КОМЕНТАРІ •

  • @globaltv_online
    @globaltv_online Рік тому +5

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @mosesndimgwanko1079
    @mosesndimgwanko1079 Рік тому +2

    Asanteni viongoz kwa kuliona hilo,hayo majumba naona tu yafungwe.Tunatengeneza kizazi cha uharibifu xana.

  • @danieldavid4733
    @danieldavid4733 Рік тому +16

    Vita hii ni Kali na Ngumu Mheshimiwa Mwenyezi Mungu akutie Nguvu

  • @rajabukhamis467
    @rajabukhamis467 Рік тому +11

    Asanteni sana viongozi wetu kwa msimamo wenu maana nishida unakuta mtoto mdogo mwenye miaka 15 anaenda kufanya mapenzi namtu mkubwa pesa ndogo tena wengi wanafunzi nandio maana wanafunzi wengi shuleni wanakua vicho box baadae tunawalaumu walim kumbe wanashindwa kufanya vizuri kumbe wameanza kufanya ngono zembe mapema

  • @fatmabhai2812
    @fatmabhai2812 Рік тому +2

    Wallahy mtihani c mdg dah! ???? Mwenyezmungu tuswameh waja wko. Vikuze vizazi vyetu kwenye maadili mema.

  • @jothamekisouke2326
    @jothamekisouke2326 Рік тому +1

    Daaaah uyo chapombe msemaji wa kwanza ameongea vzuri sana,hao wadada wanaharbu Sana jamniii iliyowaznguka!!
    Lkini viongozi wanapata manufaa Sana na hao wadada wanaojiuza hapo,haiwezkani wawaache tu wafnye uchfu wao

  • @evaemil856
    @evaemil856 3 місяці тому

    Huyu mayor anatumia haki za binadamu, maadili na sheria Ya nchi. Safi Sana.

  • @caswaralbadry8481
    @caswaralbadry8481 Рік тому

    Laana hii itaisha lini ni jukumu kwa kila mtanzania wasione wengine mungu atawaacha hapana ukiwa na uwezo wa kukemea au kuzuia na ukakaa kimya kulizuia hili basi na ww unahusika kuadhibiwa na mungu moto mkali ,

  • @samwelkalinjuna9739
    @samwelkalinjuna9739 Рік тому

    HONGERA sana mh stahiki mayor songoro kwa jambo hili kwakweri hali si hali ndani ya jiji hili la dar es salaam na si hapo tu hili zoezi Liwe la jiji zima maadili ya momonyoka

  • @lionking3015
    @lionking3015 Рік тому +4

    Mm nadhani hata hoteli kubwa kubwa wanazoenda kina Kajala na irene uwoya pia ni danguro tu..utofauti ni mazingira tu..hata mtandao wa Instagram na tiktok ni danguro mana madada wengi wanazitumia kujiuza mitandaoni na kujiadvertise kama kina gigy..nadhani ni bora sheria iwe msumeno sio kwa wanyonge tu

  • @othmanhussein-ed7mj
    @othmanhussein-ed7mj Рік тому +25

    Duh innaa lilaahi wainnaa ilayhi raajiuun

  • @manilabonalumanula9210
    @manilabonalumanula9210 Рік тому +1

    Safi sana Mstahiki Meya. Lkn itakapotokea hapo acha watu wako kimya kimya wasiojulikana kwa wenyeji ili iwe rahisi kusafisha wachafuzi wa jamii. Maana hao viongozi wenyeji usiwategemee watakudanganya.

    • @ahz6907
      @ahz6907 Рік тому

      Kabisa na watakuwa wanapata fungu

  • @amanimanase8798
    @amanimanase8798 Рік тому +6

    Makahaba DAR wapo wengi sana kila mahali ukienda manzese,kimara,temeke,buguruni yani wapo kibao na walio wengi wanatoka mikoani

    • @loner_wolf
      @loner_wolf Рік тому

      Tafakari..... Wapo wa mkoa na wapo wa hapa hapa......

    • @sarahomary3615
      @sarahomary3615 Рік тому +1

      ​@@loner_wolf Hapana nakataa WA dar wamezoea mji ila WA mikoani wengi wanavamia mji Wanakuja na ulimbukeni na wengi wanaambiwa Kuna kazi za ndani wakiona maisha hayapo Sawa ndiyo hivyo wanaanza kujiuza

    • @ahz6907
      @ahz6907 Рік тому

      ​@@sarahomary3615 Wote hata wa dar wanayafanya hayo.

  • @davidpaschal778
    @davidpaschal778 Рік тому +2

    Atuwezi fanya kazi aina moja waacheni wanasaidia watu mmesha halibu maisha toga juuu

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 Рік тому +7

    Safi sana mstahiki mayor umeongea vizuri sana.. kazi iendelee

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 Рік тому +6

    SubhanaAllah 😭😭😭 ndiyomaana mvua hainyeshi mazao yamekauka Wallah huu mtihani

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 Рік тому +10

    Mtihani dah😢😢😢😢

  • @DIO-jd8xs
    @DIO-jd8xs Рік тому +4

    Situnataka haki sawa

  • @sylasmusic6773
    @sylasmusic6773 Рік тому +1

    Wafanye nini wakati hata biashara ni shida tu acheni hizo dada huduma. zenu ni nzuri

  • @fikiriselemani100
    @fikiriselemani100 Рік тому +6

    Halafu vjumba vyenyewe vbovu vnachafua hadhi ya Jiji letu ,Bora vivunjwe ,

  • @talhiyaibrahim1074
    @talhiyaibrahim1074 Рік тому +4

    Yaan mashallah hongera sana

  • @starmakervideos1984
    @starmakervideos1984 Рік тому

    sio sawa
    maisha magumu dada zetu wafnyaje yaan. acheni usengne viongoz mnakurupuka sana. hamtoi suluhisho nyie mnajua kukataza tu.

  • @bahatisaimon6019
    @bahatisaimon6019 Рік тому +12

    Ili jambo liishe mpaka Mama asemee au bunge liseme maana ndoa nyingi leo zinazofungwa zimekufa kwasababu hiyo

  • @Saidkhel
    @Saidkhel Рік тому

    Wanunuzi wanalalamika kwenye comment bongo bhana

  • @queenlinda255
    @queenlinda255 Рік тому +1

    Safi

  • @jeanmusamba3253
    @jeanmusamba3253 Рік тому +5

    ni hatari sana si ukimwi tu kuna hepatitis B ni mbaya kuliko ukimwi

  • @naimasuleiman6489
    @naimasuleiman6489 Рік тому +1

    Na hivo vyumba vimejengwa kwa hivo tu au subhnaAllah

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 Рік тому

    Safi sana mkuu

  • @hamdaniamli-mj3zp
    @hamdaniamli-mj3zp Рік тому

    Ahsante meya umesomeka

  • @bongelabwana1940
    @bongelabwana1940 Рік тому +3

    Tunahtaji Viongoz wenye Mitazamo na hofu na Mungu,Namuona atafika mbali

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 Рік тому

    Jambo zuri sana hilo,chukueni hatua yasibaki maneno tu. Wengine wenu ni wateja🤔

  • @emanuelpallangyo3698
    @emanuelpallangyo3698 Рік тому +5

    Toeni kwanza elimu kwao then mfanye mpango wakuwapa mikopo kwa ajili ya biashara kwa ataye hitaji

  • @zamdakimaro8040
    @zamdakimaro8040 Рік тому

    HONGERA MH WANAWAKE WAMEKUWA NA MABALAA NA WAMESAHAU KAMA KUNAMUNGU

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 Рік тому +7

    Hatari sana!! Hongera sana Meya Kwa kujitoa muhanga!!

    • @saebajoma8419
      @saebajoma8419 Рік тому

      Kwahiyo ndugu yangu kuuza mwili nikazi mbona kazi zipo nyingi tuu ukiamua ​@@WAASINASTYCRAZY

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 Рік тому

      @@WAASINASTYCRAZY Afya yako ya akili haiko Sawa,,,

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 Рік тому

      @@WAASINASTYCRAZY Hahahaha,,,,,kama Una elimu basi ni ya kimchongomchongo, haiwezekani mtu msomi kutoa hoja ya kipumbavu kabisa, ,,,, there are so many Hustlers in this country who are struggling legally to earning their lives!!! We unatuambia eti Kwa kuwa hawana kazi basi wakauze miili Yao! Mjinga sana wewe, tena usirudie tena kudai usomi Kwa Hoja za kijinga, maana unaiangusha tasnia ya kisomi

  • @thamani5842
    @thamani5842 Рік тому +12

    Innalillah waina ilayhi raj un

  • @abdulhida8291
    @abdulhida8291 Рік тому +3

    Mola awasimamie mpaka, biashara hii ikome, inshaallah safi sana meya.

    • @hallin9561
      @hallin9561 Рік тому

      hii biashara haitokaa ifutike kaka, iwe saudia, dubai, Vatican, itali, American na kwingine kote, ni vile zinafanyika kwa siri sana, niliwahi kupelekwa kwenye dangulo moja Zanzibar kama wew ni mgeni haujui. wenyeji wanapajua

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 3 місяці тому

    Mh. Diwani Kata ya Makunusho Mohd. mwogope Mungu. Hela yangu uliyonitapeli wakati unatoa gari langu Bandarini uliahidi utanilipa kwanini hunilipi???? Wewe sasa ni kiongozi je unafuraha kudhulumu.

  • @ahmedyhassan4059
    @ahmedyhassan4059 Рік тому +1

    Wanafanya ukimwi uzid vijana watt zetu sijui k watapona badae uko,,Allah tupo mwisho mwema

  • @mohddelo
    @mohddelo Рік тому

    Safi mkuu

  • @musampanda3643
    @musampanda3643 Рік тому +10

    Ao ao wenyewe watoa maoni ndio wateja wakuu jioni

  • @christianchando7041
    @christianchando7041 Рік тому +3

    Hii ndio faida ya kuwachagua viongozi wanaomcha Mungu

    • @WAASINASTYCRAZY
      @WAASINASTYCRAZY Рік тому

      Mnawafukuza kwan si wapo nchini kwao ,mnawafukuza badala ya kuwataftia kazi ,hao ni watanzania walioshindwa na maisha wakaona wajikimu kwa kujiuza ,serekali inawaona kheri wafe njaaa,hawana thaman ndanio ya taifa yao,hao wanasaidia familia zao kwa kazi hiyo na hiyo nch haina kazi sasa watu waishi vp wakati serekali mmeshindwa kuwaudumikia wala kuwaajili wananch wake? acheni ukilitimba mikopo mnapeana wenyewe wenye nyumba dadazetu tuwataftie chakufanya msiwafungie biashara zao kwan tupo kwenye umasikini uliokithili ,acheni ukilitimba

    • @christianchando7041
      @christianchando7041 Рік тому

      @@WAASINASTYCRAZY Mikopo ya akina mama, vijana na walemavu, ni 10% ya mapato yote ya Halmashauri kwa mwaka. Mfano Halmashauri ya Kinondoni asilimia 10 huwa ni bilioni 2 mpaka tatu. HIZO WANAKOPESHWA BILA RIBA WALA DHAMANA YOYOTE

    • @WAASINASTYCRAZY
      @WAASINASTYCRAZY Рік тому

      @@christianchando7041 kukopa mpaka uwe na kitu chakuweka rehani,kama tanzania haina dini mnakatazia nini watu kujiuza kwani kakuuza wewe? kwan si anajiuza ilin apate pesa yakula sasa unataka uwe unampa wewe pesa yakula au unataka afe? mikopo sipanka niwe na akili ya biashara ? serekali haiwezi kuongoza wananch wake ,hasa wewe raia unaongelea hivyo wananch wenzako waliojikimu kwa kujiuza ili wasife njaa> sasa mnataka wawe majambazi au? kama mnauwezo si muwasomeshe au muwape kazi waitakayo? mnajua nch ipo kwenye umasikini uliokithioli na wananch waacheni wafanye wanachoona kinawawezehsa kimaisha ,au mnataka mtu weke sote jela au tufe sote ? nyie mmesomeshwa na mpo maoffisin mkitaka malaya mnaenda bar kubwa na mahotelini sasa sisi walala hoi mnataka tuwabale watoto wa watu au? mnataka tuwanajisi watoto wenu wakiume au? mbona viongozi hawana akili ?wao wameshiba sisi tiukijikwamua kiuchumi kwa njia tuziojuazo nyie mnatukataza kwan nch mmeumbiwa nyie pekeyenu?

  • @ivanminja7954
    @ivanminja7954 Рік тому +3

    Ni zaidi ya miaka 40 hizo nyumba zipo, kazi ipo.

  • @ramadhanmustafa1941
    @ramadhanmustafa1941 Рік тому +1

    Fukuzilia hao wote wanatuharibia ndugu zetu

  • @hadijaalpha7547
    @hadijaalpha7547 Рік тому

    Mtihani!mvua hazinyeshi!maisha magumu!matendo yetu!hizi sio asili yetu!nyakati za mwisho!mungu tusamehe tuongoze!

  • @abbiecox1
    @abbiecox1 Рік тому +2

    si vyema kuwafukuza wanatoa huduma kwa watu ambao hawawezi kupata huduma hiyo hasa vijana wasio na ndoa muhim wapimwe afya ili wasiwe chanzo cha maradhi kwa jamii. pia kama inawezekana wawezeshwe mwanamke akiwezeshwa basi jamii imewezeshwa

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 Рік тому +7

    Mhh hatari ila hii hapana nimezunguka Arusha sijawahi ona huu ujenzi vyumba utadhani mabanda ya kuku😭🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 Рік тому +1

    Mkuu Wa Mkoa Sijui Anapambana Nanini Ndani Ya Dar .Uchafu Kila Kona Mbona Wakati Wa Makonda Mengi Yalikua Kwenye Kupotea Viongozi Wenye Kupokea Pesa Kamata Ndani Sasaivi Mpaka Wazazi Awaley Watoto Wa Kike Kwasababu Wanajua Unalea Malaya Kumbe Watoto Halisi

  • @feisalmwinyi2429
    @feisalmwinyi2429 Рік тому

    Hongera Sanaa Mh Songoro kwa hekima yk na busara zakoo Allah akujaze nguvu ya uongozi wk

  • @othmanhussein-ed7mj
    @othmanhussein-ed7mj Рік тому

    Duh

  • @abbassalum6824
    @abbassalum6824 Рік тому

    Anaefanya ivyo sio kama anapenda kazidiwa na maisha magumu

  • @filbertabdallahmdee2676
    @filbertabdallahmdee2676 Рік тому +1

    Kwel jaman jamii inaangamia embu serikali iingilie kati na ikiwezekana sheria ziwe Kali kuhusu wanawake wanaojiuza

  • @stephenemuya8575
    @stephenemuya8575 Рік тому +1

    Hii ni siasa tu amna kitu hapo waishapita viongozi wengi ilo eneo amna kitu wanafanya amna solution wanoyokuja nayo Amna Kitu Hapo

  • @zuwenaally6403
    @zuwenaally6403 Рік тому +3

    Subuhaanah lahu kama badae ya kuku jomani 😢😢😢😢😢

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 Рік тому +1

    Sema Mmeamua Nyote

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 Рік тому +13

    wanasiasa bwana eti mwenye nyumba asipojitokeza tutavunja tuweke kituo cha afya hiyo kesi yake utakimbia familia hawa ma meya si ndo wanatokana na madiwani sasa kuna diwani gani mwenye akili timamu

    • @mkundukunuks
      @mkundukunuks Рік тому

      Kama Yule wa vingunguti kumbi la Moto Hana hata akili moja

    • @kisoso890
      @kisoso890 Рік тому

      Haha machoko Hao wananunua vibint vya insta na tiktok na Twitter wanajifanya kutumia mtandao wa Twitter kama vile sehemu special kumbe kule Twitter Kuna laana kufuru utamkuta eti account yangu ya Twitter kumbe ni bora anaetumia Facebook yupo OK kuliko huko Twitter
      Kaka meya kafanye kazi maji shida barabara shida unakuja kataka kuharibu raha zetu mbwa wew

    • @abdallahrenatus6677
      @abdallahrenatus6677 Рік тому

      Bodhaa kama haipo mteja atatoka wapi?

  • @boazambokile2587
    @boazambokile2587 Рік тому +6

    Sisi wanaume ndo hatuelewiki unakuta mtu yupo hapo analalamika na yeye ndo mteja wa hao watu anafikiri hayo mambo yataisha vipi inatkiwa kwanza wanaume tuache kununua hao watu mwisho wasiku wafanye kazi waache uvivu

    • @Awatee
      @Awatee Рік тому

      Wewe umeongea lkn wengine sio rahisi kuelewa

    • @emanuelleopod3949
      @emanuelleopod3949 Рік тому +1

      Na sisi tusiyo na hela za kuhonba unadhani tutaacha kwenda kwa hao watu?

  • @shafiimusa6572
    @shafiimusa6572 Рік тому +2

    Ongera sana meya wa kinondoni

  • @yhasintakalenyula970
    @yhasintakalenyula970 Рік тому +10

    Hao wanaojiuza,maana yake wana wateja.Wateja wao ni wanaume...Hivyo nawaomba,muwaambie wanaume.Kama wanaume hawataenda kwa hao wadada,hao wadada hawatapata wateja itakuwa ni rahisi kutafuta kazi zingine za halali.

    • @rose_Winchester86
      @rose_Winchester86 Рік тому

      Hiyo haiwezi kutokea

    • @bongelabwana1940
      @bongelabwana1940 Рік тому +1

      I think you are a member

    • @emanuelleopod3949
      @emanuelleopod3949 Рік тому +1

      Sasa dada angu nyie mnataka pesa ndefu mara ya kusukia mara hujala mambo kibao ila nikienda kwa hao madada poa napata kwa buku tatu tu aisee

    • @dinnambogoye9582
      @dinnambogoye9582 Рік тому

      @@emanuelleopod3949 kweli broo , pia madem wengine wanajikuta wanaliinga Sana

    • @edinakyaruzi9226
      @edinakyaruzi9226 Рік тому

      @@emanuelleopod3949 tumia kinga kwa umakini kabisa

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 Рік тому +5

    daaah allha anusuru vizazi vyetu lnshallha na haya mambo maana hao wanao jiuza wapo sehemu ya jamii kabisa mtt akitumwa dukani hapo ndo njia na temeke pia maeneo ya dabo kibini kwa chacha pale na maeneo ya wailes masangati kwa nyuma yamejaa kama yote😭

    • @ahz6907
      @ahz6907 Рік тому

      Inawezekana kukemea na yasiendelee kama hivyo ni sisi majirani tunapuuzia ndio hivyo yanaonekana kawaida tu.TUBADILIKE

    • @modycombo7421
      @modycombo7421 Рік тому

      Navijumba vyao vinakuwahivyo hivyo vya mstar

    • @modycombo7421
      @modycombo7421 Рік тому

      Navijumba vyao vinakuwahivyo hivyo vya mstar

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 Рік тому

    acheni wafanye kazi yao wanasaidia jamii makahaba walikuwepo kabla na baada ya kuzaliwa Kwa yesu

  • @mchwikesenior4221
    @mchwikesenior4221 Рік тому +2

    Natamani huyu awe waziri ili maono yake yafanye kazi nchi nzima. Big up bro💪

    • @stephenemuya8575
      @stephenemuya8575 Рік тому

      SIASA TU HIZI MKUU MWAKANI ATAENDA MWINGINE YOUR JUST AN NPC IN TANZANIA

    • @WAASINASTYCRAZY
      @WAASINASTYCRAZY Рік тому +2

      Mnawafukuza kwan si wapo nchini kwao ,mnawafukuza badala ya kuwataftia kazi ,hao ni watanzania walioshindwa na maisha wakaona wajikimu kwa kujiuza ,serekali inawaona kheri wafe njaaa,hawana thaman ndanio ya taifa yao,hao wanasaidia familia zao kwa kazi hiyo na hiyo nch haina kazi sasa watu waishi vp wakati serekali mmeshindwa kuwaudumikia wala kuwaajili wananch wake? acheni ukilitimba mikopo mnapeana wenyewe wenye nyumba dadazetu tuwataftie chakufanya msiwafungie biashara zao kwan tupo kwenye umasikini uliokithili ,acheni ukilitimba

    • @MohammedAli-rh5si
      @MohammedAli-rh5si Рік тому +1

      Mmh🤣🤣

    • @fainajaffary4070
      @fainajaffary4070 Рік тому

      @@WAASINASTYCRAZY 😁😁😁😁🤣🤣kunywa soda bby😍

  • @abdallahkassim318
    @abdallahkassim318 Рік тому

    Wapewe million 40 pia

  • @josephshelukindo2269
    @josephshelukindo2269 Рік тому +5

    Hata kama Wana maisha magumu..waangalie Kaz za kufanya sio hiyo..

  • @mussakadelia5681
    @mussakadelia5681 Рік тому

    mheshimiwa meya, kutoa mikopo siyo vibaya ila changamoto ni kwamba hao watu wanaenda kufanya biashara gani, na wamejiandaa vipi kuwapa elimu ya ujasiriamali kabla ya kuwapa mikopo,
    hii issue ni ngumu sana na haiwezi kuleta matokeo chanya, watakula hiyo mikopo na kurudi kwenye madanguro tena

  • @mchumiajuani1993
    @mchumiajuani1993 Рік тому +8

    Hata kama kazi ya ukahaba upo basi usiwe wazi namna hii, yani hawa wanafanya kaz km duka......

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 Рік тому +7

    Meya uwamzi wako ni mzuri sana na tena hivyo viwanja vya hizo nyumba ni kiolela hazina hata hati za sehemu hiyo ni wavamizi walio jenga maeneo hayo

    • @mohamedrashid9035
      @mohamedrashid9035 Рік тому +1

      @@WAASINASTYCRAZY wwe kweli hamnazo wewe unapenda ujinga wanao fanya kuuza uchi ni kazi watoto watajifunza nini badae.wanaka mikoa na vijijini kuja kuza miili wanawacha mashamba kulima hata ni mtanzania ndio ufanye maovu ndani ya nchi

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si Рік тому +1

    Kwani uchaguzi lini tz
    Maana huyu jamaa alikua akiishi jirani na hilo eneo kabla ya kua diwani hadi leo ni meya
    Na hakuwahi kukemea tatizo la tz viongozi hufanya kazi kwa mihemko
    Kikubwa tuone utekelezaji
    Maana waandishi wa habari washawahoji sana na hakuna khatua yoyote

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 Рік тому +2

    Ngoja tuone.....mwisho wake

  • @victorbugobola2276
    @victorbugobola2276 Рік тому

    Hiiiiiiiiii Nchi tamu sana

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 Рік тому

    Hiyo sehemu kongwe

  • @crisndembwele4016
    @crisndembwele4016 Рік тому +2

    Mnaanzaga vizuri ila mwisho huwa mbiyo za sakafuni. Hao hata kwenye vitabu vyadini wapo kuzuiya ni ngumu maana watatafta njia yoyote kaziyao iendelee mtumie akili na lisiwe zoezi la skumoja araf mnapoa

    • @princekarani7836
      @princekarani7836 Рік тому

      Mzee kuishinda ihi biashara ni ngumu kuliko kitu chochote dunia ihi,biashara ambazo huwezi kuzitokomeza dunia ihi ni madawa ya kulevya,umalaya,(kuuza mwili),kuuza viungo vya binadamu,uwezi zuia ata siku moja,kingine kilichoikumba dunia ni ush..ga

  • @evaemil856
    @evaemil856 3 місяці тому

    Serikali ingebomoa haya maeneo na kuwajengea wananchi nyumba Safi za bei nafuu na mazingira bora. Wangejenga ghorofa kadhaa za vyumba viwili mpaka viatu au vinne. Mpango mji, na kupawekuea hadhi hizo biashara za ovyo zingeisha. Maadili yazingatiwe.

  • @lusakulazephania32
    @lusakulazephania32 Рік тому

    Wanatusaidia sana hawa madada

  • @Jaz_bey
    @Jaz_bey Рік тому

    Mama ntilie wanafanya kaz afu Wana kamatwa na site afu kuna ombaomba wa naitwa wagogo wazima hawana tatizo wanaombaomba hapa mjini kwann serkal isiwakamate iwapeleke maporin wana fanya nn hapa mjin wamechanganyana na vilema kilema aombe nawaoo wambe

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 Рік тому +2

    Hapo labda wavunje nyumba zote hizoooo ndy wataondoka...

  • @suleimayahya2099
    @suleimayahya2099 Рік тому +1

    Biashara itakua inawalipa vizuri coz mademu wa mitandaoni bei zao juu

  • @NANCYWARD488
    @NANCYWARD488 Рік тому +4

    wateja waache kwenda kununua hizo ngono tuone kama watakuwepo. shida si hao bali ni wateja, pia hizo pesa za mikopo mkakopeshe watu waliozoea kupata pesa kwa kufanya ngono mnautani kweli aisee, hakuna atakaefanya biashara hapo ya kupigwa na jua siku nzima wakati alizoea kukaa kivulini na kupata pesa, watafutieni Kazi viandani huko mkawapeleke, mikopo ni kuchezea tu pesa kodi zetu.

    • @issasulleman8573
      @issasulleman8573 Рік тому +1

      sasa wateje tukiacha kwenda kununua ! mnataka tuanze kubaka au! na nyinyi mnatulingia, mkitongozwa tu mnaanza kutupatia majukumu makubwa kama wazazi wenu sasa si bola nikanunue alfu 3

    • @gockoomzawa226
      @gockoomzawa226 Рік тому +1

      Mkitongozwa si mnakataa

    • @NANCYWARD488
      @NANCYWARD488 Рік тому

      @@gockoomzawa226 na nyie mnaogoa majukumu ndio maana mnaenda kununua vya harakaharaka na bei nafuu

    • @gockoomzawa226
      @gockoomzawa226 Рік тому +1

      @@NANCYWARD488 tena huko akuna ata kuumizwa moyo

    • @NANCYWARD488
      @NANCYWARD488 Рік тому

      @@issasulleman8573 ndio wawaache sasa ili nyie msiotaka majukumu mpate pakwenda

  • @hallin9561
    @hallin9561 Рік тому

    muwaache wadada wafanye biashara zao kwa amani, nyinyi ni wauzaji wa mihadarati lakin wananchi wametulia

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 Рік тому +6

    Msiba mkubwa
    . Allah tunusuru na huu mtihani
    Watu wanaangamia

  • @jumamasasi4424
    @jumamasasi4424 7 місяців тому +1

    Wana habar kweli mnakazi hatal

  • @yusuphikram7906
    @yusuphikram7906 Рік тому +2

    nimekubali kiongozi jambo unalo lizungumza ni lamsingi kabisa endelea kulipigania hilo

  • @jothamekisouke2326
    @jothamekisouke2326 Рік тому

    Duuuh hiyo milango Sasa ilivyo!! Bei ya elfu 2 Ni ukimwi,Na Magonjwa mengi

  • @barakamarandu6163
    @barakamarandu6163 Рік тому +1

    Sema lkn ukiangalia kwa upande mwingine izo pis zina tu save sana maana nikiwa na arosto naruka hapo chap na buku mbili

    • @Mina.15
      @Mina.15 Рік тому +1

      Utakufa na magonjwa

    • @barakamarandu6163
      @barakamarandu6163 Рік тому

      @@Mina.15 Hamna magonjwa mama nachumvini nazama fresh to nawaungisha to jmn Kwan kuna baya

    • @Swahili14
      @Swahili14 Рік тому

      @@barakamarandu6163 Hello bro 😂

  • @oliverjason4335
    @oliverjason4335 Рік тому

    Sitetei ukahaba Ila iyo mikopo ni ubabaifu wengi hupati iyo pesa kwa haraka Kona nyingi mpk unakata tamaa unaamua kuacha

  • @stamalamkulungwa8708
    @stamalamkulungwa8708 Рік тому +1

    Jamani sasa wanawake mtaani wanatulingia Huko watu walikuwa wanapunguza haja zao sasa ukiwatoa itakuwaje

  • @tumainidmgutu
    @tumainidmgutu Рік тому +5

    Binafsi bado sijaona kama hiyo njia itasaidia kwakweli kwasababu badp kuna maswali mengi yanakosa majibu kwenye, naogopa kumlaumu au kumshitaki mtu , itoshe tu kusema kila mmoja atekeleze wajibu wake ipasavyo kama ni serikali na pia kama mwananchi vivuo hivyo

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Рік тому +1

      Na hii inasaidia watu kubaka wawape vibali walipe kodi

    • @ahz6907
      @ahz6907 Рік тому

      True

    • @richardbenny156
      @richardbenny156 Рік тому

      unaunga mkono umalaya na ushoga si ndio?

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Рік тому

      @@richardbenny156 Hujui kutofautisha wewe ,Ushoga na umalaya ni vitu viwili tofauti malaya wanasaidia watoto wasigeuzwe mashoga na wasibakwe.Hivi hujui kama kuna wanaumme hawajui kutongoza au wakitongoza hawakubaliwi .Ila kwa malaya ni fedha yako tu na watu kama hao ndio hatari kwa kubaka vichwaa wa kike na watoto. Malaya wawekeeni kihalali walipe kodi ,kwani kuna mtu analazimishwa kwenda kwa malaya ?ni mapendekezo ya mtu kwenda kutimiziwa haja zake

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx Рік тому +1

      ​@@leokamil6284 ah sjawahi kuona mtu akili hna kma hizo zko hujui maradhi ypo mengi hjui familia ngap zitaanguka na kuarhirika unatka wawe kma Thailand

  • @omarylukindo5306
    @omarylukindo5306 Рік тому

    Hapo ni karibu kabisa na hospital ya mwananyamala,,Yan utakuta Bango kabisa linakuelekeza hapo limeandikwa BIASHARA YA MAJENEZA,ila biashara ni watu Wala huon hayo majeneza

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Рік тому +3

    Subuhanallah

  • @tatotato506
    @tatotato506 Рік тому +1

    Ata temeke sudan wapo

  • @Yo_tune-tb5sn
    @Yo_tune-tb5sn Рік тому +12

    Mi uyu jamaa wakwnza kuhojiwa sijaelewa alikuwa anakataa wawepo au anakubali maana inaonekana nimteja pia 😂😂😂😂😂

    • @eashaeasha9776
      @eashaeasha9776 Рік тому +1

      Nimecheka Sana tena mteja wao mzuri Tu anajua mbaka bei

    • @sifatiiman
      @sifatiiman Рік тому

      😂😂🤣🤣🤣

    • @Yo_tune-tb5sn
      @Yo_tune-tb5sn Рік тому

      @@eashaeasha9776 😁😁😁😁 anakwambia unakuta mnakubaliana 3000 au 5000 lakin ukimalza anachukua yote 10000 me sikubaliani nahuduma yao 😂😂😂😂

    • @eashaeasha9776
      @eashaeasha9776 Рік тому

      @@Yo_tune-tb5sn halafu anasema wajumbe wa mtaa watazame swala Hilo yaani hapo anauchungu Tu na pesa zake lakini haoneshi kuchukizwa na hiyo biashara😆😆😆🤣

    • @Yo_tune-tb5sn
      @Yo_tune-tb5sn Рік тому

      @@eashaeasha9776 😂😂😂😂😂 dah bilashaka umemuelewa sana uyu jamaa

  • @SamsonMwanosa-km6xc
    @SamsonMwanosa-km6xc 8 місяців тому

    Selikali fanyeni mpango wa kuzuia ushoga hawa wahaya walikua wanatutoa baridi kwenye mvua hii

  • @muddybreezy4595
    @muddybreezy4595 Рік тому +1

    Saf sana Meya
    Kama mulifungia mitandao ya x vipi hawa panya

    • @philemonmagesa5548
      @philemonmagesa5548 Рік тому

      Eeh! Wanashindwa nn kuwafungia kama X waliweza kuwafungia watu wasione??

  • @biddii1972
    @biddii1972 Рік тому

    Dawa ni ajira

  • @lucaspaulo5371
    @lucaspaulo5371 Рік тому

    Harafu msiseme makahaba tu na wanunuzi pia je mnawafahamu maana ni wengi kuliko wanaouza kama mmoja anaweza kuuza watano hadi kumi wako mia sasa zidisha mara hiyo ni ngapi? Halafu wateja wengi ni hao wa serikalini ndio wanaopandisha na bei 10000 harafu kahaba akisha kuwa staa wananunua wafanya biashara na wakubwa kuanzia 50000 mpaka ...… Mi naboeka na serikali yetu wala siwalaumu makahaba chanzo ni nini mpaka mtu akawe kahaba hamjiulizi?

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 Рік тому +1

    Kwa msiofahamu, hilo dangulo lipo zaidi ya miaka 20. Sijui kama Meya atatoboa!

  • @yassinshaban6241
    @yassinshaban6241 Рік тому

    Hii kitu kwa kiongozi uyu haiwez bora afanye mambo mengne tu maana majibu ya maswali hatakayoulizwa ana

  • @allykondo8406
    @allykondo8406 Рік тому

    Movie bado inaendelea hahahaha juhudi za makonda hii itakuwa season ya ngapi vile???

  • @mbwanahasan2971
    @mbwanahasan2971 Рік тому

    Mgosi nimekukubali

  • @eaglecrown6470
    @eaglecrown6470 Рік тому +1

    Upande wa pili wamesaidia kupunguza kesi za ubakaji😂😂😂 Uganda hao wanalipa Kodi.

    • @Asha-gh2mo
      @Asha-gh2mo Рік тому

      Wala ubakaji unapamba moto hawajapunguza wala nn

  • @fatmaahamad633
    @fatmaahamad633 Рік тому +4

    Baba ukilimaliza hili unapepo yako kwa allah