ZABIBU |NILIANZA MAPENZI NIKIWA DARASA LA 4 |NAJUTIA KUZAA UMRI MDOGO |MAPENZI YAMENITESA SANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 кві 2022

КОМЕНТАРІ • 414

  • @khadjaiddlis283
    @khadjaiddlis283 2 роки тому +8

    Hapa tatizo nilogundua akili ilikuwa bado hivyo alikuwa hajaweza changanua mambo,,pole sana Zabibu mm nakupenda bure

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 2 роки тому +23

    Unaweza kufunika kichwa lakini umeshindikana, tabia nzuri inaweza kupatikana hata kama unavaa Jean's

    • @comulusnimbuss931
      @comulusnimbuss931 2 роки тому +7

      Tabia ya muumini hupimwq kwa matendo yake angelikua c muislamu wala asingelipew hio comment.. mwanamke wa kiislamu anatakiwa ajistiri mwili wake kikamilifu sio kuonesha vifua na makwapa mabarabarani..mwanamke stara au ushawah kula mihogo ilioachwa wazi barabaran

    • @FatimaFatima-wk1jk
      @FatimaFatima-wk1jk 2 роки тому +9

      Kila watu huafata kitabu kinacho waongoza katika Imani Yao so Kwa Sisi haijalishi unatabia gani hiyo ni juu yako lkn swala la kujistiri ni amri na sio ombi

    • @nizarurassa6480
      @nizarurassa6480 2 роки тому +1

      Jipe moyo hata Kwa mambo yakukupoteza.

  • @halimashaban7038
    @halimashaban7038 2 роки тому +12

    Zabibu mzuri Ma Sha Allah ila anapendeza zaidi akijistiri kichwa🥰🥰🥰

  • @mariammwendakazungu5783
    @mariammwendakazungu5783 2 роки тому +9

    Mashaallah zabibu kwa kweli we ni mrembo ddangu usizae tena saii panga uzazi mtt akianza kutembea fanya kazi ulee wanao tosha usizae tena

  • @pilimusa3217
    @pilimusa3217 2 роки тому +12

    Interview nzuri sana. Hongera Fabi. Zabibu mzuri sana. Nampenda saaana ❤✌

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 2 роки тому +3

    Mimi nipo tofauti dhumuni la interview km hii HASWA KWA ZABIBU na situation zooote alizopitia bado hajakaa sawa ni mzazi why mnamfanyia hivi? Siyo sawa kiiafya haswa psychology mnazidi kumuaribu hata km ana saidiwa maswali yakuendea kumuharibu psychology siyo sawa kiafya hata malaika wake atamlea vp akiwa hayupo okay inside.
    madhara hamuwezi ona sasa. I'm very Emotions nimeangalia 15 mins nimejisikia kuumia sanaa I can't🥺
    Zabibu yr very beautiful Mashaalah Allah akulinde nakukusaidia.

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 2 роки тому +18

    Ila Zabibu ulikuwa jasiri sana! Darasa la nne bado hata hujui dunia ni nini.Mpaka umri huu naamini wamekufunua wengi.Jitahidi mdogo angu uwe na sehemu za siri sio za maonyesho na mazoezi kwa wahuni.Maskini kanatia huruma sana ka Zabibu ketu.

    • @aminaamiri7684
      @aminaamiri7684 2 роки тому

      😀😀😀😀at maonyeshooo

    • @Kidotii
      @Kidotii 2 роки тому +1

      Ni mtoto hakuweza kujitetea watoto wakike ni wa kuwalinda hasa na Mungu atusaidie!

    • @sylviah9666
      @sylviah9666 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣ety ajitahidi awe na sehem za siri🤭🤭jamani mie nimeshangaa sana, darasa la nne mtu ashajua mapenzi🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️

    • @sebastiankatalle2732
      @sebastiankatalle2732 Рік тому

      Aisha unanivunja mbavu zangu eti wamekufumuaaa daaah we nomaa

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 2 роки тому +23

    Zabibu mzuri manshallah, tulia sasa hivi ulee watoto wako achana na mambo ya wanamme

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 2 роки тому +24

    Kujisitiri mbona kavaa jamani? IMANI IKO MOYONI SIO MAVAZI.
    AMBAE MTIMILIFU KATIKA HII DUNIA ANYOSHE MKONO HUMU.

    • @zainabkimera8892
      @zainabkimera8892 2 роки тому +4

      Hamna ila kukumbushana kupo

    • @husnaally6776
      @husnaally6776 2 роки тому +4

      Awee zabibu muislam wacha waislamu tumpe nasaha ...ajitande nywele zisionekane ndo uislam unavyofundisha ...haswa huu mwezi lzma uishimiwe angalau angejitanda kidogo ..uoni ata migahawa inawekwa mapanzia yote ni kuuheshimu mwezi ...so kupeana nasaha ni muhimu sana .... ajistiri ni bint wa kiislam

    • @nasraabdallah850
      @nasraabdallah850 2 роки тому +1

      Zabibu nibint wakilsam nasi km waislam wanzake nilazima tumlinganie hivo ndivo uislam unatufundisha

    • @husnaally6776
      @husnaally6776 2 роки тому +1

      @@nasraabdallah850 naam ukhty

    • @fatmamansour676
      @fatmamansour676 2 роки тому +1

      Mbona siku zote akihojiwa huoni nywele Leo ndo kaenda hivo

  • @nassibadam1410
    @nassibadam1410 2 роки тому +8

    Jamani zabibu nimzuri Sana mashaallah angekuwa hayupo kwenye mahusiano mm ningemuoa Ila nimewahiwa mm nimwana family wa maximamu namukubali Sana zahiri na timu yake nzima nawaombea kwa Allah wajallah awape hekima supila mfanye kazi zenu kwa baraka tele za Allah tabaraka Allah inshaaallah Mina llah

    • @aminaamiri7684
      @aminaamiri7684 2 роки тому +1

      Mwanaume yupi ndugu,,,,hyuu bint angepata Mwanaume alotuliaa angetuliaa mnoo,,,maan alishapitia meng

    • @zainabchizi960
      @zainabchizi960 2 роки тому

      Hy naomba kuongea na ww

    • @ZubedaHussein-it7nf
      @ZubedaHussein-it7nf 4 місяці тому

      ​@@zainabchizi960😅

  • @doublem5026
    @doublem5026 2 роки тому +11

    Zabibu funika kichwa wewe mtoto wa kiislamu nakupnda kwa ajili ya ALLAH😍😍😍, MUNGU akuongoze mdogoangu

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 роки тому +1

      Kwani mwarabu huyo mpaka ajifunikefunike kama anakwenda kujilipua

    • @maureenmashayo7401
      @maureenmashayo7401 2 роки тому

      @@Mpakauseme 😂😂😂😂😂😂😂

    • @lovenessgodson1075
      @lovenessgodson1075 2 роки тому

      @@Mpakauseme 😂😂😂😂

    • @ashazuber6548
      @ashazuber6548 2 роки тому

      @@Mpakauseme hahahahahahahahahaha haki hizi coment kwakweli sio mwarabu

    • @doublem5026
      @doublem5026 2 роки тому

      @@Mpakauseme kama ujui maana ya kujifunik funga🤐🤐🤐 domo lako usiniletee makasiriko 😏😏

  • @intisaarmuctar2975
    @intisaarmuctar2975 2 роки тому +7

    Yani mm nasema kabisa huyu zabibu ni utoto tuu na hawez kujiongoza...mm nabaki kulaumu pale pale malezi yamechangia huyu mtoto kufanya hayo mambo...hv kweli mtu mzima anaona kijana wake Kaleta mtoto wa miaka 14 unamwita mkwe??yani huyu akisaidiwa anatakiwa aondolewe kwao na hata kwa kina halfan pia aondoshwe aoate mtu wa kumuongoza ajue nn maana ya maisha atambue makosa.

    • @lylieouko9569
      @lylieouko9569 2 роки тому

      kabisaa,mazingira hayo na ukosefu wamuongozo ndiko kumechangia zabibu kuishia katika hali hii!

    • @esabelfadhili8432
      @esabelfadhili8432 2 роки тому

      Kabisa

  • @emmymatigula4870
    @emmymatigula4870 2 роки тому +15

    Vijana wasaidiwe"counseling"baadaye atafutiwe cha kufanya wataziiishi ndoto zao kwa uongozi na rehema za MWENYEZI MUNGU ALIYEHAI watashindaa.
    Wapelekwe Sober house kwa da Pili. watasaidika,

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 2 роки тому +11

    Nampenda saana zabibu

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 роки тому +12

    Zabibu haelimiki, yaani kila akisifiwa ndoo anajianika,tizameni sasa ramadhani yotehii, bichwa wazi kilasiku tunamfundisha, hafundishiki, hebu tizameni munira, mtoto msikivu mashaa Allah,darasa 4,unakubali ukaishi na mwanaume, kicheche kweli wewe mtoto

    • @zuhurakhasimu969
      @zuhurakhasimu969 2 роки тому

      😂💃💃

    • @fatmamamlo7882
      @fatmamamlo7882 2 роки тому

      @@zuhurakhasimu969 huyu wa dela jekundu nimkorofiiii

    • @husnaally6776
      @husnaally6776 2 роки тому +5

      Yaani dah darasa la nne ila siku hz kupevuka haraka sijui maana darasa la nne sijui chchte yaa rabbi ...ee mungu vinusuru vizazi vyetu jamani 😭

    • @husnaally6776
      @husnaally6776 2 роки тому +2

      Akili zake na makundi pia yanachangia ukifatana na mtembea wazi na ww utakuwa hvyo

    • @ashazuber6548
      @ashazuber6548 2 роки тому

      Hahahahahahahahaha darasa la nne na shule hataki tena

  • @user-sq7pz9ex5g
    @user-sq7pz9ex5g 2 роки тому +1

    Mashallah mdogo wangu Leo Hadi nimekusahau😍 nakushauri bado mdgo wewe hivyo tulia ulee wanao tafuta njia za uzazi WA mpango usizae tena.Halafu Una mwili Sana ukitulia

  • @asiacruiz5165
    @asiacruiz5165 2 роки тому +8

    Haki Fabian uko vizuri kakangu kwa kazi Yako🥰Allah Akutanguliye kwenye safari Yako ya maisha

  • @meselemanikitambi6716
    @meselemanikitambi6716 2 роки тому +8

    Mashaallah zabibu mzuri,lakn mbona leo hukujistiri nwyele zako kipindi hki cha mwez mtukufu.

  • @asmaally9958
    @asmaally9958 2 роки тому +6

    Nikweli zabibu mzur lla aache mambo ya vejiweni na bange aache

  • @mwanaishamande8880
    @mwanaishamande8880 2 роки тому +6

    Haki tabia ya zabibu sio nyakumlaumu anahitaji mtu amuongoze

  • @zuhurakhasimu969
    @zuhurakhasimu969 2 роки тому

    Pole sana zabibu na sahivi umekuwa siyo kama zaman sahivi kuwa na msimamo lea watoto wako achana na wanaumme,tafuta kazi sahivi usidaganyike sahivi wanaumme asilimia nyingi ni waongo sana usije tena kudaganyika na watu wa mtandaoni,walivyokuona hivo wakakutamani na ww ni mwepesi sana kudaganywa,kuwa na msimamo sahivi mdogo wangu, Allah atufanyie wepesi upate kazi uje uwasaidie wanao inshallah Allah 🙏🥰😘😍

  • @faridadondo2103
    @faridadondo2103 2 роки тому +5

    Dah zabib Leo umeniangush ukifunikag kichwa unapendez saan lkn Leo nahuo msuko mh sio wa nchi hii

  • @monamaskari2175
    @monamaskari2175 2 роки тому +3

    Fabin kisaka nakupenda sana

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 2 роки тому +16

    Zabibu mzuri mashaa allah

  • @lorettahamaro9065
    @lorettahamaro9065 2 роки тому +2

    This girl is so adorable 🤩 watching all the way from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @fatmaalriyami2418
      @fatmaalriyami2418 9 місяців тому

      Zabibu were sie...mama yk unamuathirisha kwaajili ya m.mume..Zahir anamtolea mane no duuuh...Dunia mwisjo

  • @judithmelvinealuchio8968
    @judithmelvinealuchio8968 2 роки тому +2

    Zabibu she's so beautiful akapata mazingira tofauti na hiyo ya hapo kwao na afwate dini tu vizuri asomeshwe maana hata shule anaweza soma au chochote kile trust me akirudi huko kwao atashaangaa hata hao wanaume amezaa nao mwanzo ataona sio levels zake kabisaa maisha ya mamake Zabibu ndio ilifanya aingilie sex mapema because of money mungu akuonekanie Zabibu uwalee wanao 💞🙏🙏🙏gud work Fabi.

  • @user-pr8pv2du2x
    @user-pr8pv2du2x 2 роки тому +8

    Zabibu bwana akili yake bado ya kitoto akitegwa kidogo anatoa siri zote 😂 😂 😂 kanifanya nicheke kwa sauti kama atapata mtu wakuishi nae sio mwanaume hata mtu wa kukaa nae huenda angebadilika kutumia ile kitu

  • @janemugoya1316
    @janemugoya1316 2 роки тому +3

    Hongera , zabibu take care of your kids God will open the way

  • @azizahasan2851
    @azizahasan2851 2 роки тому +2

    mashallah warahi zabibu amependeza akae tuu kwa mkwewe

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 2 роки тому +11

    Zabibu mzuli sana jaman tulia ww ni mzuli sana ❤️mashaallah

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 2 роки тому +2

    mashaAllah zabibu ukikaa ukitulia utapata stara mume mzuri tuu mm ningemshauri zabibu kama atakubali angeenda kusomea veta fundi cherehani ukaa ukalea wanao tuliza akili mdogo wangu mapenzi kweli nimatamu lakini sasa tulia ulee ama utakuta unaza n kila mtoto n Baba yake watakuwa list

    • @mamalao8574
      @mamalao8574 2 роки тому

      Chrahani Kuna vipimo mpaka mahesabu yataka mtu na akili ya kushika sio rahisi hivyo mnavyothania

    • @remiomar7154
      @remiomar7154 2 роки тому

      @@mamalao8574 huo n mfano tuu nimetowa

  • @zuhurakhasimu969
    @zuhurakhasimu969 2 роки тому +11

    Fabi nielekezee ofisi yenu ipo sehmu gani nije na Mimi nije nitowe yangu ya moyoni ya kutelekezwa na mme wangu ☺️😌😊

    • @maloomaalmnsj5111
      @maloomaalmnsj5111 2 роки тому +1

      @@Awatee point

    • @zuhurakhasimu969
      @zuhurakhasimu969 2 роки тому +1

      Sawa asateni kwa ushauri🙏

    • @shamzone388
      @shamzone388 2 роки тому +3

      Pole ndugu yangu ukiwa na matatizo yako jaribu kuamka usiku uwe una sali na kumuomba allah akusaidie
      Halafu fata watu wakubwa wenye ujuzi wa maisha au nenda bakwata ukadai haki yako ikiwa kutunzwa au kuachika
      Katika mitandaoni ni kujiaibisha na hakuna atakae kufaa... ni ushauri tu

    • @nasraabdallah850
      @nasraabdallah850 2 роки тому +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimejikuta nacheka kweli pole sn ndg

    • @zuhurakhasimu969
      @zuhurakhasimu969 2 роки тому +2

      Shukurani kwa wote mliyonipa ushauri Allah awazidishie umri mrefu 🙏🤲

  • @jasminishafii5478
    @jasminishafii5478 2 роки тому +3

    Maskini katoto mashaallah karembo allah akuongozeyenyekher badonimtoto naamini utabadilika mn kunawatuwakubwa wanafanyamamboyaajabu hadishetani anawashangaa

  • @Mamsocom
    @Mamsocom 2 роки тому +4

    Yes zabibu mzuri ila ifike kipindi aambiwe ukwel, mtoto wa miaka 17 watoto wawili, atulie home ache kutoroka home, apunguze kukitembeza, bangi aache alee watoto leo 2022 kapata mtoto wa pili kwa akil za full age next year ataleta mapacha

    • @mariamgodfrey53
      @mariamgodfrey53 2 роки тому

      Ameishaambiwa sana huyu mtoto ni sikio la kufa

    • @mariamgodfrey53
      @mariamgodfrey53 2 роки тому

      Ameishaambiwa sana huyu mtoto ni sikio la kufa

  • @ashazuber6548
    @ashazuber6548 2 роки тому +6

    Sema unakili sana ila tu hujampata mtu wakukutuliza akili wallah Zabibu tulia mwaya wee uko so beutifull gril

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 2 роки тому +4

    Mashaallah kizabibu kinasula softii

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 роки тому

    Khaaaaaa, aiseeeee umri huo watoto wa2 mungu akutunzir lkn
    Ubadilike sasa ustirike kw a ndoa tena

  • @aishajuma7813
    @aishajuma7813 2 роки тому +4

    Kazuri sana zabibu tuliya bac

  • @pilimusa3217
    @pilimusa3217 2 роки тому +1

    Maximum TV hoyeeeeee💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽🔥🔥🔥🔥👍

  • @chani_tayra_official1860
    @chani_tayra_official1860 2 роки тому +4

    Ila kuna watu wana wazazi wazur jaman...daaah mama yangu apo ungejuta maisha yako yote...ata sijuw ujasiri awa watoto wanatoaga wapi.daaah awanaga ata uoga wakumuogopa mzazi..!!

    • @aminaamiri7684
      @aminaamiri7684 2 роки тому +1

      Ukiona hvyo ujuee mama hakun,,,,yaan mzaz ukiwa ni mkal bint haharibiki hvyoo Allah atunusuru na vizaz vyetu

    • @bukuruasina427
      @bukuruasina427 2 роки тому

      Shani na amina amn mzaz anae kubal mttoe aaribik ni bas tu na mzaz ni mzaz kipenz chang ata umkosee vip ww ndie bint yaka kiukwel ata uwe mkal ila majang kama Ayo weee ni lazm uwe mkal Jap utaumia ila utakubal Tusem ty mzaz ni mzazi🙏

  • @danielmwamahonje9852
    @danielmwamahonje9852 2 роки тому +13

    ZABIBU JISI ANAVYOONGEA YANI YEYE KATIKA MAHUSIANO YAO ALIANGALIA SANA UTAMU YANI KUFANYA MAPENZI TU ILA SIO ALIWAZA MAISHA YA MBELE HAPANA ALIANGALIA SANA UTAMU TUU.

    • @rahimaan6481
      @rahimaan6481 2 роки тому +2

      Mbona utamu sasa 😂😂

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 роки тому +1

      @@rahimaan6481 🤣🤣😆😆😆

    • @roseatieno6691
      @roseatieno6691 2 роки тому

      TENA ALIANZA KUSKIA UTAMU AKIWA BADO MTOTO MDOGO SANA .ATA BARABARANI HANGEKATAA .

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 2 роки тому +1

      😂😂😂akuamgalia mapenzi aliangalia ngono kuna tofauti ya love and sex

    • @loisaclementine1826
      @loisaclementine1826 2 роки тому

      @@roseatieno6691 😂😂😂

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 2 роки тому

    Astafilullah darasa la nne mmmmh mungu wangu uliwahi we mtt mungu wangu ni umechachuka tangu zamani zabibu mmmmh alafu unapenda kukaa na wanaume wewe mtt kaaah mwenyezi mungu atusamehe sana na atuepushe na vizazi vyetu yarabi

  • @flashbreezytz7472
    @flashbreezytz7472 2 роки тому

    kwny uongo.tuseme na ukwl tuseme zabibu mzuriii

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 2 роки тому +5

    Subhanaallah wamaume jamani watoto wetu muwe makini💔💔maashallah mpole sana usikubali kabisa zabibu kuchezwa tena Masikini

  • @mwanaishamande8880
    @mwanaishamande8880 2 роки тому +5

    Mashaallah zabibu mzuri sana mashaallah

  • @chani_tayra_official1860
    @chani_tayra_official1860 2 роки тому

    Afu mtangazaji mbon kama simuelew 🥺🥺handsome jamn with that eyes 🥺🥺🥰

  • @Official83640
    @Official83640 2 роки тому +9

    Jaman huyu hajatimiza miaka 18 lkn kanishinda tabia na maswali anavyo yajibu sasa Mungu nihurumie mie na kizazi changu

  • @lucylucy3678
    @lucylucy3678 2 роки тому

    Zabibu wew mzur san nataman ningekuwa ndo mm nipo kama wew kweli dunia ingesimama bila shika,zabibu leo ujasitili kwann my wetu mwezi mtukufu huu.

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 2 роки тому +1

    Pole sana zabibu umeanza mahusiano ukiwa mdogo sana darasa la 4 sawa na miaka 10 inauma kama mzazi .

  • @mwanamisirajab
    @mwanamisirajab 11 місяців тому

    Mmi ningependelea zabibu arudi shule yaliyotokea n bahati mbaya,rudi shule mdogo wangu

  • @tanzngentv3336
    @tanzngentv3336 2 роки тому +1

    Jaman zabbukanenepa juhud za mamkwe pongez kwake kamtendea haki mzaz

  • @al-mamarial-mamari5457
    @al-mamarial-mamari5457 2 роки тому +2

    Mungu atustiri nawatto wetu lkn darasa la nne ni mtto mdogo sana. Mtihani kweli jamani. Mpaka sasa sura yako inaonyesha bado mdogo Zabibu.

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 2 роки тому +1

    Mashaaallah Zabibu leo Studio mbona hukuvaa mtandio leo

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 2 роки тому +4

    yani nikimsikiliza Zabibu yani nachoka kwakweri hii Love story yani usanii kama wotee

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 2 роки тому

    Leo kanoga uzazi umempenda🥰🥰🥰🥰🥰 hyu mtoto atuambie anataka maisha gni kwenye hii dunia😁

  • @mwanaishamande8880
    @mwanaishamande8880 2 роки тому +1

    Mzuri nampole sana akikaa mazingira mazuri naamini atabadilika lkn mumsihi aache bangi napombe afuate ibada nadini sana

  • @nooroman5280
    @nooroman5280 2 роки тому

    Zabibu naona anavyomuona munira katulia anawasikiliza na yy anataka abadilike awe kama munira sasa amecherew munira yupo kwenye msimamo ametuvyuja moyo sana kuzaa tena

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 2 роки тому

    Aisee darasa la 4

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 2 роки тому +5

    JAMANI mzuri huyu mtoto

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 роки тому +2

    Halfani umeokota dodo hapo hongera mtuliye mfanye maisha

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 2 роки тому

    STD 4 . Zabibu ulikuwa uxhapata ukubwa? Yani kuvunja ungo. Mmmmh aise Zabibu uko vizuri

  • @sadasaid4408
    @sadasaid4408 2 роки тому +2

    Kazuri mashallah zabibu halafu mdogo

  • @sofiemwita1836
    @sofiemwita1836 2 роки тому

    Jamani maswali mingi kwa huyo dada na nimdongo sana mungu yupo dada pia mimi niko na miaka 27 lakini nina mtoto wa miaka 10 but mungu yupo nasi dada yangu pole sana

  • @khadijaali4657
    @khadijaali4657 2 роки тому +3

    Mashallah huyu msichana ni mrembo sana angevumilia usichana wake angezidi uzuri wallahi tena nakupenda bure my dada

  • @QwQw-tr7gy
    @QwQw-tr7gy 2 роки тому +1

    Fab nawe mmbeya na maswal yako nifanye nije namie niongee yangu ya moyon😜

  • @mamafau9806
    @mamafau9806 2 роки тому

    Mashallah zabibu mzur basi maisha me naona yanamvuluga

  • @happytemu963
    @happytemu963 2 роки тому +3

    Mtoto darasa la nne, kweli kuna muda dunia inakimbia kwa kasi sana, woi

    • @zawadimussa2514
      @zawadimussa2514 2 роки тому

      Kweli aaan nashangaa mi nilifika fm 3 ata ungo sijavunja jamani

  • @hadeeegahalmawali504
    @hadeeegahalmawali504 2 роки тому +17

    Kumbe mzuri uyo binti mashallah 🥰🥰🥰

    • @pilimusa3217
      @pilimusa3217 2 роки тому

      Sana

    • @nasraabdallah850
      @nasraabdallah850 2 роки тому +1

      Zabibu nimrembo mno ndg ulikuwa ujui ilo yani nibas tu ndopale unaskia kwenyemit hamna wajenz ila nimtt mrembo sn hataki kutulia tu

    • @nasraabdallah850
      @nasraabdallah850 2 роки тому +1

      Zabibu nimrembo mno ndg ulikuwa ujui ilo yani nibas tu ndopale unaskia kwenyemit hamna wajenz ila nimtt mrembo sn hataki kutulia tu

    • @fatmamsiliwa8485
      @fatmamsiliwa8485 2 роки тому +5

      @@nasraabdallah850 kampita had huyo wema sepeto watu wanosemaga mzuri,tizama toto halijapambwa yuko iv je angekuwa na hels

    • @nasraabdallah850
      @nasraabdallah850 2 роки тому +4

      @@fatmamsiliwa8485 umeonaee hatar mi ananikata tu kutokutulia ila ndoivo tunazid kumuombea Allah atamuongowa mja wake

  • @user-dn7gn6ib4k
    @user-dn7gn6ib4k 2 роки тому +3

    Mashallah she is so beautiful girl

  • @mwananyamalaz4427
    @mwananyamalaz4427 2 роки тому +3

    Zabibu U looking beautiful today mashallah ❤️

  • @AminaAmina-mv4ko
    @AminaAmina-mv4ko 2 роки тому +1

    Zabibu ww ni mama wawa toto wawili kwa umli ni mdogo sana kwa.matendo ni mkubwa sana kachini ule watoto wako uza ubuyu karanga kashata upate matumizi madogo madogo kwa ajiri ya watoto wako maswala ya mabangi na mapenzi ya kiolela olela achana nayo tafuta fulus nzen

  • @eshaommy484
    @eshaommy484 2 роки тому +3

    Kwa nilichokiona kwa huyu binti ni bado mdogo bado akili yake ya kujitambua ni zero maana type zake ni za wanaume wavuta bange na wakaa vijiweni yn hakajui bado hata kujielezea vzr halafu kingine hajui kukataa mwanaume

  • @meryymeryymeryymeryy3358
    @meryymeryymeryymeryy3358 2 роки тому

    Anapenda wanawume wa vuta mbangi Kwa sababu waichangiye hooovyo mi sikupendi ajili ya ayo mabangi na kuza na wanawume wasiyo kuwa namana na unawona na maisha ya kwenu naweye njo wa kusaidia kwenu hovyo 😏😏😏😏😏😏🥱🥱

  • @didaomar3204
    @didaomar3204 2 роки тому

    Tafadhali maximum tv muulizeni zabibu ashaanza family planning sije mkaskia mja mzito tu sasa hivi alphani kambebesha tena..mkumbusheni tu pls 🤲huyu mschana mrembo ila bado mtoto sana..tena arudi shule ajielewe zaidi

  • @antiochiandyetabula960
    @antiochiandyetabula960 2 роки тому

    Mbona mdogo ivi jaman

  • @faridaf3923
    @faridaf3923 2 роки тому

    kiukweli zabibu akikaa kwa mama Fani ana nawili sana
    hata kipndi chamimba alinenepa🌹🌹

  • @twix1404
    @twix1404 2 роки тому

    Zabib mzuri achana na yule mvuta bangi mwenzio ulee watoto wako, iga mfano wa Munira wanaume wapo tu unaweza kupata wa kukuoa tulia ufanye biashara

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 Рік тому

    Wtoto zetu hawa mungu ndo anajua

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 2 роки тому +2

    Unasoma darala la 4 then unaenda kutambulishwa ukweni👫

    • @husnaally6776
      @husnaally6776 2 роки тому +1

      Apo hyo ya mchongo maana ata hao wakwe huenda awako sawa duh hatari

    • @pilimusa3217
      @pilimusa3217 2 роки тому +2

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @inongee1141
      @inongee1141 2 роки тому

      Inaelekea hilo eneo wazazi na watoto wote mvurugano 😅😅😅😅😅

    • @aishamamii2942
      @aishamamii2942 Рік тому

      Mimi nahisi alikua anacheza kimamamama

  • @janemugoya1316
    @janemugoya1316 2 роки тому

    And be strong dear, life is not easy.

  • @chachamnanka7964
    @chachamnanka7964 2 роки тому +1

    Ukweli tuu broo huyo mdad Yuko vzur xan

  • @aminahadi1966
    @aminahadi1966 2 роки тому +7

    Dunia isimame wengine tushuke lol darasa la nne kweli zabibu ?

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 роки тому +3

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 роки тому +4

      watoto wa mjini dada

    • @Kipepeo.zpt00
      @Kipepeo.zpt00 2 роки тому

      Darasa la nne nlikua na miaka 10🙆🏽‍♀️

  • @3lionsmusic101
    @3lionsmusic101 2 роки тому

    @Mwanangu unajua sana

  • @fatumasuleiman6989
    @fatumasuleiman6989 2 роки тому

    Darasa la nne kashajua kuachana zabibu mungu akusaidie ubadilike tu ni mitihan tu ya dunia

  • @rahmaomary5045
    @rahmaomary5045 2 роки тому

    Aiseeeee dunia simam nishuke nimefka ktuo chng jmni ao mama
    wote ao wa 3 kawapa nin mbn wamepoa ivo yn mama ote kila ktu sawaaaaa kila ktu wanachoambiwa zabib anasem atak kuzaa ten wakt gurudum la wanaum bado analiendeleza

  • @josephmuchiri3180
    @josephmuchiri3180 2 роки тому

    DAAAA?YANI ADI LEO BADO MPO NS HII FAMILIA?KUNA WATU KIBAO WANAUMWA,EBU ACHANENI NA WATU HAWA

  • @__maryam__t4085
    @__maryam__t4085 2 роки тому +1

    Jaman zabibu kazuli saaaaana na saaaana💞💞💞💞💞

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 2 роки тому +2

    Zabibu mwanangu upepo mbaya ulikupitia mapema

  • @nassiraliy5669
    @nassiraliy5669 2 роки тому +9

    jamani mm namtaka huyu binti nimuoe

    • @teddyelizabeth9358
      @teddyelizabeth9358 2 роки тому +2

      Nenda kitaani kwao

    • @bahatinassor9980
      @bahatinassor9980 2 роки тому +1

      Muache alee kwanza

    • @zariamwanza7308
      @zariamwanza7308 2 роки тому +2

      Mfate kwao kama upo serials

    • @zawadimussa2514
      @zawadimussa2514 2 роки тому +1

      Nikweli ila uyu naona kalelewa Kama gilasi maana ata kuosha vyombo nazani ajui ni kuzurila tu labda ukae na fimbo ndani,,aaaahaaah,,

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 2 роки тому +1

    Mimi mpaka apanilipo mama yangu halijui usiano LANGU na muogopa atali najiuliza mamazabibu yukovipi 🤔

    • @zawadimussa2514
      @zawadimussa2514 2 роки тому

      Apa Kwanza. Ncheke,,,kweli mama zabibu mzembe au anamfanya mwanae chuma ulete,,akileta kitu anafurah sana

    • @fetychina3273
      @fetychina3273 2 роки тому

      @@zawadimussa2514 Huyu mama waaina gani?🤔

    • @zawadimussa2514
      @zawadimussa2514 2 роки тому

      @@fetychina3273 nchi Ina mauzauza ya watu

  • @josemsafimusic3389
    @josemsafimusic3389 2 роки тому +1

    Fabi hujui kutangaza kipindi cha mapenzi sababu huna experience chingine unayachanganya maneno mdomoni upangiliaji wake chingine bro unauliza maswali km zahir ya kwenye sad moments tofautisha sad moments na loves story jaribu kujifunza kwa wenzio waliotangulia....sio mnafiki ila I’m try the best everyday to tell you that truthfully so I abeg you if I disappoint you 🙏 siwezi kukusikiliza mana nitakukosoa sana na mungu hapendi

  • @ulricamakalla5565
    @ulricamakalla5565 2 роки тому

    Yaaan hajui kujieleza ad inaboa

  • @saidaal1679
    @saidaal1679 2 роки тому

    Zabibu ni mzuri ila kwa sasa tulia lea watoto wako

  • @jamilamingaula4632
    @jamilamingaula4632 2 роки тому

    😂😂😂zabibu ety sigara s inaleta TB ile!!! Kwahyo bora bangee

  • @mamafeisal2546
    @mamafeisal2546 2 роки тому

    Moto wa darasa la 4 washawishiwa kwa kutambulishwa duh bongo mna mambo

  • @alfarsialfarsi2754
    @alfarsialfarsi2754 2 роки тому +1

    Wallah nakupenda Sana zabibu

  • @ramazecha8862
    @ramazecha8862 2 роки тому

    Wazazi hwana mafunzo kwa watoto wao wa kike

  • @salehsaid705
    @salehsaid705 2 роки тому

    Sie wapemba .au wazanzibar watu wa bara wanasependa kutwambia kuwa watu wa zanzibar tunapenda kuolewa wadogo sana .ila nimeona bola hivo kuolewa mapema kuliko watu wa bara .siku moja nilioongea na zahiri akanambia akanilaunu nyie wapemba mwaolewa mapema yani lawama tele .ila nimeona kit hapa wabongo wao wanatumika sana wakiwa wadogo .tena akiaambiwa Nakupenda t.na akiwaambiww n mwanaume njoo kwangu bs anajimaliza anamfata tu anaeenda kuishi nae .na wazazi pia ata wsws hawana wanawaachia t .binafsi sijapenda hawa wadada .zabibu . munira na wengine wapo wengi wanaotumika hivo wazazi jitahidini bs kuwa imara maana mtto akishakua na miaaka 20 .bs ashatumika vokutosha

    • @ednarwakatale8883
      @ednarwakatale8883 2 роки тому

      Nipate nafasi ya kuwasiliana na zabibu ningemsaidia mtaji walau aweze kutafuta pesa kwajili ya kusaidia hao watoto ambao ni taifa la kesho.

  • @fatimafa3434
    @fatimafa3434 2 роки тому

    Fabian kisaka mie nakupenda we mkaka🌹❤❤❤❣

  • @kingmtz5740
    @kingmtz5740 2 роки тому +6

    Bro samahani umesema zahidi badala ya(zaidi)pia kwenye vichwa vingi vya habari zenu hua mtanumia H mfano:aua mnaandika haua na mengine mengi ila nisamehe kwa kukosoa ni maoni tu

    • @rukiabakari4428
      @rukiabakari4428 2 роки тому

      Zabibu ushatereza jirekebishe umeanza mambo mdg sn darasa la nne mama WA Hassan kaukubali kuwa mkwewe,Sasa hivi uko ivyo kipindi icho ulikuwaje?