MUME WANGU KATILI ALINIPELEKA KUIBA NAE |NILIKAMATWA AKANIKIMBIA NIUAWE |ANANIINGIA KIKATILI PERIOD

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 81

  • @hagarbills4023
    @hagarbills4023 2 роки тому +4

    Pole sana mamaangu 😭😭😭nimejikuta na lia tuu
    Ewe Mola ninakuomba
    Yapanguse Machozi ya Mama huyu aliye lia kwa huzuni akitaraji Rehma zako.
    Iondoe kila nafsi ya mja wako iliyofikwa na magumu ya aina yoyote.
    Ewe Mola tuhifadhi na Utudumishie Neema zako,Utuongoze katika rehma zako na Utulinde na kila aina ya balaa.
    Allahumma ameen 🤲🏼

  • @ladyt1471
    @ladyt1471 2 роки тому +1

    Pole sana mamy acha kulia ukichangiwa hela tafuta biashara ufanye hata kuuza mkaa au kupika mama lishe wakati wa kulia umeshapita

  • @hhs6720
    @hhs6720 Рік тому

    ZAHRI mwenyez mungu akulinde maana kila Kona IPO hata huchoki

  • @subiramaurid
    @subiramaurid Рік тому

    Mhhh!Pole saana mumy !waha sio watu wengi wao ni wakatili sana.

  • @maryamedi9141
    @maryamedi9141 2 роки тому +2

    Allah akufanyie weps my dada

  • @mbiutv
    @mbiutv Рік тому +1

    Wanaume Mungu anawaona 😭😭😭

  • @Iragibarune1.
    @Iragibarune1. 2 роки тому +3

    😭😭😭😭 pole sana mama huyo mwanamme atakua nalaana. Machozi yamwenyehaki haipotei bure

  • @hanifaomar7438
    @hanifaomar7438 2 роки тому +8

    Maisha ya sasa hivi hata ukiwa umeolewa hautakiwi kukaa tu lazima ufanye Jambo namaanisha kibiashara mwanaume wengi akiona unamtegemea Kwa kila kitu talajia kupigwa na kitu kizito kichwani

    • @nth3512
      @nth3512 2 роки тому +1

      Si kwa wanaume wote, wapo wanaojitambua.

    • @maisarah6819
      @maisarah6819 2 роки тому

      Kitu kizito🤣🤣

    • @sadakhamis1261
      @sadakhamis1261 2 роки тому

      Hiyo ni kweli kupambana ni lazima hata iwe uko kweye ndoa

    • @hanifaomar7438
      @hanifaomar7438 2 роки тому

      @@sadakhamis1261 umeona swaiba akileta mchele unaleta nyama hata ugomvi usio na maana hautokuwepo

    • @samiraabdimahamed4449
      @samiraabdimahamed4449 2 роки тому

      😂😂😂😂 kabisa

  • @kautharali8134
    @kautharali8134 Рік тому

    Pol sana mama

  • @salmasalim3472
    @salmasalim3472 2 роки тому +4

    Nyie mnaokoment aende kwao mara afanye kazi jamani hayajawakuta watu wamesoma na miata zao kazi hawana sembuse huyu. Km kazi zinapatikana kirahisi asinge kuja kutaka msaada kwetu tuwe na utu.

  • @muna9741
    @muna9741 2 роки тому +3

    Mama Kulya sana hakusidii tfuta vibaruwa ulee family yako wanaume kuna Tim wanachoka jamani kila kitu angaike yeye na Wewe pya unamjuwa Mumeo hana maisha mazuri vizuri ukajiangaikya mbona wachaga tuna leya familya zet bla hata kumtegemea mwanaume sasa sijuwii wenzetu mnakwama wapiii

  • @hadiyajuma3974
    @hadiyajuma3974 2 роки тому +1

    Tuko pamoja mama tutakusaidia mungu atakufanyia Wepesi usilie jikaze

  • @mariamgodfrey53
    @mariamgodfrey53 2 роки тому +1

    Kulia hakusaidii mama kama vipi uchangiwe nauli urudi kwenu acha kung'ang'ania dsm utaishia kudhalilika tu kama ni misaada utasaidiwa mpk lini watakuchoka watu.

  • @halimaoman8726
    @halimaoman8726 2 роки тому

    Pole ndugu yngu mungu wanakupa mitiani na yy ndio atakutolea jipe moyo mitiani ipo siku itakuepuka ndugu tuseme Alhamdulillah yeye ndio kila kitu kwetu waja wake

  • @salamanauthar480
    @salamanauthar480 2 роки тому

    pole sana Mwanamke mwenzangu' Hakika Inauma sana

  • @aminaamina9568
    @aminaamina9568 2 роки тому

    Pole sana dada mungu yupo yataisha tu

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 2 роки тому +1

    Pole sana Dada yangu Mwenyezi Mungu atakufungulia milango ya rizki

  • @mwakaabdallah3185
    @mwakaabdallah3185 2 роки тому

    Pole dadaanguu mungu atakufungulia inshallah

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 2 роки тому

    Pole sana dd allha atafanya wepesi huyo siyo mwanaume shetani na akupendi anataka tu kira siku ubaki mnyonge unamlilia yeye ndomana ataki kutoa taraka shubamiti

  • @tatotato506
    @tatotato506 2 роки тому

    Pole dada mungu akawegaraja kwako

  • @mohamediddimchekwa7388
    @mohamediddimchekwa7388 2 роки тому

    Pole Sana wanafamilia

  • @sharmelasaif47
    @sharmelasaif47 2 роки тому

    Poleni sana ndugu yangu

  • @mpendwacravery1665
    @mpendwacravery1665 2 роки тому

    Sasa Namba ya m.pesa iko wapi ewe mtangazaji?

  • @aishaissa2512
    @aishaissa2512 2 роки тому

    Pole dada mungu atakusaidia hiyo hali itaisha

  • @kassimchuo5290
    @kassimchuo5290 2 роки тому +2

    Laanatullah alaih mungu amlaani huyo mwanaume...

    • @mizesuleiman1834
      @mizesuleiman1834 2 роки тому

      Usimuhukumu ww saidia juu hatujamskia mumewe side of his story

  • @mwajumaoman9379
    @mwajumaoman9379 2 роки тому +1

    Izo changamoto wenxio ndio xilizotukimbiza nchi karibu kwenye falme za nchi za kiarab uje kula msoto kuna muda maarum wa kuamka lakin sio kulala 💃

    • @alimwangabula5060
      @alimwangabula5060 2 роки тому

      Jamani mimi natamani kujaa kuhangaika nipate kipato changuu ni mwanamke mimi

  • @mizesuleiman1834
    @mizesuleiman1834 2 роки тому +5

    Uyu mama anaumwa wapi ana kasoro gani ya kiafya? Mm ua natamani nisimulie story yangu labda watu kama awa wataenuka wapambane

  • @rosekaiza2716
    @rosekaiza2716 2 роки тому

    Uwiiii kuna watu wanateseka hapa dunian mwe 😭😭😭😭😭pole sana dada mungu mwema atakusaidia tu

  • @mpendwacravery1665
    @mpendwacravery1665 2 роки тому

    Dada jikaze...tutakusaidia... Tutakuchangia Ela...jikaze tu Dada. Saa izi ni usiku mimi kesho nitakutumia ela Dada...jikaze tafadhali.

  • @wardamunguakuzidishew9399
    @wardamunguakuzidishew9399 2 роки тому +4

    Jamani kwanza pole dadaangu pili kaka zaili uyo dada akafanye kazi kwani mzima ana mikono na miguu

  • @chifuthedoni8889
    @chifuthedoni8889 Рік тому

    Hivi hio miaka ya 3000) 8000) 1000) Mtu mzima anapewa na ana familya! Ni miaka1905 au? Sjaelewa hapo! Kabisa kabisa? Wanawake mna moyo!

  • @meryymeryymeryymeryy3358
    @meryymeryymeryymeryy3358 2 роки тому +3

    Wanawume ni mumbwa saaana nanjo maana Mimi siwapendi

  • @mpendwacravery1665
    @mpendwacravery1665 2 роки тому

    Mbona Iyo Namba siioni jamaaangu?

  • @nasrafadhili8941
    @nasrafadhili8941 2 роки тому +1

    Pole Dada sn yn ulivyo mzr utazani unamiaka 30

  • @mamaahmad8615
    @mamaahmad8615 2 роки тому

    daaah tena ndugu yangu usijali nitatowa nitakacho jaaliwa pole sana dada😭😭😭👏

  • @salmaseif2131
    @salmaseif2131 2 роки тому +2

    Kwani huna miguu uwondoke kwenu? Unamng'ng'ania mwanaume km baba ako uhuyu mzee wako tu na kuna muda unamucha unaenda kuanza maisha mengine

    • @nth3512
      @nth3512 2 роки тому +1

      Maisha mengine hayo unayosema unadhani ni simple kama unavyofikiri!! We usicheze na shida hazina mjanja shida. Hukusikia hapo kua alimnyonyesha mtoto wake kwa cowberry za sh.100 huko kwao?

    • @adamndilanna1562
      @adamndilanna1562 2 роки тому

      Salma muombe Allah asikupe mtihan uyo

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 2 роки тому

    So sad 😭😭😭🤲🤲

  • @mamaahmad8615
    @mamaahmad8615 2 роки тому

    Pole dada 😭😭😭😭😭

  • @julietymgallah3534
    @julietymgallah3534 2 роки тому

    Hy mama Hana kasoro, apew nauli arud kwao vibarua mbn vipo vingi, Kuna watu wamepitia magum zaidi yk

  • @zainabukabura9876
    @zainabukabura9876 Рік тому

    duuh kumbe anamyaka 47 anaonekana kama anamyaka 33

  • @zainabucharles6841
    @zainabucharles6841 2 роки тому

    Jamani maisha yakikushinda mjini Rudi kwenu tatizp watu wakija mjini hawataki kuludi kijijini kwao pole jamani

  • @mpendwacravery1665
    @mpendwacravery1665 2 роки тому

    Si muache atulie kidogo jamani...

  • @floraflora9490
    @floraflora9490 2 роки тому +3

    Si kwa ubaya lakini mimi niliacha mtoto na mwezi niliteseka saana huyu hajateseka sai wote wako univasity nawalea hawana baba napambana na warabu naosha. Hamam

    • @batulialmass8914
      @batulialmass8914 2 роки тому

      Umeona mimi nimemuwacha mwanangu anamwaka 1na miezi miwili

    • @umma6654
      @umma6654 2 роки тому

      Maisha hayafanani

    • @mariamanafi22
      @mariamanafi22 2 роки тому

      Mpe na yeye ramani ya uko na nauli na passport na uko kwa waarabu sio kila aendae anapata maisha wengine wanateseka mpaka wanapogeza maisha .

    • @floraflora9490
      @floraflora9490 2 роки тому

      @@mariamanafi22 kama huku wanateseka na hivyo alivyo hateseki maisha mazuri hayaji kirahisi, pili yy sio mlemavu atasaidiwa mpaka lini

    • @mariamalikiingu1398
      @mariamalikiingu1398 Рік тому

      Mjuwe nchi ya stanza sio kama Kenya kusafir kuja nnchi za arabuni

  • @MishiPapalan
    @MishiPapalan 2 роки тому

    Mambo kama haya mitaani yapo mengi sana tanzania si huyu tu

  • @nameno8608
    @nameno8608 2 роки тому

    Miaka 47 sio mingi tena unaonekana kijana Maisha kuna mengi tumsaidieni apate hata mtaji ajishughulishe

  • @fatmakhalef3450
    @fatmakhalef3450 2 роки тому +1

    Kwani hii serikali na wanawake na wtt huko Tanzania haisaidii jamani kila siku wanawake wanatelekezwa

    • @salamanauthar480
      @salamanauthar480 2 роки тому

      hatusaidiwi ndugu weee'

    • @mwanaishakhamis8069
      @mwanaishakhamis8069 2 роки тому

      @@salamanauthar480 hakuna haki za wanawake na watoto 🙆 Eeeh Tobaa....poleni Sana mola atawafanyine wepesi insha'Allah 😭🇰🇪

    • @salamanauthar480
      @salamanauthar480 2 роки тому

      @@mwanaishakhamis8069 Amin yarrabi' nchi yetu ndo ilivyo my uwa haijali kabisa

  • @zainabukivale9571
    @zainabukivale9571 2 роки тому

    Jamani. Mimi Ninamakubwa Zaid inawezekana. Nikauwa. Mtasoma gazet wiki nzima mtasikitika sana

  • @chifuthedoni8889
    @chifuthedoni8889 Рік тому

    Mahali 50000! Acha basi maujinga yenu! Wanawake wengi tu hapa hata kuhongwa tu hio 50000 hawataki! Afu we unaolewa kwa 50000! Haaaaaahhhhhhhh, Lazima uteseke! Olewa kwa 200 milion ili mmeo akuonee uchungu!

  • @princessjj8298
    @princessjj8298 2 роки тому

    Maskini nimelia sana

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 роки тому

    Mdongo huyo afanywe kazi sahivi huyo ana sura kama mika 37

  • @aeshamrange6540
    @aeshamrange6540 2 роки тому

    Huyu 47 sio kweli kwenye 30 naa ivi afu apige kazi tu Allihamdulilah haumwi hana ulemavu afanye kazi za watu ata zandan ili apate mtaji mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe

  • @nth3512
    @nth3512 2 роки тому

    Zahiri watembelee pia hao majirani wenye mijengo lwa nini hawasaidiani? Waambie wawe wanatembeleana, sidhani km wanashindwa kumpa hata 1.5M

  • @hhs6720
    @hhs6720 Рік тому

    ZAHRI mwenyez mungu akulinde maana kila Kona IPO hata huchoki