HANANJA HAKUBALIANI NA ZUMARIDI, ASIMULIA ALIVYOWEKWA JELA RWANDA KUCHEZA BOXING NA KUISHI NA MATEJA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 268

  • @prime_215beatz
    @prime_215beatz Рік тому +64

    Hard to understand this Pastor but always he's talking deeply messages 👏

    • @Reginajohnson19884
      @Reginajohnson19884 Рік тому

      Huyu sio pastor ni msemaji wa watu but anajifanya pastor

    • @medeljoram5325
      @medeljoram5325 Рік тому

      Nakubali s2kizzy

    • @bawirieto4391
      @bawirieto4391 Рік тому +1

      P

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 Рік тому

      Namwelewa balaa

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 Рік тому

      Kuhusu Zumaridi...ana mental illness, anahitaji msaada.
      Serikali yetu iiige Rwanda na kuwaokoa Watanzania..Ukristo kwa kiasi kikubwa umekua ni biashara ya vitambaa, mafuta, maji, kutoa sadaka hadi senti ya mwisho na kuongezeka umaskini na injili haipo tena; wakati hao scammers wana private jets au magari na nyumba za kifahari...inasikitisha sana kwa kweli.
      Ni serikali tu ndiyo inaweza kusimamia wananchi wake. 🙏🏽

  • @nururaymond5
    @nururaymond5 Рік тому +48

    Tumbo la mama nyumba, Mgongo na mama Gari, Maziwa ya mama Chakula

  • @MILTONKALYEMBE
    @MILTONKALYEMBE Рік тому +6

    MUNGU akubariki sana pastor kwa neno lako ulilotupatia

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 Рік тому +21

    Dag, kazi ipo! Leo Sasa nimepata muda. Ti taaa mwamba huyu hapa. Nishaandaa mbavu zangu Mimi hapa saa mjue. Hakuna mtu kunipigia simu mpaka somo liishe hapa.😅😅😅

  • @vickytorry100
    @vickytorry100 Рік тому +1

    Barikiwa sana Mchungaji Hananja, nahangaika kukariri fungu moja wewe unatiririka na mafungu kibao! Una baraka, hekima na upendeleo wa Mungu🙏🏾

  • @erickgulayi2089
    @erickgulayi2089 Рік тому +41

    Huyu mzee namuelewa sana na sikosi kumsikiliza

    • @juliusmshana7187
      @juliusmshana7187 Рік тому

      Thanks so that is good to bother to ask for help to you are important that is the best you could send a new job in a bit to you about this a bit more to come in at the office today so useme a few

  • @dottohami
    @dottohami Рік тому +6

    Huyu mzee mm namuelewa sana naongea ukweli wake 😘

  • @dankhany3385
    @dankhany3385 Рік тому +18

    maisha marefu hannanja

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 Рік тому +25

    Nakupenda sana mchungaji wangu, sijawahi kuchoka kukusikiliza😂😂

  • @omaryrashidiboga4651
    @omaryrashidiboga4651 Рік тому +9

    🤣🤣🤣 Nimecheka eti wa2 wanashida nying Unaweza kuwauzia Dona la upako

  • @emmymshomi8893
    @emmymshomi8893 Рік тому +11

    hananjaaaa pastor safiii sana 😍❤

  • @philemongomwa3728
    @philemongomwa3728 Рік тому +1

    Mungu anaviumbevyake!
    Yaani mchungaji hananja bible yooote iko kichwani!!!

  • @paulnzilo7252
    @paulnzilo7252 Рік тому +25

    Pastor Hananja wewe ni sauti ya waliotengwa 😂😂 nakupenda sana.

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Рік тому +14

    Wewe mzee ni #bilionea wa mari
    Na hakili nyingi nakufuatilia sanaaa
    Mzee #ananja nakukubal kinomaa
    Mzee wangu upo na roho safi sana
    MIMI NI MUISLAM HILA NAKUSIKILIZA SANAAAA

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle Рік тому +12

    Mungu akupe maisha marefu baba yangu Hananja nimejifunza mambo mengi kupitia wewe

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 Рік тому

      Kuhusu Zumaridi na wengine; Serikali yetu iiige Rwanda na kuwaokoa Watanzania..Ukristo kwa kiasi kikubwa umekua ni biashara ya vitambaa, mafuta, maji, kutoa sadaka hadi senti ya mwisho na kuongezeka umaskini na injili haipo tena; wakati hao scammers wana private jets au magari na nyumba za kifahari...inasikitisha sana kwa kweli.
      Ni serikali tu ndiyo inaweza kusimamia wananchi wake. 🙏🏽

  • @azizamohamed7692
    @azizamohamed7692 Рік тому +15

    Sichoki kumsikiliza Hananja ❤

  • @johnmahu5060
    @johnmahu5060 Рік тому

    Mtumish mungu akubariki historia yko tu ni injili tosha tuombee angalau watu ht wachache wapate hicho kipaji namshukuru mungu Kwa ajili yko

  • @sabitintaganda9115
    @sabitintaganda9115 Рік тому +2

    Kazi nzuri

  • @SienaMkolwe-px1nq
    @SienaMkolwe-px1nq Рік тому +1

    Huyu pastor yuko vizuri sanaa

  • @rehemabakari4150
    @rehemabakari4150 Рік тому

    Asanteee baba eeet mtu anaenda marekani anagoma kurudi Tanzania ndio yeye atoke mbinguni arudi Tnzania jehanamu

  • @rahimmarions5712
    @rahimmarions5712 Рік тому +2

    Daaah huyu mwamba si wa mchezo mchezo.. namkubar sana tena sana... Makavu live🤣🤣🤣🤣

  • @hancymachibbula4355
    @hancymachibbula4355 Рік тому +5

    😂😂😂Umefika mbingun kwenye kila kitu urud tena Dunian utake book 2 yangu😂😂

  • @aisha-zu8vr
    @aisha-zu8vr Рік тому +8

    Mashaallah

  • @asumaathuman6094
    @asumaathuman6094 Рік тому +6

    Jamni anasauti nzur sana kama nasikiliza sijui kitu gani😋😋😍😍😍🤗🤗🤗

    • @malopemaliyamungu5243
      @malopemaliyamungu5243 Рік тому +1

      Mahaba hayo.. Mzee huyo. Tutafute sisi vijana tukusemeshe kwa sauti uipendayo

    • @batulii1248
      @batulii1248 Рік тому +1

      ​@@malopemaliyamungu5243 😂😂😂😂

  • @SufoWazir-s4q
    @SufoWazir-s4q 3 місяці тому +1

    Eti arudi aje kusema nataka kujenga uwanja wa ndege 😂😂😂

  • @mekumeku2484
    @mekumeku2484 Рік тому +1

    Huyu mchungaji yuko vizuri sana yaan anaenda nje ya box anaokoa wwngi sana nikiwemo mimi

  • @Boaz22
    @Boaz22 Рік тому

    Daah,1989 nilikua sijazaliwa, we ulikua unapambana, leo nina miaka 32 ......Mungu akuweke mchungaji 🙏.🎉🎉

  • @erastompongo8400
    @erastompongo8400 Рік тому +7

    Kuna mungu wa masela
    Na mchungaji wawashikaji

  • @frankmalesa9226
    @frankmalesa9226 Рік тому +17

    Jamaa huwa ampingi mtu hata kama chizi yeye anaamin maandiko tu

  • @Babu.Suwa.Yoshua01
    @Babu.Suwa.Yoshua01 Рік тому +6

    😂😂😂 huyu ndo pastor sasa

  • @ahmedkharis9471
    @ahmedkharis9471 Рік тому +1

    Uyo mzee uyo daaa namuelewa sana tuuu mm ni shekhe ila namuelewa sana tuu na yeye anaukubali uislam

  • @calvindonalds5373
    @calvindonalds5373 Рік тому +3

    Millard should have done this one also, good interview though

  • @KainLangson-lh5gk
    @KainLangson-lh5gk Рік тому

    Hananja thanks for everything you do

  • @clynemorgan9741
    @clynemorgan9741 Рік тому +1

    Mchungaji bora sana 🙌

  • @happyfaniabatromeo8010
    @happyfaniabatromeo8010 Рік тому +1

    Pastor Kama pastor 🤔😄😄duuh tuliombee Kanisa na watumishi wa MUNGU 📌❤️🙌

  • @ismailchibonda5005
    @ismailchibonda5005 Рік тому +4

    Namkubali Sana huyu mwamba yuko social sana

  • @ezevisionmediastudioezevis7855

    Hii interview ina zaidi ya dakika 25 lakini nimeona kama ni dakika 5 tu, mchungaji hau boi.

  • @naomchristopher
    @naomchristopher Рік тому +8

    🤣🤣🤣🤣😂 ama kwel afy ya akili🤭🤭. Ohoo! Balaa lingine hilo!😂😂😂

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 Рік тому

      Kuhusu Zumaridi, ana serious mental illness, anahitaji msaada.
      Serikali yetu iiige Rwanda na kuwaokoa Watanzania..Ukristo kwa kiasi kikubwa umekua ni biashara ya vitambaa, mafuta, maji, kutoa sadaka hadi senti ya mwisho na kuongezeka umaskini na injili haipo tena; wakati hao scammers wana private jets au magari na nyumba za kifahari...inasikitisha sana kwa kweli.
      Ni serikali tu ndiyo inaweza kusimamia wananchi wake. 🙏🏽

  • @hubbihubbi869
    @hubbihubbi869 Рік тому +2

    Mchungaji Hananja is Real….. Huyu jamaa ni wa kipekee…

  • @rauhiaomar977
    @rauhiaomar977 Рік тому +1

    Mazungumzo mazuri sana

  • @joanesasalavaleriano9980
    @joanesasalavaleriano9980 Рік тому +40

    Nimekua wakwanza butuen Like zangu

  • @juliusmadebe9624
    @juliusmadebe9624 Рік тому

    Asante sana,
    Nakuelewa sana.

  • @husnajuma6452
    @husnajuma6452 Рік тому +9

    😅😅😅😅😂😂😂ila huyu baba

  • @musason1680
    @musason1680 Рік тому +9

    Uyu mchungaji akili kubwa sana hasa alivyoelezea kwa nn adili na mateja

  • @godfreymagoso5334
    @godfreymagoso5334 Рік тому +1

    Dah 😂😂😂 hili balaa lingine,,,, sema ushauri mnzuri wakaangaliwe akili

  • @AthumanHajji
    @AthumanHajji 6 місяців тому

    Nakubari sana uyu mzeee anajuwa sana

  • @nassobrownog
    @nassobrownog Рік тому +6

    Ukiwa na baba kama huyu yaani akili yako itakuwa imenyooka ❤❤

  • @glorymafuru6342
    @glorymafuru6342 Рік тому

    Nimesikia sauti nnzuri iliyotangulia bila shaka ni ya Dulla 🥰 alooh

  • @clintonarnold6291
    @clintonarnold6291 Рік тому +4

    Mawe ndo sisi😅🙋

  • @njiailiyonjema
    @njiailiyonjema Рік тому

    Nimependa uliposema kwamba umeoa una miaka 40, vijana wa leo wanaooa na miaka 20, 25, tujifunze kitu hapa.

  • @jehudavid6370
    @jehudavid6370 Рік тому +1

    Huyu Mzee nampenda Bure 🤣🤣🤣🤣

  • @pettyzumamhina6583
    @pettyzumamhina6583 Рік тому +2

    Sawa Pastor

  • @maturanking752
    @maturanking752 Рік тому +1

    Mzee kanyooka sana ✋

  • @personpeter2221
    @personpeter2221 Рік тому +3

    Hyu mwamba ukimwuliza swali moja anakujibu na nyongeza 😂😂😂😂

  • @Mwalukani
    @Mwalukani Рік тому

    Amina

  • @abdulabdallh9506
    @abdulabdallh9506 Рік тому +2

    Iv wanao omba like kwan zina wasaidya nni

  • @norbatykapinga8756
    @norbatykapinga8756 Рік тому

    Una msimamo good sana mchungaji.

  • @omariputto3315
    @omariputto3315 Рік тому

    Mbona Dona la upakoo🤣🤣🤣

  • @irinikoipai3936
    @irinikoipai3936 Рік тому +8

    Mchungaji Mimi napenda sana unavyosema mmmmmh af nd ivo ujue

  • @DonathaMwoleka-fc4oo
    @DonathaMwoleka-fc4oo Рік тому

    Aminaaaaaa baba

  • @alphabintu1306
    @alphabintu1306 Рік тому

    Cool 🌹

  • @kambiyusufu2776
    @kambiyusufu2776 Рік тому +1

    Love you mchungaji

  • @musason1680
    @musason1680 Рік тому +4

    Sema tu mzee sijajua kanisa laki ningekja walau siku Moja nishiriki ibada

    • @fumotv7914
      @fumotv7914 Рік тому +2

      Ashastaafu, yupo cct udsm

  • @lodrickkisanga8681
    @lodrickkisanga8681 Рік тому

    Thanks pastor

  • @Peaceman-S
    @Peaceman-S Рік тому +27

    😂😂😂😂😂😂ukiwa mgeni na biblia Zumaridi utamuona mkweli 🏃🏃🏃

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 Рік тому +1

      Serikali yetu iiige Rwanda na kuwaokoa Watanzania..Ukristo kwa kiasi kikubwa umekua ni biashara ya vitambaa, mafuta, maji, kutoa sadaka hadi senti ya mwisho na kuongezeka umaskini na injili haipo tena; wakati hao scammers wana private jets au magari na nyumba za kifahari...inasikitisha sana kwa kweli.
      Ni serikali tu ndiyo inaweza kusimamia wananchi wake. 🙏🏽

    • @Peaceman-S
      @Peaceman-S Рік тому +1

      @@joycekisamo4896 umeongea point mpendwa ila kwa tanzania yetu nahis bado inajitafuta kwa sababu hata viongozi tunaowapat nao hawana passion ya uongoz wanapota nafasi ya uongozi nao wanafurahia kupata Ajira inapelekea ugumu wakutimiza majukumu ya uongoz wanajikita kutengeneza maisha yao binafsi na sio taifa....

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 Рік тому +1

      @@Peaceman-S Sad 😔

  • @allyking9814
    @allyking9814 Рік тому +3

    Sima namkubali sana huyu mjuba

  • @mastermaster1627
    @mastermaster1627 Рік тому +2

    Genius

  • @BarakaJulius-x8k
    @BarakaJulius-x8k Рік тому

    Nakukubali cna pasta Ananja 😂

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr Рік тому +1

    MashAllah anaongea huyo😅

  • @bumbuli4170
    @bumbuli4170 Рік тому

    😂😂😂😂 hananja ni legend

  • @salomemhalule5213
    @salomemhalule5213 Рік тому +1

    Namkubali sana maana amepitia mengi hata anachoongea ameki experience.

  • @binbaya923
    @binbaya923 Рік тому

    😁😁😁🔥🔥🔥👊🏿👊🏿mm naona ni afya ya akili

  • @ashrafchande869
    @ashrafchande869 Рік тому

    Dah mzee namuwelewag san rich bilionea

  • @mkenyaog3170
    @mkenyaog3170 Рік тому +1

    Mwambie hananja yesu kashludi ypo kenya

  • @emmanicko1535
    @emmanicko1535 Рік тому

    Nakukubali sana mwamba

  • @justfad_026
    @justfad_026 Рік тому +2

    Kama ni MB Mch. Hananja wee zimalize tu ivi kanisa liko wapi niende tu maana wew ni mchungaji wa kwel

  • @sharommiriam2674
    @sharommiriam2674 Рік тому +2

    Umeongea ukweli baba

  • @HassanShaban-ru2nb
    @HassanShaban-ru2nb Рік тому

    Mzee namuelewa

  • @joshuamollel6993
    @joshuamollel6993 Рік тому +2

    Jamani milady ayo mbona nzuri sana ikaisha mapema??

  • @allyking9814
    @allyking9814 Рік тому +6

    😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣ananja we ni top kwel mana huna mbambamba

  • @khadi-z4o
    @khadi-z4o Рік тому +8

    SICHOKI MIMI KUKUANGALIYA NA KUANGALIYA INTERVIEW ZAKO.. MANENO YAKO YAPO SAHIHI KABISAA UPO SAWA KIONGOZ.

  • @gracious6317
    @gracious6317 Рік тому +1

    Huyu pastor mkweli kabisa

  • @jacksonkimaro3751
    @jacksonkimaro3751 Рік тому +4

    Uyu jamaa kaha hakurupuki kama wahojiwa wengine

  • @khayratmhina3735
    @khayratmhina3735 Рік тому +1

    Mtamgaxaji hajui kuendanda na mazingira, mzee mcheshi yeye yupo serious..

  • @ismailchibonda5005
    @ismailchibonda5005 Рік тому +3

    👏👏👏👏👏👏

  • @standardtv3494
    @standardtv3494 Рік тому +1

    kwa ufupi sana sauti ya Mungu kwa mtu huwa haihadithiki kirahisi kila utake mwambia asipo kudhihaki basi atakaa kimya ili wakuseme kisiriri swali je? ni kweli Mungu anazungumza na watu na nikwa njia gani?
    bnafsi siwezi kutoa ushuhuda yakuwa nimewahi kuota Niko na Yesu maana walio wengi wanaamini Yesu yupo lakini swala la anaongea na watu ni kama la Hananja haamini haya isipokuwa kurudi kwa mwana wa Adam katika utukufu wake ningekuwa karibu na hananja ningemuuliza unapumua ukimsubiri Kristo au kristo anakufanya upumue ukisubiri arudi, majibu yote yanaweza kuwa sawa lakini kama yupo kati yetu inashindikana naje akizungumza na sisi kwa njia zisizo za kawaida?

  • @noelngowitechnicalsolution
    @noelngowitechnicalsolution 7 місяців тому

    Mchungaji Hananja, tunajifunza mengi kwako

  • @saidsenga8607
    @saidsenga8607 Рік тому

    Mbiguniii au bafuni🤣🤣🤣, Hiii balaa lingine 🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️ ...Maisha bado yapo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @moganfred6473
    @moganfred6473 Рік тому +1

    Huyu mzee wamaana sana

  • @winfridakaaya2758
    @winfridakaaya2758 Рік тому +1

    Etii Ili uwe nyauu south kuliko mtu tz

  • @NicholusMwandambo-mc4ms
    @NicholusMwandambo-mc4ms Рік тому

    Huyu apewe udocta wa mezani jamani

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 Рік тому +3

    Atapofuka huyo zumalidi akimuona Mungu anafikili Mungu ni mizuka yake tena utulie usije ukaadhibiwa km Brazil Santa

  • @marthaholela6938
    @marthaholela6938 Рік тому

    Mchungaji wewe umetumwa na Mungu yupi ...make km usikui sauti yake.umekuwaje mchungaji...ushauri wangu base n kanisa lako n Imani yako... Serikali yetu Tukufu aina huo ujinga unaoushabikia.mchungaji gn una hekima.unakuwaje unampinga mtumishi wa Mungu am aye watu zaid ya 1000 wanakiamini kile alichobacho....comedy..Zumaridi atawaumbua sana wakina wachungaji km wewe.

  • @GidionSylivester
    @GidionSylivester Рік тому +1

    Hakikaa huyu mchungaji ana akili nyingi na anasema uwazi na anajua sana kwa kila anachokifanya na kwa anachokiongea Mungu amjalie afya njema

  • @timothykaiza327
    @timothykaiza327 Рік тому +3

    Sasa Zuma alienda mbigu gani 😂😂😂

  • @mozasalum8742
    @mozasalum8742 Рік тому +1

    Sina cha kusema kwakweli zaidi yakucheka2 HAHAAA

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Рік тому +3

    ZUMA RIDI NI DADA WA KIFREEMASON
    Na siyo kitu kingine

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 Рік тому

    Mbinguniii au bafuniii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hatari sana.

  • @p.kasongot979
    @p.kasongot979 Рік тому +3

    Hunasinzia kama kuku wa kizungu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @belzylucas7275
    @belzylucas7275 Рік тому +2

    Nakupenda sana❤