Naweza kukubari baazi ya maneno lakini Nasema Mungu Yupo narudia tena Mungu yupo narudia tena Mungu yupo na rudia tena Mungu yupo Na rudia tena Mungu yupo
Mimi ni mtu ambae tokea nimejielewa 2007 mpaka sasa naamini mungu naishi nikijua yupo ila siamini katika dini siitaji uislam Wala ukristo sitaki manabii na wafalme waliongea na mungu vichakani akina mussa Leo uniambie niende kanisani nikamchangie padre au mchungaji au shekeh gari ya kutembelea ..... 🙌🙌🙌 apana
Kuwaelewa Hawa jamaa ktk upande wa Imani zetu yakubidi kwanza uvue Imani uliyonayo weke pembeni wasikilize Kuna kama kaukweli hivi utaona kanakujia jia lakini ukimaliza chukua Imani yako vaa endelea na shughuli zako kwani Nako kufanya hvyo ni kujifunza
Huyu anajumuisha dini zote usifurahie kutajwa uislamu km umekubaliana na hoja yao umekana na dini yako km ukiristo au pagan whatever ila km umekubali elewa ivo
Kaka munaeleweka vizuri sana, mm nimesoma dini zote kubwa na madhehebu yake, uko sahihi kabisa. Mfumo wote wa dini ya Uislam ni zao la kabila za kikoresh za kiarabu.
Hivi tunajikaza kusomesha watoto kuwaandaa na maisha ya dunian, kwa speed hii kuna siku itafika kutakuwa hakuna dini maana km mtu hana msingi wa dini ni rahisi sana kuamini haya maneno mabovu Nb; Bora amini Mungu yupo ukifika awe hayupo kuliko unaamini hayupo ukifika yupo oohoooo sipati picha hapo........
Kaka kama vile ulikuepo kwenye akili yangu mm nimeteseka sana namlilia mungu kila siku na hata sipati msaada mpaka najiuliza kama kweli mungu yupo kwann asizuie haya mateso watu wanayoyapitia na wanamlilia kila siku watu wanatolewa makafara wasiokua na hatia kwann mungu asizuie? Mm mpaka nachoka kwakweli
Wanaongea ukweli yale ya ndani ambayo masheikh wenu hawawambiagi wanawaelimisha ili mtoke kwenye usukule wakuamini mhammad ni mtume wa Mungu wakati sio kweli mhammad ni mbunifu wa dini ya kiarabu
@@ramadhanmahongole9293 Duuu huu ni msiba kweli msingi mbovu wa imani hupelekea watu kuamini hizi pumba zao na kuna siku hawa watakuwa na imani yao na watapata waumini
Mimi nimependa hapo mpenda jirani yako kama nafsi yako mbona wanadini tunapondana tu Mungu yupo tupendane kwanza xixi wanadini ili tuwe mifano kwa jamii inayotuzunguuka
Umesema umesoma basi umesoma mawazo ya watu na ukayaamini kwa upande mwingine na we ni mpumbavu kwasababu utumii akili zako unatumia akili za watu, ili kumtambua ALLAH inahitajika elimu kubwa sio hiyo elimu ya kukariri
Ww umesomeshwa darasani kweli ujinga umekuingia ongelea vitu vya maana usitafute umaarufu kupitia hisia za watu somesha upumbavu wako ulosomeshwa na mpumbavu mwenzi ww mkojo tu leo unasema Mwenye enzi Mungu haypo (chizi) midato .potosha haaahaaaahaaa jinga
Islamic studies is too general. Taja kitabu kwa jina msiishie kusema tu kasome Islamic studies, nyie guseni dini zingine ila sio uislam. It's pure and the most authentic religion on earth. Mnajikuta kujua kumbe trashes tu.
Sikiliza kwa faida yako, kutukana haimaanishi chochote kwa maana ni uchaguzi wako kufuata au kuacha. ndo maana kuna Freemanson humo wapo wakristu na waislam wameamua wao kuwa vile
Mimi ningependa kujua ,kua wewe huamini kua kuna Mungu ? Hapo kidogo ndosijakuelewa ,na km Mungu hàyupo tumekuaje naviliopo vimekujaje ? Yaani chanzo chavilivokuepo vimeanzaje ?
Na kuusu vita ndo yale uelevu wetu mdogo tunataka tuombe dua ili vita ziishe na wakati ni sisi ndo tumeleta viita izo na sisi ndo wakufanya ziishe , Mungu tayari kasha tupa akili na vitu vyote ili tuishi vzr ki sciency tatizo ni hao wana tuleteya mawaidha wana taka tuishi ki imani na wakati sio ndo gisi dunia iliumbwa
Ndio Mungu yupo ambae aliumba ki sciences ili binaadamu tuweze kuelewa uumbaji na sciences, ila sasa tatizo binaadam tulitaka tuutumie dini ili kutawaala wengine , kutumia dini ili kuwafunga watu ki akili, na kuishi ki halisia ndo kuelewa uumbaji na sio ki imani
Ukweli mtupu kabisa, na kama mungu angekuwepo kusingekuwa na dini nyingi, na kama mungu aliumba dunia ikaenea kote kwanini asingeshusha dini moja na ikajulikana na watu wote kwahiyo waarabu na wazungu ndo wanafaa kueneza dini. Waafrika tuamke lasivyo tutatawaliwa tena kwa kupitia hizi hizi dini
@@emmanuelmsafi9581je kama Kuna mtu hapa duniani mfano kaua wanao au kakulawiti wewe au kadhulumu je ikiwa hakupata kushtakiwa hapa duniani ndio imetoka hiyo.?
Nakubaliana na nyinyi kwa asilimia 100. Kwanini huko ambako ndo wanajiona taifa la Mungu wanamwaga damu kila siku? Kwanini hiyo roho ya Mungu isiwatembelee wakasolve migogoro kwa amani?
HAPO MLIPO KIMAWAZO NILIKUWA HAPO, ILA MAISHA NI HATUA NA MTAKUJA KUJUA KWELI ITAKAYOWAWEKA HURU!! VITABU NI MAWAZO YA WATU ILA MAISHA YAKO YATAKUPA JIBU LAKO MWENYEWE!
Nilisema jambo moja negative kuhusu dini ya watu fulani. Badala waje na hoja za kunifanya nielewe, wamenitukania mama yangu😢Sasa nashindwa kuelewa kwamba, huko kwenye dini zao wanafundishwa kuelewa au kukariri 🤔 Maana wamekosa cha kunijibu tofauti na matusi.
Napenda mafundisho hako unatufungua vijana, naomba utufafanulie kidogo kuhusu jaman anaitwa CHIF GODLOVE kama vile mna relate kutufundisha ukwel wa mambo sio kumuongelea personal but numna anavyo fundisha au na yeye kuna drama.
huwa naangalia clip zako ila nilichokuja kubaini kwako ni kwamba unataka kuipress Athetism (upagani) kwenye jamii oooo mara mtu hafi, ooo mara hakuna kitu kinachoitwa muda hizo argument tushazisikia sana ww ni athetist tuu huna jipya 🤫🤫
Yaani mnakataa uwepo wa Mungu? Hebu fikirieni kwanini Kuna wanyama? Mbingu haina nguzo? Jua linakaa wapi,ulimwengu umetokea wapi? Kwanini wanyama hawaongei kama wewe? Kwanini kuna lugha nyingi duniani? Watu wa rangi mbalimbali? Kipi kimewafanya wawe hivyo?
Huwezi sima akuna muumba na wakati ukitizama ki science mwili wa binadamu na mazingira yake yalivyo ukasema eti ni tombolaa bro kila kitu kina sababu, ata évolution yetu aikuja ki bahati
Uislamu ulianza tangu zama za adamu kwa ushahidi wa maandiko na ma nabii wote wa allah walikua ni waisilamu na rudia tena hakuna kitabu bora zaidi hapa duniani zaidi ya Quran bamaana Quran ndio kitabu pekee duniani ambacho kinaweza kuchambua vitabu vyote hapa dunia kwa maana iyo kama huijui Quran yani wewe hawezi kujua dunia inekwenda vip na uta baki kua mtu wa mwisho kabisa kwenye ufahamu , mwisho kabisa Mtu yeyote yule asiye ifamu Quran hawezi kuingia kwenye field ya Watu wenye akili kung'amua mambo na atabaki kua mjinga alibobea kwenye fani ya Ujingalogie kwa maana mtu akiwa mjinga utotoni kuna uwezekano wa ku zeheka na ujinga huo mpaka ana fikisha miaka1000 na muomba mungu akuongoze kwenye njia sahihi ambayo ni uislamu amin
Alafu makka kuna nini mbona kwenye nguzo 5 za uislam wanakulazimisha uende angalau mara moja kwenye maisha yako lengo ni nini ni ili mkienda waarabu wafanye biashara unavyoisi maujaji wanachangia shilingi ngapi kila mwaka wanapoenda maka na madina watanzania tue na akili 😮😮😮
Naweza kukubari baazi ya maneno lakini Nasema Mungu Yupo narudia tena Mungu yupo narudia tena Mungu yupo na rudia tena Mungu yupo Na rudia tena Mungu yupo
Mimi ni mtu ambae tokea nimejielewa 2007 mpaka sasa naamini mungu naishi nikijua yupo ila siamini katika dini siitaji uislam Wala ukristo sitaki manabii na wafalme waliongea na mungu vichakani akina mussa Leo uniambie niende kanisani nikamchangie padre au mchungaji au shekeh gari ya kutembelea ..... 🙌🙌🙌 apana
aiseeeh! MM kwanzia leo naitwa mwanafunz wakichokonoz"
Aisee ww jamaa uko vzr sana uko ndni ya maono yangu nami naamini hivo
Kuwaelewa Hawa jamaa ktk upande wa Imani zetu yakubidi kwanza uvue Imani uliyonayo weke pembeni wasikilize Kuna kama kaukweli hivi utaona kanakujia jia lakini ukimaliza chukua Imani yako vaa endelea na shughuli zako kwani Nako kufanya hvyo ni kujifunza
Anachoongelea kuhusu uislaam uongo mtupu kwahiyo siyo mtu wa kumfuata
Ukisubutu kuweka Imani ya din ya kiislam Pembeni ww ni mnafiq wala sio muislam
Haya mawazo ndiyo Always huwa nayataka, Mwamba uko smart mno kichwani ✊️😂
Uislam sio dini ya Mungu kweli banaaaa, mko sawa😂
Huyu anajumuisha dini zote usifurahie kutajwa uislamu km umekubaliana na hoja yao umekana na dini yako km ukiristo au pagan whatever ila km umekubali elewa ivo
Huyu mwamba anafungua watu macho vizuri Sana,,,viongozi WA dini wanamuhara maana anawaharibia ugali wao
Kaka munaeleweka vizuri sana, mm nimesoma dini zote kubwa na madhehebu yake, uko sahihi kabisa. Mfumo wote wa dini ya Uislam ni zao la kabila za kikoresh za kiarabu.
Mwambie atupe tafsiri ya dini kwanza ikisha ajijue kama yeye ni mjinga alochacha tu
😂😂😂😂mim nimesoma Dini ya uislam sijawahi kusikia utopolo kama huu
Ni zao la kikuraish imewezaje kuenezwa Hadi marekani
Wewe umesoma kweli? Ao unatudanganya tupe maana ya uislam?
Tutajie wanazuoni wenzako japo wawili waliojifunza Islamic studies,isije ikawa na wewe unakariri unachoongea na hizo biography.
Leteni mavitu mengine kaka wataelewa hakuna cha alubadili
😂😂😂🎉
Hata afande sele aliambiwa atakufa😂😂😂😂, na bado namuona anapiga ubwabwa kama kawaida😂😂😂
Hivi tunajikaza kusomesha watoto kuwaandaa na maisha ya dunian, kwa speed hii kuna siku itafika kutakuwa hakuna dini maana km mtu hana msingi wa dini ni rahisi sana kuamini haya maneno mabovu
Nb; Bora amini Mungu yupo ukifika awe hayupo kuliko unaamini hayupo ukifika yupo oohoooo sipati picha hapo........
Laana za mungu zimushukie pamoja na media zenu
Vile vile huna ushahidi wowote bali unaongea porojo tu
Kaka kama vile ulikuepo kwenye akili yangu mm nimeteseka sana namlilia mungu kila siku na hata sipati msaada mpaka najiuliza kama kweli mungu yupo kwann asizuie haya mateso watu wanayoyapitia na wanamlilia kila siku watu wanatolewa makafara wasiokua na hatia kwann mungu asizuie? Mm mpaka nachoka kwakweli
We ni hatar sana kaka,,tuko pamoja,,
Mwana sayansi (Medical Laboratory Scientist)
Safi Sana wakubwa kazi nzuri 👏👏
ivyo vitabu ulivyo soma wew pia vimeandikwa na watu kwahyo kama unaona vitabu vingine ni huongo basi Ata hivyo ulivyo soma wew pia niuongo
Kwahiyo unakubaliana naye kuwa uislamu sio dini ya Mungu
Innalillah wainnalillah
Kweli u nimsiba mzito
Mwenye ez mungu awasamehe
Wanaongea ukweli yale ya ndani ambayo masheikh wenu hawawambiagi wanawaelimisha ili mtoke kwenye usukule wakuamini mhammad ni mtume wa Mungu wakati sio kweli mhammad ni mbunifu wa dini ya kiarabu
@@ramadhanmahongole9293 Duuu huu ni msiba kweli msingi mbovu wa imani hupelekea watu kuamini hizi pumba zao na kuna siku hawa watakuwa na imani yao na watapata waumini
Madini mazuri japo jaribuni pindi mkiwa mko mnashoot,jitahidini kuondoa mkwaruzo wa MIC..👊🏿😊
Mimi nimependa hapo mpenda jirani yako kama nafsi yako mbona wanadini tunapondana tu Mungu yupo tupendane kwanza xixi wanadini ili tuwe mifano kwa jamii inayotuzunguuka
Umesema umesoma basi umesoma mawazo ya watu na ukayaamini kwa upande mwingine na we ni mpumbavu kwasababu utumii akili zako unatumia akili za watu, ili kumtambua ALLAH inahitajika elimu kubwa sio hiyo elimu ya kukariri
Mufti wa kazi gani me nakueza na hutoboi
Kwa sasa Niko kesho naenda kuomba sadaka zote nilitoa na kuibiwa maana nilikuwa mjinga
Ww umesomeshwa darasani kweli ujinga umekuingia ongelea vitu vya maana usitafute umaarufu kupitia hisia za watu somesha upumbavu wako ulosomeshwa na mpumbavu mwenzi ww mkojo tu leo unasema Mwenye enzi Mungu haypo (chizi) midato .potosha haaahaaaahaaa jinga
safi sana, kazi nzuri.
Islamic studies is too general. Taja kitabu kwa jina msiishie kusema tu kasome Islamic studies, nyie guseni dini zingine ila sio uislam. It's pure and the most authentic religion on earth. Mnajikuta kujua kumbe trashes tu.
Mneleweka sisi waumini tumejengewa hofu badala ya kuhoji na kujifunza😂😂😂
Wachokonozi napemda kujua kuhusu secret society and mambo ya power miujiza
Mtu asiye amini MUNGU ni kichaa na ni mwendawazimu akili zake zinakuwa bora zahayawani kuliko yeye
Tuambiane uyo muamad alisoma chuo gan?maana unasema kua alisema utamaduni wa kirumi
Uislam umekopi sana bible mzee asilimia 80 ya quran ime refer bible kasolo v2 vidogo sana quran ipo kitamadun za kiarabu ila v2 vng ni kopi ya bible
Kuma wew islael hakuna Vita matako ya mama yako
Madogo mko vzr sana kwa ulimwengu huu wa wajinga hasa huku Afrika na hapa TZ
Tupeni dozi ituingie vizuri kumbe Muhammad ni tapeli tu Kama alivyo mwamposa na hananja duuuh Hawa wachokonozi wanartufundiisha mengi sana jamani
Wewe Huna maarifa yoyote
Maarifa hayo kampe mzee mrindoko
Mungu ni roho acha ujinga uwmepotea sana
We umewah kuiona Hy roho???
Roho ndo nini 😂😂😂😂
Ndo ulivyokaririshwa hivyo 😂😂😂
@@fasterwalker1464ndo alivyokaririshwa na wazazi wake😂😂 ila hana hoja ya maana kuthibisha anachokiongea
Sikiliza kwa faida yako, kutukana haimaanishi chochote kwa maana ni uchaguzi wako kufuata au kuacha. ndo maana kuna Freemanson humo wapo wakristu na waislam wameamua wao kuwa vile
Mimi ningependa kujua ,kua wewe huamini kua kuna Mungu ? Hapo kidogo ndosijakuelewa ,na km Mungu hàyupo tumekuaje naviliopo vimekujaje ? Yaani chanzo chavilivokuepo vimeanzaje ?
Na kuusu vita ndo yale uelevu wetu mdogo tunataka tuombe dua ili vita ziishe na wakati ni sisi ndo tumeleta viita izo na sisi ndo wakufanya ziishe , Mungu tayari kasha tupa akili na vitu vyote ili tuishi vzr ki sciency tatizo ni hao wana tuleteya mawaidha wana taka tuishi ki imani na wakati sio ndo gisi dunia iliumbwa
Taja huyo mtu aliyekua na mawazo ya quran
Nawakubali saana
Dah nawaelewa vyema sana . Ila Hapo kwenye MUNGU hayupo no comment. Ok All in All me ni Mkristo embu one day njoo na uchambuzi juu ya Christian
👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎
Kweli leo nimeamini. Kuna 'watu na viatu'
Kak wew bab ako na mam ako wako dini gan
Ndio Mungu yupo ambae aliumba ki sciences ili binaadamu tuweze kuelewa uumbaji na sciences, ila sasa tatizo binaadam tulitaka tuutumie dini ili kutawaala wengine , kutumia dini ili kuwafunga watu ki akili, na kuishi ki halisia ndo kuelewa uumbaji na sio ki imani
Unatoa Nondo Za Ukweli Hizi Dini Ni Siasa Ingalikuwa Kunauchaji Mungu Na Wao Ndio Wana tufundisha Ustarabu Wasioutekeleza.
Ili mtu awaelewe inabidi awe amesoma awe msomi na sio kufaulu mitihani😂😂
Mambo mengi sana nawaelewa wakuu ila nataka unieleweshe kuhusu binadamu anatokana na nini?
Ukweli mtupu kabisa, na kama mungu angekuwepo kusingekuwa na dini nyingi, na kama mungu aliumba dunia ikaenea kote kwanini asingeshusha dini moja na ikajulikana na watu wote kwahiyo waarabu na wazungu ndo wanafaa kueneza dini. Waafrika tuamke lasivyo tutatawaliwa tena kwa kupitia hizi hizi dini
Ww ndugu yangu kihiiman unaamini kama ninavoamin mm
i love u guys,u speak the truth ❤❤❤❤
Acheni ujinga wa kutuambia mambo ambayo hayafai musitukane dini na muogopeni MUNGU.
Kwani Mungu dini gani
Next interview tuthibitishieni kuwa je kuna moto na mbingu baada ya kufa?
Kama moto uligunduriwa n binadamu uwo wa mbinguni unatoka wapi
@@emmanuelmsafi9581je kama Kuna mtu hapa duniani mfano kaua wanao au kakulawiti wewe au kadhulumu je ikiwa hakupata kushtakiwa hapa duniani ndio imetoka hiyo.?
Jamaa ana akili y level za juu
amini
Kaka ukosawa unaakiili nyingii wafirika tumedanganywa saana sasa
Kweli kbsa🔥👌
Nakubaliana na nyinyi kwa asilimia 100. Kwanini huko ambako ndo wanajiona taifa la Mungu wanamwaga damu kila siku? Kwanini hiyo roho ya Mungu isiwatembelee wakasolve migogoro kwa amani?
Tunawahitaji watu kama ninyi,kwani wengi ni waoga kumwaga hayo madini hadharani.
Jitahid usome usizungumze mambo kwa chuki ya waislamu
hajautaja uislamu tu pamoja na ukirusto pia kautaja kwaiyo tuseme ana chuki na dini zote mbili za warabu na wazungu
HAPO MLIPO KIMAWAZO NILIKUWA HAPO, ILA MAISHA NI HATUA NA MTAKUJA KUJUA KWELI ITAKAYOWAWEKA HURU!!
VITABU NI MAWAZO YA WATU ILA MAISHA YAKO YATAKUPA JIBU LAKO MWENYEWE!
Akili kubwa sana
VILAZA WENGI TUTAWAJUA KWA COMMENT ZAO TU WATAPANIC
Na Hizi Dini Za Mizimu Ya Wakoloni Yaan Uislam Na Ukristo Ni Biashara Haramu Tu Kama Zilivyokua Biashara Zingine Haramu
😂😂ila wamezitakatisha😂
Baka kuwa ivo bila ya kuwa na dini ubaki kwenye upagani sijui utaabudu.vp
Daaa kaka nakuelewa sana kaka
Biography ya Muhammad kaandika nan !
Waliofuatilia history yake nje ya vitabu vyenu vya dini
Nyinyi mnatakiwa serikali wawekeze
Nilisema jambo moja negative kuhusu dini ya watu fulani. Badala waje na hoja za kunifanya nielewe, wamenitukania mama yangu😢Sasa nashindwa kuelewa kwamba, huko kwenye dini zao wanafundishwa kuelewa au kukariri 🤔 Maana wamekosa cha kunijibu tofauti na matusi.
WAMEFUNDISHWA CHUKI, KUWA UKIMDHIHAKI MUNGU WAO BASI UUAWE. ILIWEKWA IVO ILI KUWATISHA WATU KUONGELEA VIBAYA MUNGU WAO
Mungu ni roho bro
Roho ndo nini 😂😂😂😂
Kwahyo mungu ayupo?
Daa yaani mwanangu kwasasa data zangu unazimaliza wewe tu, ila jitahidi kiswanglish kisiwe kingi sana
Uko sahii broo
kama mnatafuta kiki kwa mashehe endeleeni😂😂😂😂
😂😂😂😂
Kasome albadir
nachowapagawisha watu wengi wanokuungeni mkono ni hzo yes no ila mnaongea nonsense na si kingine,,,endeleeni
Muna akili kma zangu
Napenda mafundisho hako unatufungua vijana, naomba utufafanulie kidogo kuhusu jaman anaitwa CHIF GODLOVE kama vile mna relate kutufundisha ukwel wa mambo sio kumuongelea personal but numna anavyo fundisha au na yeye kuna drama.
Uko sahihi dini zote nitamaduni za wasisi namiungu yao
We have to change the way we were conditined to think.Ninyi ni hatari mtawasaidia wengi sana.
Kuna kitabu nimeona unakitangaza hapa mwanza nitakipata wapi?
Unawezaje Kosoa Uislamu na Quran Yenyewe Hujaisoma Mwana
Quran kaandika nani 😂😂😂😂
@fasterwalker1464 soma kuelewa sio kubishana
@@xmathematics_ tuelewe mawazo yawaandishi sawa wapo vzr 😂🤣🤣🤣
huwa naangalia clip zako ila nilichokuja kubaini kwako ni kwamba unataka kuipress Athetism (upagani) kwenye jamii oooo mara mtu hafi, ooo mara hakuna kitu kinachoitwa muda hizo argument tushazisikia sana ww ni athetist tuu huna jipya 🤫🤫
Kirefu cha neno N G O ni nini master?
Non-governmental Organisation
Non governmental organization
Duuuh Asante sana kaka
Aside waelewa ana hakili🙌🙌🙌🇹🇿🔥🦅nyie ni vichwa
Upo sahihi kabisa nisawa na roma (RC)
Wachokonozi wananifulaisha wananifanya niisha kwarahaa saana
Fact Mmesomeka,🙏🙏
Yaani mnakataa uwepo wa Mungu? Hebu fikirieni kwanini Kuna wanyama? Mbingu haina nguzo? Jua linakaa wapi,ulimwengu umetokea wapi? Kwanini wanyama hawaongei kama wewe? Kwanini kuna lugha nyingi duniani? Watu wa rangi mbalimbali? Kipi kimewafanya wawe hivyo?
@@ebenezerchurchsupremetv9490 Hayo majibu wewe huna ila sisi tunayo. huyo allah kati ya yote hayo hajafanya hata kimoja.
@@wachokonozi_amefanya kila kitu ALLAH ukwel utaujua ukifa
Huwezi sima akuna muumba na wakati ukitizama ki science mwili wa binadamu na mazingira yake yalivyo ukasema eti ni tombolaa bro kila kitu kina sababu, ata évolution yetu aikuja ki bahati
Leo nimegundua hicho kichwa ni vacuum hamna chochote
Mwaga upupu wachokonozii😂😂
Marjuana and Gaysh character
Uislamu ulianza tangu zama za adamu kwa ushahidi wa maandiko na ma nabii wote wa allah walikua ni waisilamu na rudia tena hakuna kitabu bora zaidi hapa duniani zaidi ya Quran bamaana Quran ndio kitabu pekee duniani ambacho kinaweza kuchambua vitabu vyote hapa dunia kwa maana iyo kama huijui Quran yani wewe hawezi kujua dunia inekwenda vip na uta baki kua mtu wa mwisho kabisa kwenye ufahamu , mwisho kabisa Mtu yeyote yule asiye ifamu Quran hawezi kuingia kwenye field ya Watu wenye akili kung'amua mambo na atabaki kua mjinga alibobea kwenye fani ya Ujingalogie kwa maana mtu akiwa mjinga utotoni kuna uwezekano wa ku zeheka na ujinga huo mpaka ana fikisha miaka1000 na muomba mungu akuongoze kwenye njia sahihi ambayo ni uislamu amin
Umeandika Aya ndefu kumbe ni walewale mmecopy Fanya utafiti acha kukariri maandishi ya wengine
Ukishataja Adam tayari umefanya refference kwenye kitabu cha dini, ndo maana wamesema ondoa vitabu vya dini then mjadiri Mungu.
Wewe ni kilaza🤣🤣
Ivi nikuilize :Ayo maneno unayo yaongea asiliyake inatokana na nini?
@JosephBalebanga 😂😂😂 acha mihemko,tuliza ubongo, fikiria nje ya biblia na msahafu
Waambie ukweli hawa vilaza
Kaka hongereni kwakuwaamsha nyumbu walio lala
Nahitaji vitabu vyako kaka
Jee nii nani huuyoo alieandikaa Quran na nani waliiompachikaa kwaa Mtumee ?
Wana ndugu hv hamn group wasap minunge uko maan ni mnatupa madini heavy sana apa
Alafu makka kuna nini mbona kwenye nguzo 5 za uislam wanakulazimisha uende angalau mara moja kwenye maisha yako lengo ni nini ni ili mkienda waarabu wafanye biashara unavyoisi maujaji wanachangia shilingi ngapi kila mwaka wanapoenda maka na madina watanzania tue na akili 😮😮😮
Wachokonoz big up from kenya
Hiii imekaa sawa ,
Uislamu sio dini kweli
Hao hata uo ukiristo wanasema sio dini ya Mungu usikaze fuvu kwenye uislamu tu 😂😂
@JumaHija-d9g hata Mimi nakubali ukristo sio dini lakini kristo ndo dini (njia) ya kweli na uzima
@youngkiki. Wee amini kristo ila hawa jamaa hawana krito wala kristu kwenye imani huna lakuwambi
Mmmmmh pigeni kazi wataerewa mbere kwambere
Eti wataeleA mbelekwambele 😂😂😂