Kila muda narudia nacheka mzee Genius sana ubarikiwe Rev. Hananja
Mungu akubariki baba chungaji
Hananja huwa nakuelewa sana. Maana huwa unaongea facts kabisa
This Pastor is Genius 🔥. Ahsante kwa Somo zuri
Hananja nimekukubali mzee.
Jamani nani mwingine nimpitie tuhamie kwenye kanisa la mchungaji Habanja😂
Genius Hananja 🙌🏾🙌🏾
Mchungaji mie nafurahia sana mafundisho yako. nakuobea sana mungu akujalie maisha marefu na akulinde akupe afia njema...
Ubarikiwe sana baba mungu akujalie afya njema
Asante sn mzee baba
Wafunguwe
Ubarikiwe wewe unatoxha kuwanyooxha wanabii wauongo mungu akuongoze
Kwel Hananja yuko vizuri. very bright
Yaani Mungu ana watu wake huyu Baba namkubali sana
Baba ubarikiwe sana kwa utambuzi na ufafanuzi mzuri wenye hekima
Genius 🔥
Nimependa hii interview
Injili itahubiriwa hata kwa fitina duh Leo umesema ukweli kua maneno yameandikwa na binadamu manane ya kweli ya mungu hayawezi kuhubiriwa kwa fitina mwenye akili timamu aliepewa na mungu atajua ukweli
Ahaaaaaa nipeni jina langu staki kufa Kama kuku na jina moja 🤣🤣🤣 nakupendaa pastor
Amen 🙏
Amen
Kweli kila kitu kinapimwa na neno
Mtangazaj salimia heshima yako ndyo nn, eboo
Sahihi
Good
Nampenda San uyu baba
Nimecheka Kwa saut namkubar sana huyu baba
Mungu anaongea kisukuma,
Na aya zingine uziseme mzee wangu.
🙌🙌🙌🙌🙏
Hawa ndio wachungaji ubarikiwe.
Huyu mzee anasoma agano la kale hataki mambo ya kubadilishiwa vitu🤣🤣🤣
Kweli huyo mama anapepo
Nakubaliana nawe kabisa
😁😁jina moja kama kuku
Kweli raisi wa bajaji🔥
Mi namkubali mchungaji
Hehehh eet kiyoyozi na prado sio nabii 😀😀
Eti juwa lilikuwa sio kali mchungaji anajibu nani alilipoza yani kwakweli nimecheka
Unaongea ukweli
zumaridi alisahau kuzima taa .. akahisi ni jua 😂 ...
❤
Wape.ukweli.hao.wengi.hajatambu.
Duh unachana ukweli 2 mzee
🤣🤣 huyu mzee yuko vizuli akujibu kwabibilia
🥰🥰😍
Baba hananjaa
Kweli Baba Hananja
Hekima nyingi
Huna uchungaji wowote moshi tu wa bangi umekurevya
Tuko life
huyu baba ni namkubali sana maisha marefu kwako
Mzee namkubql sana huyu🤣🤣🤣
We mzee unajua sana kuongea sijui ulikuwaga wap Kiukweli nakuelewa sana Mch...Hananja endelea kutupa Ukwl
😂😂😂😂
Kuku
huyu hana shida
Mzeee hahahaha mbavu cna
Mjomba uko pouwa
Gari bovu hahahahaha
Lakini Muhammad pia alisema alienda mbinguni kwa kupanda mnyama akaonana na Mungu na manabii wa kale, tumempata mwingine sasa, Zumaridi. Naye kaenda mbinguni kaonana na Mungu, kaonana na Petro na Ibrahim, yeye kaenda mbali zaidi anasema Petro akataka kumuoa 😀😀😀😀.
huuu baba mchungaji na mkubali yuko vizuri japo niko upande wa pili