APIMA MIMBA LIVE!! MAMA WA MIAKA 49 ALIYEOLEWA NA KIJANA WA MIAKA 21|SIJAFUMANIWA NI KIKI TU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 568

  • @felistaseleki720
    @felistaseleki720 2 роки тому +9

    UKIANGALIA KWA UMAKINI MKUBWA HAIKUWA NDOA ILA ALICHOKOSEA NI KUWAAMINISHA SANA WATANZANIA HAPO TU.

  • @mercymwimi1188
    @mercymwimi1188 2 роки тому +29

    Mama unajidhalilisha sana kumbuka wewe ni mwanamke,ona aibu basi

    • @gleciousreymond5065
      @gleciousreymond5065 2 роки тому +2

      Kwanini utudanganye mnatumalizia mabando pumbavu nakizazi chako hats mama aliekuzaa ni feki ungekuwa Moshi tungekupiga mawe ngurue wewe

    • @aminakawawa5800
      @aminakawawa5800 2 роки тому

      Kweli maneno yako

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 2 роки тому

      @@aminakawawa5800 kwer

    • @upoupo9485
      @upoupo9485 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😛😛😛

    • @gleciousreymond5065
      @gleciousreymond5065 2 роки тому

      Unaju tatizo kubwa mungu anakuangaza ulitumia nguvu kubwa kutuaminisha kuwa ileilikua ndoa yakweli watanzania wote wakaamini kuwa nikweli sasa unatumia nguvu hiyohiyo kutuaaminisha kuwa ilikuwa sikweli nilana zakudanganya wakubwa kwa wadogo laana hiyo itakutafuna mpaka mwisho wamaisha yako tubu kikamilifu usamehewe usichukulie mzaha nakikos chako mwambie mchungaji angalie mchungaji hatumiki hivyo asicheke sijampenda kabisa

  • @bintmuhammad4913
    @bintmuhammad4913 2 роки тому +54

    Achana na mitandao bibi wewe unazidi kujidhaliisha wacha lipite fanya mambo yako mana kila ukifanya interview kutaka kuaminisha watu kua ni Kiki unaambulia kichambo ambacho kinazidi kukupatia stress wacha kufanya interview litapita. Hadi kipimo cha mimba mtandaoni hee!! Ili iweje sasa! Mama unazidi kuwatia stress na wtt wako kila siku mitandaoni namuonea huruma sana yule mtt wako mkubwa tuliemuona akihojiwa very sad unawaathir wanao kisaikolojia ujuwe.

    • @Mazoea
      @Mazoea 2 роки тому +6

      Ata mimi nimeshangaa sana Kila kukicha yupo mitandaoni.na icho kipo Cha mimba tena ndio kujidhalilisha

    • @mwanakhatib5825
      @mwanakhatib5825 2 роки тому +2

      Huyu mamaHana piliadi hiyo mimba ataipataje jamani hili ni zeee tuu hamna mimba

    • @mwanakhatib5825
      @mwanakhatib5825 2 роки тому +2

      Mtu nzima oyoooo ulikua unamkubatia mitandaoni yoooo Lana wew unamtia aibu mwanaotu na ukiwi ukapime

    • @ashaabdalla924
      @ashaabdalla924 2 роки тому +1

      @@mwanakhatib5825 ukimwi pia aje atupimie kama hivi alivopima mimba nyoko zake

    • @binthkhamisi1097
      @binthkhamisi1097 2 роки тому +4

      Huyu mama mtyumzim ni muongo san mpk sura yk imemchoka kwa kweli

  • @khamisikasim3662
    @khamisikasim3662 2 роки тому +22

    Usimpe hongera huyo mama muhuni tuu

    • @zakiakiriani2817
      @zakiakiriani2817 2 роки тому

      Msituletee uyo mama atumtaki kabisa leteni watu wenye shida apa

  • @aishahassan9812
    @aishahassan9812 2 роки тому +25

    ila mama jaman unazidi kujidhalilisha na kuwadhalilisha watoto wako sijui mtoto wako mkubwa anajisikiaje kwa kipindi hiki mungu amsimamie
    uwe unafanya mambo kwa kufikiria ona madhara ya kutembea na vitoto vidogo sasa ivi unadhalilika kila leo

    • @nadyasalim7956
      @nadyasalim7956 2 роки тому

      Tumemchoka hasaa asijikoshe buree yeye ni muongo aliolewa anaona aibu huyo mjinga

  • @judithmasima5800
    @judithmasima5800 2 роки тому +6

    Si ulisema pete mlinunua tandika? Wewe mama embu tulia achana na mainterviw. Naona hutunzi kumbukumbu?

  • @egeniamariste49
    @egeniamariste49 2 роки тому +12

    Mama yangu mzazi anamiaka 64 ukimuona leo ni kama anamiaka 35 jamani miaka 50 unayo kabisaa wewe ni kibibi mbona unakataa miaka yako. Mara ulifungiwa ndoa kwa rafiki yako leo unasema kanisani duh wajiaibisha sana

    • @mwanakhatib5825
      @mwanakhatib5825 2 роки тому +1

      Wee yure ni mtoto wako Tena mmefanana sanatu achauongo wako

    • @ramlamburi9743
      @ramlamburi9743 2 роки тому +1

      Shangaa nawewe anavyohangaika kikongwe huyu

    • @nadyasalim7956
      @nadyasalim7956 2 роки тому

      @@ramlamburi9743 hana adabu 50 huyo achunguzwe mpaka ajulikane na uongo wake

  • @Nwowbeei
    @Nwowbeei 2 роки тому +14

    Na kama ulumuona basi alimdanganya kijana kua ana mimba. Hata kama walikwenda kupuma basi alikua amebeba mikojo ya mtu mwenye mimba akayapeleka.wanawake tuna vitimbi sana

  • @khadiijoaxmed4763
    @khadiijoaxmed4763 2 роки тому +6

    Mama Mungu anakuona kwelii tena huoni haiyaaa unamdanganyaa uyo mtoto umembemendaa unamzaa uyoo , mulberry huruma mtoto wa mwanamke mwenzioo , KIKI gani ???

  • @marykirigiti203
    @marykirigiti203 2 роки тому +7

    Unazidi kujichanganya tu ulisha kosea mpaka na mwanao ulikuwa unamshirikisha wa Nini kwenye mahojiano Kama ilikuwa Kiki kwa nn uhusishe watoto mpaka kwa waandishi ilitakiwa Kiki yako iishie kwako na aiz mm ungeleta kesi kwangu ningekuweka ndani sk tisi ili usiludie Tena

  • @eppiemodest
    @eppiemodest 2 роки тому +3

    Bibi wewe Mungu hatakuacha salama. Tubu na mwombe Mungu akusamehe. La sivyo utapata tabu.

    • @omanmwajabumbeguoman8642
      @omanmwajabumbeguoman8642 2 роки тому

      Yani uyu dada ovyo kabisaa yule mtoto saizo hana raha kabisaa nahatuwezi kumuona kwenye huu ujinga sikuzote ujapima ulikua wp wee danga tuu

  • @elizabethkimario4927
    @elizabethkimario4927 2 роки тому +7

    Mama na utu uzima wote unahangaika nini na watoto wadogo?

    • @siashao169
      @siashao169 2 роки тому

      Anatombana na watoto wake

    • @Mazoea
      @Mazoea 2 роки тому

      @@siashao169 😂😆😂😆😆😂

  • @dorcasofficial1698
    @dorcasofficial1698 2 роки тому +4

    Umetowa iyo mimba mwenyezi mungu akusamehe naimani mimba umeitoa

  • @alfarsialfarsi2754
    @alfarsialfarsi2754 2 роки тому +11

    Lakini mama ndoa Si mliitangaza wenyewe mabusu kama yote ushachezewaaa

    • @dadaagnes4483
      @dadaagnes4483 2 роки тому

      Na keki walilishana mdomo kwa mdomo

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 2 роки тому +19

    Mtu mzima kisheti wanasheria walio kusikiliza itakuwa wanatumia simu za tochi hawajaona ndoa yenu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @queenhuu2852
      @queenhuu2852 2 роки тому +1

      Mmmh, maximum tv mumenishiinda Hadi mimba mumempimaa ,nyny kiboko TV zote wamelishindwa hili lkn nyny mumeweeza ,

  • @hailinhelen4675
    @hailinhelen4675 2 роки тому +2

    Sifahamu ukiaminisha watu ndio inakusaidia nn mpaka upume mimba live ♥️ mkatuonesha mikojo hapa ata ingekuwa ukiwa una mimba mtt utalelewa na tv basi sio hivi tena kashfa tu 😄

    • @florangido202
      @florangido202 2 роки тому

      Kapima Maji huyo
      Mbona ana haha!! SI akae Kimya!!
      Kama NDOA Ilikuwa ya UWONGO shida ya KUONGEA sana ni nini!!
      KIJANA HAKUTAKI TENA....
      MALAYA MZEE WEWE!! JIMAMA OVYOO KABISA, KAJAMBE MBELE...
      KWENDAAAAA

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 2 роки тому +19

    Mume wa Kwanza labda alimshindwa kwa umalaya tu kaamua kujisepea!!

  • @jumashukani8472
    @jumashukani8472 2 роки тому +6

    Uyu mama sio mwisilamu kwanza malaya kwenda zako kwann ulidhalilisha uisilamu wewe

  • @fatumakassim64
    @fatumakassim64 2 роки тому

    Ivi akunasehem ya voice natamani kutuma voice nichambe mbwa uyu mama mtu mzm ovyoooo utakuja kufa wew choko wew

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 2 роки тому +11

    Aisha gani uyo akwende kabisa, aliukana uislam zaidi ya mara 3

    • @bintmuhammad4913
      @bintmuhammad4913 2 роки тому

      Ilo nalo neno mtihani kwa kweli dah kuna mambo si ya kufanyiwa mzaha hata kdg.

    • @FatimaFatima-wk1jk
      @FatimaFatima-wk1jk 2 роки тому

      Mtume kasema tusifanye mashara katika dini huyu mama amekosea Sana Hilo lkn jengine Yule kijana amemkosea Sana huyu dada alijitoa Kwa moyo alikubali matusi fedheha zoote lkn Leo ana mlipa maovu

  • @lebaokinda6009
    @lebaokinda6009 2 роки тому +5

    Huyu mama lakini nimkweli msimtukane jamani ilikuwa nikiki mimi nimemuamini anasema ukweli🇰🇪

  • @wamugimohammed3848
    @wamugimohammed3848 2 роки тому +3

    Huyu mwanamke ni mnafiki sana ! Kwanza lazima APIGE SHAHADA TENA ! AMEKUFURU SANA , HATA ALLAH HAYOKO RADHI NAE !

    • @kasongosaid2577
      @kasongosaid2577 2 роки тому

      Nyie nae sasa tunaamini mnatudanganya kule TIKI tv mlisema pale cio kanisani leo unasema pale ni kanisa la Pentecost sasa tuamini lipi

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 2 роки тому +1

    Subhanaallah tenda wema wendezako usingoje shukurani lakwaza nyumba haina geti ewe mwenyezi onyesha ukweli yaarabi

  • @feynation3739
    @feynation3739 2 роки тому +3

    Wema wako umekuponza maskini Pole sana ndio utubu sasa maana kuzalilika ushazalilika sana Ila hapo kwenye kupima mmefeli sana mnataka ku prove nin wew mama em achana na haya mambo

    • @omanmwajabumbeguoman8642
      @omanmwajabumbeguoman8642 2 роки тому

      Yaan apo ametu hakikishia kwamba alifanya kaenda kupima mimba ya nn sasa 🙄🙄🙌🙌kweli ume kanyagwa😂😂😂😂

  • @angelmariaotieno2253
    @angelmariaotieno2253 2 роки тому +5

    Tutaamini vp Kama mmepima mkojo wake au wa mwingine, au ametoa

  • @belinahototi6187
    @belinahototi6187 2 роки тому

    Mama juliet hongera kwa ukweli wako. Yule kijana atapata aibu mwishowe. Pole mum

  • @salma-gf8ek
    @salma-gf8ek 2 роки тому +11

    Sasa wewe unataka kumpoteza mtoto watu kisa mapenzi Acha ivyoo Bana wewe unamuona Tu mtoto WA watu wakati alikuowa kweli

  • @genelnchera5607
    @genelnchera5607 2 роки тому +1

    Na bado mtatapatapa sana nitazidi kuwaambia kuwa hamkutudanganya sisi bali mlimdanganya mungu ndoa ni mpango wa mungu sasa mnautafuta ukweli kwa nguvu mpaka mahakamani

  • @mamalandynangy52
    @mamalandynangy52 2 роки тому +17

    We mama unatuaibisha wanawake wenzako ! Unaongea uongo mwingi! Mara ilikuwa kiki anatoa mziki mara mimba! Duh nahisi unamapungufu

    • @siashao169
      @siashao169 2 роки тому +1

      Kiki ya mavuzi yake huyu malaya pori

    • @nadyasalim7956
      @nadyasalim7956 2 роки тому

      Kaishiwa hana jipyaaa

    • @nadyasalim7956
      @nadyasalim7956 2 роки тому

      @@siashao169 hahahaa malaya mchafuu huyu cha uongo

  • @leoniaolomi6779
    @leoniaolomi6779 2 роки тому +2

    Ww B Aisha nakushauri kaa kimya tu .

  • @shillahkenny4818
    @shillahkenny4818 2 роки тому +1

    Pole sana nilijua kiki maana bar ndio mlifanya kanisa watu walikuwa kumi

  • @joycenowara559
    @joycenowara559 2 роки тому +3

    Pole dada kama ni kweli

  • @NaZ-xf1gr
    @NaZ-xf1gr 2 роки тому +3

    Malaya mkubwa acakusema uongo

  • @florangido202
    @florangido202 2 роки тому +16

    Mngepima kesho yake Baada ya Ugomvi, hapo kashaitoa,
    KWENDA Malaya wewe

    • @nadyasalim7956
      @nadyasalim7956 2 роки тому

      mimba kama kwelii alikuwa nayo basi aliitowa huyu muhuni

    • @EK-kp2np
      @EK-kp2np 2 роки тому +2

      Hapana, kama alikuwa nayo na akatoa bado ingejionesha kuwa ana mimba, maana ni wiki tatu tu, homoni zinafutika mwilini kuanzia wiki 4 mpaka 6.Hivyo inaonyesha hakuwa na mimba

    • @zakiakiriani2817
      @zakiakiriani2817 2 роки тому +1

      Uyu mama umalaya sana kamuqlibia mtoto wawatu bado anatumia nguvu kumuangamiza mtoto

  • @pieremchome5202
    @pieremchome5202 2 роки тому +4

    Achana na mambo ya mitandaoni,kaa utulie nyumbani mama

  • @adinantv4701
    @adinantv4701 2 роки тому +2

    Mama kwa sura mzuri lakini nafsi yako mbaya rudi kwa mungu na ufanye ibada sana yote unayoongea ni uongo mtupu

  • @Nwowbeei
    @Nwowbeei 2 роки тому +4

    Ww mama wajitanza .ulisema ndoa ilikua kwa wale wasimamizi nyumbani kwao.leo wasema ni kani kanisani mhh mama weee kua na kauli moja tuu

    • @Mazoea
      @Mazoea 2 роки тому

      Anajikanyaga uyu mama Muongo

  • @Nwowbeei
    @Nwowbeei 2 роки тому +2

    Alopokojoa ulimuona?

  • @fransiskamwinuka4750
    @fransiskamwinuka4750 2 роки тому

    Wewe mwananmke mwenzetu acha uongo. Kwa taarifa yako ndoa ni ndoa huwezi kusema ulikuwa unaigiza. Kama uliingia kanisani na mchungaji alikuwa madhabauni akiwafungisha hiyo ndoa basi hiyo ni ndoa halali kbs. Kwa sababu mchungaji alishiriki, pamoja na wasimamizi. Ni bora ukatulia kuliko kujirusha kwenye mitandao.

  • @wasimbaa6653
    @wasimbaa6653 2 роки тому +2

    Uyu Kama hajitambui

  • @khamisikasim3662
    @khamisikasim3662 2 роки тому +7

    Ameshakwenda kuflash mimba ya aiziii kitenge........kwa hivyo hatuamini sisi

  • @backamwasha8280
    @backamwasha8280 2 роки тому

    Unaigiza wapi Wewe mbona utambuliki sehemu yoyote kwenye sanaa

  • @mariavianeypeter2991
    @mariavianeypeter2991 2 роки тому +7

    Ila Aisha kwa nini uliwaaminishia watanzania kuwa mlifunga ndoa, kiki ya namna hiyo sio nzuri na kama ni kiki kwa nini mliweka kanisan? Naomba wazazi wa izee waitwe ukweli utapatikana. Wazazi wa izee jitokezeni kuelezea jambo hili

  • @glorycheyo1081
    @glorycheyo1081 2 роки тому +1

    Kwani hapo unaonekana Mdogo?

  • @GULF444
    @GULF444 2 роки тому +3

    Ushez uu tumechoka mjue.tuko bize na mawe yeny inarushwa kule itaishaje.ii ya mimba haituhus

    • @TheFire_Gamer
      @TheFire_Gamer 2 роки тому +1

      Kakosea kumwita mchungaji wa kweli na kakosea sana kusema kabadilisha dini

    • @MunaMuna-tn3go
      @MunaMuna-tn3go 2 роки тому

      Yaan aya mawe yanatuchanganya kweli

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 2 роки тому

      🤣🤣🤣

    • @GULF444
      @GULF444 2 роки тому

      Ukwel tuko bize na mawe😂😂😂😂

    • @pilimusa3217
      @pilimusa3217 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣 na nabii kaombea na mawe yanaendelea

  • @husseinparco9640
    @husseinparco9640 2 роки тому +2

    Cha mitandao na shuhuli iendelee km ulifanya Kiki mungu anajua munatuchanganya kichwpa

  • @magretsamba5002
    @magretsamba5002 2 роки тому +4

    Tumechoka Kila kukicha mambo ni tofauti..wacheni kutuchanganya akili zetu

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 2 роки тому +2

    Huyu mama simpendi anatumia nguvu nyingi kujisafisha soon anaingia miaka 50 mme wake kasema kazoea kuchezea watoto wa watu kubwa jinga hili aibuuu 😂😂😂😂

  • @zuberimohamedi255
    @zuberimohamedi255 2 роки тому +3

    Dada mahakamani unaenda kudhalilika zaidi

  • @Jamila-cz5ge
    @Jamila-cz5ge 2 роки тому +3

    HUKUJIHESHIMU HATA WATOTO WAKO UMEWAAIBISHA SANA

  • @glorycheyo1081
    @glorycheyo1081 2 роки тому +1

    Kwahiyo ulikuwa unamdanganya unamimba sizes?jitu zimaa ovyoooo

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 2 роки тому +2

    Wallah mama umeuwa juu umkomoe izee amethoa mimba hyooo....

  • @felistafutte2514
    @felistafutte2514 2 роки тому +5

    Apo mwanzo ulisema mulifungia nyumbn kwa rafiki ako Leo kanisani Pentecost wew Mama ebu fanya utulie maana hutunzi kumbukumbu

    • @bintmuhammad4913
      @bintmuhammad4913 2 роки тому

      Hapo ndio anapojichanganya huyu bibi ila yule Izee interview zake zote maneno yamenyooka ni bora tu atulie anazidi kujidhalilisha.

    • @Mazoea
      @Mazoea 2 роки тому

      Muongo uyu mama

    • @bintmuhammad4913
      @bintmuhammad4913 2 роки тому

      Mipaka umeivuka bibi weee kucheza na dini ya Allah eti usanii wewe Mungu hadhihakiwi hilo ni jambo zito mbele ya Allah ujuwe

    • @rahmamwaliko1159
      @rahmamwaliko1159 2 роки тому

      Ni mpuuzi huyu mama hajielewi kabisa mshenzi Sana

    • @mwanakhatib5825
      @mwanakhatib5825 2 роки тому

      Hahahahahah jimama weeeeee

  • @abisinamustafa3118
    @abisinamustafa3118 2 роки тому +2

    Hiyo mahakama ya kumhukumu huyo kijana lamda uhonge lakini laa sivyo wewe uko hovyo.ulitamba mwenyewe kua hadi tumefanana., hadi kwa mkuu wa mkoa wa temeke mlienda kama mke na mume, hadi mwanao alihojiwa akakiri kua huyu ni baba.umejichafua mwenyewe mama, mastaa kibao wanafanya kiki na haina madhara yoyote.ushauri wangu ungekaa kimya tu usizidi kulisambaza.

  • @mariavianeypeter2991
    @mariavianeypeter2991 2 роки тому +5

    Dada hatuamin hicho kipimo sisi watanzania yaan kama ameweka mate au tone LA maji hakuna kitu hapo

    • @pilimusa3217
      @pilimusa3217 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣

    • @adelinaomani9012
      @adelinaomani9012 2 роки тому

      Katia maji bana au kachukua wajilani kauficha alivoambiwa kup8ma kadumbukiza kipimo

    • @adelinaomani9012
      @adelinaomani9012 2 роки тому

      Kwakipindi toka ishuitokee huenda keshafrashi ili kupoteza ushahidi

  • @susyanyama2417
    @susyanyama2417 2 роки тому

    Kutoa mimba ni only 6hrs and in 2weeks uchafu yote ishatoka ukipima ni mstari mmoja mungepima immediately izee adipose mbona mlichukua mda

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 2 роки тому +2

    Duh!! Huyu Dada had huruma😳🙄Weee kwanza umekosea Mungu sana ulikiri kuwa ume badili dini yaan wewe dada Mungu hatokuacha ndio Maan wewe watu wengi hawakuamin kwa sabab umekosea sana utadhalilika tuu Ila pole sana ndio mambo mzee wa kwaya😩😢🙄Mhh hii movie sijui itaishaje jaman 🔥Mpk sasa cjui nishike wapi Ila Izii kwangu iman kwake ipo asililimia 90 au 99 wewe nakupa moja tu 😂😂

  • @teodosiampogole6767
    @teodosiampogole6767 2 роки тому +3

    Mama acha hayo mambo,umri huo hapana.hutapungukiwa chochote hata kama ilikuwa kiki ,kwanini ufanye WW ni mtu mzima kujiabisha TU ungeendelea kufanya KAZI Yako ulipungukiwa Nini .

  • @saidlele5213
    @saidlele5213 2 роки тому

    Bi. Mwandishi wa habari ungenusa ukathibitisha Kama ni mkojo kweli au rangi ya mabuyu.

  • @joycenowara559
    @joycenowara559 2 роки тому +3

    Kweli hakuna geti na watoto pia hakuna sasa jamani huyo Izee achukuliwe hatua au labda pia hii ni kiki wajifanye wamepanga wagombane haki siamini tena kiumbe Mtu

  • @saleemadhiyabalkhatri7800
    @saleemadhiyabalkhatri7800 2 роки тому +2

    Mie nastaajabu huyo dogo anangangania kwani lazima kama mwanamke hamtaki atakama alimuoa nakama kamfumania siamuache kwani lazima aundio kazoea dezo mteremko sasa kakosa inabidi alazimishe nakuomba misaada kwa watanzania mtu unanguvu zako kafanye kazi au rudi kwenu mwanamke hakutaki siolazima anamgangania nimemuoa nimemuoa sasa hakutaki sibasi kwani lazima jamani

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 2 роки тому +11

    Kashatoa uyo 😂😂😂😂😂😂

    • @nadyasalim7956
      @nadyasalim7956 2 роки тому

      mimba katoa huyu au alikuwa hana

    • @Mazoea
      @Mazoea 2 роки тому

      Yes Ametoa iyo mimba

    • @aishachambo8663
      @aishachambo8663 2 роки тому

      @@nadyasalim7956 katoa kaona heka heka imepamba😂

    • @naomisanga6980
      @naomisanga6980 2 роки тому +1

      Katoa mimba huyo bibi🤣🤣🤣

    • @aishachambo8663
      @aishachambo8663 2 роки тому

      @@naomisanga6980 😂😂😂

  • @lilianberitha9915
    @lilianberitha9915 2 роки тому

    Ningependa sana kuona hizo movie anazo Igiza huyu mama

  • @زيتونتنزانيا
    @زيتونتنزانيا 2 роки тому +3

    Mtu mzima hovyooooo

  • @ashtube1333
    @ashtube1333 2 роки тому

    Pole sana dada Mola atakulipia

  • @siashao169
    @siashao169 2 роки тому +15

    Acha ujinga wewe malaya mzee ! eti una miaka 38!! puuuu! wewe ni 55 huna aibu kulala na mtoto wako!

    • @nadyasalim7956
      @nadyasalim7956 2 роки тому +2

      hana adabu

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 2 роки тому

      Hiyo siyo kiki ya mji huu, dohh

    • @naomisanga6980
      @naomisanga6980 2 роки тому

      Lisula lenyewe limekomaa kama nini

    • @lebaokinda6009
      @lebaokinda6009 2 роки тому

      Wacha kumwita malaya kama angekua ni dadako atukanwa hivyo ungeskiaje? Please stop nonsense!!🇰🇪

  • @khadijamohanani6476
    @khadijamohanani6476 2 роки тому +1

    Hiyo mikojo pengine niyamtu mwengine tutajuaje

  • @siashao169
    @siashao169 2 роки тому +24

    Ameshatoa hiyo mimba maana ndiyo kazi yake huyu malaya kikongwe kulala na watoto wa wenzio!! mbwa mwitu wewe! ndiyo maana mume wako halali alikuacha na sasa umetoka kwa Izee unachukua wanaume wa watu!

    • @Mazoea
      @Mazoea 2 роки тому +2

      Ata mimi nilihisi ivyo ivyo Ametoa mimba uyu

    • @ishyjuma2246
      @ishyjuma2246 2 роки тому +1

      Hahaha

    • @Hermajestypurityjr
      @Hermajestypurityjr 2 роки тому +3

      Na nyie maxmam tv hamna vya kufanya au

    • @dadaagnes4483
      @dadaagnes4483 2 роки тому +1

      @@Mazoea 😆😆😆😆😆😆

    • @user-cg3vf2bl6b
      @user-cg3vf2bl6b 2 роки тому +4

      Hilo lijimama limebeba ata chai rangi ,hiyo sio mkojo,huyo mkatili kabisa heri mchawi anayekuroga mara moja ukafa kuliko huyu kila siku yuakusema

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 2 роки тому

    Nampenda ayisha yuko makini isipokuwa msaada ulikuponza

  • @mariammjema4901
    @mariammjema4901 2 роки тому

    Pole mama yatapta

  • @zaitunisinamenye1799
    @zaitunisinamenye1799 2 роки тому +3

    Aceni kumtukana uyu mama, wawahoji wakiwa pamoja, ila apo kila mtu atajiteteya

    • @nadyasalim7956
      @nadyasalim7956 2 роки тому +1

      watapigana wakiwa wote

    • @ishyjuma2246
      @ishyjuma2246 2 роки тому +1

      Atatukanwa kwasababu Hana ukweli, namambo yote yalionekana Kwa video nyingi sana

    • @ashaabdalla924
      @ashaabdalla924 2 роки тому +2

      Nani alokwenda kwake kumtukana si ujinga wake kujitoa mitandaoni mtumzima ovyoo asojielewa

    • @mwanakhatib5825
      @mwanakhatib5825 2 роки тому

      Happy sio wake mnafiki mkubwa huyu

    • @mamiyfeiy
      @mamiyfeiy 2 роки тому

      Hapo hapana ukweli atulie ache mambo ya kuhojiwa

  • @clemencianyaboga8946
    @clemencianyaboga8946 2 роки тому +17

    Ni ukweli umearibia mtoto wa watu. A ngekua mtoto wako ungefurahisha. Limama usidwe na mauongo zako

  • @MishiPapalan
    @MishiPapalan 2 роки тому

    Mwenyezi mungu amekulani wewe.muisilamu umeenda kubadilisha dini kwa kitoto kidogo ona sasa unavo aibika umebaki kutapatapa kama mfa maji mtu mzimaovooooo lana hiyo

  • @mouwanahamisi8216
    @mouwanahamisi8216 2 роки тому

    HT avae mawigi uvae vimin BD umtumzima na umeliwa na Isee vzr kakunyandua ucku mchan kwendraaa namchukia yaan Bora angetulia Tu

  • @joycenowara559
    @joycenowara559 2 роки тому +1

    Pole dada ni makubwa haya aber tumejifunza kitu kwa hii Story

  • @azizamohamed7692
    @azizamohamed7692 2 роки тому

    Mtumzima ovyo umemdanganya adi mweshuniwa Joketi na kumuwaminisha ni mke wa Izee Mungu anakumbuwa vibayaa miaka 38 uitoe wapi unajitahidi kushinea mawivini Ili uwonekane Binti wakati kilometa zimesoma

  • @unknownjollof5372
    @unknownjollof5372 2 роки тому

    Dada mtangazaji unatakiwa kuvaa glaves maradhi mengi sasa

  • @monamunga7950
    @monamunga7950 2 роки тому +2

    Huyo muongo mimba katoa na pia umri wake ni mkubwa 49 . Umri sio sura ni namba hata akiongea macho yanaonyesha ni uongo anaongea wanasaikollojia tunaelewa what is going on

  • @bonifaceibunga9443
    @bonifaceibunga9443 2 роки тому +3

    Je, huyu mwanamke bwege anaweza kuionyesha mahakama kuwa ana uanachama BASATA kwamba yeye ni msanii wa bongo movie. Au anatafuta afungwe ?

    • @siashao169
      @siashao169 2 роки тому

      Hakuna msanii bwege kama huyu malaya! anadanganya Watanzania

    • @mwanakhatib5825
      @mwanakhatib5825 2 роки тому

      Mtumzima unatagaza unazini vua mawigi uanze kutubu wee mama ni mtu mzima jamani

    • @mamiyfeiy
      @mamiyfeiy 2 роки тому

      Nalo nenoo

    • @pilimusa3217
      @pilimusa3217 2 роки тому

      @@mwanakhatib5825 38

  • @salmasalma8203
    @salmasalma8203 2 роки тому

    Mmmh cn cha kusema

  • @rachaelkawiche2267
    @rachaelkawiche2267 2 роки тому +1

    Jiangalie dada Mungu hadhihakiwii acha kuongea sanaa

  • @joycenowara559
    @joycenowara559 2 роки тому +1

    Kweli wema Waweza kukuponza sana na pia labda kuna Jambo Mungu amekuepushia janga kwa njia hii Izee ananitumia mi nakupa pole nalikuwa nimekuchukia sana kwa sababu niliona mwanamke ni awe na maadili lakini nimefikiria nikiaona Aisha awe Mungu atende kazi yake basi dada fanya maombi

  • @mbiutv
    @mbiutv 2 роки тому

    Kik inachukua miaka miwili?

  • @amanimanase8799
    @amanimanase8799 2 роки тому

    Amesha itoa long time

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 2 роки тому

    Sanaa imekuingiza kwenye usanii

  • @SophieSpira
    @SophieSpira 2 роки тому

    Kanunga alifanya Kiki nyingi sana za harusi na pia kuigiza kama yeye ni padre wa kanisa la kikatoliki... Mbona sasa hamfahamu hili Kiki...

  • @annamsingi2829
    @annamsingi2829 2 роки тому

    Utjidhalilisha Sana Bora unyamaze achana na hayo mambo

  • @justaamos2548
    @justaamos2548 2 роки тому

    wapigieni wazazi wa izee tuwasikie

  • @vickylupemba6055
    @vickylupemba6055 2 роки тому

    Ee jamani kwani lazima kuonyesha kila kitu? Mwandishi Angeleta matokeo tu!

  • @bonifaceibunga9443
    @bonifaceibunga9443 2 роки тому +2

    Kubali kataaa Izee amekulamba

  • @margritkraeuchi8723
    @margritkraeuchi8723 2 роки тому

    Ww mama uruma cheti cha ndoa kiko ungesema after 2 weeks kwamba ilikua feki ww ni mtu mzima Hello 👋 😄

  • @alfarsialfarsi2754
    @alfarsialfarsi2754 2 роки тому +2

    Wewe mtangazaji mkojo anaweza kuchukuwa WA MTU yoyote akauleta au mimba katoa

  • @graciousmbise5464
    @graciousmbise5464 2 роки тому

    Dada sijui kama unasoma hiz coment acha na mitandao ww umeshaonekan kwa watu ww muongo haina haja ya kufanya yote hayo hata hap umepima lakin inaonekan umetoa mimba ndiy maan haipo hata ufanyej aizii ndiyo anaonekan mkwel ww muongo

  • @olphamoraa6683
    @olphamoraa6683 2 роки тому +3

    Jamani hajana na mambo mingi nini inawasimbia na nyinyi wandishi wa habari, na wewe dada hajana mambo ya mitandao

  • @dinahmbura1900
    @dinahmbura1900 2 роки тому +1

    Haki shetani kweli Ako hai...mama mzima Leo hii unamukana mtoto wa wenyewe baadae ya kumuhalipia maisha yake..ulaaniwe ww

  • @janethjohn7053
    @janethjohn7053 2 роки тому

    Kwa nini hutulii au mna biashara

  • @MWAKIPESA
    @MWAKIPESA 2 роки тому

    Endelea kumwaminisha uliyenaye maisha yako hayatuhusu

  • @mariamdimosso621
    @mariamdimosso621 2 роки тому

    kitamburisho ana jamani kwenye kitamburisho cha taifa kina mwaka wa kuzaliwa

  • @stellawanjiru4278
    @stellawanjiru4278 2 роки тому +4

    Mwambie huyo kahaba aende kortini awachane na uwongo

  • @nadyasalim7956
    @nadyasalim7956 2 роки тому +1

    Na hio mimba akaitowe wapii jamani agh huyu mama ana miaka 50 hana tena period huyu tena