😂😂😂 nakumbuka kuna jamaa yangu mmoja alikuwa akilala na mwanamke haogi. Anasema ngoja nipime upepo wa huyu mwanamke. Akisha archive ktk dili zake ndipo anaoga
Aisee ndugu nakufuatilia vizuri lakini huyo jamaa kama anakata steam vile akuacje ushushe nondo,asiwe anadakia dakia kama mtangazaji wa vipindi vya mirindimo ya pwani au mopasho, second kama una group whatsaap unaachia nondo niunge
Unajua bro ili ufanikiwe kuna nguvu mbili ndio mana utapata mtu akivunjika mkono nguvu zinahamia mkono mwengne so hii ni proof kwamba ili ufanikiwe lazima nguvu za kike na kiume zipatane ...sijui mnanielewa na kama hizo nguvu zenu haziendani basi hamtafanikiwa this is mine jiongezeni basi wachokonozi.....
Dah ila brother!!!
Fresh lakini 😅
Mimi nikifanyaga biashara inaenda sawa
Kweliiiiiiiiii Kaka Kuna mwanamke nikilala nae biashara zanu zinafunguka saaaana
Weka Mada basi ya aina za wanawake na energy zao
Huyo mchokonozi hapo pembeni amekaa kichokonozi sana 😂
😂
Hilo nalikubali sana
Mm imekwisha wahi kunikuta..n kweli
😂😂 ase iyo kitu nitrue
😂😂😂 nakumbuka kuna jamaa yangu mmoja alikuwa akilala na mwanamke haogi. Anasema ngoja nipime upepo wa huyu mwanamke. Akisha archive ktk dili zake ndipo anaoga
True izo n nguvu za upande
nini? hakuna mtu wa kukubishia, so you know evrytin, good for u bra. try to meditate harder, its your own growth that matters the most
Nikweli kabisa mko sahihi
IQ kubwaaa sana kaka tumelishwa sana imani tusiyo ijua
Mwendesha kipindi kuwa na utulivu basi
Aina gan ya Wanawake
kiongoz unaweza tukaongea hata watsap kuna jambo hapo nataka kulijua zaid
Naomba kujua nitajuaje kama huyo mwanamke ni sahihi au high vaibreshen
Ivi kunamajini apa dunia
Aisee ndugu nakufuatilia vizuri lakini huyo jamaa kama anakata steam vile akuacje ushushe nondo,asiwe anadakia dakia kama mtangazaji wa vipindi vya mirindimo ya pwani au mopasho, second kama una group whatsaap unaachia nondo niunge
Au ndo story tu tulizotungiwa
Unajua bro ili ufanikiwe kuna nguvu mbili ndio mana utapata mtu akivunjika mkono nguvu zinahamia mkono mwengne so hii ni proof kwamba ili ufanikiwe lazima nguvu za kike na kiume zipatane ...sijui mnanielewa na kama hizo nguvu zenu haziendani basi hamtafanikiwa this is mine jiongezeni basi wachokonozi.....
Much know😂😂😂
Kwani mauti Nini?
Ninyi viumbe Ulimwengu uwaweke saaana sana ili tuendelee kupata madini
Kaka Kuna namna naweza wasiliana na ww? Make maneno yako yananigusa san
@@NdalahwaKahema-v6r 0785346032 WhatsApp
Tupe nondoo vitu vinakaa ivi kichwani
True
🙏🙏
Tunaomba uongelee ndoa nini? na zilianzia wapi?
😂😂😂😂😂
❤❤❤❤❤❤❤
Huyu hajitambui yeye si alikataa kwamba hakuna kufa now anaongea stupidity tu
na unakuja kusikiliza stupidity!😂
kafanye mambo mengine.
Huyo anamambo mengi kinachokufaa kichukue kisichokufaa waachie na ujinga wao
Sure
Fac