ZUMARIDI ASIMULIA ALIVYONUSURIKA KUPEWA SUMU GEREZANI na MCHUNGAJI, ADAI KUPATA UFAHAMU KIMIUJIZA

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 123

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Рік тому

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @emanuelchrisant8221
    @emanuelchrisant8221 Рік тому +15

    Hivi kwanini huyu Shetani ameachiwa au Niamuri ya kutoka Marekani na Mashoga wenzake wameamuru aachiwe Daa bac 2.

    • @sophiamoses431
      @sophiamoses431 Рік тому

      Ilo ziwa lote lako au maana naliona hapo juu linacheza mnoo

  • @josephatjordan2150
    @josephatjordan2150 Рік тому +26

    NINAJITAHIDI SANA NITULIE NKUELEWE LAKINI WAPI !!!

  • @vitalismmasy2308
    @vitalismmasy2308 Рік тому +12

    Hizo stori mapepo wenzio tu ndio watakuelewa.

  • @vwctvtanzania
    @vwctvtanzania Рік тому +9

    Ninyi nyote mnae muhukumu huyu Dada naona Kama pia mna Pepo kwani kamaninyi mna Mungu wakweli nayeye mnamuona anapepo kwanini msiombe mabaya yamtoke mmebakia kukosoa naona Kama niroho mbaya inawasumbua ninyi ndani yenu, Mungu tumuache yeye ndio atakae hukumu , kwani ninyi wote mko sawa hamna mabaya mnayafanya ebu kila mmoja aweke kioo ajitazame jee mko sawa? Ulie nelewa gonga like hapa,

  • @nesielias9493
    @nesielias9493 Рік тому +8

    Acha ninyamaze nisubiri wakati Mungu atakuja kutenganisha magugu na ngano

  • @flackomasterbaddest4155
    @flackomasterbaddest4155 Рік тому +4

    Kichaa kaachiwa kuharibu watu😢

  • @Johnfrancis1
    @Johnfrancis1 Рік тому

    Like naomba tusiomwamini zumaridi

  • @nusrathmanyawa4501
    @nusrathmanyawa4501 Рік тому +18

    Sidhani kama tutakuelewa wewe

  • @JustinaMambo-jb4uj
    @JustinaMambo-jb4uj Рік тому

    God bless you mama , love from Zambia

  • @hawahabibu3881
    @hawahabibu3881 Рік тому +8

    Ata unavyoongea inaonyesha waz ww ni Shetani

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 Рік тому +5

    Umepewa siku saba na Mama Kanumba umletee. La sivyo utarudi ulipotoka fala wewe😰😰

  • @theresiamwandara7990
    @theresiamwandara7990 Рік тому

    Pole sana

  • @manjaruu1575
    @manjaruu1575 Рік тому +8

    Hivi ni gereza gani ukatae kutoa kitu ulicho peleka kwa mfungwa afu wakuache😁😁😁huyu mama ni kiazi kumbe

    • @halfaniabdallah2131
      @halfaniabdallah2131 Рік тому

      Ukiazi wake uko wapi hapo wewe ulikuwepo?

    • @manjaruu1575
      @manjaruu1575 Рік тому

      @@halfaniabdallah2131 we nawe hakuna gereza lolote duniani upeleke kitu kisikaguliwe ni lazima kikagukiwe ndo umpelekee muhusika mzee

    • @mathaagustino316
      @mathaagustino316 Рік тому +1

      Kwanza yeye hakuwepo ,anasema aliitwa alijuaje kama zawadi haijakaguliwa

    • @manjaruu1575
      @manjaruu1575 Рік тому

      @@mathaagustino316 shangaaa😁😁😁

    • @halfaniabdallah2131
      @halfaniabdallah2131 Рік тому

      @@manjaruu1575 nikweli je unazijua vizuri magereza zetu Sasa Mimi nakwambia inawezekana sema nyinyi niwapinzani wa Zumarid .

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 Рік тому +8

    Wasabato hatuko hivyo, neverrrrrr....

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 Рік тому +8

    Mara hii tu umeshatakata we mama kiboko

    • @florangido202
      @florangido202 Рік тому +3

      Jini zumaridi hilo, hujuhi.....
      Hapo ni sura ya jini sio yule Diana Bundala wa Gerezani.....
      Hata kama ni mecup hapana aisee!!!
      Mchawi huyo Hujaona ile misukule iliyo pambana na police!!! ...

    • @beautyibrahim8428
      @beautyibrahim8428 Рік тому

      @@florangido202 hhaha atar na nusu

    • @khadidjasuleiman8006
      @khadidjasuleiman8006 Рік тому

      ​@@florangido202😂😂😂

    • @irenebeatus9481
      @irenebeatus9481 Рік тому

      😃🤣

  • @gaspeldaniel1140
    @gaspeldaniel1140 Рік тому +4

    Hili Tapeli wangelifunga Maisha jela

  • @hadeeegahalmawali504
    @hadeeegahalmawali504 Рік тому +3

    Uyo sio mzm kweli

  • @thomasmallya2972
    @thomasmallya2972 Рік тому +3

    Iyo mikono usichubue tena magereza imekurudishia rangi yako ya asili

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 Рік тому +6

    Kama kuna kaukweli ujiandae kutolea ushahidi hili lazimq lifuatiliwe

  • @mashannapapaaa9582
    @mashannapapaaa9582 Рік тому

    Zumalidi hongela

  • @gracejonathan86
    @gracejonathan86 Рік тому +2

    Huyu Mama hana Akili nyieee Amini ....Anachokiongea hata hakielewi

  • @yusramadodo8269
    @yusramadodo8269 Рік тому +1

    Siku utakuja kuifia jela muogope Mungu acha uongo hufai kuwa mchungaji wala mhubiri hazikutoshi

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 Рік тому +1

    Mbali na dini,huyu mama akiwadhalilidha sana vijana saana,Nyote mmeyaona hali zao.

  • @dorikasifrancis3865
    @dorikasifrancis3865 Рік тому

    Wote nyinyi ni Wana damu muna uwezo gani wa kumuelewa mungu ,hivyo wote msio muelewa ni mawakala wa shetani ,wapinga Kristo ,msjali mutaelewa Tu Saa yaja ni sekunde Tu zimebakia ,roho ya Tomaso kutoka ndani yenu , mkombozi wetu yu hai,mbarikiwe

  • @hildakilale7313
    @hildakilale7313 Рік тому +2

    Shetani yuko kazini

  • @zenaahmedi8857
    @zenaahmedi8857 Рік тому +4

    Innalilah wainna iray'h raajiun

  • @youdya
    @youdya Рік тому +10

    Fisad mkubwa ww natak urudishwe tena uko jela mana hujakoma .

  • @bahatibakari-ij1hl
    @bahatibakari-ij1hl Рік тому +3

    Ila huyu mama haishi visa 😂😂

  • @alainkubwimana5061
    @alainkubwimana5061 Рік тому +2

    Huyo maman nikimutizama kusema ivyo vituko vikwishe aje nimuowe awe muke wangu wasiku moja tu nikamupe kacumali kidogo ivyo vituko vitakwisha

    • @heritier5119
      @heritier5119 Рік тому

      Amekuzidi KILA kitu akili, pesa, umaarufu utamuweza

  • @frolawihenge2078
    @frolawihenge2078 Рік тому +5

    Uwongo mtupu!!!! Hatukuelewi ww

  • @omendavicent7731
    @omendavicent7731 Рік тому

    Ni kweli wachungaji ndo humsakama huyu mama na kwa mini wasishugulike na makanisa yao?

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 Рік тому

    Wewe ninani mbona sikujuwi

  • @libetztanzania-kiswahilina2845

    GLOBA TV MMEKWISHA 😂 PIMENI MAUDHUI YA KURUSHA

  • @mbwanarajab4756
    @mbwanarajab4756 Рік тому

    Hii ndio tofauti kubwa ya dini ya kiislamu na kikristo
    Jidai wewe ni Mungu upande wa kiislamu yaani utamalizwa muda mfupi huohuo
    Ila ukisto utasikia nabii wa Mungu huku kajichubua mara kimini ,mara ufufuo na uzima wakat hajawahi fufua hata mama yake na watu wanashangilia na kumwamini.
    Mara story za uongo anawaambia niliota mara niliona mara nilinusurika japo tu aweze kupata wafusi wengi.
    Yote hayo ni kutafuta kiki na kujaza tumbo bila ya kujali athari anazowaachia waumini wake.
    Leo kuna mafuta na maji kina mama na wafanyabishara wanaodanganywa.
    Hivi mtu anapofanya kongamano na akakuambia uje na wagonjwa lkn anajua wagonjwa wapo hospitalini huoni anakuchezea akili?
    Mbona hospitali hawaendi kwakua wanajua pale hawawezi kufanya usanii pale km wanavyopanga watu wa kutoa ushuhuda wa uongo

    • @stevensimon5642
      @stevensimon5642 Рік тому

      Kwahiyo nyinyi waislam ndo mnamjua sana MUNGU? Usihukumu Usiku ukahukumiwa, Mambo mengine mwachie MUNGU mwenyewe , na hakuna dini itayoenda mbinguni, Ila MUNGU anawajua walio wake hizo zingine ni porojo tu,aliyekudanyanya Nani dini Fulani itaenda mbinguni? Jidanganye.

  • @gracemagereli93
    @gracemagereli93 Рік тому +1

    Acheni magugu yakuwe na ngano.Bwana wa mavuno ataweka wazi siku hiyo

  • @mathewkasonta2208
    @mathewkasonta2208 Рік тому

    Mahabusu hakuna utaratibu wa kienyeji kama huu! Waandishi kwa nini hamuulizi maswali ya msingi? mnasababisha content za hovyo kuwa aired kwa sababu manzojua nyinyi!

  • @benardmwakilasa3969
    @benardmwakilasa3969 Рік тому +2

    Wamekunyoosha .. umekuwa mjelajela

  • @liesharehema5193
    @liesharehema5193 Рік тому +5

    Kuzimu haina akili kabisa ulikuwa jeusi sahizi umeanza kuvaa mamekap looo shetani Hana akili kabisa

  • @teychriss3248
    @teychriss3248 Рік тому +1

    Umejikoroga tena!!
    Story yako haieleweki

  • @rizoibrahimovich605
    @rizoibrahimovich605 Рік тому +2

    Huyu mama sijui ana matatzo gani kwakweli

    • @user-cg3vf2bl6b
      @user-cg3vf2bl6b Рік тому

      Huyu Hana tatizo ,tatizo ni wale wanao mwambudu,na kumpigia makofi kama mungu wao ,

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 Рік тому

    Kumbe Ana vita ya kidini? Ckujua

  • @hellenamtweve7672
    @hellenamtweve7672 Рік тому

    Hii inaitwa kichaa kapewa rungu

  • @careenleon2516
    @careenleon2516 Рік тому +2

    kama zombi mxiuuuuuuu

  • @hamzaally3780
    @hamzaally3780 Рік тому

    Uyu malaya ange nyongwa tu kwamaana akuna mfalme anae kwenda hedhi au anavaa pedi uyo ni mbwa dar es salaam vpo viwanja vya ufalme wake uwanja wa fisi lidazi masiki pia

  • @careenleon2516
    @careenleon2516 Рік тому

    shetani unayeipotosha Dunia jione sura la mkorogo hilo, Shetwaaaaniiii mkubwa

  • @abednego3876
    @abednego3876 Рік тому +1

    Aende akamuadisie mamamake drama qmmmamayo.

  • @selinenkubaze6720
    @selinenkubaze6720 Рік тому

    Kama unamutumikia mungu waukweli mbona wanakulinda ao mungu ambae unatumikia sio ule amabae tunajua 🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️🤔🤔🤔🤔

  • @verombwambo3703
    @verombwambo3703 Рік тому +1

    Mi ninavyomuona huyu kama sio mtu vile jmn au macho yangu

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому +2

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 Рік тому

    Hao maaskari walikubali kabsa kutokukagua mtu anaeingiq jela basi ni kweli

  • @pastadandan3569
    @pastadandan3569 Рік тому

    Kila mtu ameutwa kwa aina yake hakuna haja ya kumtukana Wala kumkashifu

    • @fatmaallyabdul1732
      @fatmaallyabdul1732 Рік тому

      Tunataka walioitwa na Mungu na sio watoka kuzimu

    • @pastadandan3569
      @pastadandan3569 Рік тому

      @@fatmaallyabdul1732 unauthibitisho kwamba katoka kuzimu?? Au unafuata mkumbo

  • @ahmedysaidy9874
    @ahmedysaidy9874 Рік тому

    Hiyo rangi tu aliyovaa ya nguo ndio inampa nguvu ya kichawi na utawala wa kuamua au kufanya lolote mbele ya watu kwel huyu ni pepo wa kuzimu amekuja kupotosha jamii

  • @kulatendaudi7671
    @kulatendaudi7671 Рік тому

    Zuumaudaku

  • @gracerichard8145
    @gracerichard8145 Рік тому

    Mim tu ndo sielewi Yan maasikar ninavyowajua gerezan wakague vitu vyote halaf ukatalie kimoja na wakuruhusu umpe mlengwa, maana ya kukaguliwa ni nn usituone wapumbavu et we vp hayo maneno hata mtoto wa chekechea hatokuelewa

  • @abuialmarjibi979
    @abuialmarjibi979 Рік тому +1

    Global mmeanza kujipunguza ufaham na nyie

  • @nurumwangoka5924
    @nurumwangoka5924 Рік тому

    Police walichofanya ni kumpa umaarufu

    • @riderrider26
      @riderrider26 Рік тому

      Sana, hata ambao hatukuwa tukimfahamu sasa tumemfahamu. Kawa celebrity all of a sudden, sasa hivi ndiyo atapata wafuasi🤣🤣 kuliko mwanzo.

  • @mzarendo.com9624
    @mzarendo.com9624 Рік тому

    HUYO ZUMARIDI NI MUONGO SANA KILA KUNAPO KUCHA HAISHI VITUKO.
    MANINAAAA !!!
    😳😳😳😳😳

  • @claudia1500
    @claudia1500 Рік тому

    Bora tu huyo mchungaji angefanikiwa nia yake km ni kweli,maana Huna faida wewe

  • @tatundayikengurukiye683
    @tatundayikengurukiye683 Рік тому

    Mpuuzi mkubwa c

  • @shalomjustas9793
    @shalomjustas9793 Рік тому

    Wewe acha ujinga sehemu yakukaguliwa vitu nijera

  • @siasia5469
    @siasia5469 Рік тому

    CHANGUD.

  • @hopekrish5433
    @hopekrish5433 Рік тому

    Pepo mkubwaa weweeh wa kuzimu mludie MUNGU utakufa vibaya ukiendelea na uwo ushetan wako

  • @rahmarajabu2585
    @rahmarajabu2585 Рік тому

    Hivi hii ng'ombe wameiachia kwanini

  • @genarahaswile2990
    @genarahaswile2990 Рік тому

    anaongea uongo

  • @unjuinkuganda1991
    @unjuinkuganda1991 Рік тому +1

    MALAYA SHETANI

  • @ismailchibonda5005
    @ismailchibonda5005 Рік тому

    Muongo mkubwa wewe shenzi taip

  • @neemamasanja3673
    @neemamasanja3673 Рік тому

    Nyoko wewe unaweza fufua mtu ariekufa fufua.sasa atamama yangu mwehuwewe unatupa machungu tu

  • @jofreymsigwa85
    @jofreymsigwa85 Рік тому

    MUTU MJINGA HUYU,

  • @ismailchibonda5005
    @ismailchibonda5005 Рік тому

    Acha uongo mshenzi wewe unapotosha umma shetani wewe.

  • @samidquiz6316
    @samidquiz6316 Рік тому +1

    Et wakristo wanamuita mwenzao shetani😄😄😄 huyu mama hana tatizo ni kama Mwamposa na wengine.....Dini ya haqi ni uislamu tu ndio hauna haya mambo
    Ni vita ya kidini baina yenu wakristo kwann mumchukie wakat anawaumin wake na anatumia bible hiyo hiyo
    Alhamdulilah kuwa ktk neema ya uislamu

    • @stevensimon5642
      @stevensimon5642 Рік тому

      Jidanganye kama hiyo dini yako ni ya haki, hivi kuna watu wenye matusi kama nyinyi, na Wala MUNGU haitaji dini, MUNGU anachotaka ni kuacha uovu na kila anakitaka yeye ukifanye hapo uaiona pepo tofauti na hapo baba utaula wa chuya na kama hauamini endelelea kufanya uovu halafu siku ukifa ukitegemea utafika peponi kwasababu ya dini yako, utakuwa kama wimbo wa dulla makabila

    • @samidquiz6316
      @samidquiz6316 Рік тому

      @@stevensimon5642 sasa mnampinga kwann Zumarid tena kwa matusi ya hali yajuuu......kwetu sisi hakuna kiongoz wa dini mwanamke

  • @heritier5119
    @heritier5119 Рік тому

    Walikuonea bure hawakuwa na ushahidi zaidi ya uonevu na wivu