WATOTO WA BI NDEFISIYWA MWENYE MIAKA 120 WAELEZA YASIOFIKIRIKA MAISHA ANAYOISHI BIBI HUYO HADI LEO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 січ 2023
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 56

  • @janemuthoni723
    @janemuthoni723 Рік тому +5

    Wau Masha’Allah na still anakaa mtu wa miaka 80 na mpaka anaongea vizuri ako na kumbukumbu ako na meno macho,Mungu anijalie nifike hata 75

    • @highzacknnko9685
      @highzacknnko9685 Рік тому

      Unasema hata sabini na tano weka imani usiseme hata sema zaidi ya..

    • @jolemerci2155
      @jolemerci2155 Рік тому +1

      Na mimi mungu niwezeshe nifike myaka 120 yesu niwezeshe nakuomba

  • @rosinayrmoshy5396
    @rosinayrmoshy5396 Рік тому +1

    Maisha ya zamani yalikuwa raha sana inagine mke unatoka unaendachukua mke mwenzako. No roho mbaya wala magomvi wanaishi peace kabisa. THOSE DAYS 💪👍

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 Рік тому +1

    Jamani nimewapenda nyie watu. I wish ningekua na wazazi wangu, bibi nk. Loool nimewapenda sana nyie watu mmenikumbusha mama yangu alikua akisisitiza upendo. Aisee Mungu awatunze jmn nyie. Bibi mzuriii nyie anasisitiza amri kuu ya Yesu 😘
    Duuh sweet grandma jmn

  • @shamzone388
    @shamzone388 Рік тому +2

    Mash allah huu ukoo mzuy sana wanapendana na wana umri mrefu wa kuishi

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 Рік тому +2

    Bi Halima 1954 Mtoto wa Chama Cha Tanu Huyo 👏👏👏👏👏

  • @jescarwegoshola1754
    @jescarwegoshola1754 Рік тому +1

    Aaaamen, kweli Mungu ni mwema asante kwa ajili ya hii Familia 🙏🙏

  • @hopenzowa7989
    @hopenzowa7989 Рік тому +3

    Hii familia ni Kubwa sana aisee 😁🥰 watoto wajukuu vijukuu na nini na nini na wote wapo sisi wengine tuna wazazi tuu hata babu na mabibi hatuna 🤔

    • @sakinaabdallah7713
      @sakinaabdallah7713 Рік тому +1

      Yote ni ya mungu kuna ambawo hata waliowazaa hawajapata kuwaona . Mungu ndiye anaefanya vile atakavyo pôle

  • @sakinaabdallah7713
    @sakinaabdallah7713 Рік тому +1

    Bibi ni mtu mweye busara n'a hechime . Mungu akubariki🙏🙏🙏

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому +1

    Awesome mashalllah nyie bado Yupo. Vzir bibi

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 Рік тому +2

    maa shaa Allah

  • @petronillamnyambi7607
    @petronillamnyambi7607 Рік тому

    Abarikiwe daima jamani historia nzuri kweli

  • @zainab8251
    @zainab8251 Рік тому +2

    Mashaa Allah

  • @oleiei434
    @oleiei434 Рік тому

    Huyo bibi hana miaka 120 kwa sababu watoto walizaliwa mwishoni mwa 1930's,

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 Рік тому +1

    Mashaallah bibi ananguvu zake

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 Рік тому +2

    Mama kijana watoto wazee

  • @neemamalaki8512
    @neemamalaki8512 Рік тому

    Jamani nimempenda Sana Bibi yangu king'ori ni nyumbani kwetu jamani

  • @aflahabdula4084
    @aflahabdula4084 Рік тому +1

    Mashaallah mashaallah

  • @yunislemnge5558
    @yunislemnge5558 Рік тому +1

    Ooooooooo jamaniii anakula nini atuambie na Sisi jamani 😂

    • @hidayaswai3119
      @hidayaswai3119 Рік тому

      Mwenzangu asili imeisha. Ss hivi artificial sana. Mungu atutunze

  • @peterkariuki9073
    @peterkariuki9073 Рік тому

    So you want to tell us this woman got married at age thirty??????? . Am doubting this because during those days, they were not schooling and girls got married at an early age! I deeply feel there might be some exerggaration on her age. Most likely she is around 110 years not 120.

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 Рік тому

    Huyu mke mwenza mbona anasema hakusoma mimi naona kuna ishara ya kuwa alisoma? anajieleza hadi raha na bibi aneacha wosia mzuri siyo kwa wanae tu bali na huku kwangu nimejengeka. Mungu aendelee kumtunza.

  • @mcback4384
    @mcback4384 Рік тому

    Kweli dunia ilianza na watu wawili, unaona Bibi ni mmeru lakini analandana kabisa na Mchagga, hakubatizwa hapo awali kisha baadae akawa mkristo lakini kizazi chake wapo wakristo, Waislamu, wameru, Wamaasai, hii inafikirisha sana ukiitafakari kwa utulivu!

  • @manasa2449
    @manasa2449 Рік тому +1

    Bibi yupo vizuri

  • @saadallah6287
    @saadallah6287 Рік тому +4

    Waandishi hawa 2023towa 1938 unapata 120 kweli?
    Ni miaka 85 tu wacheni uwongo

    • @dreamonline1997
      @dreamonline1997 Рік тому +2

      1902 kazaliwa

    • @janethkishe174
      @janethkishe174 Рік тому +2

      Mke mwenzie ndiye mwenye hiyo miaka ya 120 , bibi anayeongea yuko na 85

    • @beatricenjau2792
      @beatricenjau2792 Рік тому +2

      Elewa b4 commenting badly

    • @amanimanase8798
      @amanimanase8798 Рік тому +2

      Mwenye miaka 120 sio uyu ni yule mzee sana kuwa mwelewa

    • @MrKanuya
      @MrKanuya Рік тому +1

      sikiliza mwanzo hadi mwisho utaona huyo mwenye miaka 120

  • @matatomlik1846
    @matatomlik1846 Рік тому +1

    Maashallah

  • @sakinaabdallah7713
    @sakinaabdallah7713 Рік тому

    Wana upendo wa dhati kweli mashaallah

  • @ziadaskitchen5060
    @ziadaskitchen5060 Рік тому +1

    Mashaallah

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 Рік тому

    Bwana Yesu asifiwe sana

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 Рік тому +2

    Bado anakumbkumb vzr tu🥺.huyo bibi mzee alikua kisu balaa kama n mzee lkn bado anawaka tu ilikua pc asee

  • @faridahrashidjuma2025
    @faridahrashidjuma2025 Рік тому +2

    Enzi hizo uke wenza ulikua mzuri

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 Рік тому

      Mmmh uke wenza ni uke wenza uleule, kama ulikua ni mzuri sasa haya ma balaa tunayo yasikia yametoka wapi kama sio Urithi wa walio tanguli? Sema tu wapo wanawake wamefundishwa na kuandaliwa na maisha hayo ndio unakuta hakuna misuguano,

  • @rosemaryjuliyo
    @rosemaryjuliyo Рік тому

    Jeneration yake ngap

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 Рік тому

    Mungu ni mwema

  • @millicentrabera
    @millicentrabera Рік тому

    Wow congratulations

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому +2

    Zamani walikuwa wana owana kwa ndoa za kimila kumbe

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 Рік тому

    Wa toto wamezeeka kuliko Mzazi wao

  • @happinessshirima892
    @happinessshirima892 Рік тому

    Hata bib yangu na babu jaman mmoja ana 125 na mwingine 120 na wako vizur tuu.

    • @peterkariuki9073
      @peterkariuki9073 Рік тому

      I doubt that age of your grandparents. Mtoto wao wa kwanza ana miaka mingapi?

  • @isacklyanga1250
    @isacklyanga1250 Рік тому

    Yaani ninapoona mtu anishi miaka mingi kwangu ni faraja kubwa.

  • @mariamibrahim6738
    @mariamibrahim6738 Рік тому +1

    Bado anaakili kbsa uyu bibi

  • @ommarallyhamad7435
    @ommarallyhamad7435 Рік тому

    Hastahiki kutozwa Kodi tena huyu Nini badala yake inafaa serikali imtambue, imthamini na imlee kwa kumpatia" PENSHENI YA MAISHA"
    Ianzishwe" PENSHENI YA MAISHA" kwa watu maalum Kama hawa.
    NI heshima na fahari kubwa kwa Taifa.