BINTI ANAYEFANYA KAZI ZA NDANI ASIMULIA MATESO MAZITO |AMLILIA MAMA YAKE |FIMBO ZA UMEME NACHAPWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 453

  • @rahmahussein2020
    @rahmahussein2020 Рік тому

    Mwanangu nakupenda sana endelea na msimamo wako utazidi kuheshimika allah akufungulie rizki zako

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 Місяць тому

    Asante sana ndugu mtangazaji kwa kusimama kama baba kwa kutumia nafasi yako kumsaidia huyu binti

  • @swaumujuma6333
    @swaumujuma6333 3 роки тому +12

    Pole sana binty mungu atakufanyia wepesi Inshallah

  • @marymayanja4672
    @marymayanja4672 3 роки тому +12

    Kwa kweli huyo mtoto anauchungu wa elimu. Mungu mfungulie njia

  • @suleimanabdillah7490
    @suleimanabdillah7490 3 роки тому +7

    Kwakweli Dunia hii,Wapo Ma professor wengi wanao randa kwasababu ya umaskini.Nataman ningekua na uwezo huyu bint ni genius,wenye uwezo kwasasa toeni sadaka kwa Mungu kumsaidia.

  • @neemaoman1519
    @neemaoman1519 3 роки тому +8

    Uyu msichana anaakili sana jamni maana katanguliza kazi kuliko msaada yani anaakili sana na mchakalikaji mwenyewe pia anamsamini sana mama yake allh atakufanyia wepesi mdogo wangu inshallah 🙏🙏

  • @ashurakiswamba7085
    @ashurakiswamba7085 3 роки тому +14

    Jamani huyu binti ni mzur mashaallah

  • @lylieouko9569
    @lylieouko9569 3 роки тому +15

    Am super proud of this young lady.May God almighty see you through and fulfill your heart's desires.Her passion and determination will pay off oneday..and yeah, she's very wise👌

  • @sharinv8864
    @sharinv8864 3 роки тому +27

    Jamani bado anataka kusoma yarabbi mfingulie njia arudi shuleni.😭😭😭

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 3 роки тому +8

    Subhanaallah mwenyezi mungu atakupa kila lakheli yaarabi ndugu jamani tupendane tusifanane tu

  • @mamyssaladou
    @mamyssaladou 3 роки тому +14

    Kaka Zahir huyo asirudi kule kwa Aunty yake atamtesa tena na huenda aliweka hasira jinsi walipelekwa polisi yajayo yatakuwa magumu mno

    • @princess.s.r7446
      @princess.s.r7446 3 роки тому +1

      Kweli kabisa mwenyewe mewaza ilo

    • @vincej9275
      @vincej9275 3 роки тому +1

      @@princess.s.r7446 Nimekubaliana nawe, asirudi kwa aunty yake tena.

    • @princess.s.r7446
      @princess.s.r7446 3 роки тому

      @@vincej9275 ee mana ķama zamani hakumthamini ndo aje kumthamini sasa ☹️☹️

    • @muzlishcareen3568
      @muzlishcareen3568 3 роки тому

      Kwel atamfanyia kitu sio

    • @mwanaidimasumai2768
      @mwanaidimasumai2768 3 роки тому

      Asirudi huko kwa huyo ant mnyama saana bora akae kwa huyo boss wake wa sasa

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 3 роки тому +10

    Maisha bila ya Mama mtihan 😭😭Wallah Mama ni mama Maskin Allah atakusimamia mdog wangu kwa kwel mim nimekuelewa wewe unahitaji kusoma Allah at akufungulie milango ya kher 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Utimize ndoto zako😭😭😭😭🤲

    • @neemafrancis9652
      @neemafrancis9652 3 роки тому

      Zairi tunaomba mlejesho wa yule kaka aliye fungwa hela kisa alimpa mimba mwanafunzi

    • @sikitujuma4866
      @sikitujuma4866 3 роки тому

      Na ili apate pesa ni lazima awe na taluma huyu ni kulikowate unao wapataga wazo langu aunt yake ni mpinga maendeleo ni bora huyo mama alie mpa aidia ya kwenda shule muongeya nae ili aendelee kumpa hufazi anaweza kujipanga asome mchanakwa kuwa amemsapot na hajaongea ubawa wa huyo mama

  • @sikitujuma4866
    @sikitujuma4866 3 роки тому +5

    Zahir uyo mtoto mungu amsimamie kumbuka umeisha ona watoto wengi walio letwa mjini wameishia kudanga lakini huyo anajielewa kwa hiyo anahitaji uangalizi wa hali ya juu ili afikie ndoto yake nimempenda kwa kweli ameona njiya ya kupa pesa ni kujituma

  • @neemajoseph6204
    @neemajoseph6204 Рік тому

    aiseeeee mungu nimwema sana mungu awatangulie kwa kila Jambo sisi wadada

  • @mussasnally1726
    @mussasnally1726 3 роки тому +5

    MashaAllah anaakili sana binti,,ila huyu bint asiende kwa Aunt yake kwan ataendelea kuteseka tu

  • @neemageoffrey3586
    @neemageoffrey3586 3 роки тому +1

    Nimempenda Sana huyo binti. Hongera Sana mdogo angu, Mwenyezi Mungu akuongoze

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 3 роки тому +6

    Mungu akubariki kaka zahiri milele inshaallah

  • @tasilimanuh4690
    @tasilimanuh4690 3 роки тому +2

    Duh pole mudgo wangu Yani history yako imeanza kama yangu ilivo azaga

  • @janemugoya1316
    @janemugoya1316 3 роки тому +14

    Don't give her the money...take in charge of her...she is still young...but smart...God bless her

  • @leylahbillah4876
    @leylahbillah4876 3 роки тому +15

    Subhanallah yaarabby ndo maana mabosi wanauliwa na wafanyakazi kila kukicha sababu hawana ubinaadam kabisa yaan

    • @bintsalimalbimany287
      @bintsalimalbimany287 3 роки тому +2

      Huyu boss wake ndo kama fikra ya kusoma English causes mjomba wake ndo alikua anamtesa jaman tuwache kusema kama mtu hajafaham askilize vizur

    • @leylahbillah4876
      @leylahbillah4876 3 роки тому +1

      @@bintsalimalbimany287 Ndo hatukujua kutokana na habari yenyewe ilivyoandikwa hapo haijasema kwamba mjomba alikuwa akimtesa ipo tofaut kbs na msimuliaji alivyosimulia

    • @mamialsawafi8020
      @mamialsawafi8020 3 роки тому

      Tz mauaji hakuna

    • @mamialsawafi8020
      @mamialsawafi8020 3 роки тому

      @@bintsalimalbimany287 Oman au Saud hapo au wapi jamani duh mungu anawabainisha nyie

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 3 роки тому +3

    Mm naona akipata pesa apelekwe kwa flora nitetee ili akasomee urembo

  • @fatmamsiliwa8485
    @fatmamsiliwa8485 3 роки тому +8

    Naomba kuuliza watu wa tim hii munalala humu dakika moja coment kibao ,mashallah

  • @nilufaallyhussein7678
    @nilufaallyhussein7678 3 роки тому +7

    Maashallah knowledge is Power

  • @aishaally2730
    @aishaally2730 3 роки тому +14

    Maskin anauchungu sana na nduguzake ALLAH atamsaidia kila akimtaja mamake analia

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 роки тому +1

      inshaallah mungu yupo

  • @mercynelima4241
    @mercynelima4241 2 роки тому +1

    Such a beautiful girl,,,mungu akuepushe na wabaya

  • @shi5a_
    @shi5a_ 3 роки тому +7

    Binti asome huyo jamani bora asome tuu🙄

  • @rahmahussein2020
    @rahmahussein2020 Рік тому +1

    Usilie jitahidi kua jasiri najua yote unayopitia .naguswa sana . Na maumivu ya huyu binti mungu mwingi wa Rehma atamfuta machozo mpaka kukutafuta zahir ana ndoto za baadae kibinti kizuri masha allaah.

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 3 роки тому +2

    SubhaAllah..pole mtt mzry

  • @brendaronesmo6928
    @brendaronesmo6928 2 роки тому

    Zahir Mungu Akubariki,Huyo mtoto niwapekee,Mungu ampe haja ya moyo wake,Ila asirudi kwa huyo shangaz kabisa,Mungu amponye Mama yake Mama ananafasi kubwa sana,Bos wake abarikiwe,🙏🙏

  • @rehemavickie6521
    @rehemavickie6521 3 роки тому +2

    Wakurya sio wakatili jamani mimi binafsi nilikua nawaogopaa but are the nicest people I've ever meet! Kind, loving, concerned ni wazuri mno
    Vile vichapo vyao ni vile wako straight hawanaga chengachenga.

  • @lovenessgodson1075
    @lovenessgodson1075 3 роки тому +8

    Kaka Zahir tukijaaliwa kuchanga tafadhari usimpe pesa mlipie shule ama chuo cha ufundi basi

  • @nooor1120
    @nooor1120 3 роки тому +8

    Bado mdogo sana huyu Bora asifanye kazi za ndani Bora mradi mwengine.

  • @neemamdami7466
    @neemamdami7466 3 роки тому +12

    Wanawake wanawake Mungu anatuona

    • @sweetluc2660
      @sweetluc2660 3 роки тому

      Huyo shangazi yake ni mbaya Sana kama Kuna mtu anaweza kukaa naye bora a mchukue Mungu at ambaliki akienda Tena anaweza kumtesa Tena

  • @veronicakiwanga1913
    @veronicakiwanga1913 2 роки тому

    Mr Zahari kazi yako Mungu atakulipa umebarikiwa sana. Keep it up.

  • @mauwarashid4823
    @mauwarashid4823 3 роки тому +2

    mungu_ akulipe_ kakazahiri_na kakafabi_kwakumsikiliza_uyu_binti_huyu_mungu_awape_maisha_marefu_naamani_nabaraka_naamani_ namdada_ naamini_sasaivi_mungu_ndio_kashaaznza_kukuokowa_mpaka_umefika_hapa

  • @aeshamrange6540
    @aeshamrange6540 2 роки тому

    Zahir Allah akujalie kher Inshaallah

  • @gililwise
    @gililwise 3 роки тому +14

    Yaani malipo ni hapa hapa duniani unapomnyanyasa mtoto wa.mwenzako .watoto wako watafanyiwa hivyo hivyo.

  • @rahmahussein2020
    @rahmahussein2020 Рік тому

    Wahaya wanapenda elimu hata serikalini wahaya hawakosekani pia hua ni sifa kubwa wakipata elimu huyu binti mdogo sana bora arudi shuleni akaongeza maarifa. Elimu ni ufunguo wa maisha. Mungu atatuhukumu kwa kunyanyasa .na kumhukumu afanye atakalo dhambi sana mtoto kama huyu anatafuta elimu .mtafanya la mana sana .ila wasitokee waharibifu kwa msaada. Wakamnyemelea mwsho wa siku .kumteekeza allah atamhafidhi ķwa nia yake safi

  • @vivianmwenda9729
    @vivianmwenda9729 3 роки тому +1

    In shaa allah mwenyezi mungu akufungulie milango yako ya kheir mwanangu.

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 3 роки тому +3

    Subhannallah walah tunapata mitihan kweli yarabi tulinde waja wakoo sio

  • @SAI_ke
    @SAI_ke 2 роки тому

    Msaidie dada arudi shule asome Mungu awabariki

  • @prettyh7509
    @prettyh7509 3 роки тому +4

    Jamani wa nyumbani kabisa mungu akuhfadh

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 роки тому +15

    Akasome QT au urembo tumchangieni jmn

    • @khadijasayeed3381
      @khadijasayeed3381 2 роки тому

      Huyu kwavile anajuhudi ya kusoma QT inamfaa na atafaulu vzr

  • @SAI_ke
    @SAI_ke 2 роки тому

    Dada nakuombea Mungu akufanyie wepesi katika maisha, akupe uwezo wa kusoma na akufungulie njia akuinue. Na yule bosi wako jamani mzuri Mungu ambariki pia

  • @rahmahussein2020
    @rahmahussein2020 Рік тому

    Binti mzuri sana . Anahitaji naendeleo hataki ujinga.mungu atamsaidia nia yake nzuri.pia kumtuza mamaake ni barka kubwa mungu atakubariki na kukuongoza

  • @slicehamfrey3504
    @slicehamfrey3504 3 роки тому +5

    Mungu akutie nguvu mwanangu

  • @victorialawrence7489
    @victorialawrence7489 3 роки тому +4

    Hongera ka zahir

  • @ashuramalevu5414
    @ashuramalevu5414 3 роки тому +7

    Pole Sana mwanangu

  • @catherinekatuu423
    @catherinekatuu423 3 роки тому +3

    Mungu atafungua mlango wa masomo yako na mama yako akopelekwa kwa nabii mkuu geordavie Arusha kisongo kanisani(kanisa liitwalo "ngurumo la upako"ataombewa na atapona kabisa🌞🙏🇰🇪.

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому +4

    Pole mdogo wangu huyo Dada yako Hana akili kweli

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 3 роки тому +1

    Daaaaa jaman mbk nimetoka na machoz I wallah pole sn Mwanangu

  • @jestinamagembe2125
    @jestinamagembe2125 3 роки тому +3

    Pole sana bint,Mungu atakusaidia

  • @ashaa497
    @ashaa497 3 роки тому +4

    Pole sana my sister

  • @hidayajuma3068
    @hidayajuma3068 3 роки тому

    Inshaallha mungu atakusimamiya shida zako. Utafanikiwa kwa uwezo wa llaa

  • @mariammariam1187
    @mariammariam1187 3 роки тому +7

    Subhana Allaah

  • @mwajabuamiri3457
    @mwajabuamiri3457 3 роки тому +11

    Subhanallah, jamani binti bado mdogo hlf anapitia magumu mno 😭😭😭😭.

  • @Mamsocom
    @Mamsocom 3 роки тому +3

    Jaman navyotafuta mdada kwa shida kuna watu wanapata na kumtesa jamani. Pole mdogo wangu

  • @tatotato506
    @tatotato506 3 роки тому +3

    Pole mdogo wangu achanisikilize kwanza

  • @jestinanicdorf8711
    @jestinanicdorf8711 3 роки тому +3

    Huyo binti anajitambua Sana asaidiwe späte elimu naona ndoto Yake kubwa Ni kusomea urembo.aendelee na hio english course kwanza Kisha huku akiwa anafuatia kusomea urembo.na huyo Mama bosi wake nampa big up

  • @shabaniguma8696
    @shabaniguma8696 3 роки тому +5

    Huyu mtoto ana hitaji msaada wa kurudi shule ya kawaida hii English haita msaidia sana kabisa pili ana hitaji kupatiwa sehemu ya kuishi huo utakuwa msaada mkubwa sana 😭😭😭

    • @shabaniguma8696
      @shabaniguma8696 3 роки тому +1

      Halafu Zahir bona swali la kuuza kuhusu huyu mtoto kama kuna family inaweza kumpa sehemu ya kuishi ili aweze kuishi sehemu salama kwa sababu kule shanngazi yake atamsumbua ni wazi tuu

  • @mantoumm4448
    @mantoumm4448 3 роки тому +18

    Zahiri tuomba mlejesho wa Karim yule aliye fiwa na mamake kigoma

  • @winnermariah
    @winnermariah 3 роки тому +3

    WOW WOW WOW......👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼

  • @rehemamohamedy4007
    @rehemamohamedy4007 3 роки тому +2

    Mtoto mrembo Mashaa Allah

  • @margaretwambete1228
    @margaretwambete1228 3 роки тому +6

    Lovely gal Angel

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 3 роки тому +4

    Pole sana mdg wangu mungu atakusimamia 😭🙏

  • @lathifaa860
    @lathifaa860 3 роки тому +2

    Pole sana dear

  • @mariammwambashi4859
    @mariammwambashi4859 2 роки тому

    Pole sana bint Mungu atakunyanyua

  • @qwqw1665
    @qwqw1665 3 роки тому +3

    Jamani mtoto bado mdogo sana maisha magumu sana

  • @ashuraomary8859
    @ashuraomary8859 3 роки тому +2

    Pole.mdongo.wangu.mungu.atakufany.upesi

  • @khadijarashid5533
    @khadijarashid5533 3 роки тому +2

    Pole Sana binty Allah atakufanyia wepesi insha allah🙏🤲

  • @janemburu4112
    @janemburu4112 3 роки тому

    Inauma sana mschana mdogo akitesheka hivi ,mungu akujalie

  • @salamanauthartanzania6301
    @salamanauthartanzania6301 3 роки тому +1

    Pole sana Mwanangu

  • @jokhaaadawi5972
    @jokhaaadawi5972 2 роки тому

    Subhanallah inaniuma sana mungu atakusaidia inshaallah

  • @ruthmwangi3199
    @ruthmwangi3199 3 роки тому

    Agood job.my.bro

  • @lenoxbuhanza4926
    @lenoxbuhanza4926 3 роки тому +5

    Arudi shule haraka tena secondary form two boarding school age Bado inaruhusu sana

    • @neemazee1864
      @neemazee1864 3 роки тому +1

      Unajuwa kupanga kumbe uja changia hata mbuni

    • @dativafidelis388
      @dativafidelis388 3 роки тому +1

      🤣🤣hadi raha ulivotoa maamuzi haraka haraka

  • @fsaad5116
    @fsaad5116 3 роки тому +2

    Jamani hawa ndio wa kusaidiwa sio kina zabibu na happy

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 3 роки тому +4

    Maskini Msaidie kaka Zahir

  • @latifajafari3375
    @latifajafari3375 3 роки тому +9

    Subhanaallah 😭😭😭

  • @happykimaro3761
    @happykimaro3761 3 роки тому +1

    Duuuh pole sana

  • @muddykishoma4452
    @muddykishoma4452 3 роки тому +1

    Inauma Sana

  • @marymakwega1366
    @marymakwega1366 2 роки тому

    Mungu awabariki kwa msaada mnaoutoa kwa jamii

  • @ashurakiswamba7085
    @ashurakiswamba7085 3 роки тому +7

    Tumchangieni jamani asome tena

  • @halimamimarich3799
    @halimamimarich3799 3 роки тому +2

    Pole sana mdogo wangu😢😢😢wanawake tuachenii roho mbaya jamn😭😭😭😭uyu mwanamke mungu atamlnii...ivi km n mtoto wake ndio yuafnya km mtumwa😭😭😭😭😭

  • @methodiajoseph4498
    @methodiajoseph4498 3 роки тому +5

    Mtoto ana akili sana pia tabia ya mtu Sia kabila

  • @khadijaamryyahaya3894
    @khadijaamryyahaya3894 3 роки тому +2

    Pole sana my

  • @3azxtv843
    @3azxtv843 3 роки тому +1

    Khadija
    Pole mdogo wangu

  • @ayshaaysha2165
    @ayshaaysha2165 3 роки тому +1

    Pole sana mng
    Mwenyezi mungu Akupe subira

  • @halimamnyati9311
    @halimamnyati9311 3 роки тому +2

    Pole sn ndogo upo wangu

  • @esterkiwelu4570
    @esterkiwelu4570 3 роки тому +5

    Huyo dada ameniumiza maana mapito anayopita nimewahi kupita

  • @Platzonetz
    @Platzonetz 3 роки тому +1

    Nilishakaaga kwa mjomba kilichonifanya nikimbie ni mke wake mjomba akirudi anamwambia vitu vya uwongo alafu anakaa chumbani mjomba anakuja ananigombeza kwa vitu vya uwongo yanii toka saiv kukaa kwa ndugu mwiko

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 3 роки тому +4

    Dada yangu wa kihaya, pole

  • @gloryarozy8651
    @gloryarozy8651 2 роки тому

    😭😭😭imeniliza sana nimekumbuka Yale maisha nimepitia na ndugu zangu Hila mungu atakusaidia

  • @rahmahussein2020
    @rahmahussein2020 Рік тому

    Kaka zahir msaidieni binti asipotee na mambo mabaya

  • @frankkassongo6639
    @frankkassongo6639 3 роки тому +1

    Very smart girl

  • @saudambinga3832
    @saudambinga3832 3 роки тому +11

    🇴🇲🇴🇲Mungu amwongoze jmn 🙆

  • @khadijahomankweliyamjahaya7421
    @khadijahomankweliyamjahaya7421 2 роки тому

    😭😭😭😭pole mdogo wangu mungu akupiganiee upate hitaji lako la moyo

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 3 роки тому

    Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi dadangu

  • @aminaam281
    @aminaam281 2 роки тому +1

    Imenibid nifate comment za mwanzo

  • @nasramohamedi4095
    @nasramohamedi4095 3 роки тому +5

    Kaka zahir please chunguza huyo binti jaribu kutafuta ndg zake uwackilize please please Kuna jambo chini ya kapeti

    • @nurenashakur240
      @nurenashakur240 3 роки тому +2

      Kabisa

    • @vanessarobyn4584
      @vanessarobyn4584 3 роки тому +1

      @@hasnasaif1075 Ebu punguza ukali wa maneno unajisikiaje mtu akikutukania mama haijalishi kakosea ila kumtukania mzazi cyo vyema pia tofautisha aliyesoma na kutokusoma hajui kujieleza tu .

    • @nasramohamedi4095
      @nasramohamedi4095 3 роки тому +1

      @@hasnasaif1075 wewe dada kuwa na busara kidogo matuc ya Nini bint wa kiislamu huo ni mtazamo wangu tu punguza jazba Mara zote ucpende kuhukumu bila kudadisi hivi mwanzon tulijua Hawa yule ni binti wa hovyooo??? Jamani hii kusaidia ni sawa lkn Kuna watu wengine wanatake advantage! Samahani hasna km nimekukwaza

    • @princess.s.r7446
      @princess.s.r7446 3 роки тому

      @@hasnasaif1075 nimejikuta nacheka jamani kweli kuna watu wanafikla potofu🤣🤣🤣🙌🏻🤣maskini bint wawatu anafanya kazi kwaajili ya kujitafutia elmu sasa yeye analeta bangi tena ameomba asimeshwe sasa angekua muongo angeomba pesa lakini ana tamaa iyo 😓😓😓

    • @princess.s.r7446
      @princess.s.r7446 3 роки тому

      @@nasramohamedi4095 Sasa hawa unamfananisha na toto wa wawatu akati unaona yele bangi kabisa🤣🤣🤣🤣🙌🏻🙌🏻

  • @abdullahhashimu2380
    @abdullahhashimu2380 3 роки тому +1

    Hakika dunian kuna watu wanapata shida nyie acheni tuu.!