Mfalme Zumaridi Kafunguka Mazito😭💔🙏

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024
  • Mfalme Zumaridi Kafunguka Mazito😭💔🙏 #trendingvideo #shortsvideo #globaltvonline #viralvideo #shortvideo...FULL VIDEO: SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

КОМЕНТАРІ • 94

  • @olicej7837
    @olicej7837 Рік тому +2

    Usikute hizo alama unazozisema utakja useme wewe ni Yesu uliteswa na wayaudi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Pilato alikusulubu adi utawaonyesha alama za misumari hao wafuasi wako 😅😅😅😅😅

  • @fatumarashid7529
    @fatumarashid7529 Рік тому +6

    Yeye ni Mungu vipi ameshukuru Mungu???? Ni Mungu yupi huyoooo???

  • @furahalaizerfurahalaizer8591
    @furahalaizerfurahalaizer8591 Рік тому +12

    Nabado hilo umepigwa na shetani. Bado pigo la MUNGU 👆

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 Рік тому +1

      furaha wangemuua kabisa huyo anajiita mfalme anazuia police wasifanye kazi yake msukuma mjinga anauza watoto wa wau na bado mungu ammalize kabisa

    • @furahalaizerfurahalaizer8591
      @furahalaizerfurahalaizer8591 Рік тому

      @@margarethpolepole7438 Rehema za Mungu huwa zinakuwa juu yetu, tunapewa muda wakutubu lkn ukishupaza shingo yako,, itavunjika mara. hukumu ya Mungu i juu yako.

    • @ismailgumbo289
      @ismailgumbo289 Рік тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @agnesspaul1866
      @agnesspaul1866 Рік тому

      Usijiite Mungu Mungu hafananishwi na kitu

  • @omaryissagumbi5242
    @omaryissagumbi5242 Рік тому +1

    Rwakatale. Yupo. Kaburini. Hata. Mimrodi. Bado. Mimi. Halafu. Zumaridi. Ila. Mimi. Sijavamia. Jina. Lamkuu. Nibalaasaana. Sijui. Itakuaje. Zumaridi. Anatuona. Mwenyezingu. Mmoja. Anatuona. Mimi. Na. Zumaridi. Namuomba. Zumaridi. Awe. Mwisilaam Iliupate amani. Yamoyo. Wake. Alionayo. Danganya. Toto. Tu. Inalilah wainaghalayhi rajiuni acheni hayo nimabaya saana mnayotanganza

  • @nasrijunior157
    @nasrijunior157 Рік тому +1

    Mungu zumarid kachezea bakorA mamaq😅

  • @tiffanyakramJr822
    @tiffanyakramJr822 Рік тому +9

    Wamekupiga mpaka umepata akili ya kukumbuka Mungu yupo nyau wewe, usicheze na polisi wa Tanzania wanakufunza adabu haswa kama tu mama yako alishindwa kukufunza😂😂😂😂🤣

    • @ismailgumbo289
      @ismailgumbo289 Рік тому +1

      😂😂 nikweli kabsa umenena =asiefunzwa namamake adabu bas ulimwengu huumfunza ,wamefunza hasa kamwe hatorudia hahaaa

    • @catherahma1771
      @catherahma1771 Рік тому

      Nimecheka kwasauti..Yani wamempiga mpaka akajua kua mungu yupo😂😂

    • @dotomanyama5635
      @dotomanyama5635 Рік тому

      Nimejikuta nacheka Kwa saut🤣🤣

    • @dotomanyama5635
      @dotomanyama5635 Рік тому

      ​Kwanza walikupiga Kwa huruma, ungekutana na Mimi yaan ungepigika Ile mbaya! Unajiitaje wewe ni mungu,unajiita Baba,unaubaba gan hapo ulipo? Mchawi mkubwa wewe, ukomage 🤣🤣

    • @jacobally3031
      @jacobally3031 Рік тому

      Mungu anapigwa.....???,!!!!

  • @osmaanabdishali2339
    @osmaanabdishali2339 Рік тому

    Subxanllh 😭 kumpe anajua kwampa yuko mugu ☝a anaye hitajiwa 🕋🤲☝🤲wewe mama usimseme mola wako urongo hakika mugu ni moja ☝🏴

  • @shabanipanya1033
    @shabanipanya1033 Рік тому +3

    Kwa nini hawakukuua kabisa ili usije ukaendelea kupoteza watu halafu ukiongea tu unaonekana mshamba saana

    • @siwemamohamedi2119
      @siwemamohamedi2119 Рік тому

      ukiambiwa uwonyeshe aliyowauwa utawaleta ?muwe na hakiba ya maneno ya hakiba

    • @shabanipanya1033
      @shabanipanya1033 Рік тому

      @@siwemamohamedi2119 sijui umeishia darasa la ngapi kusoma kunakutatiza sana

  • @furahalaizerfurahalaizer8591
    @furahalaizerfurahalaizer8591 Рік тому +3

    Mbona hujielewi wewe. Acha kucheza na Jina la MUNGU. Unajiita Mungu alafu eti leo tena unasema unamshukuru Mungu.MUNGU yupi.

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 Рік тому +15

    unamshukuru Mungu yupi wakati mwenyewe unajiita mungu zuma rid watu wako wana kuabudu

    • @roselyimo3676
      @roselyimo3676 Рік тому

      Ingelikuwa mfuatiliaji wa mashauri ya Yesu usingeuliza hili swali. Yesu alishtakiwa kujiita Mungu Wayahudi walifanya hivyo

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 Рік тому +1

      @@roselyimo3676 sasa kwani huyo mwanamke ni yesu?

    • @janetjosephat8093
      @janetjosephat8093 Рік тому +3

      Nashangaa na mim eti mungu labda mungunwa herufi ndogo ila Mungu wa herufi kubwa ni mmoja tu

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 Рік тому +1

      @@janetjosephat8093 ndomana hata mii nimeita kwa herufi ndogo kuwa ni mungu kama miungu wengine wa kuzimu ila Mungu Jehova ni mmoja

    • @ismailgumbo289
      @ismailgumbo289 Рік тому +1

      ajabu yeye tena kanyooshwa tu nabakora zabinadam mpka anatajakumshukur mungu 😄 🤣 😂 😆 😄 🤣 chezea mungu wewe apo kakuonyesha utukufu wake viumbe tu zaifu wamekunyoosha je azabu yake yeye.

  • @dvjkelly8449
    @dvjkelly8449 Рік тому +5

    Wangekuua shenzi takataka

    • @salma-gf8ek
      @salma-gf8ek Рік тому +1

      Sasa wee unamshukulu mungu wakati wewe unajiita mungu mungu gani sasa unae mshukulu wewe endelea Tu kukufulu IPO siku utamjua kweli mungu yupo naapo kudogo Kwa laana zako

    • @geradybahati3127
      @geradybahati3127 Рік тому

      Mungu gani wakati unajiita mungu wewe

    • @lightnesslameck1631
      @lightnesslameck1631 Рік тому

      Mjng ww hujui unlolisem

    • @adamufundikira7878
      @adamufundikira7878 Рік тому

      ​@@lightnesslameck1631 ni mpumbavu unamtakia mwanadam mwenzio kuuwawa itakuwa wewe ni uzao wa ibilisi

  • @annamussa185
    @annamussa185 5 місяців тому

    Gigy Zumaridi mrembo mwenyewe ❤

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Рік тому +2

    jinga wewe ulikuwa unajita mungu wakati mchawi

  • @hassanissa4145
    @hassanissa4145 Рік тому +3

    Kuna siku ndio itajijua kuwa wewe sio Mungu

  • @mbarakahmed3892
    @mbarakahmed3892 Рік тому +2

    Wewe dada Rudi kwamungu mapema auja chelewa sio unasema kua mungu atukukwa ni urudi kwake wewe mwanamke uko sawa nn mbaya

  • @nelsonmwaipaja3727
    @nelsonmwaipaja3727 Рік тому +1

    Kenge mlima ww tena walikutekenya tu wanfefyekelea mbali kabisa swain

  • @paulntalima6998
    @paulntalima6998 Рік тому +1

    Malaya ww nenda ukajiuze huko na sio kutukana jina la Mungu kafiri mkubwa ww

  • @WinifridaJohn-f3i
    @WinifridaJohn-f3i 2 місяці тому

    Hv huyu dada yupo timamu kweli jmn Halaf nikabikagan huyu mtu

  • @nsodyaphilimon9153
    @nsodyaphilimon9153 3 місяці тому

    Moto ujuu yako kwani umeangamiza roho za viumbe wa mungu waliowajinga kama wewe

  • @elizamlowe7761
    @elizamlowe7761 Рік тому

    Unashangaa waya bado pigo la mungu mwenyewe

  • @goodweekmsomolo382
    @goodweekmsomolo382 Рік тому

    yesu mwenzio alituonesha,pia ujawai shika bible why

  • @sanurahaji5194
    @sanurahaji5194 Рік тому +1

    Wewe si ulijita mungu...

  • @HappynessJohn-o3q
    @HappynessJohn-o3q Рік тому

    umeshinda vita mungu wang

  • @khadi-z4o
    @khadi-z4o Рік тому

    WALA HUJAPIGWA BADO, MIMI NILITAKA UKATWE NAMKONO HASWA.. WEWE SI MUNGU AMA??
    AAAH,WAJINGA KWELI HAWESHI

  • @WachajiWaForo
    @WachajiWaForo Рік тому +1

    Mungu anakuona weye. Na ipo siku yako inakungojea.

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 Рік тому

    Kabla ya kumpiga wamcheki afya ya akili kwanza

  • @allyaffan8885
    @allyaffan8885 Рік тому +1

    Huyu ng'ombe wa maziwa alidai Kia yy mungu mbona anasema anamshukuru mungu
    KONDOO

  • @user-cg3vf2bl6b
    @user-cg3vf2bl6b Рік тому

    Ni alama ama mifuta unayochanganya wewe,

  • @beatricekihehe3733
    @beatricekihehe3733 Рік тому

    Mungu yupi tena unaye mshukuru wewe?

  • @mjukuumoraa8491
    @mjukuumoraa8491 Рік тому +1

    Jin hili

  • @OnesmoEmmanuel-xr2rf
    @OnesmoEmmanuel-xr2rf 5 місяців тому

    Wewe mama muogope MUNGU

  • @frankbella4271
    @frankbella4271 Рік тому

    Siulijifanya mungu wewe ukome

  • @majaliwamsigwa6206
    @majaliwamsigwa6206 8 місяців тому

    Watakatifu kaeni macho

  • @carolinemwakagali3909
    @carolinemwakagali3909 Рік тому +1

    Kama wew ulivyoacha Alama kwa watu ulokuwa unawakanyaga

    • @neemakamgisha2951
      @neemakamgisha2951 Рік тому

      Yaan kuna sehemu amekataa uwepo wa roho mtakatifu ndani ya watu et Yesu akuacha roho mtakatifu kumbe hata kusoma bible hajui yoeli 2 matendo ya nitumie yohana 14 asome aone alafu kuhusu Yesu tuliona anazaliwa na bint bikira yeye? Na kingine YESU ana agano na Mungu yeye? Hata kama asemeje apotosheje watu Mungu anawajua walio wake

  • @sumaboy8105
    @sumaboy8105 11 місяців тому

    Lishetani

  • @LizzyThaddeus-kl7el
    @LizzyThaddeus-kl7el 7 місяців тому

    Mchawi tu ww

  • @albertoevaristo2643
    @albertoevaristo2643 Рік тому

    Mwongo uyo

  • @allyaffan8885
    @allyaffan8885 Рік тому

    Takataka ya mwanamke mshamba tuu

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 Рік тому

    Ndo uwaambie walinzi wako siku nyingine wasiwapige walinzi WA serikali, umepigwa Kwa sababu wewe uliipiga serikali hata Bible ilisema eshimuni mamlaka

  • @NoorPrince-v1v
    @NoorPrince-v1v 8 місяців тому

    🎉🎉🎉❤❤❤

  • @fahadmussa8879
    @fahadmussa8879 Рік тому

    huyu mtu haeleweki huu nimchezo2 wa2 wanaingiza pesa kupitia huyu mama

  • @habililailo271
    @habililailo271 Рік тому

    unasema waya bado kichapo chenyewe😂😂😂😂

  • @StellaPaul-z9y
    @StellaPaul-z9y 9 місяців тому

    Sasa anasema ana mshukuru Mungu huku yeye mwenyew ana jiita mungu sijaerew

  • @blackblue9729
    @blackblue9729 Рік тому

    Ata filauuni alimuomba mungu kwasababu alikuwa anajuawa ukweli upo wapi

  • @furahamrosso-jn7bf
    @furahamrosso-jn7bf Рік тому

    Sasa kma wewe ni Mungu unamshukuru tena Mungu yupi?

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 Рік тому

    MUNGU yupi wakati ww ndio MUNGU. Nyakati za mwisho. Tujiadhari na manabii wa uongo ni lazima watokee ili andiko litimie

  • @schquoznigeradja5465
    @schquoznigeradja5465 Рік тому

    Mungu ipi afanye wanawake kuwa wafalme wala sio malkia?

  • @sharonpirmohamed4665
    @sharonpirmohamed4665 Рік тому

    We si ndio Mungu unamshukuru Mungu yupi

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter Рік тому

    Mungu anapigwa ndani ya magereza 😲acheni utani basi 😂😂

  • @samwelmwamkinga9425
    @samwelmwamkinga9425 Рік тому

    Leo unashuku sio MUNGU zumariii

  • @roselyimo3676
    @roselyimo3676 Рік тому

    Yohana 10:33
    [33]Wayahudi wakamjibu, Kwa ajili ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwa sababu wewe uliye mwanadamu wajifanya mwenyewe u Mungu.
    The Jews answered him, saying, For a good work we stone thee not; but for blasphemy; and because that thou, being a man, makest thyself God.
    Someni na mapito ya Yesu muelewe kwanini anamshukuru Mungu alpha na Omega maana yeye ni Mungu mwana mwenye umbo la TAI arukae angani.
    Maandiko yapo wazee wanne wenye .......

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 Рік тому

    Make up inakubeba jamani khaa. Ulivyokuwa gerezani ulikuw unatisha🤔

    • @victormtauwa4687
      @victormtauwa4687 Рік тому +1

      mpumbavu wewe unajikrimu, unamkosoa mungu utapigwa sana

  • @halifasaidi371
    @halifasaidi371 Рік тому

    Anamshukuru mungu haaaaa🤣

  • @fatumajumanne5961
    @fatumajumanne5961 Рік тому

    Waliokuwa timamu wameshaona mfano kutoka kwako kwamba c chochote MUNGU wa wap anapgwa na anashkr MUNGU mwenzie.

    • @rashidmdaki8924
      @rashidmdaki8924 Рік тому

      Weee zumariii MUNGU ni mmoja tyu mjinga we kujiita Mungu hunalolote mpumbavu ww Tena hukumu ya kuniiita MUNGU nikifo tyu sijui Kwa nn wamekuachia huru ((au Ili uendelee kuwapotosha watyu ?))) Tutakumaliza wananchi wee endelea kujiita Mungu uone !!!

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 Рік тому

    Huyu zumaridi ni mukuranga au?

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 Рік тому

    Ss huyu binti alivo mzuri hivi

  • @sevelinnzogolo-nq1tw
    @sevelinnzogolo-nq1tw Рік тому

    Mfalme wewe utabaki kuwa mungu siku zote ufalme wako ni waajabu

  • @jeniphachristian8351
    @jeniphachristian8351 Рік тому

    Hongera kwa ushindi

  • @roselinemoshi5008
    @roselinemoshi5008 Рік тому

    Pole mama😢