BMG TV: Mfalme Zumaridi afunguka mbele ya waandishi wa habari #01

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024
  • BMG Media- Pamoja Daima!
    Tovuti www.bmgblog.co...
    Facebook / bmghabari
    Twitter / bmghabari
    Instagram / bmghabari
    #BMGTV #BMGBLOG #BMGHABARI Pamoja Daima BMG

КОМЕНТАРІ • 67

  • @BMGOnlineTV
    @BMGOnlineTV  Рік тому

    Mfalme Zumaridi akiwaombea Waandishi wa Habari ua-cam.com/video/9UitoNfqkbM/v-deo.html

  • @GRACEFELICIANKALUMUNA
    @GRACEFELICIANKALUMUNA 6 місяців тому +1

    Dada yngu ww mtangulize mungu hata Walio msaliti yesu ni wake wa karibu

  • @joycekelvin5434
    @joycekelvin5434 Рік тому +2

    Mungu huwa anajibu kwa wakat wke uwez kumpangia, wakati ukifik utajua Tuliza komwe lako, Kwanz Anatembea na vijana wadogo ukiacha uchawi,

  • @Tabrenchavuda
    @Tabrenchavuda 7 місяців тому +1

    Mie mfalme naomba njia uliotumia mpaka umefika hapo unakula kiyoyozi nimechoka kulala njaa

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  7 місяців тому

      Bila shaka kafanya kazi kwa bidii kwenye eneo lake la huduma, nawe ongeza jitihada kazini kwako.

  • @DOCTORMitishamba-m1r
    @DOCTORMitishamba-m1r 6 місяців тому +1

    Nimekupenda nasitaji nikuoe

  • @BMGOnlineTV
    @BMGOnlineTV  Рік тому +1

    Habari kuhusu Kanisa la Mfalme Zumaridi ua-cam.com/video/qFIAZ1hnidM/v-deo.html Mwanza.

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 Рік тому

      Freemason mutakuja kuyaona yalotokea kenya na yeye anayafanya

  • @DOCTORMitishamba-m1r
    @DOCTORMitishamba-m1r 6 місяців тому +1

    Naitaji nikuoe

  • @davidmdadila4080
    @davidmdadila4080 Рік тому +1

    Sawa dada tunakuelewa wewe ni mtumishi wa MUNGU.ila kosa lako unajiita wewe ni MUNGU hapo ndipo kosa lako lilipo MUNGU ni mmoja tu.wakweli aliye hai

    • @peninathomasi148
      @peninathomasi148 Рік тому

      Mungu ni roho ana mwili Kwa hiyo yeye kujiita mungu siyo kosa maana mungu aonekani Kwa macho ya kibinadamu kwahiyo tunamuona mungu akiwa ndani ya mwili wa binadamu

  • @GRACEFELICIANKALUMUNA
    @GRACEFELICIANKALUMUNA 6 місяців тому +1

    Jamani dada yngu hadi machozi yananitok japo

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 Рік тому +1

    Kwa nini walikutoa ungekaa tu huko na wewe kama ni mtumishi wa Mungu mbn usifanye kama Paulo na sila ukajitoa

  • @kamarhelo
    @kamarhelo Рік тому +1

    Hivi huyu mama alifungwa kwanini

  • @RachelMethod-rt1qx
    @RachelMethod-rt1qx Рік тому +3

    Acha kujitetea wewe, imekwisha kuandikwa mutawatambuwa kwa matunda yao, shetani anqkutumia kupotosha watu, huwezi kuwa Mungu wewe, yaani Mungu awafuguwe hawao watu ambao ameshika fahamu zao macho yao yatiwe nuru,Mathayo 24 ukisoma yote utaelewa

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  Рік тому +1

      Japo imeandikwa msihukumu

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  Рік тому +1

      Noma sana

    • @RachelMethod-rt1qx
      @RachelMethod-rt1qx Рік тому +1

      @@BMGOnlineTV nawe isiwe kama kipofu, anayenhukumu ni Mungu, lakini sisi tunasema yaliyo ya kweli hata Yesu aliwaonya wale waliyo kosea, usitetea huo ujinga wa zumarindi, ivi unajuwa watu wagapi anawapeleka kuzimu, ungekuwa hata hyo habali usingeilusha🥺

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  Рік тому +1

      @@RachelMethod-rt1qx tunaomba hiyo habari ya kuzimu, sisi tunatoa huduma bila ubaguzi

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  Рік тому +1

      @@RachelMethod-rt1qx usitarajie kuona tu habari unazozipenda. Mbona tulipoweka Habari ya kanisa lake kufungwa hukutupongeza? ua-cam.com/video/qFIAZ1hnidM/v-deo.html

  • @ryanepraphaditomsely6932
    @ryanepraphaditomsely6932 13 днів тому +1

    Uyo mazaaa anaumwaa ase mpelekeni hospitali anaa akili kabisaaaaaaaaaaaa

  • @drnow1528
    @drnow1528 Рік тому +1

    Ujibariki Mungu chini ya Jua

  • @mutiembingi-le6kz
    @mutiembingi-le6kz Рік тому +1

    Muhongo

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  Рік тому

      Una maana gani?

    • @mutiembingi-le6kz
      @mutiembingi-le6kz Рік тому +1

      Maana ni uyo anajiita mfalme ye amevua nguo akaonekana mfalme amening,inia apo ama Kuna malkia apo chini? Atoe suruali tuone mfalme tuamini asituchezee izo Tisha toto asituletee moungo kabisa kufuru

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  Рік тому

      @@mutiembingi-le6kz hahaha

  • @wazomyakinifu2301
    @wazomyakinifu2301 Рік тому +1

    Atakayekula hiyo keki ataishia kuwa mateka na Mhanga wake! Kwanza kuingia tu ktk eneo la huyo mama inabidi ujiweke vizuri kabla kiroho. Vinginevyo anapindua ubongo chini juu!

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 Рік тому +1

    Umekuwa mweupe😮

  • @BenjaminKakamasha
    @BenjaminKakamasha 10 місяців тому +1

    Na kwa nn unajiita mungu wakati pia unamtaja mungu mkuu wa mbinguni

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Рік тому +1

    Wewe mchawi toka zako toka lini mwanamke akawa mfalme

  • @AnisetaMeena-pz7ft
    @AnisetaMeena-pz7ft Рік тому +1

    Nawaonya mbele msikubali mwaliko huo!

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  Рік тому

      Hahahaaaa kwa nini mdau?

    • @SiwemaMohamed-s9e
      @SiwemaMohamed-s9e 3 місяці тому

      Kwanini Sasa hata usipokuja yeye ana shida gan?waumini alionao wanatosha hata usipokuwepo wewe

  • @restitutanjau2585
    @restitutanjau2585 Рік тому +1

    Mungu si wahivyo

  • @subirachristopher1984
    @subirachristopher1984 Рік тому

    Yaani zumaridi Anaweza kuwa Hajijui kama Anatumikishwa na nguvu za giza, zilimwingia Toka Tumboni. namshaur Aite watumish wa Mungu wakimwombea huyo pepo litamtoka Atamtumikia Mungu wa kweli. Akubali kuombewa

  • @khadijayusuph2634
    @khadijayusuph2634 Рік тому

    Duh"ila anajumba 🤔🤔

  • @kamarhelo
    @kamarhelo Рік тому +1

    Hivi huyu mama alifungwa kwanini

  • @pulikisia7963
    @pulikisia7963 Рік тому +1

    Ila makeup inamkaa vizuri sana.

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  Рік тому

      Hahahaaaa kwamba kawaka vizuri

    • @pulikisia7963
      @pulikisia7963 Рік тому +1

      @@BMGOnlineTV Sanaaa!! Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,makeup zinamkaaga vizuri,Kama anamakeup artist basi anamfanyia kazi nzuri.

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  Рік тому

      @@pulikisia7963 hahaha haya

  • @marymuthoni1551
    @marymuthoni1551 Рік тому +2

    Wow!!! Dunia Ina mengi lakini Mungu ni Mshindi ya yote , barikiwa sana, my people perish because of lack of knowledge

  • @AnisetaMeena-pz7ft
    @AnisetaMeena-pz7ft Рік тому +1

    Mnapokutana pamoja kuabudu swali mnijibu mnamwabudu nani? Kuweni makini ninyi mtakao alikwa!

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  Рік тому

      Wanasema wanamwabudu Mungu kupitia jina la Zumaridi

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 Рік тому

    🤣🤣🤣 huyu shetani yumo ndani yake 🤣🤣🤣

  • @hellenanyona
    @hellenanyona Рік тому

    May the Holy spirit intervine Satan is using baba yunes to end our Mother Mary s work

  • @isabelaadeleke9733
    @isabelaadeleke9733 Рік тому +1

    Uongo mtupu ulimuona wapi mwanamke anajiita mfalme tuonyeshe kwenye bibilia ,this woman is full of evil open your eyes now she want to initiate you people with the cake

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  Рік тому

      Noma sana

    • @liliankasogwe-se1vh
      @liliankasogwe-se1vh Рік тому

      Utashinda tu mfalme Zumaridi mungu hajawahi mtupa mja wake naimani mungu yuu pamoja nawe ck zote mti wenye matunda ndo unapigwa mawe

    • @tukelyengewe9543
      @tukelyengewe9543 Рік тому

      Mungu alie zifanya mbingu na nchi Kwa mkono wako ndie wakuabudiwa .nadhan we unachanganyikiwa