Ni kweli kabsa, wakufunzi wengi wa vyuo hupenda zaidi hata unapojibu maswali yao ujibu kile walichokufundisha kama definition usiongeze maneno yako wala kupunguza , walikuwa wakinifelisha sana, nakuina kama sjajibu sahihi, wakati nilichozungumza ni kilekile
Hauwezi kutumia material ya mwanaume mwenzio.. "Hiyo UA-cam mnayoitumia ni material ya nani??? kuna muda mnaeleweka kwa story zenu za kufikirika na kuna muda mnafanya comedy < nyie Hamna shule mnakaza fuvu Tu>
Mtuambie mnasema chuo ni sehemu watu wanapresent ideas hakuna mitihani na notes ni za mtu mwengine kwaio sio chuo kikuu !! Hivi mtu anaesoma Udaktari kuufahamu mfupa wa binaadamu na aende akavumbue mfupa ukoje serious!! Nyie mshamaliza Vyuo Hamna shughuli ya Kufanya mmeamua kuidiss elimu kwasababu haijawasaidia kitu
@@MohdMohd-hf7rmelimu zenye uhalisia ni chache mnoo mfano ndo huo sasa wa udaktari ambao kimsingi ni wachache mnoo ila majority ya elimu ni ukanjanja na wako sahihi sana
@@MohdMohd-hf7rmna ndio maana 80% ya wasomi leo wanahangaika na elimu inaanza onekana inakosa maana msomi aheshimiki tena leo wasomi wanatamani wangekua hata chawa wapate hela Dira haipo tena
nimeelewa sana nimeiangalia hii video mara kadhaa aisee hongereni kwa kutufungua akili
Professor is professing
Powerful , ni mwenye akili ya jicho Kali atawaelewa, wengine watakuponda.
Hongereni sana waxhokonozi lakini muheshimu mungu
Mimi nawakubali sana nyinyi watu kwakua mko na mawazo bora sana
Mko na Akili sana za utambuz
Chukia Elimu Dunia Ila Sio Elimu Ya Ki Mungu Ndugu Na kuonya utakatwa mwendo wa maisha yako
We mwenyewe umeshakatwa mwendo wa akili yako.
akili yako ni punje
Hata ukiamini mungu bado utakufa wacha kutishia wapi
Wewe ishi milele na uyo Mungu wako
Akili huna una akili ya kushikiwa
Mm napenda sana watu kama ninyii
Leo ,umeongea point
Wachokonozi❣️
Nawaelewa sana wachokozi
Ni kweli kabsa, wakufunzi wengi wa vyuo hupenda zaidi hata unapojibu maswali yao ujibu kile walichokufundisha kama definition usiongeze maneno yako wala kupunguza , walikuwa wakinifelisha sana, nakuina kama sjajibu sahihi, wakati nilichozungumza ni kilekile
Hao ndio vipunga ndugu, bora na chekechea
Mungu hayupo
Safi saana mwalimu
That's real bro's
✊✊✊africa😊😊
Change environment,go out side like UK, Australia,Canada and USA
HAPO UMEFELI HII MITANDAO MNAYOTUMIA NI YANANI C YA WANAUME WENZENU ACHENI USENGE WAKATI MWENGINE MNAFELI
Nakumbuka chuo kuna siku waliweka swali la what is Chemistry... Yaan nilichoka balaa
Wapo waliokua nakibuli kamawewe ilamungu ariwashugulikia
@@Dolkasidanieli ulimuona anawashughulikia au ulisimuliwa.
Unajiona ww utakaukiwa Duniani pata ilemu hapo
Acha ujinga pata elimu wewe
Kufa kupon tu haijarishi unaamini ktk nn
Mnadanganya tu watu nyie ndo mafala kabisa
NDIO MAANA NAONA BORA SIKWENDA HUKO NINGEPOTEZA MUDA
Labda hukupata marks za kwenda huko..
😊😊😊@@djurio
Hauwezi kutumia material ya mwanaume mwenzio.. "Hiyo UA-cam mnayoitumia ni material ya nani??? kuna muda mnaeleweka kwa story zenu za kufikirika na kuna muda mnafanya comedy
< nyie Hamna shule mnakaza fuvu Tu>
Sasa kuna shule inafunza kuvyumbua UA-cam?
Bado huajamwelewa vzr, you tube ni platform, but buterials ni elimu.
Wewe ni kiazi UA-cam ashamaliza kuvumbua chake nawewe tafuta chako uki umbue Iko hivyo
Mh!
Je, unakubali uwepo wa manabii?
Manabii wa wapi?
😢
Hahahaha @@teacherdenniskauga1720
Nabii ni nini
Sikubaliani maana wewe mwenye humujuwi
Nyie nyote ni wajinga na kwa contents hizi hamtoboi muhudi
Ahsante kwa maoni yako na endelea kutufatilia.
Mtuambie mnasema chuo ni sehemu watu wanapresent ideas hakuna mitihani na notes ni za mtu mwengine kwaio sio chuo kikuu !!
Hivi mtu anaesoma Udaktari kuufahamu mfupa wa binaadamu na aende akavumbue mfupa ukoje serious!!
Nyie mshamaliza Vyuo Hamna shughuli ya Kufanya mmeamua kuidiss elimu kwasababu haijawasaidia kitu
@@MohdMohd-hf7rmelimu zenye uhalisia ni chache mnoo mfano ndo huo sasa wa udaktari ambao kimsingi ni wachache mnoo ila majority ya elimu ni ukanjanja na wako sahihi sana
@@MohdMohd-hf7rmna ndio maana 80% ya wasomi leo wanahangaika na elimu inaanza onekana inakosa maana msomi aheshimiki tena leo wasomi wanatamani wangekua hata chawa wapate hela Dira haipo tena
Wewe akili zako ndogo huwezi kuelewa kasiklize umbeye mbengo tv