    Jamani hakuna anaye mjua atoe comment tujue ukweli maana🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🙌.

  • @reynaaalrawahi4137
    @reynaaalrawahi4137 2 роки тому +1

    Mtu umejuana nae siku 2 amwambie anakupenda sana🤣🤣🤣

  • @JazilaKhatibu
    @JazilaKhatibu Місяць тому

    Ahha hapo kwenye umri anadanganya muongo sana

  • @latifalatifa2838
    @latifalatifa2838 2 роки тому +2

    Napenda unapoongea unamtizama mtu usoni na hayo macho yako yananimaliza mm sio danga nipo omani natafuta bac tu nimekupenda

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 2 роки тому

    Japo na unene ulo nao lkn kwa 22 age hatudanganyikiii💃💃💃yn Leo fabi umetuletea mdangaji alieshindikana 🤣🤣na siimalizii kusikiliza upuuzi huu 🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️

  • @irenembura5684
    @irenembura5684 2 роки тому +7

    Miaka 22🤭🤭🤭uongo mwingine ungejaribu kuweka karibu na kweli!

    • @maggiekaaya8403
      @maggiekaaya8403 2 роки тому +2

      😂😂😂😂 nikama anamtega fabi 😝😝

    • @shamimahsaleem8395
      @shamimahsaleem8395 2 роки тому

      😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄🙃😃🙃🙃🙃🙃😃😃😄😄😄😄

    • @hamedahameed148
      @hamedahameed148 2 роки тому

      Yaani watu wanapenda kudanganya miaka kheeeee

    • @hamedahameed148
      @hamedahameed148 2 роки тому

      Yaani kwa muonekano amegonga 30 na usheee

    • @hamedahameed148
      @hamedahameed148 2 роки тому

      Et Dubai 🙌🤣🤣🤣🤣🤣

  • @hanihaadamuhanifaadamu4125
    @hanihaadamuhanifaadamu4125 2 роки тому +2

    Mmmh

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 14 днів тому

    Ila watangazaji wana moyo

  • @khadijaali4657
    @khadijaali4657 2 роки тому +3

    Aaah mm hapo kwa miaka sio kweli kabisa lina miaka 37/38 alafu chengine ni malaya sana huyu mtu eti niite binti binti gani ww una miaka mingi tena wadanganya watu na waliwa na kila mtu jamani Fabi nae leo mdomo umebaki wazi Hahahaa

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx 2 роки тому +2

      Yy mwenyewe uyo fabi anachek

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 роки тому +1

      etiiii miaka 22 duh hata aibu hana

    • @ameenaameena1224
      @ameenaameena1224 2 роки тому +1

      Hapo alipo hata umvi anazo usishangae angesema hata 25 watu wengine jamani duuu😂😂😂😂😂😂

    • @hamedmaskari518
      @hamedmaskari518 Рік тому

      @@ameenaameena1224 usimkongeshe mimi nadhani umri wake ni 15 amekosea amejizidishia miaka

    • @janechaula2870
      @janechaula2870 6 місяців тому

      😁😁😁

  • @mamawawili4069
    @mamawawili4069 2 роки тому +1

    Ndo maan nimesema huy malaya maan kuolew atak et bad mdog 🤣🤣🤣izo ni tamaa na umalaya 2

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 2 роки тому +1

    😂🤣🤣🤣😂😂nimecheka acha tu 😅

  • @hamedmaskari518
    @hamedmaskari518 Рік тому

    Ebu nyinyi Maxmum tafuteni kazi nyengine iyo kazi haiwafai ni uwongo mtupu

  • @abukarosman2565
    @abukarosman2565 2 роки тому

    Hivi kunamwanaume anaetaka kuowa mwanamke mwenye miaka 4o 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @barakatabdul3212
    @barakatabdul3212 2 роки тому

    Huyu Dada ni Mdangajii" Kisha ni Tamaa tu! Ww utakaa vipi na Mume wa mtu hata hujafkiria Akuoe' huyu Dada akili ziro" hafai hata kua mke kwa Nyumba.

  • @user-le9lb8oc8d
    @user-le9lb8oc8d 2 роки тому

    Uongooo umekisiri sana hii Tz yetu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @munakhamis982
    @munakhamis982 2 роки тому +1

    Yaan mnapend kutudanganyia umri kwa muonekano ustahil kuwa na miak22 bora ungetudanganya kwa miak30 tungetulia lkn hapo tushushe apo nakupunguzia umr unamiaka40

  • @mariamgodfrey53
    @mariamgodfrey53 2 роки тому +3

    Fabi leo umepatikana umekutana na kurumbembe aliyeshindikana ona anavyokurembulia

  • @rosenamilia4140
    @rosenamilia4140 2 роки тому

    Huyu bimama MWONGO wa jioni,kwan alikolala sie tuliamkia huko.Eti bwana kafungulia maduka kama 4 hivi.Uongo wako mwanzo hadi mwisho.Huna kumbukumbu hata ya maisha yako,CHEFUUUUU🤔🙄🙄!!!!.

  • @reynaaalrawahi4137
    @reynaaalrawahi4137 2 роки тому +1

    Kaa chini muulize mama yako vizury akwambie baba yako yuko wapi siri anayo mama yako mzazi

  • @aishaiddy8897
    @aishaiddy8897 2 роки тому +3

    Mbona km jitu Zima hivi

  • @cristinasofla5090
    @cristinasofla5090 2 роки тому

    Miaka 22🤩😀😀😃😃

  • @abuswabirmohammed8396
    @abuswabirmohammed8396 Рік тому

    Hutakii kuolewa wataka kuzini ww muogope Mungu

  • @hamedmaskari518
    @hamedmaskari518 Рік тому

    Mhh haya

  • @Mina.15
    @Mina.15 Місяць тому

    Mawanja kama nguo za Nike

  • @nasiraidid5861
    @nasiraidid5861 2 роки тому +1

    Vitu adimu 😂😂😂😂😂😂.... Kwa mpalange 😉

  • @gideonmwaweza8177
    @gideonmwaweza8177 11 місяців тому

    Tabia ndio inayofanya baba yako aseme wewe sio mtoto wake uzizi sio ishu

  • @latifalatifa2838
    @latifalatifa2838 2 роки тому

    Fabi mm nakupenda nipo oman nikubalie tafazali

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 2 роки тому +1

    Wewe ni malaya tu! Huwezi kusema unajuwa mapenzi kupenda, wiki 3 tu unaachana na mwanaume unakuwa na mwanaume mwengine? Tena unasema na huyo pia umempenda? Mpuuzi wewe! Subiri hiyo miaka 40 ukiwa hai uolewe au ufe bila mume. Na Baba yakoa anakukataa anajuwa ukweli kuwa wewe sio Damu yake. Kwanini hufanyi DNA na Baba yako ujuwe ukweli? Napesa unayo?

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 2 роки тому +1

    Muongooo! Lina Mia 50,mapenzi kwani mna Kuma 5

  • @fatmaahamadabass8080
    @fatmaahamadabass8080 Рік тому

    Bint ni msichana bikra ww mwenye shimo lamdako vipi

  • @rehemalukali8326
    @rehemalukali8326 2 роки тому

    Wigi km asha ngedere acha uongo dada 😂😂😂

  • @WinWilly4162
    @WinWilly4162 Рік тому

    Na lie kweli🤣🤣🤣🤣🤣

  • @andrewhaonga1647
    @andrewhaonga1647 2 роки тому +1

    Fabi unatisha mzee

  • @alhabsi6430
    @alhabsi6430 Рік тому

    Mwite mama

  • @maimunaulotu2075
    @maimunaulotu2075 2 роки тому

    Mbon .kma muongo muongo

  • @mwajumaissa2358
    @mwajumaissa2358 2 роки тому

    Fabian hebu muache huyu dd mie ananitia kisirani tu maan hajielewi

  • @SamsungA-sq9pi
    @SamsungA-sq9pi 2 роки тому +3

    Miaka 22? 🤣🤣🤣 maake kwanza ncheke

  • @hassanedin6487
    @hassanedin6487 2 роки тому +1

    35 ama 38

    • @pilimusa3217
      @pilimusa3217 2 роки тому

      Pengine 22 kweli. Wig limemfanya aonekane mzee

  • @khaulajuma4123
    @khaulajuma4123 2 роки тому +2

    Jina lake analitafuta😂na kila mtu akaa Tanga🤣

  • @mamawawili4069
    @mamawawili4069 2 роки тому

    Nilichogundua hap huy dad kilichomleta uku dubai ni umalaya maan wamejaa uku kujiua kwa wazung mbwa hawa

  • @alhabsi6430
    @alhabsi6430 Рік тому

    Wacha upigwe wala alikua hakupendi alikua anakuchezea

  • @mwajumaissa2358
    @mwajumaissa2358 2 роки тому

    🙄🙄🤭🤭🤭Astaghafirullah Astaghafirullah subhannallah eti kura Bata kweli jamani mbona ameanza kunichefua mie hata haya hana kabisa looooh 🤣🤣🤣we Fabian usimkatishe tamaa mwenzio eti miaka 40 Nani atakuowa 🤣🤣Hebu mwache ajipe moyo atashinda tu

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 2 роки тому

    Hilo wigi sio la mwaka huu, Huyu ni mhuni over

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 2 роки тому +1

    Polee dada wanaume wa tanzania matapeli wa mapenzi waongo

  • @hassinaalharthi5984
    @hassinaalharthi5984 2 роки тому

    Maskini roho yako wanaume wote wa ki danganya hivyo hakupendi chocolate unachezewa tuu hovyoooo mtakufa kwa maradhi uleweni msitirike...

  • @mspwjjjso6261
    @mspwjjjso6261 Рік тому

    Ndio ukome kudanga

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 2 роки тому

    Cjakuzaa Mimi ,,lakini miaka 22 umetupiga na kitu kizito ,Sura na umri ulioutaja haviendani naona kilomita zmeenda mbele sana

  • @mamawawili4069
    @mamawawili4069 2 роки тому

    Yan iy miak na uo umli mmmmh hat mm wa miak 28 sijafikia hap hat kidog

  • @radegundachambi-gx9gg
    @radegundachambi-gx9gg Рік тому

    Wewe dada umeshakuwa mtu mzima hivyo inawezekana anataka kujizima akili kuwa wewe sio mtoto wake ili a akubake jiongezee pambana achana naye

  • @shamsahaji6202
    @shamsahaji6202 Рік тому

    Km kujua kupenda ndo huku watu wa tanga poleni🤣🤣

  • @lissamsalu12345
    @lissamsalu12345 Рік тому

    Mwambie aseme umry wake wa kweli

  • @dearmama4336
    @dearmama4336 Рік тому

    Ana uongo mtakatifu story yebyewe ya uongo hadi uson unaonyesha mfyuuuuuu

  • @user-le9lb8oc8d
    @user-le9lb8oc8d 2 роки тому

    Faby Tunakupenda sana ila unapitia changamoto sana za watu unaowahoji wanakuwa waongoo sana sasa miaka 22 😂 kuitaja tuu mpka anafikiria looh

  • @telesiakaovera4381
    @telesiakaovera4381 Рік тому

    Mwaka sasa 22

  • @ziadaakida2743
    @ziadaakida2743 2 роки тому

    Mmmm,Malaya aliye kubuhu huyo mbona mnakosa vipindi vya kutangaza huyo Malaya wa kimboka

    • @alhabsi6430
      @alhabsi6430 Рік тому

      Hawaku mtu wakumuhoji ila huyu

  • @cdeleo9336
    @cdeleo9336 2 роки тому

    Hilo wig sasa 🤣🤣🤣

  • @rozzymossesshayo6844
    @rozzymossesshayo6844 2 роки тому

    Et mwanamke mzuri kwa kipi ??? 😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @radegundachambi-gx9gg
    @radegundachambi-gx9gg Рік тому

    Wewe dada unaongea kidogo umuongo sana unaunga hadithi

  • @laymashabani832
    @laymashabani832 2 роки тому

    🤣🤣🤣 22 22 22 22 Acha uwongo unaonekana bibi ulochelewa kuzaa. Muwe mnasema miaka yenu ukweli au usiseme kabisa maana mnajidhalilisha
    Lakini (FABI)pole kwakweli maana unakazi unakazi 🤣

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 2 роки тому

      Ataanzaje kubeba mimba na kudanga atamuachia nani?😂😂

  • @charlesmapunda5905
    @charlesmapunda5905 11 місяців тому

    Muongo wewe wewe mi nimeaga wa malaya na wala sijawi kufikiria kumuacha mke pamoja na kupepewa mavi ni upumbvu unadangaya watu unatangaza soko la ukahaba ndo zenu

  • @reynaaalrawahi4137
    @reynaaalrawahi4137 2 роки тому +2

    Wewe dada muongo miaka 22 umekua wewe jiwe hukuwi

  • @alhabsi6430
    @alhabsi6430 Рік тому

    Ni makubwa

  • @hassanedin6487
    @hassanedin6487 2 роки тому

    Miaka 22 kkkkkk

  • @khdigahk4246
    @khdigahk4246 2 роки тому

    Danga lakimataifa iloo

  • @naimanaima4715
    @naimanaima4715 2 роки тому

    22 ila kazeek kushind me wa 30 😂😂😂 Na mishavu yake kma tako la mwijaku

  • @lastbornsaadah7632
    @lastbornsaadah7632 2 роки тому

    Unaweza kujibrand mambo mengine, ila kudanganya umri wako ni kujishusha thamani...ivi jamani mnajua unaposema ukweli wako kiumri kiukweli ata mahusiano yako yanakuwa tofauti ukilinganisha na tabia yako, akili na uelewa...ukiwa muongo sana utachezewa adi ushangae...men lie 🤥 women lie 🤥 hatari sana...umekomaa shogaangu miaka 22 tangu uanze udangaji ukisema ivyo mi ntakuelewa

    • @faithkapondo5383
      @faithkapondo5383 2 роки тому +1

      Sura mmemkomaa, m nna watoto2 lkn cjakomaa hvyo

  • @rozzymossesshayo6844
    @rozzymossesshayo6844 2 роки тому

    Dubai ulienda kujiuza ww

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official 2 роки тому +1

    Miaka 22 kkkkkkkk lol 😆 nyie nyie wadada acha ujinga wakujifanya watoto nawakati mijitu mizima jione eti miaka 22 huna haibu

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 Рік тому

      Inawezekana sana ana miaka 22 lkn kwa kua kabeba dunia amekua km mzee yaani mie nna 40+lkn tukiekwa pamoja na huyu dada ataonekana mkubwa ..usifanye masihara kila mwanamme akupande akikushuka kila unaemuona akikwambia nakupenda pyeee unalala nae lazima mtu akomae km chimpanzeee🤣

  • @dalyat3537
    @dalyat3537 2 роки тому

    Uso umekukomaa eti una 22 nyoko

  • @maimunaulotu2075
    @maimunaulotu2075 2 роки тому

    Mtoto wa Tanga na mapenz mbon upo hapo sas😄ngoj nisikilize mpk mwisho

    • @alhabsi6430
      @alhabsi6430 Рік тому

      Mbona kiswahili sio cha tanga 🤣🤣🤣 anatia aibu

  • @frashiahkerubo15
    @frashiahkerubo15 2 роки тому +1

    22 yrs na unakaa kimama punguza mwili

    • @sweetie6934
      @sweetie6934 2 роки тому +1

      Miaka 22 ya nyoko 😂😂😂😂

    • @eyabdimaha3698
      @eyabdimaha3698 2 роки тому +1

      Umeamini kirahisi hio miaka

    • @pilimusa3217
      @pilimusa3217 2 роки тому

      @@sweetie6934 🤣🤣🤣🤣 jirani

    • @sweetie6934
      @sweetie6934 2 роки тому

      @@pilimusa3217 Naam jirani hujambo

    • @pilimusa3217
      @pilimusa3217 2 роки тому

      @@sweetie6934 sijambo jirani. Umehadimika hatari. Sikuoni kwa yule mwingine

  • @zamdakimaro8040
    @zamdakimaro8040 2 роки тому

    ACHA uongo MIAKA 22 wewe ukosi 36

  • @naimaal-kh6141
    @naimaal-kh6141 Рік тому +1

    Miaka 22 ya nyoko 🤣🤣🤣