Abubakar Bakhresa ataja kisa cha kuanzishwa kwa Azam TV

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 тра 2023
  • MIAKA 10 YA AZAM TV: "Tulianza kama mzaha mzaha hivi" - Kauli ya Mkurugenzi Mtendaji wa Azam Media LTD, Abubakar Bakhresa akieleza chimbuko la kuzaliwa kwa kituo bora cha televisheni Afrika Mashariki na Kati chenye kubeba nembo ya #AzamTV
    #AzamTV10Damdam #AzamTVDaimaDamdam #AzamMedia #BakhresaGroup

КОМЕНТАРІ • 12

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv Рік тому +1

    AZAM IMEKUZA SOKA LA TANZANIA....... LIGI YA TANZANIA SASA INATIZAMWA AFRICA ALMOST......CONGRATULATIONS BAKHRESA GROUP OF COMPANY....

  • @yohanekopilato-wn3lo
    @yohanekopilato-wn3lo Рік тому +1

    Mpo vzriii sana mmeifanya ligi kuu ya Mpira hapa Tz kukua zaidi

  • @joramnunu1449
    @joramnunu1449 2 місяці тому +1

    Bakhiresa

  • @birianination7097
    @birianination7097 Рік тому +1

    Big up sana.

  • @michaelmisana650
    @michaelmisana650 11 місяців тому

    Safi sana bakhersa kakuttoa usngizin

  • @BakhresaGroup
    @BakhresaGroup 5 місяців тому

    BOSS❤❤❤❤❤

  • @micahwanjala5676
    @micahwanjala5676 Рік тому

    Karibuni Kenya

  • @ramadhanially377
    @ramadhanially377 Рік тому

    🙏

  • @NoelNgonyani
    @NoelNgonyani Рік тому +3

    Tunahitaji hii shule..Hope mtatuwekea extended version ya haya mahojiano adimu.

  • @rockcitynative9985
    @rockcitynative9985 Рік тому +3

    Nilichokuja kuelewa nikuwa kumbe Star TV ndio ilikuwa TV station iliyoendelea sana kwa kipindi kile.
    Big up sana TV yetu wasukuma.
    Mwanza kwanza mengine baadaye.
    Midia nyingi ziliteteleka kipindi cha mwendazake aliyekuwa akiminya uhuru wa habari ilimradi tu yeye aendelee kutawala.

    • @BARAKAKATEMBA
      @BARAKAKATEMBA Рік тому

      Kuyumba kwa Media ni Matatizo ya Uendeshaji. Media nyingi hazina Dynamic Business Model...too traditional

    • @dominicodeus2557
      @dominicodeus2557 Рік тому

      Mpaka sasa Kampuni ya startv ndo wana uwezo mkibwa mitambo yao sematu wasimamizi