𝐋𝐈𝐕𝐄🔴: 𝐒𝐇𝐔𝐆𝐇𝐔𝐋𝐈 𝐙𝐄𝐓𝐔 NA HUSNA BONA & HASHEEM IBWE | ZAWADI
Вставка
- Опубліковано 11 бер 2022
- Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
𝐋𝐈𝐕𝐄🔴: 𝐒𝐇𝐔𝐆𝐇𝐔𝐋𝐈 𝐙𝐄𝐓𝐔 NA HUSNA BONA & HASHEEM IBWE | ZAWADI
#Bonatv #Exclusive - Розваги
Bona Tv huna ubabaifu shughuli pambe hongera sana Allah akujaalie kheir in shallah katika ndoa yako udumu na mumeo daima mzae watoto wema wenye maadili na wenye kuifuata dini yao in shallah.
Nimependa ushirikiano wa ma Mc. DJ mtasha hanaga show mbovu. Ila MC wa kiume penye R na L unaniangusha. Kazi yenu ni fireee
Hivi huyu dad pesa anatoa wap??? Anisaidie hata kamilion nikauzie daqaa jaman ,,du dada tajiri Mashallah
Nimefurahi sana kuona unaolewa dada husna, ww ishi nachojua n kukupenda tu🥰😘😍😍🥰😘
Nimeyapenda mashauzi ya Anna mapenzi
Nyie Fetty Kitasa💥💥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️🥰🥰🥰
Fatty kitasa ni mmoja tu🔥🔥🔥❤️
Anaga umbambambs
Hongereni Sana,
Yeeto,Yaidhiha mno!!!!
Nendho!!!!
Kitasaa hana mbambambaaa 🔥❤️
Shughuli pambee sana,haswa akiwepo Mc Muuh nakupenda,nakupenda na kukupenda tena. Sauti maalum,mc maalum. Husna hongera sana,Allah awajaalie ndoa yenye kheir na baraka. Ameen..
Shu kama shu 🔥🔥🔥🔥🔥💃💃🇧🇭🇧🇭🇧🇭
Nice, Mimi nipo uk lakini kuwa natizama iyi program
Kitasaa ni mmoja tu bhana
Kazi mzuri
Jamani nikimtaka uyu somo nampata wapi?mana yuko🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💋💋💋💋💋💋
Nitafute tuyajenge😄
Ongera. Sana
Ongera my dada husna Allah akujalie kherii kwny ndoa yako.😘
Hatimae imekuwa kweli hongera
Kitasa kama kitasa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇧🇭🇧🇭🇧🇭💃💃💃
Mashallah
Kitasa🙌😁
Kitasa umewezaa na umewezaaa tenaaa
Tatizo nyele hukuifanyia haki ilikuwa uwek nyeus ungependeza dana
🔥🔥
Kitasa🙌
Hellow, sherehe iko Sawa lakini vipodozi vimearibu Sura za watu wengine
Niches r❤ 😂🎉😢😊😅😮
Fety kitasa shikamooo dada😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Nice
Masomo tumeweza sio shida zetu😂
Jmn shuu nakupenda
Kitasaa🔥🔥
I love fetty u' r chaming
Kama huna roho ngumu, unaeza ukasema unakituu kwenye hii maisha😂😂unakumbukaa kumbe ni kutafuta mtuu unajipiga kifua unasemaa mm.mwambaa😅
Husna Bona nywele sijaipenda ungeweka nyeusi
Nilijua pekeangu 😅😅😅 mpaka cku ya halus miwigi tuuuu
Nikajua n mm tu ata hajapendeza na nywele izo ata angeweka nyeusi tu na rang yk nyeup nyeup angependeza
Masomo Wana vitambi hao 😀
Good
Nc 🌹♥️
Mhhh masomo pambeeee👌👌cy kw mizawad hyoo
Umeonaee hatuna ubabai😂
@@salmatwalib145 🤣🤣🤣🤣🤣
Dada @Salma twalib naomba jina la wimbo mliongia nao tafazal
Agrey mwenyekiti wa wajomba maresh😂😂😂😂😂 dah
Huy M.C wallah haaaaah jmny cjapenda kwa kwly shughuli nzr imefana Mashaallah ila huy M.C haaaah anumwa nikimskia 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
jamaniii jamaniii mm akitunzaga kitasaaa tu 🙌🙌🙌🙌🙌na video nimemalizaaa
Ma mc imetisha sana hongeleni sana
Uwiiiiiiiiiiii
Kitasa anacheza kitajiri sana😂
😘👌🏽
Iyo ndiyo shughuli sio unafanya shughuli kesho unamka huna htmia
Sasa huyu Dalini guo gani hiyo mmh guo haipendezi adi kumsaidia rafiki yake kutunza anashindwa
scola madiwa
Rose d umependeza
Pesa duh
Hyo nyimbo ya kwanza yaitwaje msaada
Yani hata mi nimeipenda sana inaitwaje
@@asmahmgoha8849 kila mja na riziki yake.... Mwanahawa ally
Kitasa nakuita🤣🤣🤣💋💋💋💋
Mashog wengi jmn 👌🏽👌🏽👌🏽🙄
Iv izo pesa watarudishiwa? Au ndio bac Tena ? Mbona nying Ivo na mm sija ata 1000
Apa mc ata ukikesha mpaka asubuhi ni sawa tu ata siku 2 maana unaondoka upo vizuli
Angry kama mwanamke vile 😅😅😅😅🙄🙄🤣🤣
Mariam sungura amearibu show na make up mingi
Nayo niya matajiri kweli
Ila mac wana pata pesa san😜😜😜😂
Husna Bona, ndo mwenye Bona tv?
Ndio
@@veronicasambagi9479 ni yake mwenyewe? Hau na mumewe
Mh iko poa
Huyu Bwanaa yuko wapi?
Uyu kitasa ni kiboko
Kuna watu bongo wana hela
Wenawee simakamela man macameraman
Hiyo nyimbo yaitwaje
Yale Yale by leyla rashd
Hyo ya mwanzo walioingia nayo masomo yaitwajs
Mh
Mbona km wanachambana jmn😂😂😂
Ukute sareh kibenteeen wa da mkubwa😂😂😂
Da mkubw yupi sas
Huyu mc wakiume hjmbo lkn
😂😂😂😂😂😂😂 hehehehe MC kama mc Nakupenda 🤣😂
Shingapi kupamba kama ivyo
Shuu saloon ni mmoja tuu 🥰😍🤩
Sasa Shuu unacheza kama unapigana jaman kesho simwili utakuuma jaman.huoni kitasa anacheza bila jasho
@@reginabeno1904 jamani kila mtu na mizuka yake shoga angu 🤣
kitasa hatar nyie kitasa hatar nyie
Hivi vijanaume sivielewi kabisa Mtihanimtupu
Mashoga yametawala hii dunia hatari
Yamwishohi ni mtihani sana
Kitasa ni mmoja tu epuka ugai gai mtu wa watu buanaaaaa weeee
Ukute kitasa ni DADA yangu na haminambii
😂😂😂😂😂🙌
🤣🤣🤣
Iiiiiiissssssshhhhhhhhh
Kweli hatari mtu anatunza milioni kumi hatari sana...
Mashallah
Tatizo nyele hukuifanyia haki ilikuwa uwek nyeus ungependeza dana
M.C wa kiume kun jambo lkn apo 😂
😂😂😂Tena kubwa
Salhiya Sikuwezi