MIAKA 10 YA AZAM TV | Abubakar Bakhresa afunguka usiyoyajua

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 тра 2023
  • Mkurugenzi Mtendaji wa Azam Media LTD, Abubakar Bakhresa amefanya mazungumzo rasmi na Mtangazaji wa Azam TV, Faraja Sendegea kuhusu miaka 10 ya tangu kuanzishwa kwa kampuni hiyo mwaka 2013.

КОМЕНТАРІ • 23

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 Рік тому +2

    Mko vizuri Sana Azam media mungu awabless

  • @NoelNgonyani
    @NoelNgonyani Рік тому +3

    Visionary Leader .. Inspiration

  • @pkibira
    @pkibira Рік тому +1

    Hongereni kwa miaka 10 ya burudani kwa wote!🎉🎉🎉

  • @isaackamando8484
    @isaackamando8484 Рік тому +3

    Azam TV the biggest tv company in East Africa tunawakubali sana! Ila tunaomba mnunue rights za kurusha EPL ili tuachane na hivi ving'amuzi vingine tubaki na azam

  • @saidrajabu635
    @saidrajabu635 Рік тому +2

    Naomba elimu ya huduma zinazotolewa na Azam pesa

  • @jumaissa343
    @jumaissa343 Рік тому +1

    Very smart.
    Please fanyeni mpango wa EPL na UEFA

  • @birianination7097
    @birianination7097 Рік тому +3

    Sasa mapinduzi zaidi kwenye filamu Tanzania.

  • @hapaupdates9277
    @hapaupdates9277 Рік тому +1

    Ma Sha Allah

  • @abdihq4228
    @abdihq4228 Рік тому +2

    ONGEREN SANA AZAM mmeleta mapinduzi makubwa sana

    • @eliasntobi6647
      @eliasntobi6647 Рік тому

      Mnastshili kupewa maua yenu kwani mme transform mpira wetu leo ni ligi ya 5 Afrika na ya kwanza CECAFA Mungu azidi kuwawezesha zaidi mfanye zaidi na zaidi awali hata ligi ya Kenya ilikuwa inatuzidi mnooooooooo

  • @mzamilyginga7321
    @mzamilyginga7321 Рік тому +5

    Mmejitahidi sana kuibrand ligi yetu na kutanuka baadhi ya nchi kilichobaki ni kununua haki ya matangazo ya ligi ya uingereza ili vingamuzi vingine tuchome moto tumiliki azam tu

  • @ahlamsaleh670
    @ahlamsaleh670 6 місяців тому +2

    Business have to be scalable all the time

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 Рік тому +1

    Hakika ligi yetu ilivotoka na Sasa Azam inastahili pongezi na kuungwa mkono

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 Рік тому +1

    Azam tv burudani kwa wote Haina mpinzani

  • @husseinibnuhassan1272
    @husseinibnuhassan1272 Рік тому +1

    Azam mnastahili tuzo hakika ni burudani kwa wote

  • @user-djento
    @user-djento Рік тому +1

    Kuna mutu anarucha marudiyo ya week nzima

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 Рік тому +1

    Azam media inakufa kwani mnatukamua mno

  • @afyandogo
    @afyandogo Рік тому +2

    Huyu mzee anamadini sana

    • @TwalibuAlbaamiryShoka
      @TwalibuAlbaamiryShoka 2 місяці тому

      Huyu ndio mwanawe wa kwanza Bakhresaa anaitwa Abubakari Bakhresaa ofisi yake ipo Mzizima banda la ngozi