MKE MKUBWA AJA NA MAPYA |MKE MDOGO ANANIITA MCHAWI |WATATOKA KWANGU |MUME WANGU NAMPENDA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 лип 2022

КОМЕНТАРІ • 844

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 2 роки тому +28

    Zahir tunakupenda sana ila huyo dada anajizalilisha sana familia haziko hivo amekaa miaka saba na kumuona mumeo hafai subhanallah

  • @lovenessgodson1075
    @lovenessgodson1075 2 роки тому +18

    😭😭umasikini mbaya jamani umasikini una zalilisha mzee anazalilishwa kisa umasikini 😭😭😭 wewe mama mnali shetwan pesa ni mapito tu mumeo alikuruhusu uende OMAN kutafuta pesa ili muendeshe maisha hakukuruhusu uende OMAN umzalilishe hivi kweli wewe mama Allah humuogopi 😭😭😭

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 2 роки тому +4

      Uyo Dada ni. Mshenzi. Tu. Hm lolote yy aseme tu kuwa bi mdogo atoke mwanaume Ana msimamo hafanyi K kabla yy hj enda Oman alikuwa na lishwa nani na alikuwa anaishi vp jmn ebu mfimilie jmn uyo mwanamke Mkubwa no mpuuzi

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 роки тому +3

      Dada roho mbaya bi mkubwa pesa zinampa jeuri na sio mbaya kusaidiana matumizi kwani ww ukituma pesa za familia nikosa?

    • @zainaabdallah809
      @zainaabdallah809 Рік тому

      Moto unamuhusu huyu

  • @azanmohd7122
    @azanmohd7122 2 роки тому +16

    Uyo mke mdogo atakaa ndani ya nyumba kwa sehemu ya mume wake kwa sababu nguvu za mumewe zimo

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 роки тому

      Kbs mpenz

    • @minakhamiskhamisi6193
      @minakhamiskhamisi6193 2 роки тому +1

      Swadkt ht aende wap Sheria s ipo kwasbb mwanaum achake pale huyu bi mkumbwa jmn ni roho mbay tuu walh hkn kingn

  • @fatumaali4275
    @fatumaali4275 2 роки тому +14

    Suluhisho arudi tu vyenginevyo mke mdogo aendelee kuwa hapo atunze watoto na mme wake

  • @jesseboy6024
    @jesseboy6024 2 роки тому +14

    Alitakiwa Mume aikimbie familia yake? alitaka akazini? alitaka aache nyumba yake akaishi maisha ya kupangisha?

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 роки тому +2

      Na apo apo huyo mume angeondoka na kwenda kuishi pengine na mke mdg angelalamika mume kakimbia watoto yaani wanawake tukiwa na pesa kdg tu jeuri

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx 2 роки тому +1

      Ndio hpo mijitu mengine haina akili kabisa

    • @eliaikammary7525
      @eliaikammary7525 2 роки тому

      Mwambie aache dharau we miaka saba mwanaume gani atavumilia? Hata ukirudi umeshadharaulika,hufaiii

    • @eliaikammary7525
      @eliaikammary7525 2 роки тому

      We bi mkubwa roho mbayaaaaa

    • @eliaikammary7525
      @eliaikammary7525 2 роки тому

      Miaka saba hiyo akili matope,huyo hajatulia hata km kutafuta sio hivyo

  • @aishamaganga5304
    @aishamaganga5304 2 роки тому +17

    Huyu mama mbona hajbu maswar? Anaona haya mumewe kuoa kaschana kadg nakana endesha family yake! Kwann miaka 7 unafanya nn Oman? Rud dadangu! Pesa haina mwisho. Kuwa nahofu ya Mungu dadangu.

    • @Anzalmidel
      @Anzalmidel Рік тому

      😭😭😭 namhurumia Sana mzee maskini

    • @chai_r
      @chai_r Рік тому

      Anafanyakazi ya ndani, awalipie matumizi watoto. Kwani alienda likizo.

  • @abosaid78
    @abosaid78 2 роки тому +13

    huyu mwanamke ana wivu mbaya sana roho yake mbaya na hata pata maeendeleo yeyote katika maisha yake mwisho wake utakua mbaya

    • @aminaamiri7684
      @aminaamiri7684 2 роки тому +2

      Na Kuna watu humpa maelezo ya hapo kwake vibaya mno

    • @khadidjasuleiman8006
      @khadidjasuleiman8006 2 роки тому +1

      Tumuombeye apate mwisho mwema 🤲 na si Tupate mwisho mwema pia Dunia ni uongo tu 😥

  • @joycechuki8258
    @joycechuki8258 2 роки тому +7

    Mimi nashukuru Nilipo achana na mume wangu ndio nilianza safari za uarabuni siwezi pewa stress na muarabu halafu nipewe stress na mwanaume mimi sina mume na kimaliza contract ya 2yrs lazima nirudi kuona watoto wangu kwa wangu bado wa dogo wa mwisho huu mwaka ndio kafikisha 6yrs

    • @lewismpangala927
      @lewismpangala927 Рік тому

      Unajona mjanja kuishi ughaibun unanyanyasika na kuwaacha watoto wako pekee wanakosa raha ya kuwa na mama usione umetoboa kuishi bila watoto wako ur not good mom

    • @joycechuki8258
      @joycechuki8258 Рік тому

      @@lewismpangala927 Mimi nilijua wanawake ndio wenye wivu kumbe hata wanaume, ulitaka nikae nao wasisome wanajua mama yetu ana tutafutia tena wanaishi maisha mazuri kuliko nilivyo kuwa nao pesa ipo chochote wanacho taka wanapata

    • @lewismpangala927
      @lewismpangala927 Рік тому

      @@joycechuki8258 nimeangalia wadada wengi hunyanyaswa sana uarabuni wanawabaka kwa nyuma

    • @joycechuki8258
      @joycechuki8258 Рік тому

      @@lewismpangala927 Hizo ni story muarabu hana time na mtu mweusi kwanza wanaona wananuka

    • @lewismpangala927
      @lewismpangala927 Рік тому

      @@joycechuki8258 ha ha ha sasa bupa linanukia ukae miaka miwili huja do kawadanganye nimejionea clip mwenyewe mdada mkenya akikobewa akaanza kumpiga labda uwe unampenda kama anakuona unanuka kwanini akubali umpikie?

  • @zenanassor2716
    @zenanassor2716 2 роки тому +10

    Anaizalilisha tu familia asingeruhusiwa kwenda Oman agekua na jeuri hiyo

  • @fatumaali4275
    @fatumaali4275 2 роки тому +14

    Una khofu ya Mungu we Rudi kwa mumeo,unamtaja tu Mungu Ila umekosa khofu kabisa kumbuka dunia nimapito iwapo utakata roho huko bila kuelewana na mumeo duu ni khasara ilioje 😭😭😭

    • @muuu9505
      @muuu9505 2 роки тому +1

      Hana khofu huyo

    • @Awatee
      @Awatee 2 роки тому +2

      Tena ukifa mumeo hajaridhia ni khasara kubwa san

    • @user-rd7jt1vi5x
      @user-rd7jt1vi5x 2 роки тому +2

      Roho mbaya yake tu hana lolote

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 роки тому +2

      Roho mbaya sana huyu dada

    • @SafiyaJ-yw2vt
      @SafiyaJ-yw2vt 2 місяці тому

      Roho mbaya sana huyo mama

  • @omaniomani643
    @omaniomani643 2 роки тому +8

    We mama huna haya hebu toka kwa mtandawo rudi nyumbani usuluhishe haya maneno huyo mke mwenziye hawezi kukataliya kwa nyumba yako

    • @user-jz8sj5us1h
      @user-jz8sj5us1h 2 роки тому +1

      Yani ni aibu ty kwakweli

    • @user-jz8sj5us1h
      @user-jz8sj5us1h 2 роки тому +1

      Arafu mtu mzima mtiani kweli

    • @user-rd7jt1vi5x
      @user-rd7jt1vi5x 2 роки тому

      Anasema anahudumia familia.yy tu mume hahudumii wakati watoto wenyewe wamesema baba yao nae anahudumia familia huyu mwanamke ni mjinga sana halafu roho mbaya ndo usiseme

  • @alicemdoe8222
    @alicemdoe8222 2 роки тому +15

    Huyu mama anaongea utoporo anatumalizia mb zetu.kaka zahil tuletee wagonjwa huyu mama snakupotezea muda.Arudi kwa familia yake aache kuibaisha familia yake

  • @fatumaali4275
    @fatumaali4275 2 роки тому +8

    Kabla ya mume hajaoa mlikuwa hampatani na mumeo mlichonganishwa nanani. Wacha uzushi.🤣🤣🤣

  • @dalilahahmed5370
    @dalilahahmed5370 2 роки тому +5

    Bro Zahir kitu naona kama ni possible kheri huyu mzee achangiwe ajengewe hata 1 bedroom juu huyu first wife hatawapa raha kwa hiyo nyumba

  • @fatumaali4275
    @fatumaali4275 2 роки тому +10

    Mke mkubwa roho mbaya Hadi kwa mumeo,Sasa ulitaka aishije na we hutaki kurudi hebu kuwa na Imani walau

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 2 роки тому +1

      Tatizo warangi wanakaubinafsi sasa anamzalilisha mumewe na alikubalije kuzaa watoto wote hao hakujua mvivu

    • @user-rd7jt1vi5x
      @user-rd7jt1vi5x 2 роки тому

      @@mdzainb3722 wew koma usituhusishe warangi wote kwa ujinga wa huyu mpumbavu mmoja

    • @hijamwinyi3233
      @hijamwinyi3233 2 роки тому

      Sanaa

    • @machetebogota4218
      @machetebogota4218 2 роки тому

      @@mdzainb3722 😂😂😂kweli dada tena usiombe akapata vijisenti me nilidhani me Tu ndo huliona ilo nyie Aya makabila mengine mtihani tu

  • @sumahtanzania4991
    @sumahtanzania4991 2 роки тому +11

    Huyu mwanamke roho yake mbaya . Yeye ndie mwenye makosa .. atakuwa ana mahusiano na mtu mwingine anatafuta njia tu ya kuachika ili aolewe na mwanaume mwingine. Kaka zahir Hussein .huyu mwanahsrusi haeleweki kabisa. Dini inaruhusu kuoa wake wanne .anajizalilisha tu rudi nyumbani.

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 2 роки тому

      Ndio yn anarohobaya mno. Ataki.wenzie akae hp. Si aseme tu lk asiseme kuwa mumewe hafanyi kz ajiongezi. Ajiwezi ndo nn ss mjinga sn uyu Dada

    • @sumahtanzania4991
      @sumahtanzania4991 2 роки тому

      @@nishaabdula5015 haswaa roho yake sio nzuri anamkosea sana mme wake.

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 роки тому

      Roho mbaya haswaaaaa

    • @sumahtanzania4991
      @sumahtanzania4991 2 роки тому

      @@dorcaskidoti249 haswaa hafai kabisa .amejizalilisha mtandaoni tu. Labda kapata bwana wa kiarabu ndiyo maana .anamzarau mmeo.

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 роки тому +1

      @@sumahtanzania4991 Alijuwa tutamuunga mkono kakuta hakuna anae tetea tabia zake wtt wake nao hawajamuunga mkono eti wanateswa sasa anatapa tapa kama mfa majiii, Muacheni babu afurahie mapenzi akitaka mke wa 3 mm nipooooo, 😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂

  • @muuu9505
    @muuu9505 2 роки тому +12

    We mama hufai acha kutia mapresha mzee wa watu hakuna sheria ya kidini inayokupa uhuru wa kumdhalilisha Huyu mzee anahaki ya kukaa hapo usimtishie serikali nae anahaki zake km mume miaka saba kakaa na watoto unadhani hata usingetuma angeshindwa kuwalea hebu kwenda zako hukoa

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 роки тому +1

      Pesa za kiarabu tu zinampa jeuri dada yetu, ila ajue maisha hubadilika leo uko mzima unafanya kazi unapata pesa unamnyanyasa mume wako ila siku akifanikiwa sijui itakuwaje

  • @maloomaalmnsj5111
    @maloomaalmnsj5111 2 роки тому +16

    Uyo 😂🤣😂 mama alimwambia aowe kwa zarau matokeo yake kaowa kibinti anaweweseka ata sie tumatuma pesa kila mwezi

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 роки тому

      Aliona hana uwezo wa kuoa kumbe mwenzie hataki mchezo, anaona hasara kutuma matumizi alitaka ahudumie nn?

    • @pilimusa402
      @pilimusa402 2 роки тому

      huyo mama nyie hamjamuelewa kaon mume kaoa mtt mdogo atazaa halafu nyumba itakuwa na mgao nikitu ambacho hakutegemea angeolewa mwanamke wamiaka 50 huyomama asngekuwa naugomvi anaogopa huyo atazaa 9...10 na nyumba itagawiwa kati kwa kati pole

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 роки тому +1

      @@pilimusa402 Ulipotelea wapi ndg yangu nimecheka eti atazaa 9....10 au azae dazeni 12 kumkomesha bi mkubwa, lazima watt wagawiwie mali kwasbb na baba yao amechangia kujenga😂😂😂😂😂😂

    • @maloomaalmnsj5111
      @maloomaalmnsj5111 2 роки тому

      @@dorcaskidoti249 azae dazeni tena 😂😂🤣😂😂🤣😂 khaa

    • @maloomaalmnsj5111
      @maloomaalmnsj5111 2 роки тому

      @@pilimusa402 point

  • @esterkiyongo2316
    @esterkiyongo2316 2 роки тому +27

    Kweli nimeamini wanaume wanasema ukitumia Hela ya mwanamke atakuaibisha tuu kwa maelezo haya huyu mama pesa yake inamuuma hataki mumewe atumie wakati yeye Yuko na watoto , Mama acha choyo huyo mke mdogo ulibariki wewe Sasa mbona roho inakuma Sasa, Rudi nyumbani kwako, acha wivu, acha roho mbaya, mumeo anajitambua hawezi kukaa mbali na wanae apange aache wanae Ila wewe unataka umchonganishe baba na wanae, watoto wako wametulua wewe Sasa gubu kama lotee

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 2 роки тому +1

      Very much true 💯👌👌

    • @gloriamsaki9109
      @gloriamsaki9109 2 роки тому +2

      Sisi wanawake wabinafsi Sana wanaume wanafanya kazi wanatutunza Ila sisi tukifanya kazi tukipata tunakuwa wabinafsi na kiburi Cha uzima

    • @siasia5469
      @siasia5469 2 роки тому +3

      @@gloriamsaki9109 Mungu alietuumba alitujua fika jinsi tulivyo ndiomaana wanaume wanatakiwa wawe wanaume kweli na haitakiwi mwanaume kukubali pesa ya mwanamke haitakiwi ni makosa makubwa sana na hayo ndio makosa makubwa alilofanya mzee

    • @siasia5469
      @siasia5469 2 роки тому

      @@sukariyao6537 Mungu alie tuumba ndio anatujua vizuri kabisa na ndio maana hata vitabu vya deen vinakanya hii tabia mwanaume rijali hawezi kubali pesa ya mwanamke ni makosa makubwa sana kukubali pesa ya mwanamke na kitengo cha mzee kumruhusu mkewe kwenda kufanya kazi kwenye majumba ya watu apo mzee alikosea sana siku zote wanaume wanatakiwa wajitahid kusimama kama vichwa katika familia hili likiwashindwa matokeo yake ndio hayo sasa

    • @baimarrajahbuayan6237
      @baimarrajahbuayan6237 2 роки тому +2

      Mke mkubwa mshamba Sana yaana anatamba na pesa ya mwarabu

  • @wahida.5419
    @wahida.5419 2 роки тому +6

    Yaani tamaa mbele mauti nyumaa khaa mke mkubwa haelewii kitu akili yote ipo kwenye mali

  • @jamilasalim7165
    @jamilasalim7165 2 роки тому +10

    We dada mheshimu mumeo wivu tuu ndio unakusumbuwa

  • @allymafita1985
    @allymafita1985 2 роки тому +2

    Suluhu ya mambo ya kifamilia haiendi hivo my dada, umebahatika kupata Riziki Leo imekupata choyo , umeitangaza sadaka uliyotoa ,umefuta Kila kitu, Rejea katika dini Yako na kumbuka unayemsema yote hayo n mume wako!, Mbaya zaidi n familia unaianika!, TAMBUA haiwi siku isipokuwa ridhiki ya mja hutoka kwa Allah, .....

  • @Nuseybaonly
    @Nuseybaonly 2 роки тому +9

    Ww ulimtuma wewe mwenyewe kuoa sasa choyo cha nini?? Si ulisema mwenyewe kua ulimpa ruhusa kuoa?? Mwisho atampa mpaka nguo zako avae wewe kaa tuu huko

  • @catherinemasiga6666
    @catherinemasiga6666 2 роки тому +12

    Ndoa huvunjwa kwa mikono ya mwanamke mwenyewe. Hana lolote achana naye Kama yupo tayari arudi kwa mwanamume wake

  • @daliyasaadi1547
    @daliyasaadi1547 2 роки тому +10

    Sasa wewe unajiumbua nini watoto wenyewe wanasema wako vizur tu mama YAO mdogo wako niwivu tu

  • @jesseboy6024
    @jesseboy6024 2 роки тому +10

    Huyu baba siyo mkali bali mke mkubwa ni Mke muovu Asipobadilika ALLAHU atampatiliza hapa hapa duniani kabla ya Akherah atubie kwa ALLAHU juu ya uovu wake juu ya Mumewe✓

    • @naimamohammad8870
      @naimamohammad8870 2 роки тому

      Asant sana ! Huyu mume anahaki ya kuweka mke wapili hapo kwake na nisheria ya ALLAH

    • @naimamohammad8870
      @naimamohammad8870 2 роки тому

      NYUMBA NI KUMBWA

    • @siasia5469
      @siasia5469 2 роки тому

      @@naimamohammad8870 uyu baba kuoa kweli ni haki yke na uyu mama ana makosa yke lakini pia mzee anamakosa makubwa sana ukishindwa kua mwanaume matokeo yke ndio haya wewe unamruhusu vipi mkeo akaishi kwenye nyumba za watu? Mwanaume rijali hawezi fanya ujinga huo wanaumeee jmn simameni km vile deen ilivyosema na hatutoyaona haya fedheha yote hii ni ksb tuu mzee amefeli kusimamia familia yke mda bado upo mzee wangu ajitambue, pesa ya mwanamke siku zote lazima siku itakudhalilisha

    • @najmahashir5893
      @najmahashir5893 2 роки тому

      @@siasia5469 kaka hajafeli man wamekubaliana alipoondk alikiw hajabdilika kw alivoosema baba mtu lakn bada ya mkataba kuisha amebadilika

  • @sheikhasalim1190
    @sheikhasalim1190 2 роки тому +6

    Yaani amtoe mke ndani ya nyumba akodi nyumba wakati nyumba ipo? Unang'ang'ania nyumba na hata hupo! Wanawake tukae tukifkiria. Ukae miaka 7 bila ya kwenda nyumbani halafu utegemee mume afanye nini.
    Huyo mama mdogo angekuwa mbaya basi watoto wangesema

  • @MuhammadHassan-xp6dc
    @MuhammadHassan-xp6dc 2 роки тому +12

    kaka zahiri huyo mwanamke atakupotezea muda tu,muulize miaka saba yote uko nje hajakuja kutizama familia yake anategemea nini?

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 роки тому +1

      Kapata kibabu huku au wabangalee ndo wanampa jeuri ya rial 10 kumi

    • @aminaamiri7684
      @aminaamiri7684 2 роки тому

      @@dorcaskidoti249 mthan kanichefuaa mnoo

  • @Nuseybaonly
    @Nuseybaonly 2 роки тому +10

    Ungekua hukusafiri wewe mume mwenyewe asingeoa kabisa, angebaki na wewe tuu kwa muonekano tunaomuona, kumejenga nyumba mukiwa huku tz kwa kipato hicho kidogo, sasa umeonda hukoumejenga nyumba ngapi??? Rudi wewre mama wacha kutuabisha

    • @halimaauthman9324
      @halimaauthman9324 2 роки тому +1

      Hana hata kiwanja atajenga nn hafanyi kazi huyo ana kibeteni cha kiarabu kibabu😂😂😂

    • @reynaaalrawahi4137
      @reynaaalrawahi4137 2 роки тому

      @@halimaauthman9324 🤣🤣🤣

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 роки тому

      @@halimaauthman9324 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 bora useme ukweli

    • @nasseralhabsi4121
      @nasseralhabsi4121 2 роки тому +1

      @@halimaauthman9324 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣miaka saba hana kiwanja na hajajenga🤔 ama kwl ana danga oman tu

    • @machetebogota4218
      @machetebogota4218 2 роки тому

      Ukwel km angekuw nakaz na pesa angefanya makubwa, yet iyo kwamwez kutuma laki 2 ndo ajione anapesa?🤣 Looh ovyooo amwache mwenzio amlee mumewe Hana haya uyu🤮😃 😃😃

  • @ashuuuaisha9122
    @ashuuuaisha9122 2 роки тому +6

    Huyo mke mkubwa aache drama. Arudi tz akamkute mume kama ampenda. Pesa zipo na zitaendelea kuwepo. Mnaongeza tu mikataba mnasahau wanaume tz. Miaka 7 hurudi ukamridhisha

  • @ywydhhd7941
    @ywydhhd7941 2 роки тому +6

    Kwani my mom si uliolewa na mme asiye mtafutaji, now mambo mengi, tenda kwa nafasi yako utazidi kubarikiwa, maana watu tungetaka kuanika mambo ya family zetu mitandao ingekuwa imejaa

  • @omanatr8729
    @omanatr8729 2 роки тому +21

    Huyu bimkubwa sijapenda anacho kifanya aya mambo wangeyamaliza wenyewe na familia kuliko kulileta mtandaoni kanikwaza. Ila tusimlaum sana stress za warabu nazo wakati mweingine unaweza fanya mambo ya ovyo.

  • @samsungsams6261
    @samsungsams6261 2 роки тому +6

    Anaonekana muongo uyo Zair nipe no nimuangalie uku kama ajaowa uku

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 2 роки тому +2

    Aache kukuchosha kaka Zahir Ni mtu mzima Mimi naona Mume Yupo vizuri Mke mdogo yupo vizuri Yeye wivu tu kwanini huku nyuma Haku paza sauti?😭😭 Ee Mungu tupe kuelewa Dunia Wangapi wamemiliki Ma billion ya mapesa na Leo Washa sahawika imebaki story tu 😥😭😭 subhanallah 😭😭😭 Allah atuongoze sote 🙏

  • @timibakat7345
    @timibakat7345 2 роки тому +5

    Mama chaubishi atauede wapi yule mke pele hatoke mana nyumba mumejenga na yulemume nayeanahaki yakumueka mkepale chamsingi apewe chumba chengine ilaacha kumzalilisha mumewako unapata dhambi unamzarau leohi wakati umezanaye watoto 5 borawatoto wako wanabusara ila mama unatabu sana

  • @khadjaiddlis283
    @khadjaiddlis283 2 роки тому +5

    Da mwanaharusi mm naimani mpaka mkazaa watoto wote hao inamaana unafahamu hali yake vizuri na ulivumilia kwanini unamdhalilisha mumeo s vizuri hata kidogo,,ukimsitili mwenzio nawe utastiliwa maana miaka mloishi nimingi hivyo acha kusikiliza waja wanakudhalilisha ww hayo mambo ww hautokuwa wakwanza wala wamwisho wengi yamewatokea,,hivyo acha kuidhalilisha familia yako hy nimaisha yenu kama kijijini uliweza iweje leo ushindwe ww nimwanamke mpambanaji inafahamika

  • @minakhamiskhamisi6193
    @minakhamiskhamisi6193 2 роки тому +7

    Huyu mwanamk hana Akili ht kdg s arud nyumbn aache kiburi mshezi huyu

  • @pilimusa3217
    @pilimusa3217 2 роки тому +6

    Mwanaharusi umekuja kwenye hii channel kuleta story yako, ili iweje hasa?

  • @jesseboy6024
    @jesseboy6024 2 роки тому +4

    Dada aioko Oman ni mjinga✓ kiburi✓ yawezekana pia hata ni mchawi kweli maana mioyo ya wachawi ndio hainasihiki kama huyu dada alioko Oman mnavoshuhudia✓ na kama ni ugomvi ameuanzisha yeye✓

  • @MuhammadHassan-xp6dc
    @MuhammadHassan-xp6dc 2 роки тому +7

    mama anaona wivu Mzee kaoa kimsichana kidogo,mzee endelea kula maisha mama asikuchanganye,yeye muache na hicho kibabu Cha kiarabu uko omani.

    • @maryamalhajri5886
      @maryamalhajri5886 2 роки тому

      Kibabu cha huku kinalipa😁😁😂

    • @MuhammadHassan-xp6dc
      @MuhammadHassan-xp6dc 2 роки тому

      @@maryamalhajri5886 haya bwana

    • @Awatee
      @Awatee 2 роки тому

      @@maryamalhajri5886 🤣🤣🤣kinalipa nini vishafinyaa kila idara ndio umpate weye 😅😅😜

    • @radhiasalum7156
      @radhiasalum7156 2 роки тому

      😀😀

    • @MuhammadHassan-xp6dc
      @MuhammadHassan-xp6dc 2 роки тому

      @@Awatee ukhti Fatma Musa una maneno makali haya bwana,ila ujumbe ameupata

  • @alhabsi6430
    @alhabsi6430 2 роки тому +6

    Inasikitisha kwa watoto mama yao miaka 7 hakurudi tena Yarabi kuja kuwaona watoto wanatia huruma

  • @naimanaima4715
    @naimanaima4715 2 роки тому +1

    We Dada upo omani koma mbwa ww kwanza rudi Tz ndo ulete ngonjela zako Alaa zee Zima ila adabu huna uko uko miak7 bc ungeza mingine 7 ujenge nyumba yako mwenyewe Alaa

  • @sule69UP
    @sule69UP 2 роки тому +2

    Kwa, waislam takbiiiiir kwa mme bwana abubakar ramadhan kama sikukosea kwani ametenda haki ya uamuzi wa kuoa kwani kama angeweza kufanya zinaa bila huo Mwenda oman na watoto pasipo kujua lakini kwa kumuogopa mwenyezi mungu na malaika wake hakuweza kufanya hao a kachukua dogodogo kwa halali inshallah mungu atakuihifadhi yarab

  • @sumahtanzania4991
    @sumahtanzania4991 2 роки тому +7

    Roho mbaya haijengi ..rudi nyumbani usuilishe family

  • @asdasd9253
    @asdasd9253 2 роки тому +8

    Huyu mama muongo atasema kila jambo mraditu anataka huyo mzee asikaenamke anaona bora mumewake azini lkn asikae namke

  • @itz-ritkor1256
    @itz-ritkor1256 2 роки тому +5

    Kupata sio werevu,na kukosa sio ujinga yote ni maajaaliwa

  • @sghdrdhidf7603
    @sghdrdhidf7603 2 роки тому +6

    Kaka dhaili ayu mwanamke anakupotetezea mda tu kwani ajielewi nini anaongea na ana hoja ya msingi mshenzi tu ajielewi acha baba ajimwange na kitoto wewe danga na warabu wako ujielewi kabisa

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 роки тому

      Vibabu vya kiarabu au wajenzi wabangale wanampa jeuri 😂😂😂😂 alafu mjuwaji sana bi mkubwa

  • @rahmaomary8021
    @rahmaomary8021 2 роки тому +2

    Wewe mama una adabu kwanza umemzalilisha mmeo na Familia yako. Kumbuka watt ni wakubwa unawazalisha watt wako bibie👌mtu mzima kishete ww ovyo. Mambo yandani waleta mitandaon. Babu babu ongeza mke mwengine tena 😂 bibie ashindwe kuosha vyombo vya warabu pumbavu. Siujenge yako pekeako miaka saba bado unalalamikia nyumba ya kushea ovyo danga uko na wabangali😂😂😂babu owa tena

  • @MuhammadHassan-xp6dc
    @MuhammadHassan-xp6dc 2 роки тому +5

    da huyo mwanamke anazunguka tu kaka zahiri.

  • @zinabal-dubae3551
    @zinabal-dubae3551 2 роки тому

    Tena bi mkubwa atia maneno ya kiarabu aiwa au nzein yaani zein vizuri aah ongea kiswahili nakusapoti 100%

  • @user-jz8sj5us1h
    @user-jz8sj5us1h 2 роки тому +7

    Uyu dada natamani nimjibu kwa sauti yani anatia asira sasa kusaidia family yako kuna ubaya gani Mm nipo uku Oman natuma ela kila mwezi yamatumizi

    • @user-jz8sj5us1h
      @user-jz8sj5us1h 2 роки тому +4

      Nyumban sasa kuna ubaya wewe vp acha kumzalilisha mumeo bhana

    • @ameenaameena1224
      @ameenaameena1224 2 роки тому +2

      Hata Mimi natuma Sina hata kulala Mika hata siku Moja baba yao yupo mzima wa afya lakini natuma

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 2 роки тому

      Yn unishindi ananipanhasira mno

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 2 роки тому +1

      @@ameenaameena1224 namshangaa kwni si. Kusaidiana na yy si kamruhusu a katafute maisha ss Kuna ubaya gn akiwapa wtt pesa ss yy a shukuru wtt wp na na baba yao lkn wenzake wtt wetu wp wp tu na kila mwezi utume pesa za kila kitu una ht msaidiz ulipe pesa ht ya mtu anae kaa na wtt wk uyu dda nikchaa

    • @reynaaalrawahi4137
      @reynaaalrawahi4137 2 роки тому

      😅😅😅

  • @mammam4701
    @mammam4701 2 роки тому +2

    Watu tupo na natuna Saidi a waume zetu... Na ALLAH BADO HANASHIKIA LIZK ZETU🙏🏿

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 2 роки тому +10

    Bi mkubwa mjuwaji mkorofi hakusikilizi Zahr sasa yanini kukuletea izo tarifa? Sasa kama hataki kupokea maoni ya nn ajilete mtandaoni? Kila baada ya miaka 2 unapewa likizo kwann asije hiyo miezi 2 alafu arejeee, Anaongea haeleweki mbele wapi nyuma wapi tushakuchoka buana eee, Na unataka bi mdg atolewe apo alafu baadae ulalamike mume kakimbia wtt looooh, Pesa ni mapito tu zisikupe kiburi

    • @ashantyjojo5298
      @ashantyjojo5298 2 роки тому +1

      Kabisa umeongea sahihi yanini yani habar hazina tija

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 роки тому

      @@ashantyjojo5298 Hataki kukosolewa wakati yeye ndo mwenye makosa, Babu anafurah na kitoto kibichi hana mawazo bi mkubwa roho jujuuuuu hana amani, Babu akitaka mke wa3 nipo dini sio shida kwang 😂😂😂😂😂😂😍

    • @ashantyjojo5298
      @ashantyjojo5298 2 роки тому

      😂😂😂😂😂😂

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 роки тому +1

      @@ashantyjojo5298 Tumoneshe jinsi ya kulea nwanaume 😂😂😂😂

    • @hawahabibu3881
      @hawahabibu3881 2 роки тому +1

      Na ndio mana hata huko ustawi wa jamii kampeleka mumewe lkn yy ndo kashindwa uyu bi mkubwa ana shida

  • @jesseboy6024
    @jesseboy6024 2 роки тому +3

    Halafu huyo bibi alioko Oman ajuwe mwisho wa ubaya aibu✓ na anaiaibisha hii familia✓

  • @khaijakadija2082
    @khaijakadija2082 2 роки тому +1

    Ila babu mzuri nyie tabasam lake tu miehuku hoi😋😋

  • @ESM1434
    @ESM1434 2 роки тому +3

    Zairi
    Ushauri wangu .
    Hii ni media haihusiani na dini. Najua unaifamu sheria ya dini coz wewe ni mwislamu. Lakini kama mmiliki huruhusii kutetea . Wewe kazi yako ni kurusha kipindi the rest leave. Kwasababu unakuwa kama una judge naona hiyo haikuhusu sana . Ushauri unaweza hata behind the camera.Wewe rusha kipindi achana na mengine. Otherwise Mimi nikisikiliza kuna hisia Fulani napata ambayo kama mmiliki wa media haikusu
    Coz wewe sio Sheikh, wala ustawi wa jamii, wala mahakama . Achana na mambo ya familia coz at the end of the day wataungana na watakugeuka. Be slow with married couples

    • @yussuphsultan1400
      @yussuphsultan1400 Рік тому

      Nilikoment kitu kama hiki kwenye mahojiano na mke mdogo. Mke mkubwa anaishi kisekula sana

  • @latahilehsein3749
    @latahilehsein3749 2 роки тому +3

    Kwakweli Wewe mama kwa upande wangu ushukuru mungu umepata mtu wa kulea watoto wako, basi Rudi kwako ule watoto wako Wewe uko nnje ya nchi unapigwa na ACI hemuwacha kutuma hizo pesa alafu uone watoto wako watakufa na njaa wacha wivu wako urudi kwako ule wanao

  • @habibaa9503
    @habibaa9503 2 роки тому +7

    We mwanamke vip ampeleke wap na hiyo ni nyumba yake we fanya kaz utakapojisikia kurud mwanaume atajua ampeleke wap mkewe ,Acha wivu kasichana kenyewe kapole hatsa kuongea hakajua vizur kanapata wap kibur cha kuongea huo utumbo unaousema? Fanya kaz acha kumuandama baba wa watu na mkewe kakuvumilia miaka 6 wa saba kaamua kuoa unaleta maneno ,kama mwanaume awez kujisaidia mbona mmeishi na mkazaa miaka hiyo yote ukumuona kama mwanaume awwz kujisaidia kimaisha umepata visent unaanza kumdhalilisha mumeo sio uungwana huo ,mwanaume ataki kuwa mwanaume na huyo mumeo muheshimu ,Acha wivu .

  • @mauamrope7768
    @mauamrope7768 2 роки тому +4

    Haya mambo wangeongea kifamilia zaidi maana ni kujidhalilisha tu

    • @mwanah3643
      @mwanah3643 2 роки тому

      Uyu Dada mtu mzm lkn box

  • @aminahassan4214
    @aminahassan4214 Рік тому

    Mama wa Oman bure kabisa pamoja na ukubwa wako huna lolote. Shida yko huwezi pesa, mwanamke akipata pesa tu dharau zinaanza. Hongera baba kwa kuoa mke wapili

  • @user-jz8sj5us1h
    @user-jz8sj5us1h 2 роки тому +5

    Kumbuka mungu anavokupa liziki razima atakupima imani ndo km iyo yakuudumia family yako sasa kwann utangazo mitandaoni

  • @pilimusa3217
    @pilimusa3217 2 роки тому +4

    Huyo mume wala humtaki, unafanya mbinu ili amuache bi mdogo kama kumkomoa tu. Mume humtaki na hutaki awe na mwanamke huyo. Huo ndiyo ukweli

  • @inongee1141
    @inongee1141 2 роки тому +1

    Asante MUNGU kwakunipa roho nzuri yakuwajali wengine AMEN 🙏🙏🙏🙏

    • @husnamassare6044
      @husnamassare6044 2 роки тому

      Jmn mbona huyo dada anadhalilisha familia yake na anajidhalilisha yeye zaidi kwasababu ni vitu vya kuongeza tyu sio lazima alete kwenye mitandao mpaka kila mtu ajue ni mama mtumzima lakini hajiongezi

  • @mariamkadija7764
    @mariamkadija7764 2 роки тому

    Smtoe tuu ata mim namunga mkono🤝aiwezekani mwenzie apate shida yey akae kiulaini cha zaidi kumuingiza chumba cha mke mkubwa

  • @yusufngao9164
    @yusufngao9164 2 роки тому +6

    Wivu tu huo mke mkuu. Wacha kuendelea kudhalilisha familia yako.

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 2 роки тому +7

    Unachekesha sana, alifikiri hana uwezo ndo hawezi kuoa

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 2 роки тому +1

      Nashangaa ss iyo mahal alimtolea yy au wivu alafu uyo mwanamke ni kabalia moja kwaiyo wrangi. Rohaoa mbaya

  • @HalimaHalima-tq2bc
    @HalimaHalima-tq2bc 2 роки тому +10

    Duuh mama acha kuzalilisha familia yako wenzio yote tumepitia naatujawai pelekana ata kwa mjumbe wa nyumba kumi nivile tumeshukuru mungu sasa mama umri wako mkubwa aupendez kufanya ivyo usihadaike na izo pesa za warabu nazilivyo azina baraka ataukae miaka mingap aziwez kukutoshea nakumbuka kuna leo na kesho unayemzarau nakumuanika ndio atakaekuja kukusaidia

    • @maloomaalmnsj5111
      @maloomaalmnsj5111 2 роки тому

      Kweli pesa za wrabu utosheki

    • @HalimaHalima-tq2bc
      @HalimaHalima-tq2bc 2 роки тому

      @@maloomaalmnsj5111 umeonaee ata ukae miaka 40 uku nabado pia azitatosha

    • @aminaamiri7684
      @aminaamiri7684 2 роки тому

      Huyu yuko ibilis mbayaa hyu,,,,huwez mpangiaa mwanaume sehem ya kumuweka mke mdogo na ww muolewaji

    • @HalimaHalima-tq2bc
      @HalimaHalima-tq2bc 2 роки тому

      @@aminaamiri7684 umeonaee naanasema mumewe ana uwezo nakamruhusu kuoa sasa anategemea amueke wap au alikuwa anataka awe anazin labda

    • @aminaamiri7684
      @aminaamiri7684 2 роки тому

      @@HalimaHalima-tq2bc ajiongeze hyu mwanamke mwnzetu,,,mwarab s mwnzio time yeyote wakatiwa tkt warud,,,,mume kukuruhus kuja oman ni mapenz tosh lkn s kukaa mda mref hvyoo akamuacha mzee wa watu alinyegekaa ulitak azin shenz zake hyu

  • @samfone2357
    @samfone2357 2 роки тому +2

    Ushaur wangu jmni huyu bbi mdogo aondoke mana huyu bbi mkubwa aeza hata kumroga nakumfanyia vituko vibaya.zahir umemuuliza maswali yalonyooka hongera umri mdogo tupiganie pepo dunia nimapito huyu mama bimkubwa arudi nyuma

  • @mamakeaisha4926
    @mamakeaisha4926 2 роки тому +5

    Bora Ata utuletee Habari za munira na mume kuliko huyu mwanaharusi yuasinya sasaaa

  • @aishaomarry6996
    @aishaomarry6996 2 роки тому +2

    Kweli wanawake hatupendani Kakazana Amtoe huyo mwanamke nyumbani Khatari kwakweli

  • @user-rd7jt1vi5x
    @user-rd7jt1vi5x 2 роки тому +2

    Zahari achana na huyu mpumbavu hana Adabu hata kidogo wote huo ni uongo mshenzi huyu mimi ananikera kweli mwanamke gani hajitambui anajizalilisha tu haoni hata aibu 😏😏😏😏😏😏😏😏

  • @aishashaibu4772
    @aishashaibu4772 2 роки тому +4

    Nakwanini asirudi ukipata.kamtaji unarudi sasa utakaa huko mpk lini miaka2 7 huna hamu.nawatt wako khaaaa

  • @halimaauthman9324
    @halimaauthman9324 2 роки тому +4

    Wivuuuuuuui huyooooo🤣🤣🤣🤣🤣

  • @asiaoman3040
    @asiaoman3040 2 роки тому +2

    We dada sijapenda kabisa hunaadabu na mumeo wako yaani unatagaza aibu za mume wko Mungu anakuona walai na hayosiyo maisha mama pesa za Omni zinakupakikibuli

  • @catherinemasiga6666
    @catherinemasiga6666 2 роки тому +5

    Huyo dada anaonekana hampendi mume huwezi kukaa mbali na muneo kwa mda mrefu hivyo inategemea nini. Akubali yote huyo dada akiamua kurudi kwenye nyumba yake Basi wakaa chini wayatengeneza

  • @timanyere9052
    @timanyere9052 2 роки тому +1

    Aibu paka naona Mimi Jamanii..mama unadhalilisha mumeo Jamanii....amelea watoto tang wadogo Jamanii aibuu

  • @reynaaalrawahi4137
    @reynaaalrawahi4137 2 роки тому +1

    ILA DADA ULIKUBALI AOE UMEONA KAPATA DOGO DOGO BABU 😅😅

  • @aeshamrange6540
    @aeshamrange6540 2 роки тому

    Huyo mwanamke hanaakili bana zahir achana nae mm nimeumia kuona watt wake wanaonekana kabisa mama yao anawadhalilisha tu watt wake wana akili sana mashaallah wanajielewa

  • @jennyphiri1015
    @jennyphiri1015 2 роки тому +2

    Jamani uyu biti ayaze kufusa business yoyote ili ayiche peke yake uyu mama ana mudomo sana mm ndingekuwa na uwezo ningemisayidiya uyu biti

  • @geofreycheruiyotlagat3888
    @geofreycheruiyotlagat3888 2 роки тому

    Unamwambia kabinti kazuri kabinti hivo sio nzuri zahir

  • @nahiriali1405
    @nahiriali1405 2 роки тому +3

    Doh unamuita mumeo mkorofi mbele za watu kweli??

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 2 роки тому +1

    Awezi. Mchagia. Mke. WA kuowa atatowa mwanamke anae mtqka yy Shida nn kosa lq baba ni kulaza Mke mdugo ndani ya chumba chake bc ilo ndo kosa iyo ni yk adimpangie mama acha wivu uyo mrangi mwenzio umpendi kwann

  • @yasintajohn1189
    @yasintajohn1189 2 роки тому +4

    Kaka dhahili una fanya kaz nzuri saana kila siku... ila kwa huyu mama amon hapana kwakwel ana dhalilisha family.. ata kuwa ame pata mwanaume mwingine na anan tafuta sabb ya kuachana na huyo mwanaume... miaka saba yote jaman... hata hizo chart ni michongo ana fanya kumdhalilisha mmuwe .... ana dhalilisha family... una makaba na maswali ana jing'atang'a' tuu... mtu mzima hovyo kabisa .. ana ame pata kebentan ana mdanganya..

  • @SamsungA-sq9pi
    @SamsungA-sq9pi 2 роки тому +4

    Mwanaharusi kwann uongeze mikataba bila ya ridhaa ya mumeo? Rudi nyumbani na kwann ulikata mawasiliano? Tena unataka akusubiri miaka yote iyo? Unakosea bwana

  • @user-jz8sj5us1h
    @user-jz8sj5us1h 2 роки тому +4

    Sasa unataka baba audimie ata km ana ataudumia nn na kumbuka Tanzania sasa ivi mambo magumu uyo mumeo sio km ataki kuudumia watoto wake ila ali ngumu mwaya kwaiyo usimzalilishe mitandaoni kwa sababu wewe unazo sasa ivi

  • @annachales9623
    @annachales9623 2 роки тому +1

    Njoo..Ukirudi ndo uongee maneno hayoo....akapange na kati nyumba anayo.Acha ubinafsi

  • @aishaomarry6996
    @aishaomarry6996 2 роки тому +2

    ACHA ROHO MBAYA BI MDASHI😁😁😁

  • @joycechuki8258
    @joycechuki8258 2 роки тому +2

    Ukijua umeacha mume ukaenda gulf pls ukimaliza contract ya 2yrs rudi nyumbani ndio maana wengi tulio gulf tuko single hii pesa ya muarabu inatufanya tuwe na dharau

  • @sikukuuchuo3093
    @sikukuuchuo3093 Рік тому

    Zahir Acha uzembe tofautisha Kati ya utangazaji na kuwa Hakim .kuwa neutral sio Una egemea upande Mmoja. huyo mama lengo ilikua kumdhalilisha huyo Baba Mungu atamuumbua tu .laana zitamshika

  • @noortz9416
    @noortz9416 2 роки тому +12

    tatizo la sisi wanawake tukiwa atuna kitu .. tunakuwa wapole tukiwa tumepata kipato tuuh tunawaona wanaume kama mbwa...mwanaume anaweza kuoa..mwanamke asie nakazi..na akakaanae bila tatizo...ila mwanamke akiwa ana kazi siku akipata kazi huyo mwanaume hatajuta humo ndani..sasa ona huyu dada alivyokua nadharau kwa huyu mwanaume ..kisa tuuh nilimbukeni hakuwai kushika...pesa...kaenda uarabuni kashika pesa za uzeeni...anakua mkorofi..anabaki kutoa siri za mumewe kwenye mtandao wakati yeye..ndio hana akili

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 2 роки тому

      Very true

    • @pilimusa3217
      @pilimusa3217 2 роки тому +1

      Kabisaa

    • @dignakanje4508
      @dignakanje4508 2 роки тому +1

      Hyu mama anatakiwa ajitambui.Hyu mume sio chizi wala hjakurupuka.Alitaka kumfanya bwege mpka lini.Yy amekaa hko miaka saba akitegemea huyu mzee anaishije.Sibora alivyomwomba air kuliko angefanya maamuzi yake mwenyewe.Wanawake bana tukiwa nasenti kidgo tunamanyanyaso sana

    • @dignakanje4508
      @dignakanje4508 2 роки тому +2

      Alafu kakurupuka sana,mbona hkuna kesi yamsingi hpo yakupeleka kwazairi na kurusha mitandaoni.Kuoa wake zaidi yawawili hyo nisheria yao.Je hyu mzee angechukua jukumu la kwenda kumshataki yy angejisikiaje.Unamwacha mumeo miaka saba kwakigezo cha ww kutuma pesa ya matumizi.Hko unakoishi ww huna bwana.Au ndio mkuki kwa nguruwe kwabidamu mchungu.Embu mwongope Mungu wee mama.

    • @pilimusa3217
      @pilimusa3217 2 роки тому

      @@dignakanje4508 kabisaaaa👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿

  • @user-us6ze8bz3u
    @user-us6ze8bz3u Рік тому

    Una kiburi Kwa pesa za waarabu..utakiona ngoja urudi..hujui ridhaa ya mume..hapo Hana kitu..lkn ana uwezo mkubwa WA kufanya mmbo..hata mtume alokua maskini..lkn hakudhalilishwa Na Ni Khadija..Na alimuolea bi Aisha..ridhaa ya mume Ni pepo yako.riziki yatolewa Na mungu..

  • @laymashabani832
    @laymashabani832 2 роки тому +2

    Alie muelewa bi mkubwa aniambie na mimi maana simuelewi ata kidogo mbele nyuma nyumba mbele. 🤣🤣🤣🤣ROHO MBAYA ITAKUPELEKA PABAYA SHOGAANGU ATA MUMEO UNAMUWEKEA ROHO MBAYA TENA UKIWA UMEZAA NAE 😏😏

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 2 роки тому

      Ata mmi sijamuelewa hata mjinga kweli huyu ata kujieleza hawezi huyu itakuwa mchawi kweli

    • @radhiasalum7156
      @radhiasalum7156 2 роки тому

      Yani simuelewi kabisa. Miaka saba duuu acha baba aowe kwa kweli

    • @laymashabani832
      @laymashabani832 2 роки тому

      @@radhiasalum7156 Kabisa yani bora alivyo owa tu.

    • @laymashabani832
      @laymashabani832 2 роки тому

      @@mdzainb3722 Kumbe na wewe umeliona hili eeh. Maana nilijua mimi tu ndio sijamuelewa🤣

    • @nsumburoote2486
      @nsumburoote2486 2 роки тому

      Hata mimi Sijamuelew kwa sababu ni muongo muongo huyu atakuwa abaki wana huku Omani alikuwa anakitegemea, hivi mishahara ya Omani Inaweza kulisha Familia mwezi mzima kwa maisha ya Tz yalivyo panda vitu viko juu

  • @qjhafsafdd306
    @qjhafsafdd306 2 роки тому +1

    HUYO DADA HAJIELEWI HATUMII AKILI YAKE TATIZO WATU WANAMDAGANYA HAOHAO NDIYO WATAMCHEKA ANAMZALISHA MME WAKE HICHO ANACHOKITAKA HAKIWEZEKANI

  • @reynaaalrawahi4137
    @reynaaalrawahi4137 2 роки тому +2

    ZAHIR ACHANA NAE HUYU DADA TUNATAKA KUJUA HALI YA MAMA LELAT

  • @kizegherama7102
    @kizegherama7102 Рік тому

    Wewe ni fedhuli TU .kwani hukuona wenye uwezo mwanzo mpaka unaolewa . Ila tu Mungu ndio kila kitu.pesa Na nyumba ndio utu ukutoke .Allah akufilisishe duniani Na akhela

  • @Matildariziki123
    @Matildariziki123 Рік тому

    😂😂😂😂😂😂pesa alizipeleka wapi good 7years anaumwa kichaaa huyo mama ameona huyo mzeee anapendeza anagara anapewa vitamu tamu ndio anaogea huyo aufunge mdomo

  • @minakhamiskhamisi6193
    @minakhamiskhamisi6193 2 роки тому +4

    Unaon anavo jikanyg kanyag han lolote hy watt wake wanasem hv mam anasem hv

    • @ameenahbaharam9309
      @ameenahbaharam9309 2 роки тому +1

      Arudi basi kwanini anaendelea kukaa huko? Aje km anampenda mumewe

    • @user-jz8sj5us1h
      @user-jz8sj5us1h 2 роки тому +1

      Anaizalilisha sana family yake 😏😏😏😏

    • @minakhamiskhamisi6193
      @minakhamiskhamisi6193 2 роки тому

      @@user-jz8sj5us1h hak y mungu huyu mwanamk jahanam itamuhus mwanamk mbishi huyu sijui analaan y marehm bibi yake bc ukiangalia ht laa maan alilo ongea hmm

  • @yasmeenaal4191
    @yasmeenaal4191 2 роки тому +3

    Kwanza mwanaharusi ana maneno ya shombo sana

  • @mammam4701
    @mammam4701 2 роки тому

    Zahir hunaongea p went sana wew kaka hupo makin huwa hunaona haki ilipo na hunasimama hapo hapo haijalishi yan. UKWER MAMA PESA HINA FANYA HAMUONE MUMEWE MASKIN FULL STOP

  • @jyjerdaud4200
    @jyjerdaud4200 Рік тому

    Assalam aleikum kaka zahir kwa kweli hyu mama ana makosa kwanza kwa Sheria ya dini mume Hana makosa 2 yeye ajua mumewe Hana uwezo wa kumuhudumia mke alimpa ruhsa aongeze mke alitarajia amueke wapi wakati ana nyumba yke 3 hyu bi mkubwa anahofia bi mdogo asije kuzaa watoto wa karithi ila kwa Sheria ya dini amemkosea Allah na mumewake akae akijua analaniwa kila anapo inua hatua sababu Hana ruhusa ya mume kuongeza mkataba