MCHUNGAJI HANANJA AMCHARUKIA MFALME ZUMARIDI, UMEENDA KUZUNGUMZA NA MUNGU KIKAO CHA BAJETI?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 бер 2023
  • Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
    BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
    Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
    Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 135

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 Рік тому +20

    Du! Nilikuwa namsikia tu. Kwa Vijana kanisani kasema ukweli. Big up Mchungaji.

  • @BJOHNMAUSA
    @BJOHNMAUSA Рік тому +5

    Mungu akuzidishie maneno ya hekima na busara.
    Ubarkiwe zaidi Mr. ANANJA

  • @andrewkaswagula3367
    @andrewkaswagula3367 Рік тому +2

    Huyu Pastor huwa ananikosha pale anapo rejea maandiko matakatifu. Anaongea point sana na amebarikiwa maarifa, uwezo na uelewa wa kuzitetea point zake kwa njia ya maandiko matakatifu.
    Ahsante kwa somo zuri 🤝🤝

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Рік тому +25

    Jamani huyu Hananje ana akili Safi sana.Abarikiwe

    • @tundacute740
      @tundacute740 Рік тому +1

      Mchungaji yuko sawa jaman duuh mungu akuzidishie uhai duh umenikosha hatar khaaaa

    • @jacksonmasanja2600
      @jacksonmasanja2600 Рік тому

      ​@@tundacute740 ;iuoiizziiuu? Uouii😅uiuiuuou😅zuuuuiuuuiu😊

  • @deejay_gibbs
    @deejay_gibbs Рік тому +8

    Huyu mzee anaongea point sana🙌🙌

  • @kobasilvanus312
    @kobasilvanus312 Рік тому +4

    Ubarikiwe baba mchungaji Kwa maono yake

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Рік тому +16

    Very very wise.I do respect you Hananja.Remain blessed,

  • @faithmarcho-yf3sb
    @faithmarcho-yf3sb Рік тому +5

    Grt good leader to this generation we are blessed by you may God add you more years to help this generation ❤

  • @jumasungula8510
    @jumasungula8510 Рік тому +30

    Yani kila nikiona interview ya uyu mzee lazima niiangalie madini ya kutosha sana

  • @justinefrancis6591
    @justinefrancis6591 Рік тому +6

    Dah!!! Huyu Mwamba Huwa Namkubali na Kumuelewa sana Dah!!!

  • @princebon1841
    @princebon1841 Рік тому +3

    Asante mtumishi wa Mungu ww ni msema kweli

  • @sekelakasebele4026
    @sekelakasebele4026 Рік тому +4

    Ubarikiwe sana Mchungaji.

  • @joelyjoely7827
    @joelyjoely7827 Рік тому +15

    ZUMALID ASIWASUMBUE ANATATIZO LA AKILI NA ANATAFUTA KIKI PASIPO KIKI MILEMBE INAMUHUSU

  • @SienaMkolwe-px1nq
    @SienaMkolwe-px1nq Рік тому

    Ameeni pastor yuko vizuri sanaa

  • @soloartist_ivanvespalusind1609

    Respect to Pr. Hananja

  • @dankhany3385
    @dankhany3385 Рік тому +3

    maisha marefu hannanja

  • @davidmisiwa4622
    @davidmisiwa4622 Рік тому +8

    Huyu mzee is very intelligent hakurupuki kuongea

  • @zawadithomas1008
    @zawadithomas1008 Рік тому +2

    Safi sana mchungaji

  • @robertedward1992
    @robertedward1992 Рік тому +16

    Dishi la huyu mchungaji huyu liko vzr

  • @veronicaabelmathias9676
    @veronicaabelmathias9676 Рік тому +2

    Huyu mchungaji akikaa na vijana wengi watarudi imani zao❤…. Anasema ukweli na huku akitumia biblia …. Ni kwa Roho Mtakatifu tunarhusiwa kujua kweli na Huo ukweli Utatuweka Huru 😊

  • @salummaguo1950
    @salummaguo1950 Рік тому +2

    Father mungu akuweke

  • @peterelias2818
    @peterelias2818 Рік тому +1

    Barkiwa Sana Mchungaji

  • @michaelbengesi9838
    @michaelbengesi9838 Рік тому

    Mtu wa Mungu, Vijana tusitafute kamseleleko kwa Manabii wa uwongo.

  • @cammycamilius6856
    @cammycamilius6856 Рік тому +8

    Very impressive👍

  • @lolamhanuzi410
    @lolamhanuzi410 Рік тому

    Aaa hiyo komediiii...Asante Baba mchungaji

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 Рік тому

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu MWAMINI YESU na Uokoke na Ulithi uzima WA milele.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

  • @stanleymwakatundu6347
    @stanleymwakatundu6347 Рік тому +4

    Daaaah Chama Kubwaaa

  • @shemelaruhinda6113
    @shemelaruhinda6113 Рік тому +1

    Mungu akuzidishie hekima

  • @bennyngoye8707
    @bennyngoye8707 Рік тому +4

    Akili mingi sana mchungaji,nakuelewa san.

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 Рік тому +2

    Namuelewa sana kwakweli

  • @salimamwasankinga
    @salimamwasankinga Рік тому +1

    Asante mtumishi

  • @kelvinclesent8190
    @kelvinclesent8190 Рік тому +1

    Nakubali sana @Madini ya uyu mzee

  • @alamhmbuja5335
    @alamhmbuja5335 Рік тому +1

    Akili nyingi sana 💪🏿

  • @zephaniazacharia519
    @zephaniazacharia519 Рік тому +9

    Mzeee ana akili sana

  • @jacksonmtonyore9871
    @jacksonmtonyore9871 Рік тому +2

    Ishu ya Sadaka umenigusa Mtumishi . Uku kwetu wanaita harambee yan ni shda kwa aibu unajikuta unaahid Sunday inayo fata huendi Ibada kwsbabu sina . Mwishoe ndo najikuta siendi kbx

  • @williamgideme2689
    @williamgideme2689 Рік тому +1

    Swala ni kuwa ukristo uko kwenye 2 Timotheo 2:1-7; hakuna ukristo ila mmoja tu LDS Church mkalitafitiiiii ndilo pekeee alilorejesha.

  • @burtonsatshop2061
    @burtonsatshop2061 Рік тому +2

    Great...akili kubwa hii

  • @maltuzdaniel4892
    @maltuzdaniel4892 Рік тому +2

    Sawa mchungaji Hananja

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca Рік тому +1

    NAMKUBALI SANA, HAPO KUUSU MBIGU, Kiukweli kabisa nilifikiri hapa duniani wakristo hawamini hilo, wengi wanahamini “mtu akifa anakwenda mbiguni“ mbiguni hakuendi mfu sasa hivi, the heaven still under construction 🚧😂😂😂😂

  • @thegreat8891
    @thegreat8891 Рік тому +1

    Big up pastor

  • @samwelingasa1638
    @samwelingasa1638 Рік тому

    Yan umeongea point sana tuna maswali mengi sana

  • @liberiusfredrick1289
    @liberiusfredrick1289 Рік тому +3

    True

  • @joshuaromanusy4267
    @joshuaromanusy4267 Рік тому +2

    Safii mzee

  • @emmanuelsanga4275
    @emmanuelsanga4275 Рік тому +1

    Barikiwa mtumish wa Mungu

  • @dennisevarist
    @dennisevarist Рік тому

    Nikiona tuu sura ya Mch Hanja lazima niangalie

  • @mahembajulius7036
    @mahembajulius7036 Рік тому +5

    Aaaah hiyo comedy 🤣 😂 😆 😄 😅 👌 🤣 😂 😆 😄 😅 👌

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 Рік тому +9

    🤣🤣🤣🤣🤣uyumzee namuelewa

  • @gadielshedaffa3333
    @gadielshedaffa3333 Рік тому

    Pastor uko saw a! Mafundisho yamekosekana!

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 Рік тому

    Prof hananja umetiiiiiishaaaaa

  • @saidmasoud2200
    @saidmasoud2200 Рік тому +1

    Very Bright person.

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 Рік тому

    Hananja yuko vizuri

  • @leonarddaudyosia
    @leonarddaudyosia Рік тому +1

    Yan namkubali Sana huyu mwamba

  • @pcthemaster9096
    @pcthemaster9096 Рік тому +1

    Mchungaji. 😁😁😁🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @mohamedothumanhussein2792
    @mohamedothumanhussein2792 Рік тому

    Fact

  • @FaridMbarouk093-pw9cs
    @FaridMbarouk093-pw9cs Рік тому

    Ww muogope mungu ukiristo sio dini na yesu alikua muislamu

  • @wistonjonas
    @wistonjonas Рік тому +1

    Yuko vizuri mchungaji! Akiongea usipocheka utakuwa na matatizo😁😃

  • @AndreaSwapooo-fk4it
    @AndreaSwapooo-fk4it Рік тому

    👍👍

  • @hebronkibona6676
    @hebronkibona6676 Рік тому +1

    Huyu mzee anajua

  • @samwesupa6906
    @samwesupa6906 Рік тому

    Ana akili

  • @bernsterproduction7724
    @bernsterproduction7724 Рік тому

    🙏

  • @jonasstephano7680
    @jonasstephano7680 Рік тому

    mzee anajuw sana

  • @leahrenatus585
    @leahrenatus585 Рік тому

    Huyu Mchungaji amesema kweli vijana tunataka majibu ya haraka cyo unasali miaka 20 alafu kanisa halina msaada kwako Unatoa sadakaafungu la kumi lakin mwisho Mh mbaya

  • @hassanipyulu6907
    @hassanipyulu6907 Рік тому

    Kweli itawaweka huru

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 Рік тому +1

    Hahaha nampenda sana

  • @khadijaalimohd1320
    @khadijaalimohd1320 Рік тому +1

    Hiyo Comedy😃

  • @ifabeach3281
    @ifabeach3281 Рік тому

    Eheeee

  • @estherminnahboaz6956
    @estherminnahboaz6956 Рік тому

    Namkubali sanaaa😂😂

  • @user-bj5tm3ne8g
    @user-bj5tm3ne8g 8 місяців тому

    Huyu mzeee ameadhilika na Moshi wa bangi akili zake azioo sawa kama wewe unaongoza kanisa bila Mungu Muache Zumaridi aseme na Mungu acha chuki zisizo na msingi kaaaa utulie mambo ya Imani ya mtu usiingilie usije ukafa umesimama

  • @respiciusjohn9936
    @respiciusjohn9936 Рік тому

    Busara zimelala kiongozi

  • @fikirirahaleo6834
    @fikirirahaleo6834 Рік тому

    Hapo kwenye shoro mwamba Sasa 😀😀

  • @jurakijuraki8870
    @jurakijuraki8870 Рік тому

    Huyu Mtu ana elimu Gani ? Maana akili aliyonayo zaid ya PHD

  • @mpenzisamaki9488
    @mpenzisamaki9488 Рік тому +3

    Huyu jmn kisimbuzi hakisumbui

  • @thomasjohn7176
    @thomasjohn7176 Рік тому

    Hahahahaha....hiyo comedy

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 Рік тому +3

    Hahaha kumbe Zumaridi anaota😅😅😅😅😅

    • @neemakingu4134
      @neemakingu4134 Рік тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @kiri5807
      @kiri5807 Рік тому

      anaoteshwa na shetani .

  • @prophetfaraja6728
    @prophetfaraja6728 Рік тому +1

    Hananja inaonyesha anapenda sana chipsi na soseji hahahaha

  • @khadijaalimohd1320
    @khadijaalimohd1320 Рік тому +5

    UKITULIZA AKILI YAKO VIZURI BASI HUYU JAMAAA UTAMFAHAMU VIZURITU ANACHOKISEMA...
    ILA UKIWA KICHWA KIBOVU BASI HUWEZI JUWA JAMAA ANAONGEYA NINI NAANAMAANISHA NINI.

  • @annajoseph9955
    @annajoseph9955 Рік тому

    Sadaka Kama round about 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Рік тому +1

    MZEE ANANJA UPO VYEMA SANAA
    VIJANA TUNAFELI TUNA HALAKA YA MAISHA SANAA

  • @dogstz4473
    @dogstz4473 Рік тому

    Hahahahahaha nacheka sana

  • @gracemorice8793
    @gracemorice8793 Рік тому

    Hahaha 😀😀😀 kwamba kikao cha bagte

  • @dicksonnyamwihura2758
    @dicksonnyamwihura2758 Рік тому

    Et hiii komedy

  • @lucialeonard2675
    @lucialeonard2675 Рік тому

    Wawe wanamlipa sasa kuongea nako n kaz

  • @zafarmohamedy3013
    @zafarmohamedy3013 Рік тому

    Hehehhh 😀😀

  • @lytwilliam7050
    @lytwilliam7050 Рік тому

    😅

  • @adampetermakombe5654
    @adampetermakombe5654 Рік тому +3

    Kama muzima huwezi kuabudu kwahuyo

  • @dansonmketi4827
    @dansonmketi4827 Рік тому

    😂😂😂😂ati unaenda kukaa kikao na Mungu cha ndoa ama bajeti

  • @tunkuh661
    @tunkuh661 Рік тому +1

    🤣🤣🤣🤣 kikao cha budget

  • @kayf-kk7bg
    @kayf-kk7bg Рік тому

    Huyu mchungaji ana nondo za moto!

  • @hanschuma7734
    @hanschuma7734 Рік тому +1

    Samahan kwakusema hili....wakristo nduguzetu mhhh sujui muda mwingine mnaufaham gan.....mfano huyo Zamarad hahahaha sitapeli yule na mnamuona hahahaha lakini mijitu mipumbavu hahahaha Bado.....dah hiii Dunia hiiii hahhaha dh nomah....

  • @samwelidomayo6195
    @samwelidomayo6195 Рік тому

    Hivi hata mwazungu wanakufa kwaajili yakujua kiswahiri?

    • @danieldevismwashadaniel6106
      @danieldevismwashadaniel6106 Рік тому

      Dah umewaza mbali sana big up sana na sis wabongo tunakufa kwa kuitafuta mh🤫🤫😁 mungu azid kutupa uzima

  • @pendomariki6562
    @pendomariki6562 Рік тому +1

    Huyu baba namkubal sana

  • @petermahimbo3458
    @petermahimbo3458 Рік тому

    Hahaa

  • @easy-muchwa8175
    @easy-muchwa8175 Рік тому +1

    Zumaridi mbona unasema comedy!! Mbona maneno ya paulo wa kwnye biblia mnayaamini? Na mbona hamkubaliani na pita aliyesema paulo ni mwehu?
    Kama Mungu anaendelea kufanya kazi kwanini hamtaki manabii wengine watokee?
    Kwa hiyo mchungaji ww hujawahi kuongea na Mungu ila ni umefundishwa tu chuoni?
    Bado kidogo tu tutajua ukweli na wote mtaumbuka🤨

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi Рік тому

      🤣🤣🤣🤣

    • @viviantarimo7440
      @viviantarimo7440 Рік тому

      Lijue sana neno la Mungu utakua zaidi ya nondo ila ukiyakosa mafundisho utakua kama bendera fuata upepo

    • @easy-muchwa8175
      @easy-muchwa8175 Рік тому

      @@viviantarimo7440 haujaeleweka

  • @namisgiggah1571
    @namisgiggah1571 Рік тому +5

    🤣🤣🤣

  • @rogathesarwatt
    @rogathesarwatt Рік тому +1

    Kama Musa Elia na Elisha wote waliongea na Mungu kwanini tusiamini hukusu mwamba Zamaradi

  • @annamsuguri4345
    @annamsuguri4345 Рік тому

    ANAITWA SHE KING ZUMARIDI , MUHUBIRI MWENYE ELIMU YA KUZIMU.

  • @siwemamohamedi2119
    @siwemamohamedi2119 Рік тому

    Wewe mzee ameenda kiroho sio kimwili muwe mnaelewa

  • @ambroceharouna1612
    @ambroceharouna1612 Рік тому

    Hahaha 😂😂😂

  • @annamsuguri4345
    @annamsuguri4345 Рік тому

    Huyo Zumaridi ANAITWA SHEQUEEN, HUYO NI MUNGU WA KUZIMU ANAEMWABUDU

  • @tumsifumaro1387
    @tumsifumaro1387 Рік тому

    Hamna mchungaji hapo mchungaji azungumzia madem??