Nakubaliana na Msemaji Mh Eric Shigongo. Wanafunzi wengi hunyanyapaliwa kwa kushindwa kupata alama A. Mfumo wa Elimu uwe unaoweza kutambua vipaji vya watoto tangu wakiwa wadogo.Pia watoto wengine wana mahitaji maalum ya uelewa, lakini wanalazimishwa kuwa kama wengine.
Kweli kabisa mh Ligongo maneno yako ni sahihi kabisa, umeelezea kwa uwazi mno jinsi ya kubadilisha mifumo ya elimu bara la Africa, ndio maana mpaka leo sisi waafrica tuko nyuma sana kimaendeleo. Huo mfumo unaotaka kugombania uli bunge lipitishe bungeni ndio mfumo halisi kabisaaa unaotumika na nchi za magharibi, sisi tuko nje tuko ulaya tunayaona hayo kwamba elimu ni kipaji cha mtu alichobarikiwa na Mungu. Mungu akubariki sana Mh. Ligongo endelelea na movement hiyo ya kupigania kubadili mfumo wa elimu hapo Tanzania, na matokeo yake ni positive kwa asilimia 99% na Tanzania itakuwa ni nchi ya mfano katika bara la Africa. God bless Tanzania, God bless Africa 🙏🏼
Tusaidie ukiwa bungeni, watoto wenye ulemavu wa akili/ubongo (Down Syndrome na Usonji) wajumuishwe katika Elimu katika ngazi zote kuanzia Awali hadi Vyuo vya Ufundi. Ilivyo sasa wanaishia darasa la 7 katika vitengo vilivyoko katika shule chache. Inclusive Education..ianzie katika kuboresha Mitaala.
Bongo hamna kazi kama mimi nina kipaji cha kuunda umeme wa maji na sijawahi kufundishwa na mtu ,cha kusikitisha saivi nipo NIT nasomea business ivi inakuja kweli.
Wakiajiriwa kutoka vyuoni wakienda maofisini wanasakamwa na waajiriwa waliowakuta, wanakejeliwa kua wasomi lkn hawajui kazi kumbe tatizo ni mfumo 😥sad ,lazima tuamue kubadilika
Nakubaliana na Msemaji Mh Eric Shigongo. Wanafunzi wengi hunyanyapaliwa kwa kushindwa kupata alama A. Mfumo wa Elimu uwe unaoweza kutambua vipaji vya watoto tangu wakiwa wadogo.Pia watoto wengine wana mahitaji maalum ya uelewa, lakini wanalazimishwa kuwa kama wengine.
Kweli kabisa mh Ligongo maneno yako ni sahihi kabisa, umeelezea kwa uwazi mno jinsi ya kubadilisha mifumo ya elimu bara la Africa, ndio maana mpaka leo sisi waafrica tuko nyuma sana kimaendeleo. Huo mfumo unaotaka kugombania uli bunge lipitishe bungeni ndio mfumo halisi kabisaaa unaotumika na nchi za magharibi, sisi tuko nje tuko ulaya tunayaona hayo kwamba elimu ni kipaji cha mtu alichobarikiwa na Mungu. Mungu akubariki sana Mh. Ligongo endelelea na movement hiyo ya kupigania kubadili mfumo wa elimu hapo Tanzania, na matokeo yake ni positive kwa asilimia 99% na Tanzania itakuwa ni nchi ya mfano katika bara la Africa. God bless Tanzania, God bless Africa 🙏🏼
Nimekuelewa sana shigongo
Tusaidie ukiwa bungeni, watoto wenye ulemavu wa akili/ubongo (Down Syndrome na Usonji) wajumuishwe katika Elimu katika ngazi zote kuanzia Awali hadi Vyuo vya Ufundi. Ilivyo sasa wanaishia darasa la 7 katika vitengo vilivyoko katika shule chache.
Inclusive Education..ianzie katika kuboresha Mitaala.
Makini
Umesema vema sana kaka, dhana ya mafanikio ni mtu na mtu
Bongo hamna kazi kama mimi nina kipaji cha kuunda umeme wa maji na sijawahi kufundishwa na mtu ,cha kusikitisha saivi nipo NIT nasomea business ivi inakuja kweli.
Kweli shigongo elimu yetu mbovu,mtoto anafundishwa kukariri majina ya miji ya nchi za ulaya zinatuhusu nini
Nimesikiliza hayo maoni hawajajua shigongo mini anamaanisha, shigongo yupo sideA zaidi wao wapo side B zaidi ni msomi shigongo hawezi kuongelea side B
Wakiajiriwa kutoka vyuoni wakienda maofisini wanasakamwa na waajiriwa waliowakuta, wanakejeliwa kua wasomi lkn hawajui kazi kumbe tatizo ni mfumo 😥sad ,lazima tuamue kubadilika
Na sisi tuliomaliza chuo na hatuna ajira unatushaurije?
Tufahamu kuwa hela Ina masikio
Tuko pamoja by katonda
Nahitaji kuzungumza na mh. Shigongo nina kitu cha kushea nae tafadhali
TUKO PAMOJA BABA BY LAURIAN KATONDA
Nakushukuru Eric kifupi hapa chuon kwangu nafundisha sana vitendo na vijana wanapohitimu wanapenda kufanya vizuri.
Chigongo nakuunga mkono